Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


i hate threads that comes in english. Especially tanzanian english
 
Nguruvi,
Kipo kisomo kingine alisomewa na Sheikh Mohamed Yusuf Badi Lindi mwaka 1956.

Kisomo kingine alifanyiwa Mnyanjani, Tanga mwaka 1958.
Hii ndiyo historia ya Nyerere na TANU.

Vipi Waislam wasijidai...
Jambo jema sana. Kuna mahali alisomewa kisomo akasema 'walichinja' Nyerere akasema 'mimi mkorofi korofi na mambo hayo' ilikuwa ni mambo gani? Hapa kidogo sikumpata Nyerere. Ilikuwa wapi.

Mohamed Said Ritz kahtaan THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Waislamu hivi, Waislamu vile. Same story in all countries with a sizable number of Muslims. Hayo majina yote yaliyotajwa ukiacha Mwl. Nyerere ni ya kiislamu, lakini mnajaribu kutuaminisha kuwa hao walikuwa vibaraka wa Mwalimu. Hamna jipya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mosi:Kabla hujauliza swali hakikisha umejibu swali au kutafuta mtu wa kujibu kama huna jibu

Pili:Kwani zile zilikuwa ni harakati za kidini au kudai uhuru wa Tanganyika?

Huwezi kuacha kuandika dini zilivyo play role katika harakati za kujitafutia madaraka ya Tanganyika, hebu pitia hapa kidogo:
 

Kwanini hukukagua kilichonifanya nikauliza hilo swali?
Inawezekana ni kweli kuna mtu ameuliza swali kama hilo,lakini ni kitu gani kinakufanya ufikiri malengo ni yale yale?

Halafu inawezekana pia swali hilo halikujibiwa ipasavyo jambo ambalo litanifanya mimi na wengine kutaka majibu stahiki!

Tulia!
 
Eiyer,
Unaelekea wewe ni mgeni hapa barzani.
Hilo swali lishajibiwa siku nyingi sana.
Harakati za uhuru zilibebwa na Waislam na Uislam ndiyo ilikuwa itikadi
yenyewe.
Mh!
Kuna vitu sivielewi hapa
Harakati zilibebwa na Waislam na Uislam ulikuwa ndio itikadi yenyewe,sasa ikawaje wakahusika na wasiokuwa na itikadi hiyo na ikafikia "kuwadhulum" Waislam?
Ni nini lengo la Waislam kwenye hili na kwanini itikadi ilikuwa ni Uislam wakati walikua wanajua kuwa Tanganyika ni ya watu wenye imani tofautitofauti?

Walikua na mpango gani na nchi hii?
Ukitaka zaidi soma kitabu changu, ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...''
Kitabu kinapatikana Tanzania Publishing House na Ibn Hazim Media Centre Msikiti wa
Mtoro na Manyema.
Yoyote ambae hajakisoma kitabu chako akiona mijadala inayofanyika hapa atajua kilichomo!
 
Huwezi kuacha kuandika dini zilivyo play role katika harakati za kujitafutia madaraka ya Tanganyika, hebu pitia hapa kidogo:

Mimi nilikuwa nauliza kama zilikuwa ni harakati za kidini,maana yake ni kuwa hazikuwa harakati za kudai uhuru wa Tanganyika bali za kudai haki za kidini zilizokuwa hazipo

Dini fulani itadaije uhuru wa nchi na itikadi ya kudai huo uhuru iwe ni ya dini husika?
 
Nguruvi,
Kipo kisomo kingine alisomewa na Sheikh Mohamed Yusuf Badi Lindi mwaka 1956.

Kisomo kingine alifanyiwa Mnyanjani, Tanga mwaka 1958.
Hii ndiyo historia ya Nyerere na TANU.

Vipi Waislam wasijidai...
Jambo jema sana. Kuna mahali alisomewa kisomo akasema Nyerere akasema 'walichinja...mimi mkorofi korofi na mambo hayo' ilikuwa ni mambo gani? Hapa kidogo sikumpata Nyerere. Ilikuwa wapi na nini kilipeleka Nyerere akasema hayo?
Kumbu kumbu zangu zipo dhaifu kidogo naomba msaada.

Mohamed Said Ritz kahtaan THE BIG SHOW
 

Ni kwanini kila unapoona nimechangia unapenda kuni-quote na kuleta kejeli?
Tena kejeli za kidini?

Kwanini hata usitumie akili yako ya kitoto kukagua kilichofanya niulize hilo swali?
 
Ayatoola chamvinga unaweza kutusaidia kidogo
 
Last edited by a moderator:

Hongera sana wewe ulie na muda na hizi kashfa!
Huwezi kusema jambo bila kuizungumzia imani ya mtu sijui ukoje wewe!
 

Kwahiyo Kikwete na mwinyi kwa mujibu wa maelezo yake wamechaguliwa kwenda ikulu kuwatetea waislamu? Kama wanatekeleza majukumu yao kikatiba kwanini humtaji Mkapa kuiondoa Bakwata?
 
Remote na Wickama mnaweza kusaidia kidogo naona jamvi limeingia baridi.

Mimi nilijizuia kabisa nikasema busara zinaniongoza nisimwage mtama.
Sijui yametokea wapi mungu akaleta neema zake watu wakafungulia njiwa kabla ya mtama.
Nimekuwa sina budi sasa, maana njiwa wanalia nje mimi nina mtama kwanini niufiche tena?

Niliahidi kuwa nikiumwaga mtama ni ule wa Dodoma una vumbi watu watakung'uta jamvi, hapatakalika!!
 
Untold story...
People need to know about this

Zamboni,

Untold Story indeed...''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika''
Minerva Press, London 1998.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…