CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Wickama.
Salama, nadhani hakuna anayepinga hawa mashujaa wetu sisi Waislam kupewa majina ya shule zetu na vyuo vyetu, hilo siyo tatizo letu kama anavyosema jamaa yako Nguruvi3. na wewe una mtetea hebu msome hapa chini.
Endelea kumsoma jamaa yako na unayetetea maneno yake.
Nadhani wanaukumbi pamoja na wewe wamemsoma huyu jamaa yako sijui nani alikuambia haya majina ya barabara na ya vyuo ndiyo madai ya Waislam wa Tanzania.
Sheikh Mohamed Said. amendika kitabu chake mwaka 1997 wakati Nyerere yupo hai, siyo kweli kuwa sisi Waislam tunahangaika na marehemu, hauwezi kuwazuia Wacongo wasimuongelee Leopold II, hauwezi kuwazuia Ukraine wasimjadili Jozef Stalin, hauwezi kuwazuia kuwazua Wajapan wasimjadili Hideki Tojo, hauwezi kuwazuia Cambodia watu wasimuonglee Pol Pot, kisa wameishakuwa marehemu.
Kwanza namshukuru Allah, Alhamdulilah, najiweza kujikimu kidogo na haram wewe kiniandalia mapokezi, bahati nzuri hapa Tanga ni nyumbani kuna ndugu zangu wengi wakisikia wewe ndiyo unakaribisha Tanga itakua kituko, hauwezi kufanya reference ya masula ya Waislam kwa kutembela Lushoto, mimi mwezi ujao naenda Morogoro kisha taenda Mwanza na Bukoba kwenye shule za Waislam vijana wa Kiislam wamepata Scholarships nchi za Asia, Marekani, Ulaya, kwenda kusoma Masters, PhD, Degree, Courses, pitia hizi habari za mwaka juzi kiduchu hapa chini kutoka Morogoro peke yake uone harakati zetu unadhani watu tunacheza, tatizo nyie Wakirsto chuki zenu zimepita kiasi.
Nadhani umesoma hizi bayana kiduchu ukitaka takupa maendeleo ya hizi harakati za Waislam ambao kila kukicha mnawadharau.
Soma hapa chini HARD WORK za Waislam.
Soma hapa chini HARD WORK and good plans.
Soma hapa chini HARD WORK and good plans.
Tuishie hapa habari ni nyingi sana.
Nimekusoma sana ndugu yangu Ritz. Huyo Wickama anataka kukukaribisha nyumbani kwako? Mbona viojo hivyo. Tanga ni kwako na nduguzo tupo huku anytime wewe ingia tu wala usipegehodi.
Last edited by a moderator: