Nguruvi sijui kama naweza kukidhi swali lako.
Navyokumbuka, Nyerere alikuwa anarejea (refer) katika ibada alizofanyiwa wakati wa kupigania uhuru, ambazo ndani yake kulikuwa na utoaji makafara ya uchinjaji na kwenda makaburini na vitu kama hivyo. Desturi ambazo hivi sasa waislamu wenyewe kama hawa wa Answar Sunna hawataki kabisa hata kuzisikia. Nakumbuka hata kwenye masuala ya mapinduzi zanzibar (soma Kwaheri uhuru.....) kulikuwa tena na makafara ambayo paka walishonwa macho ili waarabu WASIONE kitu kabla ya mapinduzi. Na hayo hawaelekezwa na askofu wala walii. Ila wafanyaji walikuwa ni waislamu pia. Kuna paper moja tuliwahi iweka wazi wakati wa uzi wa Yericko ambapo baba mmoja nadhani ni kule Mwananyamala alikuwa na bango kuwa pale kwake ndipo mahali palipozaliwa TANU. Lakini pia ilikuja kuwa wazi kwamba viongozi wengi wa TANU walikuwa wakimtegemea bwana huyu kwa masuala ya matambiko na kama hayo. Hii piche-pache-puuuu ajabu huwa haitajwi sana. Ni yatima kiasi.
La maana ni kwamba;
1. Kuna mtu anachanganyika na watu wasio dini sawa na yeye kisha akakomaa nao katika ibada zao na wala haikumsumbua kwa sisi nadiriki kusema ni mtihani mgumu
2. Mimi napata picha kuwa hakuwa na dharau, kwa vile ibada hizo japo kama mkatoliki alikuwa anakwazika bado alishiriki hadi mwisho kwa lengo la kujenga umoja wa yeye na wazee waliompokea. Ni ajabu kuwa hapati pongezi juu ya tabia hii.
Sijui kama nimekujibu mkuu. wengine watajazia.
Wickama,
Nimechungulia hiyo
bayana yako kiduchu,nimeipenda nawe ni
hodari wa kuandika.
Sikiza,nakhis hoja zenu au huo upambe ujaribu kumfanzia huyo
Nguruvi3 hapa haitosaidia kitu asilan!
Kama kweli uko
objective na unatumia ustaarabu,nafikri utaona jinsi huyo jamaa yako anavyojaribu kurukaruka huku akitoka nje ya mada,ku-
twist maneno na kubadili mwelekeo au
mintaaraf ya Mada kila apatapo upenyo!
Si unaona jinsi Sheikh
Mohamed Said anavyomjibu na kumthibitishia yakuwa si kweli hizo tuhuma za yule
Muhaya Dr Kyaruzi,pia si kweli zile tuhuma yakuwa ati Sheikh Mohamed Said yumo/alikuwamo
Bakwata na mangine mangi mno.
Tatizo alonalo huyo
Nguruvi3,nafikri pia ni tatizo la
Wakristo wengi mno khasa watokao mabara/mikoani na kulazimisha wawe ati
"Watoto wa mjini"...kwa hiyo utaona wengi wao wanaishia na story za vijiweni/
myth na kujifanza ati wao wanawajua sana Waislam au khabar za ndani kabisa za
Waislam/Bakwata!? Kwi! Kwi! Kwi!
Jinsi ulivyoandika hapo juu na labda wewe binafsi kujihisi umebainisha jambo,haina neno maana hiyo ndo
opinion yako na upeo wako wa kufikiri ulipogotea...na pia naona huyo
Nguruvi3 kafurahi kiduchu!
Ayatollah
Chamviga kesha kudadavulia
kiungwana na kwa kadri ya uwezo wake,ni jambo
jema alofanza...lakini mimi naungana na hoja/kauli alotoa Maulana Dr
Kahtaan,na nairejea kwa unyambulisho kiduchu hapa chini!
Hiyo unayojaribu/mnayolazimisha kuichambua ni
Tawhid,which covers
Islamic Theology,Jurisprudence,Philosophy,Sufism as well as Islamic understanding of natural science.
Lakini kutokana na
school of thoughts,hicho kipengele/majambo mnayolazimisha sisi hapa kuzungumza/kujadili na nyinyi,ni
Makrooh.
Hata hivyo kuna
Maulamaa wengi pia wanaenda mbali na
kuthibitisha/kuyakinisha yakuwa ni
Haram,na sababu watoayao ni kwa kuwa nyinyi Wagalatia/Wakristo aka
msioamini;basi kuna baadhi ya
masuala yanapojadiliwa nyinyi mnaingia baina ya
Najsi...kwa hiyo ham-
qualify sisi kujadili baadhi ya mambo nanyi. Na hapo mfanowe ni hayo
mnayolazimisha ati sisi kujadili/kulumbana nanyi!?
Yaani kwa kifupi,yawezekana vipi
Najsi ikaweza/iruhusiwe kuchambua na kupembua ati kipi ni
Halal na ipi ni
Haram...au yupi ni
Muislam na yupi si
Muislam!?
Lakini kama bado mngalipenda kuendelea na hizi
"harakati"/hoja zenu humu
Jf,tafadhali uwanja ni mweupe fungueni
thread nyingine na nina hakika ndugu zangu
walobobea kwenye haya masuala mazito ya
Iman yetu watakuja kukunyambueni kwa utuvu...yupo hapa kama muonavyo Ayatollah
Chamviga na Maulana Dr
kahtaan,najua hao waili tu wakutosheni!?
Khalaf pia,mbona mnatupeleka nje ya
mada wenzetu,kunani!?
Ina maana
vishindo vyoote vile huo ndo ulokua
"mtama" wenyewe wa huyo
Nguruvi3!?
Jambo jingine la muhimu nakuzingatia;ni yakwamba pamoja na wewe kujaribu kulazimisha ati watu wampongeze yule
Nyerere kwa kujiunga na
Waislam kwenye ibada/Iman zao na kumuombea Mola,na ukajaribu kuonyesha ati kutokana na
Ukatoliki wa
Nyerere kwamba mambo fulani alikua
"hafanyi"/"hayapendi"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Nilishawahi kukwambia kitambo yakuwa, japokua wewe unatokea
Tarime/Mara...lakini huyo
Nyerere mimi binafsi namjua uzuri mno kukushinda mara elfu! Sababu nakhis,labda Nyerere uliekua ukimjua wewe ni yule wa kwenye
magazeti na
Radio,au sio!?
Kwa kifupi
Nyerere,kwao
ushirikina/uchawi ni jadi/asili yao! Kwa hiyo toeni/acheni hizo
myth zenu,ati ooh! Nyerere alikua
Mkatoliki safi na hapendi mambo ya
Sangoma!? kwi! Kwi! Kwi! Unamjua
Nyerere wewe!?
Unajua kwanini
Mama yake Mzazi
Nyerere alipewa jina la
Mugaye!?...unajua jina lake la kwanza!?
Unajua kisa cha huyo Bi Mugaye alichomfanzia
Baba yake Mzazi Nyerere na mpaka
kumuua!?
Unajua
Julius Nyerere alikua na miaka mingapi wakati
Mama yake anakutana na
Mzee Burito Nyerere kwenye kikao cha pombe nyumbani kwa
Sangoma/Mchawi mwingine ambaye ndie aliekua rafikiye
Bi Mugaye...yaani Mchawi mwenziwe!
Unajua Kwanini
Nyerere mpaka anakufa alikua hamjui
Baba yake Mzazi!? Au bado mpaka leo mnaamini ile
myth ya
kukaririshwa yakuwa yule Mzee wa watu maskini
Burito Nyerere ndo Baba yake Mzazi!? kwi! Kwi! Kwi!
Unajua kwanini
Mama yake
Nyerere aliwafanya
misukule wanae mwenyewe!? Unamjua yule
Mzee Kiboko...ndugu yake
Julius Nyerere aliekua
chizi wa kutupwa akiishi/akifungiwa ndani pale
Ikulu!?...siku nadra alizokua akitolewa nje,alikua kazi yake kubwa kurusha mawe na kuvunja magari ya
Serikali yetu!
Unajua kwanini
Julius Nyerere kwa kushirikiana na
Mama yake aliamua kuwatoa
misukule/muhanga wanae mwenyewe kama vile kina
Madaraka Nyerere na wengineo!?
Unajua
ugomvi/matatizo ya miaka kadhaa baina ya
Mama Maria na Family ya
Julius Nyerere khasa
Mama yake Nyerere ulianzia wapi!?... Sababu ni
ushirikina/uchawi wa Nyerere mwenyewe na Mama yake na family yoote!
Si unaona sasa baada ya
"Mwalimu" na
Mama yake kufariki ile
misukule inavyowatafuna wenyewe kwa wenyewe,si unajua
family takriban yoote ya
Nyerere ni
machizi!?
Na hata wale mnaowaona wana
akili kiduchu,lakini ni kwa
muda fulani tu!
Unakumbuka siku Mama Maria
yalipomshinda akaamua kusema
ukweli woote/kutoa dukuduku lake na kutwangana na
Julius Nyerere pale
Ikulu,mbele ya
Mama yake Nyerere...maskini
Mama Maria alisahau yakuwa yule mwenzie pamoja na yakuwa alikua ni
mumewe,mshirikina
aliekubuhu na mzandiki, lakini pia alikua ni
Rais wa nchi.
Kwa kifupi hiyo siku,
Nyerere aka
"Baba Wa Taifa" alipigwa vibaya sana na
kubiringishwa vibaya mno na
Mama Maria,na kwa kuwa
Julius Nyerere alikua tayari na
pombe kichwani...matokeo yake akaamuru Mama Maria akamatwe na kutupwa nje ya nyumba/
Ikulu.
Hatimae
Mama Maria maskini, alichukuliwa na Land Rover za
FFU...na
gaguro alikwenda kuvalia
Morogoro mjini nyumbani kwa
Mzee Athuman Kabongo! Kwi! Kwi! Kwi!
Kwa kifupi
Nyerere alikua ndie
kinara wa ushirikina katika
Viongozi woote hapo...ukitaka mpaka majina ya
Waganga/Wachawi aka Masangoma wake wengi, mpaka wa huko kwenu
Musoma/Butiama nitakuwekea hapa hapa.
Kwa hivi sasa naanzia na Mzaramo
Mzee Mbange na
Mzee Barinkebera wa pale Kanyigo/Bukoba!....hawa Wazee ndo waliokua
Masangoma wakubwa wa
Nyerere,na mwenyewe alikua akiwaheshimu na
kuwathamini ushauri wao wa aina yoyote kuliko hata ushauri wa
Baraza lake mwenyewe loote la
Mawaziri!? Kwi! Kwi! Kwi! Afrika Bana!
Khalaf,wewe na huyo
Nguruvi3,mnakuja hapa ati kutuaminisha yakuwa huyo
Nyerere wenu alikua ni
"Saint" fulani hivi wa
Kikatoliki!? Kwi! Kwi! Kwi!
Hizi khabar zoote nilizokwambia hapa,kama ingalikua yule
Mtoto wa Nyerere aliyemo humu
Jf,
Uncle Andrew nae
hajachizika,labda ningemwomba aje hapa uone ninavyozungumza nae na
kumnyambua...japo najua kuna mangi hata nae
hayafahamu maskini itakua ni kama vile
kumuonea bure tu!
Nataraji kwa leo hapa si
haba!?
Tafadhalini,turejeeni kwenye
mada kama ilivyo.
Ahsanta.