Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Chamviga unaweza usiamini;
Lakini M\Mungu atakulipa sana kwa huo ujasiri wako ulioutumia kuandika sentesi number 2. Ndio kiini cha ujumbe wangu. Nakuheshimu sana kwa maneno haya. Mzee MS ana wasomaji wake na soko lake na wala sijawahi kupata tatizo na TANU kuzaliwa Burma au Mwananyamala kisha kuandikishwa rasmi Dar. Wala hainisumbui kusikia Nyerere kuomba matango au kabichi hapo sokoni Kariokoo. Sigara hazitajwi!!!!

Wickama,
Hii kejeli ya nini ndugu yangu?

Historia ya TANU inafahamika na mchango wa akina Sykes unajulikana.

Baba alikuwa founding secretary wa African Association 1929 na founding
secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933.

Watoto Abdu na mdogo wake Ally wakaja kuwa wanachama na viongozi
shupavu wa African Association na waasisi wa TANU na wafadhili wakubwa
wa harakati za uhuru.

Historia ya TANU Burma kupitia 6th Battalion ya KAR nimeieleza katika
kitabu changu kwa kirefu na ni katika taarifa ambazo wanahistoria wakubwa
kama John Iliffe hawakuwa wanajua.

Nini kinakuchonyota?

Nyerere hakuwa na sababu ya kuomba kama unavyodai.

Labda hujui politics za Soko la Kariakoo katika 1950s wakati Abdu Sykes
alipokuwa Market Master pale.

Mimi babu yangu Shariff Mwamedi alikuwa na biashara ya kuku pale sokoni
na hivi ninavyoandika kama vile namuona kasimama kwenye banda lake.

Alikuwapo vilevile mjomba wangu Hamis Salum yeye alikuw na biashara ya matunda.

Hawa wamemuona Nyerere siku zake za mwanzo akija sokoni pale kumfuata Abdu Sykes.

Hawa wazee wangu hawakupata kunihadithia hata siku moja kuwa Nyerere alipita kwao
kuomba.

Tulia ndugu yangu wewe hukuwepo.

Hawa wakimuheshimu Nyerere kwanza kama mgeni na rafiki yake Abdu na baadae kama
kiongozi wao katika TANU.

Hutaki kuamini unayoeleza sawa hakuna ubaya ila ninachokuomba achana na
hizo kejeli.

Zinaharibu mnakasha.
 
Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.

Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?

Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.

Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?

Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?

Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.

Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...

Shemeji Ritz;

1. Dawa ya deni ni kulipa, sio kubisha kuwa "wewe unanidai vibaya". Usikwepe Hoja za article kwa sentesi za "glass ya maji" wewe angalia SPIRIT YA UJUMBE kisha kita hoja zako huko.

2. maswali mengine unayotaka uambiwe maana ya maneno au vikundi fulani hiyo ni kazi ya internet search engines. Jimwage GOOGLE kwa raha zako.

3. Soma vizuri kilichoandikwa. Nilikuusia tangu threads ya Yericko (....)kuwa hujipi muda wa kupitia jambo vizuri. Paper ya Dr Ziddy ina hayo masuala ya masheikh kuteseka na hadi misukosuko ya bakwata, ipo free online lakini sio kazi yangu kuweka link. Ni kazi ya search engines. Nimempa hint Ustadh Chamviga kama mchango kwa article yake nzuri. Zingatia Chamviga hakuniuliza kwanini waligombana. Alisema baada ya uhuru Julius aliwageuka..... ndiyo maana ya kumwelekeza hiyo paper, naamini zipo nyingine. Tusaidie pia.

4. Mtu kukosea wakati anaandika article ni jambo la kawaida na wala halizui ugomvi labda uwe na ushahidi kuwa kosa lile ni la makusudi ili KUFICHA au KUPOTOSHA wasomaji. huna haja ya kutumia "deragatory response" kwa mwandishi aliyekosea juu specific details na huku una uwanja wa kuwaelimisha watu kuwa the correct version ni hii. Isitoshe mwandishi kugundua aliacha jambo huwa ni kawaida. Shukran lakini kwa masahihisho yako.

5. Ukijibu au kusaidia kitu bakia kwenye swali mama. Chamviga aliuliza juu ya Masheikh kuwekwa magerezani. Nilimjibu kama alivyouliza, mfano wa Mara niliutumia kumjulisha wapo pia non-moslems walioonja kizuizini under Nyerere. Pima kama mifano yako ya kina Mapalala inamsaidia Chamviga katika swali lake la msingi. Umekomaa kuhusu kujua au kutojua kwangu kuwa fulani (haswa kama ni maarufu) aliwekwa kizuizini enzi za Nyerere kunanipa kilema gani katika jamii? Hiyo data huwa kuna ofisi wanakusanya (human rights groups) na ukiitaka unapewa. Its not a big deal. Sasa tatizo ni nini? Kwani hapo ulipo unajua gereza la Butimba Mwanza au Karanga Moshi yana wafungwa wangapi wenye mimba hadi mwezi jana? suppose nikukushangaa?

6. Navyojua mimi Nyerere alikuwa wa kwanza kuwa na a Masters Degree katika waafrika wa Tanganyika Sijakataa kuwa nchi haikuwa na wenye degree. Hapa ni Masters naongelea. Pinga hoja. Ama kuhusu kujishusha ni kwamba hata Abdul Sykes alijishusha sana kwa wazee, ila hakuwa na Masters degree.

7. Nimekusikia ukisema kuwa WAKIRISTO WENGI wako nyuma ya BAKWATA. Awali nilidhani wakiristo ni adui wa Taasisi zote za Kiislamu. Huenda wana sababu. Nashauri wasiliana na Baraza la Kikristo la Tanzania kupata majibu stahiki.

8. Masuala ya kina Mareale yalishajadiliwa tangu wakati wa uzi wa Yericko, sina haja ya kuyarudia.[/QUOTE]
Wickama.

Sasa wewe umeleta hoja zako humu jamvini watu wanakuambia thibitisha kwa ushahidi unasema siyo kazi, au niende nikaulize sijui wapi, kama hautaki kuulizwa basi usiandike uongo hii ni forum watu wanahoji.
 
Last edited by a moderator:
Zaidi ya yote lipo swali limesimama wima daima bila jibu.

Wako wapi wanafunzi wa Nyerere?

Je, duniani yupo mwalimu asiye na wanafunzi?

Yesu alipoulizwa juu ya mafundisho yake, alijibu waulizeni hao waliojifunza kwangu ni nini walichojifunza.

Leo hii wanafunzi wa Nyerere wamebaki na kazi moja tu ya kumsifu Nyerere na kuwaaminisha watanzania kuwa hafanani na rais yeyote kati ya waliomfuata, hawatuelezi nini walichojifunza kwa Nyerere.

Kama tunavyoona humu ukumbini, Nyerere kawafanyia dhulma nyingi sana Waislam na hili jamii ya Kiislam wataendelea kufahamishwa kama anavyofanya Mohamed Said.

Bila Sheikh Mohamed Said. Mwenyezi Mungu atamlipa, kuja na hii nusra ya kitabu chake.

"Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika."

Nyerere alikuwa kaishawafuta hawa wazee wetu mashujaa kwa sababu ya Uislam wao, nani alikuwa anawajua kina Mshume Kiyate...

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafute lulu hana budi kupiga mabizi." ~ John Dryden
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Hii kejeli ya nini ndugu yangu?

Historia ya TANU inafahamika na mchango wa akina Sykes unajulikana.

Baba alikuwa founding secretary wa African Association 1929 na founding
secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933.

Watoto Abdu na mdogo wake Ally wakaja kuwa wanachama na viongozi
shupavu wa African Association na waasisi wa TANU na wafadhili wakubwa
wa harakati za uhuru.

Historia ya TANU Burma kupitia 6th Battalion ya KAR nimeieleza katika
kitabu changu kwa kirefu na ni katika taarifa ambazo wanahistoria wakubwa
kama John Iliffe hawakuwa wanajua.

Nini kinakuchonyota?

Nyerere hakuwa na sababu ya kuomba kama unavyodai.

Labda hujui politics za Soko la Kariakoo katika 1950s wakati Abdu Sykes
alipokuwa Market Master pale.

Mimi babu yangu Shariff Mwamedi alikuwa na biashara ya kuku pale sokoni
na hivi ninavyoandika kama vile namuona kasimama kwenye banda lake.

Alikuwapo vilevile mjomba wangu Hamis Salum yeye alikuw na biashara ya matunda.

Hawa wamemuona Nyerere siku zake za mwanzo akija sokoni pale kumfuata Abdu Sykes.

Hawa wazee wangu hawakupata kunihadithia hata siku moja kuwa Nyerere alipita kwao
kuomba.

Tulia ndugu yangu wewe hukuwepo.

Hawa wakimuheshimu Nyerere kwanza kama mgeni na rafiki yake Abdu na baadae kama
kiongozi wao katika TANU.

Hutaki kuamini unayoeleza sawa hakuna ubaya ila ninachokuomba achana na
hizo kejeli.

Zinaharibu mnakasha.

Nimekuelewa mzee MS. Niwie radhi. Pia shukran kwa nyongeza ya maneno.
 
Wickama,
Hii kejeli ya nini ndugu yangu?Historia ya TANU inafahamika na mchango wa akina Sykes unajulikana.
Baba alikuwa founding secretary wa African Association 1929 na founding
secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933.
Watoto Abdu na mdogo wake Ally wakaja kuwa wanachama na viongozi
shupavu wa African Association na waasisi wa TANU na wafadhili wakubwa
wa harakati za uhuru.

Historia ya TANU Burma kupitia 6th Battalion ya KAR nimeieleza katika
kitabu changu kwa kirefu na ni katika taarifa ambazo wanahistoria wakubwa
kama John Iliffe hawakuwa wanajua.Nini kinakuchonyota?

Nyerere hakuwa na sababu ya kuomba kama unavyodai.Labda hujui politics za Soko la Kariakoo katika 1950s wakati Abdu Sykes alipokuwa Market Master pale.Mimi babu yangu Shariff Mwamedi alikuwa na biashara ya kuku pale sokoni
na hivi ninavyoandika kama vile namuona kasimama kwenye banda lake.

Alikuwapo vilevile mjomba wangu Hamis Salum yeye alikuw na biashara ya matunda.Hawa wamemuona Nyerere siku zake za mwanzo akija sokoni pale kumfuata Abdu Sykes.Hawa wazee wangu hawakupata kunihadithia hata siku moja kuwa Nyerere alipita kwao kuomba Tulia ndugu yangu wewe hukuwepo.Hawa wakimuheshimu Nyerere kwanza kama mgeni na rafiki yake Abdu na baadae kama
kiongozi wao katika TANU.Hutaki kuamini unayoeleza sawa hakuna ubaya ila ninachokuomba achana na
hizo kejeli. Zinaharibu mnakasha.
Mohamed Said tulizana muungwana nini kinakupa kimuhe kumshambulia Wickama kwa kurudia yale yanayosemwa kila siku kutoka katika maandiko yako tena kwa dhihaka nawe hukemei?

Umesema TANU ilianzia Burma kosa gani akisema unayoyasema? Tena kasema kuna mzee mmoja aliwahi kudai TANU imezaliwa Mwanayamala kama chimbuko la Mtambiko, kuna shida mtu akieleza sehemu ya historia anayoisikia kama unayoieleza?

Kwanini uamini kuwa historia yako ni sahihi na si ya huyu anayeleta fikra kuhusu uzao wA TANU Burma au Mwanayamala? Nini kinakuchonyota uje juu ka moshi moshi wa kifuu mzee!

Vijana wako wamesema Nyerere kaja kapokelewa, kavalishwa na kalishwa na wazee wa mjini.
Wewe umewahi kusema kuhusu Nyerere kwenda Kariakoo kuomba mboga kwa bahati nzuri akakutana na mzee Mshume Kiyate akamkatia sh 200 ambazo wakati huo zingeweza kujenga nyumba.

Tena vijana wako wanasema Nyerere alilishwa, kulazwa na kuvalishwa na wazee wako.
Nadhani waliangalia picha za kaptura ulizowahi kuweka mtandaoni, maelekezo kuhusu kuhamia chumba kwa Abdul, Mshahara kutoka kwa wazee n.k. na sasa wana 'echo' kauli zako.
Vipi iwe Nongwa Wickama akarudia maneno yale yale kuwaenzi wazee wetu?

Natetemeka sana nikisikia unakuja na toleo lingine la kitabu. Hofu yangu ni maelezo juu ya mama Maria.
Na hivi tumeambiwa chumba alichokuwa analala kwa Abdul, ee mola epusha tusije sikia zaidi, tunusuru manani maana historia ni nzito. Hatujui 'untold' imebaki nini na itakuwaje ikiwa told kutoka kwenye vyumba!

Last edited by a moderator:
Nimekusikia Shemeji Ritz,

Upole wako leo umenikuna. Umenikumbusha mandhari nzuri ya eneo la Najd. Haya bwana,

Tuko pamoja.
 
Zaidi ya yote lipo swali limesimama wima daima bila jibu.

Wako wapi wanafunzi wa Nyerere?

Je, duniani yupo mwalimu asiye na wanafunzi?

Yesu alipoulizwa juu ya mafundisho yake, alijibu waulizeni hao waliojifunza kwangu ni nini walichojifunza.

Leo hii wanafunzi wa Nyerere wamebaki na kazi moja tu ya kumsifu Nyerere na kuwaaminisha watanzania kuwa hafanani na rais yeyote kati ya waliomfuata, hawatuelezi nini walichojifunza kwa Nyerere.

Kama tunavyoona humu ukumbini, Nyerere kawafanyia dhulma nyingi sana Waislam na hili jamii ya Kiislam wataendelea kufahamishwa kama anavyofanya Mohamed Said.

Bila Sheikh Mohamed Said. Mwenyezi Mungu atamlipa, kuja na hii nusra ya kitabu chake.

"Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika."

Nyerere alikuwa kaishawafuta hawa wazee wetu mashujaa kwa sababu ya Uislam wao, nani alikuwa anawajua kina Mshume Kiyate...

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea, Atafute lulu hana budi kupiga mabizi." ~ John Dryden

penye red; thibitisha hili kuu. bila kuzungukazunguka??
pia unijuze bakwata wale ni wagalatia ama?

k
 
Mohamed Said tulizana muungwana nini kinakupa kimuhe kumshambulia Wickama kwa kurudia yale yanayosemwa kila siku kutoka katika maandiko yako tena kwa dhihaka nawe hukemei?

Umesema TANU ilianzia Burma kosa gani akisema unayoyasema? Tena kasema kuna mzee mmoja aliwahi kudai TANU imezaliwa Mwanayamala kama chimbuko la Mtambiko, kuna shida mtu akieleza sehemu ya historia anayoisikia kama unayoieleza?

Kwanini uamini kuwa historia yako ni sahihi na si ya huyu anayeleta fikra kuhusu uzao wA TANU Burma au Mwanayamala? Nini kinakuchonyota uje juu ka moshi moshi wa kifuu mzee!

Vijana wako wamesema Nyerere kaja kapokelewa, kavalishwa na kalishwa na wazee wa mjini.
Wewe umewahi kusema kuhusu Nyerere kwenda Kariakoo kuomba mboga kwa bahati nzuri akakutana na mzee Mshume Kiyate akamkatia sh 200 ambazo wakati huo zingeweza kujenga nyumba.

Tena vijana wako wanasema Nyerere alilishwa, kulazwa na kuvalishwa na wazee wako.
Nadhani waliangalia picha za kaptura ulizowahi kuweka mtandaoni, maelekezo kuhusu kuhamia chumba kwa Abdul, Mshahara kutoka kwa wazee n.k. na sasa wana 'echo' kauli zako.
Vipi iwe Nongwa Wickama akarudia maneno yale yale kuwaenzi wazee wetu?

Natetemeka sana nikisikia unakuja na toleo lingine la kitabu. Hofu yangu ni maelezo juu ya mama Maria.
Na hivi tumeambiwa chumba alichokuwa analala kwa Abdul, ee mola epusha tusije sikia zaidi, tunusuru manani maana historia ni nzito. Hatujui 'untold' imebaki nini na itakuwaje ikiwa told kutoka kwenye vyumba!

Teh teh teh. Nguruvi3, wewe si ulikuwa unapinga TANU haikuanzishwa Burma ukaenda mbali zaidi huku unapinga baadae nilivyokuwekea maneno Mubashar kutoka Nyerere mwenyewe amekiri TANU imeanzishwa Burm ukatuliza kama tui la nazi kwenye sufuria ya tasi, teh teh teh.

Naona sasa umebaki kujifariji nakujiliwaza kwa maneno ya tungo za michiriku na kibao kata.
 
Last edited by a moderator:
penye red; thibitisha hili kuu. bila kuzungukazunguka??
pia unijuze bakwata wale ni wagalatia ama?

k

Kuna maswali.mengine kama mtu ana elimu ya kawaida tu anapata majibu!
Sasa toka nyuma huko tunajadili nini? Mpaka wewe utake kuthibitishiwa kuwa Nyerere kawafuta waislamu ktk historia ili aonekane yeye ndio shujaa peke yake??

Au bangi za asubuhi hizi??

Halafu kuhusu bakwata nenda kawaulize wenyewe! Shariff Ritz si msemaji wa bakwata! Lkn kwa fikra na uono wangu BAKWATA wananukia ugalatia kama wewe!.
Sasa sijui hii harufu wameipata zaidi kwa nyerere au mkapa!?

Hapo labda tupekue zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said tulizana muungwana nini kinakupa kimuhe kumshambulia Wickama kwa kurudia yale yanayosemwa kila siku kutoka katika maandiko yako tena kwa dhihaka nawe hukemei?

Umesema TANU ilianzia Burma kosa gani akisema unayoyasema? Tena kasema kuna mzee mmoja aliwahi kudai TANU imezaliwa Mwanayamala kama chimbuko la Mtambiko, kuna shida mtu akieleza sehemu ya historia anayoisikia kama unayoieleza?

Kwanini uamini kuwa historia yako ni sahihi na si ya huyu anayeleta fikra kuhusu uzao wA TANU Burma au Mwanayamala? Nini kinakuchonyota uje juu ka moshi moshi wa kifuu mzee!

Vijana wako wamesema Nyerere kaja kapokelewa, kavalishwa na kalishwa na wazee wa mjini.
Wewe umewahi kusema kuhusu Nyerere kwenda Kariakoo kuomba mboga kwa bahati nzuri akakutana na mzee Mshume Kiyate akamkatia sh 200 ambazo wakati huo zingeweza kujenga nyumba.

Tena vijana wako wanasema Nyerere alilishwa, kulazwa na kuvalishwa na wazee wako.
Nadhani waliangalia picha za kaptura ulizowahi kuweka mtandaoni, maelekezo kuhusu kuhamia chumba kwa Abdul, Mshahara kutoka kwa wazee n.k. na sasa wana 'echo' kauli zako.
Vipi iwe Nongwa Wickama akarudia maneno yale yale kuwaenzi wazee wetu?

Natetemeka sana nikisikia unakuja na toleo lingine la kitabu. Hofu yangu ni maelezo juu ya mama Maria.
Na hivi tumeambiwa chumba alichokuwa analala kwa Abdul, ee mola epusha tusije sikia zaidi, tunusuru manani maana historia ni nzito. Hatujui 'untold' imebaki nini na itakuwaje ikiwa told kutoka kwenye vyumba!

Nakushukuru Nguruvi. Mzee MS alishanikasirikia bila ku-recall nilikuwa wa mwanzo kumrai kuwa simulizi nani kaomba mboga na kapewa na nani hazina link ya moja kwa moja na British colonialism. Is it UNSAFE ku-assume kuwa Nyerere hakuwahi ku-share cigarrete na wazee wa Dar? Knowing kuwa alikuwa a good smoker? Mimi nimefanya stara ya kupisha hasira za kaka na baba MS Lakini kama mtu tayari alikuwa anafadhiliwa mboga, why not cigarretes? Mwenzangu anaita kejeli. Kuna kitu tunaita FALSIFICATION TEST juu ya theory yoyote. Nikikomaa kuwa mzee MS u-FALSIFY my claims kwa proofs kuwa Julius hakuwahi ku-bom sigara kwa wazee wa Dar utatoa?

Infact the whole saga kuhusu nani alimpa Julius matango ilikuwa kejeli "chapter" only that the victims were intended. Strange reaction kuhusu sigara. Haya ya TANU "kuzaliwa Burma/Mwananyamala" kisha kuandikishwa kwa wakoloni Dar ni established facts na hayaombewi apologies.

Shukran nguruvi.
 
Dr. kahtaan.

Unanipasua mbavu teh teh teh!
 
Nadhani unatambua kuwa unazungumza na Mohamed Said.

Nina uwezo wa kusoma katikati ya mistari.
Sasa hii si ndiyo hidaya nilopewa na Allah?

Wako wa kuwazuga na ''concepts'' lakini siyo mimi na hili
nadhani uinalijua vizuri sana.
 
penye red; thibitisha hili kuu. bila kuzungukazunguka??
pia unijuze bakwata wale ni wagalatia ama?

k

2013
Inaelekea wewe si mwenyeji hapa jamvini na ndiyo maana unauliza swali kama hilo.

Hebu soma hii kwa mukhtasari itakupa hali na hadhi ya BAKWATA kwenye macho ya
Waislam:

''On 28 April, 1993 bizarre occurrence took place.

In desperation and in its effort to salvage BAKWATA the Minister of Home Affairs and
Deputy Prime Minister Augustine Mrema convened a meeting between Muslims and
Christians at the Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam.

The agenda was not stated.

The Church sent a strong delegation.

Muslims abstained except BAKWATA.

The few Muslims who turned up were there out of curiosity rather than conviction
that the meeting would bear fruits.

When the time for introduction between the two parties came, Muslims refused to
shake hands with the Church leadership.

Mrema addressed the meeting in which in his speech it was revealed that elections
for BAKWATA were long overdue and could not be held because of lack of funds.

The Church volunteered to provide funds to BAKWATA to enable it hold its elections.
The Minister for Home Affairs Augustine Mrema also helped to collect money from the
business community to fund BAKWATA elections.

When eventually BAKWATA met in Dodoma from 10 th -12 th May the guest of honour
was Augustine Mrema.

Instead of conducting elections BAKWATA passed some constitution changes to empower
the Grand Mufti Sheikh Hemed bin Hemed with absolute powers to fireany executive member
without being answerable to anyone.''

2013
Ikiwa hayo hapo juu hayajakutosha sema niongeze In Sha Allah.
 
Nakushukuru Nguruvi. Mzee MS alishanikasirikia bila ku-recall nilikuwa wa mwanzo kumrai kuwa simulizi nani kaomba mboga na kapewa na nani hazina link ya moja kwa moja na British colonialism. Is it UNSAFE ku-assume kuwa Nyerere hakuwahi ku-share cigarrete na wazee wa Dar? Knowing kuwa alikuwa a good smoker? Mimi nimefanya stara ya kupisha hasira za kaka na baba MS Lakini kama mtu tayari alikuwa anafadhiliwa mboga, why not cigarretes? Mwenzangu anaita kejeli. Kuna kitu tunaita FALSIFICATION TEST juu ya theory yoyote. Nikikomaa kuwa mzee MS u-FALSIFY my claims kwa proofs kuwa Julius hakuwahi ku-bom sigara kwa wazee wa Dar utatoa?

Infact the whole saga kuhusu nani alimpa Julius matango ilikuwa kejeli "chapter" only that the victims were intended. Strange reaction kuhusu sigara. Haya ya TANU "kuzaliwa Burma/Mwananyamala" kisha kuandikishwa kwa wakoloni Dar ni established facts na hayaombewi apologies.

Shukran nguruvi.

Wickama,
Mwenye kukasirika ana sherehesha zaidi?

Mwenyekukasirika anafanya kinyume chake na zaidi hapa jamvini wanasema
''anatoa povu.''

Mie si umeona nimekuongezea habari za babu yangu Shariff Mwamedi muuza
kuku pale Kariakoo 1950s na habari za mjomba wangu Bwana Hamisi Salum muuza
machungwa na embe?

Hivi hujatanabai kwa nini nimekuletea taarifa za watu hawa na kukuunganishia na
historia ya Baba wa Taifa?
 
Mohamed Said tulizana muungwana nini kinakupa kimuhe kumshambulia Wickama kwa kurudia yale yanayosemwa kila siku kutoka katika maandiko yako tena kwa dhihaka nawe hukemei?

Umesema TANU ilianzia Burma kosa gani akisema unayoyasema? Tena kasema kuna mzee mmoja aliwahi kudai TANU imezaliwa Mwanayamala kama chimbuko la Mtambiko, kuna shida mtu akieleza sehemu ya historia anayoisikia kama unayoieleza?

Kwanini uamini kuwa historia yako ni sahihi na si ya huyu anayeleta fikra kuhusu uzao wA TANU Burma au Mwanayamala? Nini kinakuchonyota uje juu ka moshi moshi wa kifuu mzee!

Vijana wako wamesema Nyerere kaja kapokelewa, kavalishwa na kalishwa na wazee wa mjini.
Wewe umewahi kusema kuhusu Nyerere kwenda Kariakoo kuomba mboga kwa bahati nzuri akakutana na mzee Mshume Kiyate akamkatia sh 200 ambazo wakati huo zingeweza kujenga nyumba.

Tena vijana wako wanasema Nyerere alilishwa, kulazwa na kuvalishwa na wazee wako.
Nadhani waliangalia picha za kaptura ulizowahi kuweka mtandaoni, maelekezo kuhusu kuhamia chumba kwa Abdul, Mshahara kutoka kwa wazee n.k. na sasa wana 'echo' kauli zako.
Vipi iwe Nongwa Wickama akarudia maneno yale yale kuwaenzi wazee wetu?

Natetemeka sana nikisikia unakuja na toleo lingine la kitabu. Hofu yangu ni maelezo juu ya mama Maria.
Na hivi tumeambiwa chumba alichokuwa analala kwa Abdul, ee mola epusha tusije sikia zaidi, tunusuru manani maana historia ni nzito. Hatujui 'untold' imebaki nini na itakuwaje ikiwa told kutoka kwenye vyumba!

Nguruvi,
Sipendi kusema hili kwa sababu zilizo wazi nahofia watu kusema najipendekeza.

Huyo bi mkubwa unaemtaja ni mama yetu.

Namuheshimu kama mama yangu huenda ikawa kasahau maana ni miaka mingi
imepita...

Aklijuana kwa karibu sana na mama zetu akina Bi Bahia, Mwalimu Sakina, Tatu
biti Mzee, Bi Halima, Bi Mahunda, Hawa biti Maftah na wengine wengi...

Wengi katika hawa wametangulia mbele ya haki.
Mimi naandika na nataka nisomwe.

Nikiandika matusi au maneno ya ovyo wasomaji watanipuuza na kunidharau.

Hata wewe hutopenda kufanya mnakasha na mie kwa kuhofu kuvunjiwa heshima
yako.

Lakini kubwa kabisa mimi nimekwenda kumbini na pia nimefunzwa adabu na mama
yangu.

Zaidi ni Muislam nimefundishwa kuwa kama sina jema la kusema nikae kimya.

Ondoa hofu utasoma maneno ya kijenga historia ya nchi yetu hutosoma karaha labda
kama utakarihika kusikia nasema habari hizi kanieleza shangazi yangu Bi. Sikudhani biti
Salum wa Temeke.

Ngoja tuagane kwa hii.

Siku shangazi yangu kaolewa pale Kirk Street nyumba ya mumewe ilikuwa inatazamana
na nyumba ya Bi Mluguru biti Musa mama yake Abdu Sykes.

Katika kusherehekea harusi Abdu Sykes akatoa bastola yake akawa anapiga risasi juu.

Bi. Mluguru alikasirika sana maana alikuwa anaona kuwa lile ni jambo la hatari na kwa hakika
ile bastola siku nyingi ikimkera sana.

Aliivizia alipoipata siku moja akaitupa chooni.
Mkasa huu kanihadithia baba yangu.

Kuhusu kuwa nimesema Nyerere kaomba nk. nk. unanisingizia na wala sitakupa changamoto
kuwa ulete ushahidi wala sitajitetea.

Maandishi yangu yanajitosheleza.

Ubishi haujengi tuko hapa kubadilishana fikra na si lazima tukubaliane.
Nadhani wa kutulizana kwa hili ni wewe.
 
Gombesugu;

Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?

shukran and enjoyed

Wickama,

Salaam.

Naomba mimi nisiwe "Afande" wako...nafikiri ni uzuri tubaki ma-Comrades tu,ili tuendeleze mnakasha wetu kwa hoja zilo njema na zenye mantik,taadhima na hishma.

Nipo hapa kiduchu,najaribu kupitia yalojiri.

Ahsanta.
 
Kwanza kabisa sijui kwanini mnaniwekea maneno mdomoni kila uchao. Jamani pambaneni na hoja zangu na si kutafuta uchonganishi. Hayo maneno niliyo bold hakuna mahali nimetaja Mohamed Said.

Pili, hakuna tabu historia ikiandikwa hata mara alfu, lakini basi ifanywe hivyo candidly with integrity.
Flip flops and embelishment should not be entertained.

Kuwazungumzia wazee wetu ni jambo jema lakini si ku dissect society.
The discussion(s) should be civil without injecting incendiary or derogatory words.

Wewe Nguruvi3 unadai ninakuwekea maneno mdomoni kuwa umemkejeli mzee Mohamed Said hebu jisome mwenyewe hapa.

By Nguruvi3
Tumeelekeza akili zetu kwatika kufuata watu wenye masilahi yao wengine wakiwa kazini kutafuta mlo kwa machapisho yao.
 
Last edited by a moderator:
Gombesugu,

mimi nadhani content ya article yako ni bora nikabaki kama a very neutral by-stander nayo. Kwa sababu naamini masuala ulioibua especially mazazi ya Julius na witchcraft nayaona yananipa shida kuchangia. kwa vile nayaona kama ni too intrusive into a personal life ya mtu binafsi.

With regards

wickama

Wickama,

Salaam,nimependa umeandika sincerely.

Napenda pia kuchukua fursa hii kiduchu,kukutoa mashaka ati yakuwa mimi nimekasirika au naandika kwa hamaki...hasha,abadan asilan!

Labda nikubali "makosa" yangu kiduchu, yakuwa natumia exclamation mark/s excessively!? Kwa hili nakuomba radhi mno!...lakini hata hivyo najaribu mno kukuwekea na vicheko kwenye mangi ninenayo!?

Wewe ni kati ya watu wachache mno walobaki humu Jf,ninaowaheshimu...ndo maana sikirihiki kukupa majibu mwanana pale inapojiri.

Nisingependa asilan kutumia neno mzandiki/hypocrite dhidi yako,lakini lazim nikubali yakuwa ndugu yangu wakti mwingine unanistaajabisha mno!?

Hivi hayo mambo ya "matambiko"/witchcraft wakti huyo Nguruvi3,anayaanzisha na kujisifia hapa jamvini,tena huku akifanza istizahi na kutuhimiza kumjibu ili amwage huo "mtama" wake...wewe binafsi hukuona hiyo ilikua ni intrusive kubwa mno tena ilovuka mipaka na hata kuingilia mambo ya ndani/mazito ya kidini aka Tawhid!?...ambayo nina hakika huyo Nguruvi3 na hata wewe binafsi itakuwa hizo si anga zenu asilan na wala hamna ujuzi wa kunyambua yayo!?

Pia hukuona kabisa yakuwa ni intrusive dhidi ya personal lives za Wazee Wetu/Masheikh wetu,au Iman yetu...wakti wewe binafsi ukijaribu kunyambua na kumsaidia Nguruvi3 kwa yayo mliyoita ati ni "matambiko"!?

Hukuona ni intrusive na pia ni attack kubwa mno kwa mtu kama Nguruvi3,pale anapoona ati ni "hoja" kuanza ku-question Uislam wa wale Wazee Wetu waliotangulia mbele ya Haki!?....Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'uun!

Wewe binafsi huoni yakuwa hapo nyinyi mlikua mnatoka nje ya mada!?

Pitia post/s uone ni mara ngapi mimi binafsi nimemwambia/nimemstaajabu huyo Nguruvi3,yakuwa kama kweli yeye ni msomi na pia ni "mstaarabu" kama anavyodai,basi ilikua hakuna hata haja ya yeye kujinasib yakuwa ati ana "mtama" from the start!?

Huoni hiyo situation/scenario ndo ilotufanza wengi kuwa na curiosity hapa jamvini!?

Kwa kifupi ndugu yangu,nyinyi binafsi ndo mlokua mna-tread on a very thin balancing act!

Embu rejea nyuma kiduchu tafadhali,uchungulie ni post/s ngapi huyo Nguruvi3 analazimisha sisi tumjibu hizo karaha zake ambazo mwenyewe anaita ni "hoja",kuhusu hayo "matambiko"...tena huku sisi tukistahamili na kukaa kimya,yeye hurejea tena kwa istizahi zaidi na kudai ati tumelikimbia jamvi!? Kwi! Kwi! Kwi!

Technically, huyo Nguruvi3 anadai ati Wazee Wetu hawakuwa Waislam kwa sababu walifanza visomo/tawasul na "matambiko"!? Duh! Kwi! Kwi! Kwi!

Ndo maana kwenye ile post/s yangu ya jana nikakuwekea ile code,yakuwa itakuwaje Najsi ku-qualify na kufikia hata kutoa Fatwa yakuwa kipi ni Halal na kipi ni Haram!?

Sasa kwenye hayo maoni yako,ati unadai sasa hivi unapata shida ya kuchangia haya mauchawi/"matambiko" kwa sababu yamegeukia upande wa Nyerere aka "Baba wa Taifa"!?

Mbona awali ndugu yangu hukupata hiyo dhiki/shida kuchangia ule upande mwingine wa shilingi hiyo hiyo!?

Wakti mkinyumbulisha hayo mauchawi/"matambiko" na kuwachafua Wazee Wetu!?....

Tena huku mki-question Uislam wa hao Wazee Wetu na nafikiri mliwatoa kabisa kwenye Uislam...mpaka pale nadhani Shariff Ritz na Ayatollah Chamviga maskini ilipowalazim kutoa Fatwa hapa jamvini ya kuwarejesha!? kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi,pamoja na yoote, nyinyi mlichokua mnakifanza labda bila kujua au kwa makusudi;ni kuwa potray wale Wazee Wetu ni kama vile ati ni watu dhalili,duni/primitives,na yule Nyerere wenu ati ndo "msomi","mstaarabu"/"westernized"...na ati yeye ndo alokua anafuata maadili ya dini yake ya Ukatoliki kwa adabu na utuvu!?

Ndo pale iliponilazim kuingilia kati na kukupa "khabar Al yaumy" kiduchu.

Na yale nilokwambia ni kiduchu mno,hayafiki hata thuluthi ya yale niyajuayo tena kwa undani mno,mangine hayafai hata kuthubutu kuyaweka humu mitandaoni au kumwambia yeyote!

La muhimu,nakusihi ndugu yangu,turejeeni tena kwenye mada na kubadilishana mawazo bila ya kujali utafauti wa opinions zetu na itikadi zinavyotafautiana.

Pia nachukua fursa hii kumshukuru tena Sheikh Mohamed Said,kwa upambanuzi wake uso shaka.

Nafurahika mno kila nikusomapo,na nimefurahi umenitajia Pangani kwenye mojawapo ya posts zako hapa.

Kama ni kweli uko Pangani,basi kagonge hodi nyumbani kwa Bwana Ali Masomaso,ni mfanyibiashara maaruf mno pale na kitambo aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya.

Wewe jaribu kumuuliza je wamtambua Shariff Nganganga ambaye ni mjukuu wa Shariff Simba wa Mauya aka Gombesugu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Khalaf,muulize huyu jamaa anafanza jitihada zipi hapa wilayani na kwingineko,na Wazee wake walifanza nini kabla huyo Mjarumani hajatia maguu yake Tanganyika hii!?

Pia muulize akukhadith kiundani,mambo,harakati,muhanga uso kifani na fadhila kwa yule Nyerere binafsi,alivyofanziwa na Wazee wetu!?

Khalaf,muulize akukhadith ni vipi huyo Nyerere alivyowafanzia Wazee Wetu baada ya kupata madaraka!?...mwambie pia akukhadith kiundani kuanzia zile nakma zoote aka "Azimio la Arusha","Sera ya Vijiji vya Ujamaa" na kumalizia na ile "Uhujumu wa Uchumi" jinsi zilivyoadhibu,kudhulumu na kutesa Wazee Wetu!

Mwambie pia akukhadith kwa utuvu pia,jinisi gani Nyerere huyo huyo,baada ya kumchokoza yule Idd Amin na kuanzisha vita...ni magari mangapi lorries/buses alikuja kutupora pale Pangani peke yake,ili kwenda kumsaidia ati kupigana na Idd Amin!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani haiingii akilini asilan,watu walewale unaowapiga vita miaka yoote na kuwapora mali zao zoote,tena waliokusaidia kwa hali na mali kupata hayo madaraka...khalaf umechokoza/umeanzisha vita pahala,unapigwa,khalaf unarejea tena kuzidi kuwapora tena mali zao ili kuzidisha dhulma zako!? Duh! Nyerere sina hamu nae!

Kuna mangi yakunena,wala sikutaka asilan kwenda mbali,lakini naona ulinipachikia kwenye mojawapo ya post/s zako yakuwa niache "uvivu" na nende Pangani nikajenge Shule/Skuli!? kwi! Kwi! Kwi!

Khalaf pia humu humu Jf,niliwahi kupitia baadhi ya thread/s nikaona Nguruvi3,akisifia ati watu wa kanda ya ziwa walivyojitolea kwa hali na mali kumsaidia Nyerere na ile vita yake!?...sikuona asilan ni wapi alitaja michango kama hiyo pia iliyotoka hata mikoa yoote ya Pwani/Mwambao na Zanzibar!? Kunani!? Kwi! Kwi! Kwi!

Marehemu Babu yangu wakti wa uhai wake maskini,akitembelea mkoa wowote wa Pwani/Mwambao...basi hata kama alikua hajawahi kufika huko/hiyo sehemu,lakini akikutana na mtu yeyote njiani,yeye atakua ndo wa mwanzo kumsaili yule mtu hata kama ndo mwenyeji na amezaliwa pale!? Na suali lake kubwa itakua,je wewe ni nani mwenzangu,maana kama itakua si ndugu yangu basi utakuwa ni mtumwa wangu!? Kwi! Kwi! Kwi!

Inna Lillahi, bila hata tone ya shaka,tunajua kwa yakini yakuwa,Wazee Wetu walikua ni wakarim mno,wasomi,wenye maarifa,waungwana,majasiri na wenye bashasha mwanana maskini!

Shukran kwa kunisikiza huo uchechefu wangu japo kiduchu,niwie radhi kwa huo urefu wa mazungumzo.

Lakini kama usemavyo...tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta.
 
Point kaka. Watasema na nchi nyingine kulikuwa na Nyerere!!! Kiukweli muslims wana uwezo wa kutawala nchi ambayo ni ya waislam peke yao ila hawana kabisa uwezo wa kutawala nchi yenye imani tofauti labda kama wanatawala kwa mujibu wa katiba inayowalinda watu wa dini zote.
 
Wewe Nguruvi3 unadai ninakuwekea maneno mdomoni kuwa umemkejeli mzee Mohamed Said hebu jisome mwenyewe hapa.

By Nguruvi3
Tumeelekeza akili zetu kwatika kufuata watu wenye masilahi yao wengine wakiwa kazini kutafuta mlo kwa machapisho yao.
Wapi katajwa Mohamed Said? Badala yake nimeeleza 'tumeelekeza..' nikimaanisha sisi. please acheni spinning.
 
Back
Top Bottom