sokwe mjadala huu hauna lengo la udini kwa maana ya kubagua! La hasha.
Lengo la uzi huu ni kujaribu kuwapa haki sawa Wale MASHUJAA WOTE WALIFANIKISHA KUTULETEA UHURU KTK NCHI YETU!
Suala ni moja hapa!
Unapoongelea pirika za kupigania uhuru basi HUNA BUDI KUYATAJA MAKANISA NA MISKITI KTK HISTORIA HII.
Na hili linatokana na harakati hizo kufanywa na watu waliokuwa na imani hizo na pirika hizo kupitia ktk miskiti na makanisa!
Tatizo ni kwamba historia halisi IMEBATILISHWA!
Na kilicho batilisha historia hio ni mfumo mmoja unaotutafuna hapa TZ ULITWAO "MFUMO KRISTO"!
Hakuna ubaya wwt kutaja wapiganiaji wa uhuru wetu kuwa walikuwa ni waislamu au wakristo au wapagani!
Ubaya unakuja pale ambapo utataja imani hizi ili kuonyesha kuwa IMANI YAKO BORA KULIKO NYINGI KTK KUPIGANIA UHURU HUO!!
NA NDICHO ALICHO KIFANYA NYERERE!
Na kama umefuatilia mnakasha huu. Maalim
Mohamed Said anajaribu kuuelezea ummah ya kuwa SI WAGALATIA PEKE YAO NDI9 WALIOSHIRIKI KTK PIRIKA HIZO!
LA HASHA! Na WAISLAMU PIA WALIKUWEMO LKN MFUMO KRISTO CHINI YA NYERERE UNAJARIBU KUMUONYESHA NYERERE PEKE YAKE KUWA NDIO SHUJAA!
Na utaona kuwa kuna wenye elimu ndogo wapo humu kuugeuza huu uzi kuwa ni wa kidini na SIO UZI UNAOTAKA KUONYESHA HISTORIA HALISI!
I will give you an example:-
We all know that "GURKAS" MOST OF THEM ARE BUDIST.
Why when there was a demonstration in london regards the "GURKAS" who fought alongside british army since second world war TO BE RECORGNISED,
NOBODY SAYS THAT WAS A RELIGIOUS DEMONSTRATION?
How come today when someone decided to show that MUSLIMS DECERVE TO BE RECORGNISED IN TANZANIAN FREEDOM HISTORIES THAT PEOPLE LIKE YOURSELF THINGS "ITS RELIGIOUS BASED THREAD?? WHY??
The only way I can conclude here is PEOPLE ARE JELOUS!
JELOUS OF KNOWING THAT MUSLIMS DID ENDEED PLAY A BIG PART IN TO THE STRUGLE TOWARDS OUR INDEPENDENCE.
Hakuna mtu kasema waislamu ni mahodari kuliko wagalatia!
Au ni wao tu ndio walioshiriki peke yao!
Historia iandikwe kwa haki!
Thats all brother!
And when that happen, we can all chill and relax and may be you guys can drink that dodoma wine and we can have our sharbati and faluda as always!
Teh teh teh teh.