kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Wanajamvi. Amani ya mungu iwe juu yenu wote!
NAOMBA RADHI.
Mi nataka kutoka nje ya mada kidogo.
Unajua toka mwanzo bwana Nguruvi3 na mwenzake Mag3 wamekua wakipeenda sana kutumia maneno kama "inshallah" jazakallah" assalamu alaikum" na meengi ambayo kwa.watu wasio wajua unaweza kupumbaika Wakadhani hawa na WAISLAMU!
Kumbe maskini za mungu bado wako ktk ukafiri!
(Tafadhali msiseme ukafiri ni kashfa! La hasha! Hiki ni cheo)
Sasa mi ushauri wangu ni kuwa, kwa nini wasiingie jumla tu! Wakawa na wao ktk mufaizuun! Tena hasa huyu Nguruvi3 manake wabondei kumfundisha quraan ni kazi ya ziada lkn huyu anaonekana amekaa sana na wadigo! Zile lahja za kiislamu anazo tena kwa wingi tu!
Sasa mimi bwana Nguruvi3 nakukaribisha ktk UISLAMU bwana!
Huku kaka hakuna cha kubatizwa wala kunyweshwa sijui damu ya bwana wala ya mwana!
We ikifika ramadhani si unaona mwenyewe!? Mambo ni faluda. Mihamri. Vibibi, futari za nazi. Na mengi mengineyo!
Wachana na hayo ma kitimoto na uchafu mingine.
Au unasemaje?? Hata kama hujatiwa sunnah (hujatairi) unakaribishwa hivo hivo!
Tutakutahiri mbele ya safari.TENA BURE!
Na kama huna jiko! Basi nasema hadharani hapa kuwa gharama za harusi juu yangu.
Haya ofa hio utaikubali??

Last edited by a moderator: