Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Maulana Dr Kahtaan,

Walayka Salaam,Al Akhiy...niwia radhi maana hatujateta kitambo,lakini dharuba zako naziona hapa jamvini! Kwi! Kwi! Kwi!

Nipa fursa nikuamkue japo kiduchu ewe Maulana.

Pia nipilizia salaam zangu kwa Maulamaa na Waungwana woote wa barza hii, wenye kumfanza mpaka Nguruvi3,kufikia kutoa matozi! Kwi! Kwi! Kwi!

Mpeni dosage kiduchu kiduchu tu,maana mkidunga dose kubwa mtamtoa roho maskini,khalaf tutapata wapi comedian mwingine!? Kwi! kwi! Kwi"!

Huyo jamaa yako kwanini hivi akiitwa "Mpiga Chabo" aka Eiyer!? Kwi! Kwi!

Nilikua namsubiria Bwana Mkubwa Mag3...lakini naona mpaka wakti huu hajatokea au labda kampeleka yule Nguruvi3 huko ICU,maana nasikia hali yake taabani! Kwi! Kwi! Kwi!

Ati alijaribu kutaka kuiingia mipini mizito ya Sheikh Mohamed Said bila ya kuvaa helmet!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Alhabib alkhyi gombesugu wallahi I always admire you words of wisdom.

Na hawa makanjanga wanapotoa maneno ya kebehi kwa mzee mohamed saidi wanadhani watu hawaoni!
Halafu wakipewa asprin tu wanalia mpaka jirani waamke!
Haya vipi kama tutawashindilia sindano ya uti wa mgongo!!? Si ndio watapiga kelele mpaka kiama!
Teh teh teh!

Akhiy napenda kuwa na ndugu zangu wote! Masaa yote ktk mnakasha huu basi ni hizo pirika za dunia!

Nawashkuru maulamaa wote wakiomo humu wanaotufunza mambo meengi sana! Na pia kuwatia adabu hawa wagalatia pale wanapodhani hapa ni kanisani!
Jazakallahu khairan jamiiaa!
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3 anachokoza vita na watu kisha anakimbilia kwako kujikinga na kuyakwepa makombora,

Anasema Tafadwali Tafadhwali Moh Said wakanye ndug zako waache kunitia majiti yao ya moyo,
Anapaswa kutambua kuwa sisi vijana wako hatupo hapa kukusemea wewe wala kukupa backup ya iana yyte ile,sisi tupo hapa kusoma na kupata ilmu,sasa tukiona kuna watu wanaleta uhun uhuni kisha tukawajibu uhun uhun anakimbilia kwako kufanya nin??kwan wewe ndie umewatuma??

KUNA MSEMO FULANI NISHAWAHI KUUSKIA KUTOKA KWAKO MOH SAID UNASEMA KWAMBA "AKUTUKANAE KILABUNI NAWEWE MTUKANE HAPO HAPO KILKABUNI ASIJE BAADAE AKASEMA OOH MIMI NILIKUWA NIMELEWA""

Hiki ndicho kinachofanyika,kama anataka kuona mfano mwema wa mafunzo ya uislam si akutizame wewe?pamoja na matusi,kejeli na dharau chungu tele unazopewa na jamaa zake keshawahi kukiskia wewe ukijibu wala kuwatusi??ashawahi kukona wewe ukiwadharau na kuwakejeli?? tuseme ukweli Nguruvi3
Kama maneno hayo kayasema Mohamed Said utakuwa umemjibu. Mohamed umesikia ?

Mimi siumizwi na majiti ya roho kwasababu mjomba alishaniambia kuwa nikitaka kuwa na maadui nichague ukweli. Nimechagua ukweli kwasababu unaniweka huru.

Sikimbilii kwa Mohamed, ninachotaka ni kunasihi kuwa utetezi wa historia yake kwa maneno kama 'sunna' na yale yasiyoandikika yanawatoa wasi wasi hata wachache waliodhani kuna kitu.

Kinachonichoma ni matumizi ya dini katika hali dhalili. Sijui kama kuna miongoni mwenu anayeweza kunipa uhalali wa hadithi, sunna au aya zinazoeleza mitume waliotangulia walieneza dini kwa matusi.
Kama hakuna ninyi mnayapata wapi? hilo ndilo jiti la roho si Nguruvi.

Mimi sijibu hoja za matusi kwasababu hazilingani nami kwa umri, hishma na adabu wala utu. Hayo nawaachieni.
Endeleeni kadri yenu umma unasoma unaelewa nani anazungumza nini, nani ana sense na nani ni juha,

Mimi nitaendelea kutoa dozi ya weledi, hiyo ndiyo fadhila.
 
Al Shabab na Qaeda ni Muslim world Peace tupo Pamoja kwa Hilo Boko Haram

Kimwari mlajana! Naona unapayuka kama umekula kungu na kubeli!

Watu wanajenga hoja! We unapiga vigeregere!
Hapa sio mahali pake! Ziko rusha roho huko kwenye yale mambo yenu ya kiswahili.
Hapa yataka elimu ghali! Tena iliyo tulia kabisa!
Hebu kafanye homework kidoogo halafu ingia tena kwa mguu wa kulia.
 
Kama maneno hayo kayasema Mohamed Said utakuwa umemjibu. Mohamed umesikia ?

Mimi siumizwi na majiti ya roho kwasababu mjomba alishaniambia kuwa nikitaka kuwa na maadui nichague ukweli. Nimechagua ukweli kwasababu unaniweka huru.

Sikimbilii kwa Mohamed, ninachotaka ni kunasihi kuwa utetezi wa historia yake kwa maneno kama 'sunna' na yale yasiyoandikika yanawatoa wasi wasi hata wachache waliodhani kuna kitu.

Kinachonichoma ni matumizi ya dini katika hali dhalili. Sijui kama kuna miongoni mwenu anayeweza kunipa uhalali wa hadithi, sunna au aya zinazoeleza mitume waliotangulia walieneza dini kwa matusi.
Kama hakuna ninyi mnayapata wapi? hilo ndilo jiti la roho si Nguruvi.

Mimi sijibu hoja za matusi kwasababu hazilingani nami kwa umri, hishma na adabu wala utu. Hayo nawaachieni.
Endeleeni kadri yenu umma unasoma unaelewa nani anazungumza nini, nani ana sense na nani ni juha,

Mimi nitaendelea kutoa dozi ya weledi, hiyo ndiyo fadhila.
Nguruvi3 Lahja zako zimabadilika kama kinyonga!
Ghafla imekuwa wewe ni kutugawia mawaidha sasa!
Teh teh teh teh!
Nadhani nilishakwambia huko nyuma "uungwana vitendo"
We unajua fika kuwa Mohamed Said anajaribu kuepuka na pia hawezi kujibu kashfa unazotoa! Na hii ni kwasababu ni mzee mwenye heshima kubwa ktk jamii yetu, na Alhamdulillah anajitahidi kutunza heshima yake!
Wewe na hao wenzako huenda vizuuuuri na mnakasha! Halafu ghafla! Unaanza kashfa na majungu.

Mi sina haja ya kukuonyesha uyasemayo!,. Tizama mwenyewe nyuzi zako. Unapokuwa mstaraabu mimi wala hunioni kabisaaa nikisema "A" wala "Ba"!!
Napata faida tu kutoka kwa al muallim Mohamed Said !
Ukijisahau tu ukaanza ule ukhabithi wako bassi mimi na maulamaa wengine waliomo humu itabidi utuwie radhi!
Manake waislamu hakuna ile ya "akupigae shavu la kushoto! Mpe la kulia LA HASHA!
Waislamu NI JICHO KWA JICHO!
PUA KWA PUA. ndio mwendo tunao kwenda nao!

Sasa endelea na hoja, naona umeshajifunza kidogo!

Yaa aba jahl Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Kama maneno hayo kayasema Mohamed Said utakuwa umemjibu. Mohamed umesikia ?

Mimi siumizwi na majiti ya roho kwasababu mjomba alishaniambia kuwa nikitaka kuwa na maadui nichague ukweli. Nimechagua ukweli kwasababu unaniweka huru.

Sikimbilii kwa Mohamed, ninachotaka ni kunasihi kuwa utetezi wa historia yake kwa maneno kama 'sunna' na yale yasiyoandikika yanawatoa wasi wasi hata wachache waliodhani kuna kitu.

Kinachonichoma ni matumizi ya dini katika hali dhalili. Sijui kama kuna miongoni mwenu anayeweza kunipa uhalali wa hadithi, sunna au aya zinazoeleza mitume waliotangulia walieneza dini kwa matusi.
Kama hakuna ninyi mnayapata wapi? hilo ndilo jiti la roho si Nguruvi.

Mimi sijibu hoja za matusi kwasababu hazilingani nami kwa umri, hishma na adabu wala utu. Hayo nawaachieni.
Endeleeni kadri yenu umma unasoma unaelewa nani anazungumza nini, nani ana sense na nani ni juha,

Mimi nitaendelea kutoa dozi ya weledi, hiyo ndiyo fadhila.

Nguruvi3

Hauoni kama unamuangusha mjomba wako akisoma maneno yako humu jamvini na umma unazidi kukuona juha.

Ulipata wapi uhalali wa kuwaita wazee wetu kuwa walikuwa "Madhalim" wakubuwa na hili umelisema mara nyingi tu.

Dini gani kwako inakufundisha kutuita sisi "Stupid"

Weledi gani wa dozi uliokuwa nao mtu mzima kusema uongo na kuzuwa mambo ili unachokitetea kipate hoja, umesema uongo mwingi ambao ni haram kwenye dini zote na unautetea eti Mohamed Said alikuwa Bakwata, unaulizwa alikuwa Bakwata lini mwaka gani majibu hautoi unaishia kusema umetukanwa.

Hujue mjomba anakusoma unachokiandika umemuangusha sana, juzi umesema Waislam ambao walikuwa kwenye kamati ya mradi wa Darul Islam Kibaha wamekula pesa na ushahidi unao, ni dhambi kubwa kuwazushia watu wamekula pesa, umefahamishwa na Mohamed Said kuwa mradi huo ulipelekwa Zanzibar kukajengwa Chuo Kikuu, kwa faida ya wanajamvi tumekuambia weka huo ushahidi wa pesa zilizoliwa hauna watu wakikujibu unasema unatukanwa.

Msalimie mjomba mwambie naendelea kusimamia ukweli.

Unavyoandika hapa ndivyo unavyoandika kule kwenye jukwaa lako la great thinkers kaa chini kisha jiulize.
 
Last edited by a moderator:
Sijapanic kwa sababu yeyote nyie ujinga wenu mkiulizwa kitu kingine nyie mnakuja na majibu tofauti... siku mkielimika na mkawa na majibu sawia ya maswali husika mbona tutaelewana sana... kuitwa kwenu magaidi ni kwa ukaidi wenu pia Dunia ikienda hivi nyie mnakuwa tofauti.. ila ni sababu ya Mafundisho yenu kwenye Dini zenu ambayo haiwezi kuapply kwenye Dunia hii ni Maka tu ndio pengine yawezekana... nje ya huko ni mmekuwa mnafanya fujo tu kwa kutoelewana na Watu wa Dunia... mmebakia kuita watu Makafiri huku mkijua maana yake.... kuwa ukimuta mtu hivyo na huku wajua ana imani ya Mungu aliye hai unakuwa wewe ndie kafiri.... Mie na wish mbakie hivyo hivyo mpotee kabisa

Teh teh teh teh!

Eehhh mwana mtoka pabaya we!
Hizo ngonjera hapo juu ndio maswali hayo??
Amma mtoto wewe sio rizki!!

We inaonekana hivi hivi elimu nehiii!
Na maarifa yyt yale Aujo nehii!
Na bahati mbaya hata yale mafunzo ya dunia pia yamepitia kushoto!

Ngoja nikufundishe kidoogo MAANA YA KAFIRI!
manake hio ya kwako UMETUNGA WEWE!

SISI HATUWAITI NYIE MAKAFIRI KWA UTASHI WETU! LA HASHA.

Tazama maandiko Matakatifu yanavyosema!

QURAN 5:72-73.

Hakika-WAMEKUFURU-walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!-Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.-

TAFSIRI:

Wenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu yu katika Isa bin Maryam hata akawa yeye Mungu, kama wasemavyo Wakristo hii leo, hakika wamekufuru!

Yeye Isa hana dhambi ya haya, kwani hakupata kudai hivyo hata mara moja.

Bali yeye aliwaamrisha Wana wa Israili wamsafie imani Mwenyezi Mungu peke yake kwa kusema: Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye niumba mimi na nyinyi, na ndiye anaye niendeshea mambo yangu yote, na kwamba kila mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu malipo yake ni kuwa hatoingia Peponi kabisa, bali ataingia Motoni, kwa kuwa amekiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kuvunja mipaka yake hataepuka na adhabu

.(Yesu kasema: "Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30

"Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )-

Quraan 73.
Kwa hakika-wamekufuru-walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu.
Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.-Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale-wanao KUFURU.

-TAFSIRI:

Haiwi mwenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu ni mmoja katika Utatu, kama wadaivyo Wakristo sasa, awe anamuamini Mwenyezi Mungu.!!

Na hakika iliyo thibiti ni kuwa hapana mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja pekee. Na ikiwa hawa walio potoka hawatoacha itikadi zao potovu, wakarejea kwenye ut'iifu wa Mwenyezi Mungu, hapana budi ila itawasibu adhabu kali. (Biblia inasema kuwa ya kwanza katika Amri Kumi alizo pewa Musa ni: "Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20.3.

"Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa Bwana ndiye Mungu, hapana ila yeye." - Kumbukumbu la Torati 4.35.

Katika Injili ya Yohana 17.3 Yesu anamsemeza Mwenyezi Mungu: "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma.")-

Kwa hiyo malaleo tunawaita MAKAFIRI kwa sababu miongoni mwenu mnamwita Yesu kuwa ni Mungu na miongoni mwenu mnasema kuwa Mungu ni wa tatu wa utatu.

Nadhani ukisoma kama mara nne au tano utaelewa tu inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Mlaleo,leo umekula nin ndug yangu??
Mbona unakwenda mbele kisha unarudi nyuma??

Naona hapo sasa umejijibu mwenyewe,kama uislam ungekuwa unaamrisha vurugu na matatizo kwanin tusingeziona pale kwenye kitovu haswa kama makah??wewe hujiulizi tuh??

Ni watu gani wa dunia tusioelwana nao??waislam wapo dunia nzima,.au wewe unapumbazwa na propaganda na marekani na vurugu zake anazozifanya huko middle east?au wewe unadhan ya kwamba huko middle east hakuna ukristo na wakristo??stuka achana na propaganda zilizopitwa na wakati,

Nimemuuliza jamaa yako pale juu naona kakimbia,naomba basi nawewe unipe majibu,mbona mmeweka miwan ya giza usoni??

Nakuuliza Joseph kony pale uganda ana karne nyingi sana anapigana vita msituni huku akichukuwa watoto wadogo na kuwaingiza kwenye mafunzo ya kijeshi ili akasimamishe amri kumi za mungu huku akiishia kubaka kina mama,kuua wanawake na watoto na kusababisha wakimbiz,je ni muislam yule??

Mbona unamkwepa kumzungumzia kwamba mafundisho yake ndiyo humpelekea kufanya vile??

Na sijaribu kumfananisha na uislam,kwan kwetu vitu kama hivyo havipo isipokuwa ni ujinga wenu wa kumeza kila mnachoambiwa na marekan na washirika wake,pole sana

Wewe hutaelewa hata ufundishwe na mtume wako acha binadamu,amri kumi za Mungu zipo hadi misikitini na mnazitii,hakuna haja kupigania.Soma vizuri interest za Kony acha unafiki wa hoja
 
Wewe hutaelewa hata ufundishwe na mtume wako acha binadamu,amri kumi za Mungu zipo hadi misikitini na mnazitii,hakuna haja kupigania.Soma vizuri interest za Kony acha unafiki wa hoja

We mwenye kuelewa unaifahamu AMRI YA KWANZA INASEMA NINI?
Ngoja nikufundishe kidogo!

INASEMA;-

Usiwe na miungu mingine ila mimi." - Kutoka 20.3

Sasa hio Miungu mitatu mmetoa wapi??

Nyie ni waongo tena mnafanya ukafiri mkubwa. ambao mnamsingizia mpaka Mungu uongo!

Hata haya hamuoni! Kusema kuwa mungu ni mzungu.

Mnfnsssssssssssssss!

Laanatullahi alal kafiriin.
 
Nguruvi3,

We are sick and tired of listening to your old songs and pathetic arguments,on and on and on,almost daily!?

Yet despite all the evidences,despite all the history,probably you don't realize that you take pleasure in breaking and torturing the Muslim!?

Your argument/s is a pile of shit...as usual,no statistics provided,no datas,no evidences just a loads of sarcasm and absurdity moulded within ill-informed opinion.

But most importantly,you always discourage any historical facts and background checks to those areas you love to mention..."Machame Vs Mkuranga"!?

Who do you think you are talking to!?

You don't want't to be disturbed,you don't want to hear Muslims suffering on their own society...that's you Nguruvi3!

You are too busy with distractions,you are too busy discussing everything else...basically,you wear the uniform of brutality and swear allegiance to the Beast MfumoKristo, with the excuse that you have to make a living and you are trying to be happy and have a good time right next door to the place where heinous crimes against Muslims are going on!?

Doesn't that behaviour qualify you to be deemed a indifferent soul as well!?

You are all part of a cult reptillians aka Chadema. I have no more respect for you and your seeds of hatred than the shit on my shoe.

Seeing that there's no recorded history of any effort being made to systematically repair Muslims,it therefore means that the Muslim you see today is still not himself.

He/She is broken creature, that is the product of Nyerere and his evil MfumoKristo and therefore Muslims living well below their full potential.

Aside from making Christians advance,that was the central objective and achievement of MfumoKristo,and it explains the Muslim's present inadequacy to elevate himself/herself from his/her present menial position.

If it took Nyerere and his evil MfumoKristo decades to drive Muslims into this predicament,it is going to take some time and sustained effort to drive us out of this misery.

The MfumoKristo is not going to do the repairs.

Infact, MfumoKristo is hoping to keep Muslims un-repaired as long as possible.

Our history,the history of Wazee Wetu,their struggle and sacrifices,must be planted,cultivated,nurtured and carefully watered by the process of education.

But,but, the victims(Muslims) of this long mind -benumbing process that has continued for decades, must first come to the realization that behaviour and personality that she/he is calling "normal" today, is really nothing more than long unnatural colonial/slave habit made normal and invisible to self-examination by time.

I was raised with the notion that it was ok to ask questions,and it was ok to say,I'm not sure.

I don't believe about spending the eternity with people who cannot stand the company of others and even refuse to share and dispense justice.

Your argument/s is fraud and to even assume that you have any ounce of moral leadership within,is total insanity.

Nguruvi3
,I know now, that how much you love to glamourise your intellectual background...but listen to me now,ok!?

Your shit college degree(if you hold one though!? Kwi! Kwi!) represents a four year prison sentence in which you are primed for a life-time of wage-slave hustler and hatred.

I've been making a list of the things they never teach you at Sunday Schools;

  • They don't teach you how to revolt against bad system.
  • They don't teach you how to think.
  • They don't teach you anything worth knowing.

The likes of you,have no "glue" and they called themselves to be educated enough,really!? Kwi! Kwi! kwi!

You are dumb down into hatred and indoctrination by people like Nyerere and his evil Ujamaa ideology aka MfumoKristo.

Ahsanta.
Nguruvi3

Qur'an 2:6 to 2:18
2_6.png
Sahih International
Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.
2:7 to top

2_7.png
Sahih International
Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.

2:8 to top

2_8.png
Sahih International
And of the people are some who say, "We believe in Allah and the Last Day," but they are not believers.

2:9 to top

2_9.png
Sahih International
They [think to] deceive Allah and those who believe, but they deceive not except themselves and perceive [it] not.

2:10 to top

2_10.png
Sahih International
In their hearts is disease, so Allah has increased their disease; and for them is a painful punishment because they [habitually] used to lie.

2:11 to top

2_11.png
Sahih International
And when it is said to them, "Do not cause corruption on the earth," they say, "We are but reformers."

2:12 to top

2_12.png
Sahih International
Unquestionably, it is they who are the corrupters, but they perceive [it] not.

2:13 to top

2_13.png
Sahih International
And when it is said to them, "Believe as the people have believed," they say, "Should we believe as the foolish have believed?" Unquestionably, it is they who are the foolish, but they know [it] not.

2:14 to top

2_14.png
Sahih International
And when they meet those who believe, they say, "We believe"; but when they are alone with their evil ones, they say, "Indeed, we are with you; we were only mockers."

2:15 to top

2_15.png
Sahih International
[But] Allah mocks them and prolongs them in their transgression [while] they wander blindly.

2:16 to top

2_16.png
Sahih International
Those are the ones who have purchased error [in exchange] for guidance, so their transaction has brought no profit, nor were they guided.

2:17 to top

2_17.png
Sahih International
Their example is that of one who kindled a fire, but when it illuminated what was around him, Allah took away their light and left them in darkness [so] they could not see.

2:18 to top

2_18.png
Sahih International
Deaf, dumb and blind - so they will not return [to the right path].
 
Last edited by a moderator:
Wewe hutaelewa hata ufundishwe na mtume wako acha binadamu,amri kumi za Mungu zipo hadi misikitini na mnazitii,hakuna haja kupigania.Soma vizuri interest za Kony acha unafiki wa hoja

Ndio zipo na tunazitii,

Sasa kwanin Kony anazitumia kwa mrengo wa hovyo kisha hatuon nyinyi mkikemea?

Mmekomaa kunyoosha vidole upande wetu na kuangalia vibanzi vyetu na kuacha boriti zenu machoni mwenu??

Si,umemskia jamaa yako pale juu anatuita magaid kwa kumeza propaganda za AMERICA why wewe unakuwa mkali tunakuelezea uhalisia na kukupa mfano mdogo tuh huu kama wa Joseph Kony?
 
Mie ninao ushahidi kama Kagame, Museveni, Kabila, ni Wakristo safi.

Kabla sijakuwekea huo ushahidi tuambie wewe kama siyo Wakirsto ni dini gani?
kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa hawa wakia museven, kabila, kagame, wanapigana vita kwa kigezo cha ukristo sio?
tujuze....
ili tuweze ku-compare na alshababu wanoua hadi watoto kwa kigezo cha kutekeleza dini ya uislamu inavyoagiza.
 
Tatizo la kurukia post na kujibu bila kufahamu hoja.

Wewe umesema hao marais siyo Wakirsto nimekuambia tufahamishe dini zao umerukia Al-Shabaab.
 
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh shekh mohamed said tafadhali kama ukiwa na wasaa naomba unifahamishe kuhusu Ceci Matola mchango wake na adhari yake katika harakati za ukombozi wa taifa letu katika AA.
 
Last edited by a moderator:
MrNSSF vipi hebu tupe matokeo ya Mfumo Kristo huko

Kama kweli dhamira yako ni mazungumzo ya "kisomi",kiungwana na ustaarabu...tafadhali pia jitahidi mno kupunguza kuruka ruka nje ya mada kila mara. Kwa kifupi hutulizani asilan, unani!?

Kama umeamua kuzamia kwenye masuala ya minyambulisho deep ya kidini,nakusihi tafadhali fungua thread nyingine,na nakuhakikishia nasi tutakufuata huko huko Insha Allah.

Kama unalazim pia ya kuzungumzia hayo masula ya NSSF pale kwa Al Duktuuri R. Dau,ni vyema...maana tunafahamu yakuwa yeye ndo mwiba wenu nyie wana Chadema/Wakristo...na hamwishi kumchafua mitandaoni!?

Lakini kwanini pia tusianzie na statistics za pale TRA,Immigration yoote,kuanzia pale HQ yao mpaka kwenye kanda/mikoani kote.

Pia tujaribu kupitia kwenye hilo Jeshi la Magereza kwa Kamishna/Kamanda Bwana Minja...tuangalie statistics za takriba uongozi woote wa ngazi za juu na Idara zake!?

Tafadhali njoo/tuletee hizo takwimu hapa jamvini,khalaf na takwimu za huko NSSF,ndo mazungumzo na mlinganio wetu utaanza uzuri na kwa ustaarabu!?

Huo ndo MfumoKristo at work!...kumbuka yakuwa hizo sehemu/idara nilokutajia ni baadhi tu ya sehemu nyingi mno ya Serikali yetu ambapo kumetaliwa na huo MfumoKristo.

La huwezi fanza hivyo,jaribu kutulizana na kupunguza kibri na ujuvi uso haja.

Shukran kwa kunisikiza huo uchechefu wangu japo kiduchu.

Ahsanta.

Cc;Mwana Mtoka Pabaya
 
Nguruvi3

Hauoni kama unamuangusha mjomba wako akisoma maneno yako humu jamvini na umma unazidi kukuona juha.

Ulipata wapi uhalali wa kuwaita wazee wetu kuwa walikuwa "Madhalim" wakubuwa na hili umelisema mara nyingi tu.

Dini gani kwako inakufundisha kutuita sisi "Stupid"

Weledi gani wa dozi uliokuwa nao mtu mzima kusema uongo na kuzuwa mambo ili unachokitetea kipate hoja, umesema uongo mwingi ambao ni haram kwenye dini zote na unautetea eti Mohamed Said alikuwa Bakwata, unaulizwa alikuwa Bakwata lini mwaka gani majibu hautoi unaishia kusema umetukanwa.

Hujue mjomba anakusoma unachokiandika umemuangusha sana, juzi umesema Waislam ambao walikuwa kwenye kamati ya mradi wa Darul Islam Kibaha wamekula pesa na ushahidi unao, ni dhambi kubwa kuwazushia watu wamekula pesa, umefahamishwa na Mohamed Said kuwa mradi huo ulipelekwa Zanzibar kukajengwa Chuo Kikuu, kwa faida ya wanajamvi tumekuambia weka huo ushahidi wa pesa zilizoliwa hauna watu wakikujibu unasema unatukanwa.

Msalimie mjomba mwambie naendelea kusimamia ukweli.

Unavyoandika hapa ndivyo unavyoandika kule kwenye jukwaa lako la great thinkers kaa chini kisha jiulize.

Shariff Ritz,

Al Jumaa Kareem!

Nipa fursa kukuamkua japo kiduchu, Al Habiby.

Hiyo bayana yako hapo ni mubashar,nami sitathubutu kuongeza lolote wala chochote.

Nafikiri huyo Nguruvi3,hivi sasa labda atakufahamu kwa undani zaidi na pia labda Insha Allah atajaribu kujirekebisha.

Ahsanta.
 
Teh teh teh! Kumbe mfuasi wa Chadema ndiyo maana anautukana Uislam.

CC: CHAMVIGA gombesugu Mag3 Nguruvi3

Shariff Ritz,

Jaribu kumpa salaam Muheshimiwa "Dr" Slaa,mwambie yakuwa jamaa wengi wanamtafuta mbona anazima simu yake/zake za kiganjani siku hizi na hapatikani wala hajibu kabisa!?

Kwa kifupi tunataka kujua je ni kweli yeye Muheshimiwa Dr Slaa,Mbowe na Babu yao Mtei walishiriki katika kupanga na kuchakua katiba ya Chadema!?

Pia atufahamishe kwanini Mbowe amefumbia macho kitendo cha yule jambaziwa magari wa Arusha/Mbunge wa Wakristo wa Arusha aka Chadema Lema, kumpiga na kumuadhiri vibaya mno tena hadharani Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa Arusha!?...

Inajulikana pia huyo huyo Lema,tayari alishamtishia maisha Mwenyekiti wa Mkoa kabla ya hapo,taarifa zipo Police,lakini Mbowe alipojulishwa hizi taarifa muda mrefu pia alizinyamazia,labda pia na kuzipuuzia!?

Je Chadema hawajui yakuwa huyo Lema pia anatafutwa huko UK kwa kesi ya ubakaji...je sharia/kanuni za Chama/kikundi chao cha Wakristo aka Chadema zinasemaje kuhusu hilo!?

Je ni kweli Muheshimiwa Dr Slaa,ni kweli alifukuzwa kwenye kazi/shughuli za Upadri baada ya kushutumiwa na kuthibitika kwa kesi ya kumbaka mchungwaji wa kike/Sister aliekua mtumishi mwaminifu wa Roho Mtakatifu!?

Kwanini Ben 8 O'clock,ameshindwa/anashindwa kujibu tuhuma za kuchakachuliwa katiba ya Chadema na matokeo yake anaendeleza harakati za kumchafua Naibu Katibu Mkuu wa Kikundi/Chama chao...Mbunge Zitto Kabwe!?

Ni hayo machache tu kwa sasa,na kuanzia jioni hii nahamia rasmi "jukwaa la siasa" kukutana na Mag3!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ninafarajika mno kuona/kusikia yakuwa Waislam wengi mno,wameelimika vya kutosha kuhusu maslahi yao na hizo local politics, pia na ile Political Block ya Waislam hapo Tanzania inazidi kuimarika na kujitambua.

Kwa kifupi,tutahakikisha hao Chadema hawashiki nchi hiyo hata siku moja ati kwa kupitia kura za Waislam,abadan,asilan!

Hao Chadema kama tuonavyo hii Islamophobia yao humu Jf...kwa kifupi mimi binafsi nimetishika pasi kiasi! Na ndo hali halisi ndani ya mioyo yao na pia ndo hidden agenda ya hicho kikundi/"Chama" chao cha kibaguzi na Kikristo.

CCM,pamoja na makosa yao maduchu maduchu,lakini huwezi hata siku moja kufafananisha na udhalimu na chuki za Chadema dhidi ya Uislam/Waislam!?...

CCM ni chama chetu Waislam,na kimetoka ndani ya struggle na sacrifices za Wazee Wetu,hatuwezi kukitupa CCM hata siku moja.

Tutakachofanza ni kukirekebisha na kukipa ultimatum zetu,ili kisiendelee to take Muslim Voters for granted...it's about time now that CCM realize and acknowledge the reality.

Kwa kifupi,CCM na Waislam ni kama vile mguu wenye kovu,je utaukata na ni wako!?...CCM ni jasho la Wazee Wetu,tangia enzi TAA,TANU...japo yule Nyerere alijaribu kupachika agendas zake za MfumoKristo.

Waislamu/Muislam yeyote popote ulipo,jihadharini mno na propagandas za kikundi cha Wakristo wabadhilifu na wenye chuki aka Chadema...hicho "Chama"/kikundi kina agenda tafauti na hatari mno kwa jamii ya Kiislam hapo Tanzania.

Tunazijua contacts zao zoote za nje,NGOs na Vyama vibaya mno dhidi ya maslahi ya Waislam hao Chadema wanavyoshirikiana navyo.

Muislam,popote pale ulipo,tafadhali jitambue kuanzia sasa hivi...wewe na family yako,Chadema ni hatari kwako na maisha/maendeleo yako.

Ahsanta.

Ps; "Wamachame wanashangilia wanaposikia jina la Nyerere linatajwa makanisani,lakini WanaMkuranga wanazomea wanaposikia jina la Nyerere Misikitini". - By Nguruvi3, Chadema Political Strategist

Cc;Jason Bourne,Chamviga
 
Your post is devoid of substance. Next time engage fully your faculties to come up with anything, atleast something sensible.

Wow! I feel Violated now...

In my previous post,I didn't mean to hurt/offend you my lil Sister...it was only a little polite advice.

Put a little love in your heart...and don't be too sensitive,Ok!?

Now,can we get back to the Topic plse!?

Ahsanta.
 
Shariff Ritz,

Jaribu kumpa salaam Muheshimiwa "Dr" Slaa,mwambie yakuwa jamaa wengi wanamtafuta mbona anazima simu yake/zake za kiganjani siku hizi na hapatikani wala hajibu kabisa!?

Kwa kifupi tunataka kujua je ni kweli yeye Muheshimiwa Dr Slaa,Mbowe na Babu yao Mtei walishiriki katika kupanga na kuchakua katiba ya Chadema!?

Pia atufahamishe kwanini Mbowe amefumbia macho kitendo cha yule jambaziwa magari wa Arusha/Mbunge wa Wakristo wa Arusha aka Chadema Lema, kumpiga na kumuadhiri vibaya mno tena hadharani Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa Arusha!?...

Inajulikana pia huyo huyo Lema,tayari alishamtishia maisha Mwenyekiti wa Mkoa kabla ya hapo,taarifa zipo Police,lakini Mbowe alipojulishwa hizi taarifa muda mrefu pia alizinyamazia,labda pia na kuzipuuzia!?

Je Chadema hawajui yakuwa huyo Lema pia anatafutwa huko UK kwa kesi ya ubakaji...je sharia/kanuni za Chama/kikundi chao cha Wakristo aka Chadema zinasemaje kuhusu hilo!?

Je ni kweli Muheshimiwa Dr Slaa,ni kweli alifukuzwa kwenye kazi/shughuli za Upadri baada ya kushutumiwa na kuthibitika kwa kesi ya kumbaka mchungwaji wa kike/Sister aliekua mtumishi mwaminifu wa Roho Mtakatifu!?

Kwanini Ben 8 O'clock,ameshindwa/anashindwa kujibu tuhuma za kuchakachuliwa katiba ya Chadema na matokeo yake anaendeleza harakati za kumchafua Naibu Katibu Mkuu wa Kikundi/Chama chao...Mbunge Zitto Kabwe!?

Ni hayo machache tu kwa sasa,na kuanzia jioni hii nahamia rasmi "jukwaa la siasa" kukutana na Mag3!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ninafarajika mno kuona/kusikia yakuwa Waislam wengi mno,wameelimika vya kutosha kuhusu maslahi yao na hizo local politics, pia na ile Political Block ya Waislam hapo Tanzania inazidi kuimarika na kujitambua.

Kwa kifupi,tutahakikisha hao Chadema hawashiki nchi hiyo hata siku moja ati kwa kupitia kura za Waislam,abadan,asilan!

Hao Chadema kama tuonavyo hii Islamophobia yao humu Jf...kwa kifupi mimi binafsi nimetishika pasi kiasi! Na ndo hali halisi ndani ya mioyo yao na pia ndo hidden agenda ya hicho kikundi/"Chama" chao cha kibaguzi na Kikristo.

CCM,pamoja na makosa yao maduchu maduchu,lakini huwezi hata siku moja kufafananisha na udhalimu na chuki za Chadema dhidi ya Uislam/Waislam!?...

CCM ni chama chetu Waislam,na kimetoka ndani ya struggle na sacrifices za Wazee Wetu,hatuwezi kukitupa CCM hata siku moja.

Tutakachofanza ni kukirekebisha na kukipa ultimatum zetu,ili kisiendelee to take Muslim Voters for granted...it's about time now that CCM realize and acknowledge the reality.

Kwa kifupi,CCM na Waislam ni kama vile mguu wenye kovu,je utaukata na ni wako!?...CCM ni jasho la Wazee Wetu,tangia enzi TAA,TANU...japo yule Nyerere alijaribu kupachika agendas zake za MfumoKristo.

Waislamu/Muislam yeyote popote ulipo,jihadharini mno na propagandas za kikundi cha Wakristo wabadhilifu na wenye chuki aka Chadema...hicho "Chama"/kikundi kina agenda tafauti na hatari mno kwa jamii ya Kiislam hapo Tanzania.

Tunazijua contacts zao zoote za nje,NGOs na Vyama vibaya mno dhidi ya maslahi ya Waislam hao Chadema wanavyoshirikiana navyo.

Muislam,popote pale ulipo,tafadhali jitambue kuanzia sasa hivi...wewe na family yako,Chadema ni hatari kwako na maisha/maendeleo yako.

Ahsanta.

Ps; "Wamachame wanashangilia wanaposikia jina la Nyerere linatajwa makanisani,lakini WanaMkuranga wanazomea wanaposikia jina la Nyerere Misikitini". - By Nguruvi3, Chadema Political Strategist

Cc;Jason Bourne,Chamviga

Huu mziki mkubwa! jamani njooni muone chadema inavuliwa nguo huku...
 
kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa hawa wakia museven, kabila, kagame, wanapigana vita kwa kigezo cha ukristo sio?
tujuze....
ili tuweze ku-compare na alshababu wanoua hadi watoto kwa kigezo cha kutekeleza dini ya uislamu inavyoagiza.

2013
Hivi akili yako ipo sawa kweli mbona mwawa na tabia ya kuku mwala kwa kujipangusa?!

Embu jibu ulichoulizwa kisha upewe utakacho,

Mwajitia mwaweza jibu hoja wakati mu weupe mithili ya karatasi,

Mada ya msingi mwishaanza iharibu, sasa twelekezeni njia ya mjadala nzuri ni ipi?!

Pana suali huhitajia jibu ili mtoa hoja aweze elewa kama waelewa ama kakuacha na kama hujui sema tu sijui,

Na pana sehemu swali lahitajia swali si jibu ili jibu utoe wewe na endapo utakuwa umekosea walimu wanakuweka sawa,
Kama alivyokuwa akifanya bwana Yesu

Sasa utaratibu wako ni upi ama hujui watu wanafuatilia kila kitiwacho hapa?

Hebu kuweni na haya basi mwajitia aibu watu gani msohaya ninyi?
 
Back
Top Bottom