muslim ni mwislamu. kama huyo jamaa anayerapu, badala ya kupiga dufu.
Mtu Mzima nadhani tumeeleza huko nyuma ya kuwa katika harakati za kupigania uhuru HUWEZI KUTENGANISHA IMANI ZA WALE WALIO HUSIKA! IWE NI WAKRISTO AU WAISLAMU! NA HUO UPIGANIAJI UHURU! Vipi utataja mikutano iliyofanyika kisiri ndani ya miskitini na makanisani bila kutaja uislamu na ukristo??
sasa basi hapa lengo sio kuonyesha kuwa waislamu ni mahodari kuliko wengine au ni wao tu walioshiriki ktk sakata lile LA HASHA!
Lengo kuu la uzi huu NI KUWEZA KUWATAMBUA NA KUWAENZI WAHUSIKA WOTE BILA KUBAGUA HATTA MMOJA!
Hapa utajiuliza kwa nini waislamu wanayasema haya!
Sababu kuu japo kuwa wengi wanaipinga na kuifungia macho ni namna Historia ya kweli ya nchi hii ilvyochakachuliwa na kitu kinachoitwa MFUMO KRISTO!.
Hii Mtu Mzima kubali au kataa ni kitu kinacho ligawa taifa letu kila siku!
Katika historia ya nchi hii mara nyingi utakuta ili Cream of the crop inayotajwa basi 90% inahusishwa na UKRISTO! na hili limekuwa jambo la kawaida kabisa!
Mpaka kuingia ktk ofisi za serikali ukakuta picha ya Anaedaiwa kuwa mungu wa wakristo ukutani.
Ukisema vipi mtu aweke vitu kama hivyo wakati serikali yetu inasema haina dini unaitwa mara gaidi mara mtafuta shari!
Lkn kwenye upande mwingine ofisi ya serikali aliyemo muislamu kukiwa na dalili za uislamu mwingi basi utaskia kashfa na majungu!
Hakuna mtu anataka kulipwa hapa au kutukuzwa bali kama Nyerere anatajwa mpaka leo kuwa ni baba wa taifa! Basi kuna walio mfikaisha hapo kwenye huo ubaba wake wa taifa na Hao LAZIMA WATAMBULIWE NA WATOTO WETU MASHULENI WAFUNDISHWE KUWA KUNA MASHUJAA WENGINE ZAIDI YA NYERERE!
HII NDIO HASSA HOJA ILIOKO HAPA.
Waislamu wa Tanzania wanapo toa hoja zao na malalamiko yao hakuna anaetaka kusikiliza. zaidi utaskia viongizo wengi wakisema "hao ni wafanya fujo" sasa kumbuka hao wafanyafujo wana haki ya kusikilizwa vilevile na kama watu wataendelea kuziba maskio! Nchi yetu itaelekea kubaya mno!
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania.
Amin.
mkuu bado nakupa heko kwa kujibu kama kiongozi na aliyepevuka kama jina utumialo yaani mtu mzima.nikiongezea kwa wewe kujibu hoja zisizohusiana na utambulisho wa wapigania uhuru, kama hoja ya shule, na alama za kidini, kwani hizo mada ziliwekwa ku-nakshi kwa ujanja wa kuongeza ushawishi wa uzi. huku zenyewe zikiwa ''opii' ukilinganisha na uzi uliowekwa. big up mkuu.Nashukuru kwa ufafanuzi ambao kiasi umeniongezea ufahamu wa jambo lenyewe.
Nimejaribu kusoma kwa makini nimegundua kuna mambo ambayo ni ya msingi katika hoja hii.
Napenda kukubaliana na wewe kwa mambo yafuatayo katika hoja zako.
1. Alama za kidini/udini
Ni kinyume cha katiba ya nchi kuendesha maswala ya dini au kuweka alama za kidini katika ofisi
za serikali. Kama kuna mtumishi yeyote atatenda hilo anatakiwa kuchukuliwa kwanza kuelimishwa
ili aache na atoe alama hizo. Akikaidi ni wajibu wetu sote kuchukua hatua za kisheria au za
kumuumbua kwa jamii mfano kuufahamisha umma nini kinaendelea katika ofisi husika. Hili linaweza
kufanyika bila kujali imani ya mtu.
Itakuwa si busara kuzuia kosa kwa kutenda kosa. Hivyo basi iwapo imebainika mtumishi
wa umma anafanya mambo yanayoashiria udini achukuliwe hatua stahiki, siyo kuhamasisha
wengine nao wafanye kosa hilo. Kufanya hivyo ni kulikosea heshima taifa lako na pia
kuwakosea heshima wazee wetu wote waliojitolea kulijenga taifa katika mazingira magumu.
2. Nyerere peke yake asingeweza kufika alipofika bila watu wengine wengi tu wa
imani mbalimbali ambao walijitolea kumuunga mkono na pia kushiriki moja kwa moja katika
shughuli za kudai uhuru. Watu wote waliojitolea hali na mali wanastahili heshima.
3.Katika harakati za kudai uhuru mikutano ilifanyika sehem mbalimbali ikiwemo misikiti,
kwa kuongezea ilifanyika pia kwenye vilabu vya pombe, kwenye misiba, kwenye sherehe n.k
Sikubaliani na wewe katika mambo yafuatayo.
1. Swala la mfumo kristo.
Swala la mfumo kristo lilikuwepo kabla ya uhuru kwa sababu ambazo zinaeleweka
hata shule za enzi hizo zilipendelea wakristo zaidi kwa sababu ya migongano ya kiimani
lakini vile vile kama njia ya kuwagawa watanganyika kukidhi matakwa ya kikoloni.
Baada ya uhuru shule za kidini zilichukuliwa na serikali ili kuondoa tatizo hilo.
Lakini pamoja na juhudi hizo za serikali bado haikuwa rahisi kuwavuta waislamu wengi
kujiunga na shule hizo pengine kwa sababu mbalimbali. Wale wachache waliowahi kutumia fursa hizo
waliweza kupata elimu bila matatizo.
Pia ili kupambana na ubaguzi wa kidini na kuepusha taifa kugawanyika kwa makundi ya kidini
maswala ya kidini yaliondolewa kutoka miongoni mwa majukumu ya kusimamiwa na serikali ili
kuweka fursa sawa na kuondoa uwezekano wa watu kuhudumiwa na serikali kwa kuzingatia imani
yao badala ya utaifa wao.
Kwa sasa swala la mfumo kristo limebaki kama hisia tu na linatumiwa zaidi na watu wanaoshindwa
kujenga hoja hasa vyama vya siasa vinavyotumia nyumba za ibada kuendesha siasa-dini.
2. Harakati za kudai uhuru kufanyika misikitini kama kigezo cha kutambuliwa kama waislam.
Kama nilivyoeleza hapo juu, nakubaliana nawe kwamba mikutano hiyo ilifanyika pia katika nyumba za
ibada. Lakini sikubaliani na wewe kutumia hilo kama kigezo cha kutaka watambuliwe kama waislam
Nakubaliana nawe kwamba ni sahihi watu wote waliochangia upatikanaji wa uhuru waenziwe kwa njia
kwa njia mbalimbali. Lakini sikubaliani nawe kwamba watu hao waenziwe kwa sifa ya imani zao
kidini. Mfano kwenye historia iandikwe Mzee Rashidi Mfaume Kawawa alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza
wa Jamhuri ya Tanganyika na ''alikuwa Muislam'. Mwalimu Julius alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania
na ''alikuwa mkristo''.
Hili siliungi mkono na sababu kubwa ni kwamba siungi mkono udini.
3. 90% ya cream inayotajwa inahusishwa na ukristo.
Hapa sijaelewa ni kigezo gani ulichotumia kuja na hii namba.
Labda kama una-wahusisha akina Mangi Mandara, Mkwawa, Milambo, Mangungo na wengine wa enzi
hizo. Wote hawa wanaotajwa si wakristo na wala hawakuwa waislam.
Katika watu wote waliotajwa katika historia na vitabu mbalimbali vinavyohusu historia ya kuanzia
mwaka 1950 wengi wanaotajwa ni waislam. Pemgine utanishawishi kubadili mawazo utakapo weka
takwimu halisi ili niridhike. Si lazima takwim zako zifike 90% weka japo zifike 75%.
Hitimisho.
Tuepuke kujenga hoja kwa hisia.
Iwapo malalamiko yanatolewa na hayasikilizwi, pengine ni vema kutafakari iwapo njia inayotumika
kutoa malalamiko ni sahihi.
Mfano iwapo tunalalamika kuna watu muhimu katika historia ya nchi wamesahaulika katika kumbukumbu
za Taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo basi tuyatoe malalamiko hayo bila kuchanganya na mambo mengine kama dini ambayo yanaweza kupunguza nguvu ya hoja.
Tujaribu kutenganisha dini katika hili. Kwa sababu historia ya nchi inapoandikwa ni kwa ajili ya
nchi si kwa ajili ya kikundi cha dini moja au mbili.
Iwapo mafanikio yakipatikana wakawa kwenye historia kama watu wengi ambavyo wangependa iwe, bado haitafuta dini yao wawe ni wakristo, waislamu au wasio wa dini hizo kama kina Kinjekitile.
Mtu Mzima.
Nashukuru kwa ufafanuzi ambao kiasi umeniongezea ufahamu wa jambo lenyewe.

Ukweli siku zote utabaki kuwa hivyo. Historia ya nchi hii hata kama itakuwa distorted kiasi gani kuna siku ukweli utadhihiri. Maoni yangu ni kuwa bw. mohamed anachotanabahisha ni ukweli wa historia ya mapambano ya kudai uhuru wa tanganyika umepindishwa na anatoa ushahidi wa kuthibitisha asemayo.
Kwa wale walizaliwa miaka ya 50 wakirudisha kumbukumbu zao nyuma watakumbuka kwani lile vuguvugu la mapambano ya uhuru wa tz kwa wa wanadar [wa enzi hizo] ilikuwa siyo mchezo kwani ninakumbuka kuna mama mmoja muuza pombe hapa mjini alitoa ka akiba chake chote kusaidia safari ya nyerere un.
Hivyo basi hao ambao bw mohamed amewataja ni kweli kabisa walishiriki sana katika vita ya kudai uhuru wa nchi hii
Bukyanagandi, nikushukuru kwa kujenga hoja bila matusi.A)Mkuu binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini maelezo ya ndugu Moh huwa mara nyingi yanakuwa grossly misinterpreted whether by accident au deliberately.
B)Sioni kama Moh anataka watu wa madhebu yake walio pigania uhuru wa nchi hii walipwe ujira au pension - Moh anacho taka ni wananchi waelezwe ukweli i.e
Anataka wasipindishe historia ya kweli ya TAIFA letu kwa kuwasahau mashujaa ambao wengi wao waikuwa ni wa madhebu ya Kislaam - hilo alina ubishi, kwani tatizo liko wapi - Uislaam au upiganiaji uhuru - tusicho kipenda hapa ni nini hasa?
C)Tunashindwa nini kukubaliana na ukweli!! Ni kweli si Waislaam peke yao walio husika na harakati hizi, lakini ukifanya utafiti bila yakuwa biased, ukuzungumza na wakoloni wa Kingereza ambao wangali ahi wanakiri kwamba Waislaam walikuwa highly organised katika harakati zao na ndio walikuwa wanawapa wakati mgumu wakoloni - mimi niliwahi kupata bahati ya kuzungumza na mmoja wao ndio maana huwa namtetea ndugu Moh.
D)Tusiwe blinded na a few statements kwenye maandiko yake ambazo wakati mwingine zina onekana zina hisia kali, that is understandable kutokana na familia/Baba yake kuwa victim wa saula hili, mambo mengine ndugu Moh yuko sahihi by 98.9%.
E)Kwa nini historia ya Taifa letu baada ya uhuru baadhi ya Raia/watu majasiri walio jitolea kwa hali na mali katika kupingana na wakoloni wanafutwa kwenye historia - kuhanzia majina yao na picha zao! Na ukiangalia kwa umakini unakuta idadi ya victims wa Scheme hii ovu hiko highly Disproportionate kwa upande wa ndugu zetu Waislaam, WHY?
F)Mimi nafikiri zoezi hili la kuandika katiba upya lingekwenda sambamba na kuandika historia ya kweli kuhusu Taifa letu, wale wote walio changia katika ukombozi wa Taifa hili wajina yao yawekwe wazi na ijulikane walihusika vipi na ni kitu gani kilijiri mpaka wakasahulika, si hilo tu hata mtu aliye Engineer saula hili ajulikane - Victims wote waombwe msamaha kama wangali hai au warithi wao wapewe medali, bahati nzuri JK anaonekana kulitambua sana hili na kusema kweli anakwenda vizuri na zoezi zima ndio maana mwaka jana/juzi aliwakumbuka baadhi ya mashujaa hawa waliosahulika;
G)Taifa hili lisijiletee mikosi ya bure kwa kuwasahau watu muhimu, tusianze kusingizia/ kuendekeza mambo ya kidini kwenye vitu ambavyo ni OBVIOUS.
Dr. kahtaan,mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.
Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-
Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.
NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-
kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!
Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-
"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "
MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."
Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.
Tukiendelea na takwimu sasa;-
takwimu hizi NI MPAKA 2011,
CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0
WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2
NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1
WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1
MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5
MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23
UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2
WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0
WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15
SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.
Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.
NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-
1973-1977 PIUS MSEKWA.
1977-1980 I.M.KADUMA
1980-1988 N.A KUHANGA.
1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.
1992-1999 M.L. LUHANGA
1994-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.
2004-2007 E.MWAIKAMBO
2004-2011 R,A,MKANDALA.
Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!
HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.
Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.
Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.
NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,
Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.
Hitimisho langu;
Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.
AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
tatizo ni pale nyinyi mnakuwa na hofu na kusikia ukweli.Sikiliza kijana, katika kitu ambacho hakipo katika Uislaam ni ubaguzi, uwe wa rangi, jinsia, dini na au kabila, au uwe wa aina yeyote ile.
Kumbuka Hijra (immigration) ya kwanza ya Waislaam, walivyokuwa hawakubaliki Makkah, walielekezwa na Mtume Muhammad S.A.W waende Habash, huko Habash ndio Ethiopia ya sasa, na huko kulikuwa kuna mtawala Mkristo, nae akawapokea na kuwahudumia.(akiitwa Nagash).
Leo hii uelewe, hakuna Muislaam ambae ni adui wa anaejiita Mkristo. Adui wa Wakristo ni yule aliye msulubu Yesu, ni nani huyo?
Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?
Muislaam, hana tatizo na Mkristo wala Mkristo (wa kweli) hana tatizo na Muislaam.
Tatizo lako ni nini?
okey mkuu ningependa utoe ulinganifu wa idadi ya shule za kiislamu na zile za kikristo zilizokuwepo wakati baba wa kitaa akichukua madaraka, na hata kuzitaifisha. ili nijuwe lengo kama uwiano wa ajira kama unahusiana na elimu yao ama ni mapendekezo ya manasaramtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.
Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-
Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.
NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-
kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!
Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-
"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "
MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."
Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.
Tukiendelea na takwimu sasa;-
takwimu hizi NI MPAKA 2011,
CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0
WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2
NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1
WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1
MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5
MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23
UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2
WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0
WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15
SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.
Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.
NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-
1973-1977 PIUS MSEKWA.
1977-1980 I.M.KADUMA
1980-1988 N.A KUHANGA.
1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.
1992-1999 M.L. LUHANGA
1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.
2004-2007 E.MWAIKAMBO
2007-2011 R,A,MKANDALA.
Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!
HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.
Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.
Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.
NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,
Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.
Hitimisho langu;
Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.
AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
tatizo ni pale nyinyi mnakuwa na hofu na kusikia ukweli.
sasa kama hapo umegusia viti 12 vya kuingilia mbinguni. what is that:shocked:!!!!!!!!!kwanini usiseme vitasa, pengine.
infact, sijawahi sikia kitu kama hicho. njia ni moja tu ya yesu kristo pekee sio viti.
Luka 22:30)
"mpate kula na kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku mkiwa hukumu makabila 12 ya izraeli."
okey nimekupata, though hapo mwanzo uliandika aliewaeka viti vya kuingilia mbinguni. tafsiri hii na ile hazikuweza kufanana.sasa labda tuacche matatizo ya lugha, unamaana yesu ni adui wa wakristo. ama?Luka 22:30)
"mpate kula na kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku mkiwa hukumu makabila 12 ya izraeli."
okey nimekupata, though hapo mwanzo uliandika aliewaeka viti vya kuingilia mbinguni. tafsiri hii na ile hazikuweza kufanana.sasa labda tuacche matatizo ya lugha, unamaana yesu ni adui wa wakristo. ama?
teh teh teh teh ! just the way I thought!! sasa kujaribu kumuelimisha mtu anaesema MAANA YA MUSLIM NI MWISLAMU si bora kuongea na mbuzi! labda baada ya miaka kadhaa anaweza kuelewa!!
Jibu uliotoa hapa ni sawa na kuulizwa NINI MAANA YA AMERICA wewe ukajibu kuwa AMERICA NI MAREKANI!!
Teh teh teh teh ! nakuachia ukumbi kijana, mi sio wa level yako!!
cc Tayeb
mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.
Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-
Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.
NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-
kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!
Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-
"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "
MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."
Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.
Tukiendelea na takwimu sasa;-
takwimu hizi NI MPAKA 2011,
CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0
WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2
NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1
WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1
MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5
MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23
UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2
WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0
WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15
SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.
Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.
NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-
1973-1977 PIUS MSEKWA.
1977-1980 I.M.KADUMA
1980-1988 N.A KUHANGA.
1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.
1992-1999 M.L. LUHANGA
1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.
2004-2007 E.MWAIKAMBO
2007-2011 R,A,MKANDALA.
Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!
HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.
Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.
Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.
NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,
Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.
Hitimisho langu;
Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.
AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
Al akhiy Dr kahtaan,
Wallahi umeeleza vizuri sana mkuu!
Yaani takwimu zote ulizotoa hazina mashaka hata kiduchu!
Huo ndio ukweli!
yesu hakuwahi kusema watu wwe wakristo bali alifundisha kuishi kwa haki na imani. ukristo ni utambulisho tu wa wanaofuata mafundisho ya yesu kristo, bali yesu kristo hakuunda dini, bali watu waliunda dini. wakristo hawashindanii dini bali maisha ya utakatifu ambayo pasipo hayo hakuna atakayemwona mungu." (Mathayo 5:20"Maana nawambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni." (Mathayo 5:20)Nna maana Muislaam si adui ya Mkristo, yule aliye msulubu Yesu ni nani? kwanini asiwe adui yake, yule alifundisha uongo kuhusu Yesu na akakiri, kwanini asiwe adui yake, kwanini leo watu wanaofata mafundisho ya Yesu to the dot wawe maadui wa Ukristo? Yesu mwenyewe wakati wake hakukuwa na mtu aliyeitwa Mkristo.
Unaweza kuonesha mahala ambapo Yesu alisema kuweni Wakristo?
Sasa wewe jiulize adui wa Yesu ni nani?
Hiyo niliokuwekea nyekundu ni reversal.
1. Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?Ukhti FaizaFoxy kujaribu kumuelekeza huyu 2013 ni kupoteza wakati tu!
Ufahamu wake si mahiri hata kidogo!
Uislamu haujui wala ukristo pia haujui!
Basi anasema chochote akipendacho!
They say" how could you make a blind person leading the way while there is others who can see?.
I try to deal with someone who can see.!
No just look!!