Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

muslim ni mwislamu. kama huyo jamaa anayerapu, badala ya kupiga dufu.

teh teh teh teh ! just the way I thought!! sasa kujaribu kumuelimisha mtu anaesema MAANA YA MUSLIM NI MWISLAMU si bora kuongea na mbuzi! labda baada ya miaka kadhaa anaweza kuelewa!!

Jibu uliotoa hapa ni sawa na kuulizwa NINI MAANA YA AMERICA wewe ukajibu kuwa AMERICA NI MAREKANI!!

Teh teh teh teh ! nakuachia ukumbi kijana, mi sio wa level yako!!

cc Tayeb
 
Last edited by a moderator:
Mtu Mzima nadhani tumeeleza huko nyuma ya kuwa katika harakati za kupigania uhuru HUWEZI KUTENGANISHA IMANI ZA WALE WALIO HUSIKA! IWE NI WAKRISTO AU WAISLAMU! NA HUO UPIGANIAJI UHURU! Vipi utataja mikutano iliyofanyika kisiri ndani ya miskitini na makanisani bila kutaja uislamu na ukristo??

sasa basi hapa lengo sio kuonyesha kuwa waislamu ni mahodari kuliko wengine au ni wao tu walioshiriki ktk sakata lile LA HASHA!

Lengo kuu la uzi huu NI KUWEZA KUWATAMBUA NA KUWAENZI WAHUSIKA WOTE BILA KUBAGUA HATTA MMOJA!

Hapa utajiuliza kwa nini waislamu wanayasema haya!

Sababu kuu japo kuwa wengi wanaipinga na kuifungia macho ni namna Historia ya kweli ya nchi hii ilvyochakachuliwa na kitu kinachoitwa MFUMO KRISTO!.
Hii Mtu Mzima kubali au kataa ni kitu kinacho ligawa taifa letu kila siku!

Katika historia ya nchi hii mara nyingi utakuta ili Cream of the crop inayotajwa basi 90% inahusishwa na UKRISTO! na hili limekuwa jambo la kawaida kabisa!

Mpaka kuingia ktk ofisi za serikali ukakuta picha ya Anaedaiwa kuwa mungu wa wakristo ukutani.
Ukisema vipi mtu aweke vitu kama hivyo wakati serikali yetu inasema haina dini unaitwa mara gaidi mara mtafuta shari!

Lkn kwenye upande mwingine ofisi ya serikali aliyemo muislamu kukiwa na dalili za uislamu mwingi basi utaskia kashfa na majungu!

Hakuna mtu anataka kulipwa hapa au kutukuzwa bali kama Nyerere anatajwa mpaka leo kuwa ni baba wa taifa! Basi kuna walio mfikaisha hapo kwenye huo ubaba wake wa taifa na Hao LAZIMA WATAMBULIWE NA WATOTO WETU MASHULENI WAFUNDISHWE KUWA KUNA MASHUJAA WENGINE ZAIDI YA NYERERE!
HII NDIO HASSA HOJA ILIOKO HAPA.

Waislamu wa Tanzania wanapo toa hoja zao na malalamiko yao hakuna anaetaka kusikiliza. zaidi utaskia viongizo wengi wakisema "hao ni wafanya fujo" sasa kumbuka hao wafanyafujo wana haki ya kusikilizwa vilevile na kama watu wataendelea kuziba maskio! Nchi yetu itaelekea kubaya mno!
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania.
Amin
.

Nashukuru kwa ufafanuzi ambao kiasi umeniongezea ufahamu wa jambo lenyewe.

Nimejaribu kusoma kwa makini nimegundua kuna mambo ambayo ni ya msingi katika hoja hii.

Napenda kukubaliana na wewe kwa mambo yafuatayo katika hoja zako.

1. Alama za kidini/udini
Ni kinyume cha katiba ya nchi kuendesha maswala ya dini au kuweka alama za kidini katika ofisi
za serikali. Kama kuna mtumishi yeyote atatenda hilo anatakiwa kuchukuliwa kwanza kuelimishwa
ili aache na atoe alama hizo. Akikaidi ni wajibu wetu sote kuchukua hatua za kisheria au za
kumuumbua kwa jamii mfano kuufahamisha umma nini kinaendelea katika ofisi husika. Hili linaweza
kufanyika bila kujali imani ya mtu.

Itakuwa si busara kuzuia kosa kwa kutenda kosa. Hivyo basi iwapo imebainika mtumishi
wa umma anafanya mambo yanayoashiria udini achukuliwe hatua stahiki, siyo kuhamasisha
wengine nao wafanye kosa hilo. Kufanya hivyo ni kulikosea heshima taifa lako na pia
kuwakosea heshima wazee wetu wote waliojitolea kulijenga taifa katika mazingira magumu.

2. Nyerere peke yake asingeweza kufika alipofika bila watu wengine wengi tu wa
imani mbalimbali ambao walijitolea kumuunga mkono na pia kushiriki moja kwa moja katika
shughuli za kudai uhuru. Watu wote waliojitolea hali na mali wanastahili heshima.

3.Katika harakati za kudai uhuru mikutano ilifanyika sehem mbalimbali ikiwemo misikiti,
kwa kuongezea ilifanyika pia kwenye vilabu vya pombe, kwenye misiba, kwenye sherehe n.k

Sikubaliani na wewe katika mambo yafuatayo.

1. Swala la mfumo kristo.
Swala la mfumo kristo lilikuwepo kabla ya uhuru kwa sababu ambazo zinaeleweka
hata shule za enzi hizo zilipendelea wakristo zaidi kwa sababu ya migongano ya kiimani
lakini vile vile kama njia ya kuwagawa watanganyika kukidhi matakwa ya kikoloni.

Baada ya uhuru shule za kidini zilichukuliwa na serikali ili kuondoa tatizo hilo.

Lakini pamoja na juhudi hizo za serikali bado haikuwa rahisi kuwavuta waislamu wengi
kujiunga na shule hizo pengine kwa sababu mbalimbali. Wale wachache waliowahi kutumia fursa hizo
waliweza kupata elimu bila matatizo.

Pia ili kupambana na ubaguzi wa kidini na kuepusha taifa kugawanyika kwa makundi ya kidini
maswala ya kidini yaliondolewa kutoka miongoni mwa majukumu ya kusimamiwa na serikali ili
kuweka fursa sawa na kuondoa uwezekano wa watu kuhudumiwa na serikali kwa kuzingatia imani
yao badala ya utaifa wao.

Kwa sasa swala la mfumo kristo limebaki kama hisia tu na linatumiwa zaidi na watu wanaoshindwa
kujenga hoja hasa vyama vya siasa vinavyotumia nyumba za ibada kuendesha siasa-dini.

2. Harakati za kudai uhuru kufanyika misikitini kama kigezo cha kutambuliwa kama waislam.

Kama nilivyoeleza hapo juu, nakubaliana nawe kwamba mikutano hiyo ilifanyika pia katika nyumba za
ibada. Lakini sikubaliani na wewe kutumia hilo kama kigezo cha kutaka watambuliwe kama waislam

Nakubaliana nawe kwamba ni sahihi watu wote waliochangia upatikanaji wa uhuru waenziwe kwa njia
kwa njia mbalimbali. Lakini sikubaliani nawe kwamba watu hao waenziwe kwa sifa ya imani zao
kidini. Mfano kwenye historia iandikwe Mzee Rashidi Mfaume Kawawa alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza
wa Jamhuri ya Tanganyika na ''alikuwa Muislam'. Mwalimu Julius alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania
na ''alikuwa mkristo''.

Hili siliungi mkono na sababu kubwa ni kwamba siungi mkono udini.

3. 90% ya cream inayotajwa inahusishwa na ukristo.

Hapa sijaelewa ni kigezo gani ulichotumia kuja na hii namba.

Labda kama una-wahusisha akina Mangi Mandara, Mkwawa, Milambo, Mangungo na wengine wa enzi
hizo. Wote hawa wanaotajwa si wakristo na wala hawakuwa waislam.

Katika watu wote waliotajwa katika historia na vitabu mbalimbali vinavyohusu historia ya kuanzia
mwaka 1950 wengi wanaotajwa ni waislam. Pemgine utanishawishi kubadili mawazo utakapo weka
takwimu halisi ili niridhike. Si lazima takwim zako zifike 90% weka japo zifike 75%.

Hitimisho.

Tuepuke kujenga hoja kwa hisia.

Iwapo malalamiko yanatolewa na hayasikilizwi, pengine ni vema kutafakari iwapo njia inayotumika
kutoa malalamiko ni sahihi.

Mfano iwapo tunalalamika kuna watu muhimu katika historia ya nchi wamesahaulika katika kumbukumbu
za Taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo basi tuyatoe malalamiko hayo bila kuchanganya na mambo mengine kama dini ambayo yanaweza kupunguza nguvu ya hoja.

Tujaribu kutenganisha dini katika hili. Kwa sababu historia ya nchi inapoandikwa ni kwa ajili ya
nchi si kwa ajili ya kikundi cha dini moja au mbili.

Iwapo mafanikio yakipatikana wakawa kwenye historia kama watu wengi ambavyo wangependa iwe, bado haitafuta dini yao wawe ni wakristo, waislamu au wasio wa dini hizo kama kina Kinjekitile.

Mtu Mzima.
 
mkuu bado nakupa heko kwa kujibu kama kiongozi na aliyepevuka kama jina utumialo yaani mtu mzima.nikiongezea kwa wewe kujibu hoja zisizohusiana na utambulisho wa wapigania uhuru, kama hoja ya shule, na alama za kidini, kwani hizo mada ziliwekwa ku-nakshi kwa ujanja wa kuongeza ushawishi wa uzi. huku zenyewe zikiwa ''opii' ukilinganisha na uzi uliowekwa. big up mkuu.
pengine mtumzima ningeomba ujibu hoja: ''kuwa swala la uhuru haliwezekani kutenganishwa na dini'', manake mimi nilijikuta nina jazba. nahop utalitolea ufafanuzi unaoeleweka, kwa wanaolikazania hili pia.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi ambao kiasi umeniongezea ufahamu wa jambo lenyewe.

Nimejaribu kusoma kwa makini nimegundua kuna mambo ambayo ni ya msingi katika hoja hii.

Napenda kukubaliana na wewe kwa mambo yafuatayo katika hoja zako.

1. Alama za kidini/udini
Ni kinyume cha katiba ya nchi kuendesha maswala ya dini au kuweka alama za kidini katika ofisi
za serikali. Kama kuna mtumishi yeyote atatenda hilo anatakiwa kuchukuliwa kwanza kuelimishwa
ili aache na atoe alama hizo. Akikaidi ni wajibu wetu sote kuchukua hatua za kisheria au za
kumuumbua kwa jamii mfano kuufahamisha umma nini kinaendelea katika ofisi husika. Hili linaweza
kufanyika bila kujali imani ya mtu.

Itakuwa si busara kuzuia kosa kwa kutenda kosa. Hivyo basi iwapo imebainika mtumishi
wa umma anafanya mambo yanayoashiria udini achukuliwe hatua stahiki, siyo kuhamasisha
wengine nao wafanye kosa hilo. Kufanya hivyo ni kulikosea heshima taifa lako na pia
kuwakosea heshima wazee wetu wote waliojitolea kulijenga taifa katika mazingira magumu.

2. Nyerere peke yake asingeweza kufika alipofika bila watu wengine wengi tu wa
imani mbalimbali ambao walijitolea kumuunga mkono na pia kushiriki moja kwa moja katika
shughuli za kudai uhuru. Watu wote waliojitolea hali na mali wanastahili heshima.

3.Katika harakati za kudai uhuru mikutano ilifanyika sehem mbalimbali ikiwemo misikiti,
kwa kuongezea ilifanyika pia kwenye vilabu vya pombe, kwenye misiba, kwenye sherehe n.k

Sikubaliani na wewe katika mambo yafuatayo.

1. Swala la mfumo kristo.
Swala la mfumo kristo lilikuwepo kabla ya uhuru kwa sababu ambazo zinaeleweka
hata shule za enzi hizo zilipendelea wakristo zaidi kwa sababu ya migongano ya kiimani
lakini vile vile kama njia ya kuwagawa watanganyika kukidhi matakwa ya kikoloni.

Baada ya uhuru shule za kidini zilichukuliwa na serikali ili kuondoa tatizo hilo.

Lakini pamoja na juhudi hizo za serikali bado haikuwa rahisi kuwavuta waislamu wengi
kujiunga na shule hizo pengine kwa sababu mbalimbali. Wale wachache waliowahi kutumia fursa hizo
waliweza kupata elimu bila matatizo.

Pia ili kupambana na ubaguzi wa kidini na kuepusha taifa kugawanyika kwa makundi ya kidini
maswala ya kidini yaliondolewa kutoka miongoni mwa majukumu ya kusimamiwa na serikali ili
kuweka fursa sawa na kuondoa uwezekano wa watu kuhudumiwa na serikali kwa kuzingatia imani
yao badala ya utaifa wao.

Kwa sasa swala la mfumo kristo limebaki kama hisia tu na linatumiwa zaidi na watu wanaoshindwa
kujenga hoja hasa vyama vya siasa vinavyotumia nyumba za ibada kuendesha siasa-dini.

2. Harakati za kudai uhuru kufanyika misikitini kama kigezo cha kutambuliwa kama waislam.

Kama nilivyoeleza hapo juu, nakubaliana nawe kwamba mikutano hiyo ilifanyika pia katika nyumba za
ibada. Lakini sikubaliani na wewe kutumia hilo kama kigezo cha kutaka watambuliwe kama waislam

Nakubaliana nawe kwamba ni sahihi watu wote waliochangia upatikanaji wa uhuru waenziwe kwa njia
kwa njia mbalimbali. Lakini sikubaliani nawe kwamba watu hao waenziwe kwa sifa ya imani zao
kidini. Mfano kwenye historia iandikwe Mzee Rashidi Mfaume Kawawa alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza
wa Jamhuri ya Tanganyika na ''alikuwa Muislam'. Mwalimu Julius alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania
na ''alikuwa mkristo''.

Hili siliungi mkono na sababu kubwa ni kwamba siungi mkono udini.

3. 90% ya cream inayotajwa inahusishwa na ukristo.

Hapa sijaelewa ni kigezo gani ulichotumia kuja na hii namba.

Labda kama una-wahusisha akina Mangi Mandara, Mkwawa, Milambo, Mangungo na wengine wa enzi
hizo. Wote hawa wanaotajwa si wakristo na wala hawakuwa waislam.

Katika watu wote waliotajwa katika historia na vitabu mbalimbali vinavyohusu historia ya kuanzia
mwaka 1950 wengi wanaotajwa ni waislam. Pemgine utanishawishi kubadili mawazo utakapo weka
takwimu halisi ili niridhike. Si lazima takwim zako zifike 90% weka japo zifike 75%.

Hitimisho.

Tuepuke kujenga hoja kwa hisia.

Iwapo malalamiko yanatolewa na hayasikilizwi, pengine ni vema kutafakari iwapo njia inayotumika
kutoa malalamiko ni sahihi.

Mfano iwapo tunalalamika kuna watu muhimu katika historia ya nchi wamesahaulika katika kumbukumbu
za Taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo basi tuyatoe malalamiko hayo bila kuchanganya na mambo mengine kama dini ambayo yanaweza kupunguza nguvu ya hoja.

Tujaribu kutenganisha dini katika hili. Kwa sababu historia ya nchi inapoandikwa ni kwa ajili ya
nchi si kwa ajili ya kikundi cha dini moja au mbili.

Iwapo mafanikio yakipatikana wakawa kwenye historia kama watu wengi ambavyo wangependa iwe, bado haitafuta dini yao wawe ni wakristo, waislamu au wasio wa dini hizo kama kina Kinjekitile.

Mtu Mzima.

mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.

Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21

WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125

WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25

WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11

WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215

WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

Hitimisho langu;

Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.

AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
 
Ukweli siku zote utabaki kuwa hivyo. Historia ya nchi hii hata kama itakuwa distorted kiasi gani kuna siku ukweli utadhihiri. Maoni yangu ni kuwa bw. mohamed anachotanabahisha ni ukweli wa historia ya mapambano ya kudai uhuru wa tanganyika umepindishwa na anatoa ushahidi wa kuthibitisha asemayo.
Kwa wale walizaliwa miaka ya 50 wakirudisha kumbukumbu zao nyuma watakumbuka kwani lile vuguvugu la mapambano ya uhuru wa tz kwa wa wanadar [wa enzi hizo] ilikuwa siyo mchezo kwani ninakumbuka kuna mama mmoja muuza pombe hapa mjini alitoa ka akiba chake chote kusaidia safari ya nyerere un.
Hivyo basi hao ambao bw mohamed amewataja ni kweli kabisa walishiriki sana katika vita ya kudai uhuru wa nchi hii

Kama huyo mohamed amewataja wewe unataka nini?
 
A)Mkuu binafsi huwa nashindwa kuelewa kwa nini maelezo ya ndugu Moh huwa mara nyingi yanakuwa grossly misinterpreted whether by accident au deliberately.

B)Sioni kama Moh anataka watu wa madhebu yake walio pigania uhuru wa nchi hii walipwe ujira au pension - Moh anacho taka ni wananchi waelezwe ukweli i.e
Anataka wasipindishe historia ya kweli ya TAIFA letu kwa kuwasahau mashujaa ambao wengi wao waikuwa ni wa madhebu ya Kislaam - hilo alina ubishi, kwani tatizo liko wapi - Uislaam au upiganiaji uhuru - tusicho kipenda hapa ni nini hasa?

C)Tunashindwa nini kukubaliana na ukweli!! Ni kweli si Waislaam peke yao walio husika na harakati hizi, lakini ukifanya utafiti bila yakuwa biased, ukuzungumza na wakoloni wa Kingereza ambao wangali ahi wanakiri kwamba Waislaam walikuwa highly organised katika harakati zao na ndio walikuwa wanawapa wakati mgumu wakoloni - mimi niliwahi kupata bahati ya kuzungumza na mmoja wao ndio maana huwa namtetea ndugu Moh.

D)Tusiwe blinded na a few statements kwenye maandiko yake ambazo wakati mwingine zina onekana zina hisia kali, that is understandable kutokana na familia/Baba yake kuwa victim wa saula hili, mambo mengine ndugu Moh yuko sahihi by 98.9%.

E)Kwa nini historia ya Taifa letu baada ya uhuru baadhi ya Raia/watu majasiri walio jitolea kwa hali na mali katika kupingana na wakoloni wanafutwa kwenye historia - kuhanzia majina yao na picha zao! Na ukiangalia kwa umakini unakuta idadi ya victims wa Scheme hii ovu hiko highly Disproportionate kwa upande wa ndugu zetu Waislaam, WHY?

F)Mimi nafikiri zoezi hili la kuandika katiba upya lingekwenda sambamba na kuandika historia ya kweli kuhusu Taifa letu, wale wote walio changia katika ukombozi wa Taifa hili wajina yao yawekwe wazi na ijulikane walihusika vipi na ni kitu gani kilijiri mpaka wakasahulika, si hilo tu hata mtu aliye Engineer saula hili ajulikane - Victims wote waombwe msamaha kama wangali hai au warithi wao wapewe medali, bahati nzuri JK anaonekana kulitambua sana hili na kusema kweli anakwenda vizuri na zoezi zima ndio maana mwaka jana/juzi aliwakumbuka baadhi ya mashujaa hawa waliosahulika;

G)Taifa hili lisijiletee mikosi ya bure kwa kuwasahau watu muhimu, tusianze kusingizia/ kuendekeza mambo ya kidini kwenye vitu ambavyo ni OBVIOUS.
Bukyanagandi, nikushukuru kwa kujenga hoja bila matusi.
Ni bahati mbaya nyuzi zinazomhusu Mohamed Said zimekuwa dimbwi la matusi kama ya karibuni na kupoteza maana iliyokusudiwa. Nimeweka hoja zako kwa makundi naomba uvumilivu kwa nyuzi ndefu.
Mambo mazito tuyazungumze kwa uzito, mabingwa wa matusi tuwatake radhi,eneo hilo hatuna ujuzi nalo.

Nyuzi za MS hazitafsiriwi vibaya au kupotoshwa(Kifungu A) bali zenyewe zina hisia (sensational) kama ulivyoeleza katika kifungu (D). Mwanahistoria hatakiwi achanganye matatizo yake na historia, hilo ni kosa la kwanza nashukuru umeliona na ncdicho chanzo cha `
grossly misinterpreted whether by accident au deliberately`Kama ulivyobainisha.

Kifungu (B), unapodai MS anaandika historia ya madhehebu yake(imani nadhani) tayari inakuwa si historia.Historia ni mtiririko wa matukio kwa nyakati kama yalivyotokea na si kama yanavyoumbwa.

Unaweza kuandika historia ya kabila fulani, huwezi kuandika historia ya Tanganyika kwa kundi fulani.
Kufanya hivyo ni kupotosha ukweli.

Kusema K.Sykes na AA ukamwacha Cecil Matola, au Ramadhani Ali kama utakavyomuacha Kyaruzi na TAA ni upotoshaji wa historia si kuandika ukweli.

Watu wengi sana hapa jamvini wengine wakiwa wameyaona kwa macho kama akina Mag3 wanasema historia ilikuwa na mapungufu tena kwa kuonyesha wazi. Wanachokataa ni masahihisho ya historia kwa upotofu zaidi.

Nani asiyekubali kuwa Nyerere kaja Dar tena mtu mzima! bila mshirika au ndugu.
Nani kakataa kuwa wazee hawakuwepo Dar. Kinachokataliwa ni madai ya MS kuwa Nyerere alianza siasa mwaka 1952 kwa mara ya kwanza alipokuja Dar. Kuna tatizo gani tukisema MS amepotosha.

Kifungu G: Taifa lisiendekeze mambo ya udini katika mambo obvious! Nashangaa kwanini useme hivyo wakati umeshasema waislam ndio walipigania uhuru(C) na kuwa ni victim(E) na kuhoji tatizo ni nini MS akiandika historia ya madhehebu yake. Anayefanya mambo haya yachukue sura ya udini ni MS na kwa malengo mahususi

Ndugu yangu, historia ya MS haina ukweli kama unavyotaka kutuamisha.
Kungekuwa na ukweli ambao unataka vizazi vijavyo vielewe, MS asingeficha Usaliti wa familia ya Sykes kwenda kupigana na wazalendo. Ni mkosi kama ulivyosema (G).
Hivi ikiandikwa historia kuna sababu gani za kuomba radhi familia ya Sykes iliyokuwa mamluki wa kwenda kumpiga Mkwawa. Tuombe radhi wasaliti na wahaini! Tafadhalini.

Baada ya kumaliza kuandika historia ya waislam waliopigania Uhuru, MS ameandika kuhusu kuonewa kama raia wa daraja la pili, akaenda mbali na kutoa takwimu za viroja kuhusu mitihani.

Anachokifanya ni kujenga hoja kwa kutumia historia, hoja ambazo hawezi kuzitetea kwa mantiki bila chembe ya udini. Nitakupa mfano.

MS ameandika paper kuhusu `Taifa lisilo na mashujaa` ya hivi karibuni.
Ukisoma anamshambulia Nyerere na kuacha ukweli ulioko chumbani mwake.
Analalamika mashujaa hawatambuliwi hata kwa mitaa na majina.

Asichokijua MS ni baraza la madiwani lililokaa kufuta jina la bibi Titi Mohamed au kumpa Y.Makamba mtaa lililongozwa na wazee wa Dar waislam. Hawaulizi wenzake anatafuta mahali pa kutokea na lawama.

MS anasahau au hajui aliyetoa jina la Mwai Kibaki na kufuta Bagamoyo Road miaka miwili iliyopita si Nyerere aliyekaburini miaka 14 leo, ni JK aliye Ikulu.

MS anajitia ujuha wa kutojua kuwa Ocean Road imeitwa Barak Obama na JK na baraza la madiwani wa Jiji tena wa Ilala na diwani wa Karikoo akiwemo.

Katika mifano hiyo hatujamsikia MS akilalamika sasa inakuwaje akalalimikie Nairobi tena kwa kulaumu Marehemu. Haya ndiyo mnaita Ukweli! Wapi Unafiki unaweza unawekwa kwenye mizani na Ukweli.

Lakini pia MS hana sababu za kulalamika kuhusu majina ya mashujaa wake.
Kwa mtu mwenye akili kama hamthamini baba yake au mama yake anategemea jirani awathamini huyoo ni mjinga.

Kwanini MS adhani kuwa kuna umuhimu wa kutoa jina la barabara ya Abdul.Sykes wakati kuna maeneo kama Shule yana majina yasiyomaanisha lolote au chochote kijamii au kidini bali utumwa wa akili tu!
Natoa mifano.

MS alipaswa kubadili :
Al Haramaini kuwa Abdul Sykes college of education.
Masjid Quba kuwa Mshume Kiate secondary School
Thaqafa iwe Mwapachu secondary School
Jabal Hilal iwe Mwafongo secondary School
Morogoro University iwe K.Kleist Univesity
Ubungo Islami iwe Jamiaya fil Islam Tanganyika
Al Farook iitwe EAMWS secondary kama kumbu kumbu
n.k.

Baada ya hapo MS arudi Ilala na kuwashawishi madiwani ambao wengi ni wa imani yake wabadili majina ya mitaa. Mtaa wa Twiga uitwe Tatu Said Avenue, Mtaa wa Muheza uitwe Binti Farijala Boulevard, Lumumba iitwe Yusuf Cahember street n.k.

Endapo watu wa Buguruni wametambua umuhimi wa kumwita mzee wao Madenge nini kinamshinda MS kuhamasisha watu wa Karikoo wafute majina ya Makamba na kuweka ya wazee wake.

MS anaweza, hataki kwasababu lengo lake si kutoa majina. Lengo ni kuamsha hisia za uonevu na kupata platform ya kuungwa mkono hata kaienda wasikojua Sykes ni nani alitoka wapi na alifanya usaliti gani kwa taifa hili.

Wanajamvi, Abdul Syke na Baba yake wote kwa maandishi yao yaliyonukuliwa na MS wamesema lengo la uhuru lilikuwa kumkomboa Mwafrika(Shahidi ni MS kwa maandishi yake).

Hakuna mahali ambapo MS amennukuu mpigania uhuru yoyote wa imani yoyote akisema kuwa lengo la uhuru lilikuwa la kidini! hakuna! Hili la kuandika historia ya dini ni la MS kwa sababu zake za kuchochea hisia, halikuwa agenda ya wapigania Uhuru.

Kwa msioujua, MS ameandika historia ya Tanganyika baada ya kufuzu mafunzo ya Profesa wa Hisabati kutoka Pakistan ambaye sina shaka anaielewa Tanganyika vema kuliko MS. Leo tunashawishiwa kwa bidii kabisa tumsikilize mwanafunzi wa prof wa Pakistan atueleze ukweli kuhusu Cecil Matola, Caurembo na Mwafongo!

Na mwisho, naomba yoyote awaye ananifahmishe kwa uhakika kuwa wote waliokuwa na majina ya kiislam walikuwa Waislam.

Kama swali hili halitakuwa na jibu basi kuna tatizo, watu wakae kimya maana wanacheza ngoma wasioijua!

mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.

Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21

WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125

WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25

WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11

WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215

WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1994-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2004-2011 R,A,MKANDALA.

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

Hitimisho langu;

Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.

AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
Dr. kahtaan,

Nimesoma hizi bayana zako kiduchu hakuna wakuzijibu zaidi ya maneno mengi yasiyokuwa na maana.
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza kijana, katika kitu ambacho hakipo katika Uislaam ni ubaguzi, uwe wa rangi, jinsia, dini na au kabila, au uwe wa aina yeyote ile.

Kumbuka Hijra (immigration) ya kwanza ya Waislaam, walivyokuwa hawakubaliki Makkah, walielekezwa na Mtume Muhammad S.A.W waende Habash, huko Habash ndio Ethiopia ya sasa, na huko kulikuwa kuna mtawala Mkristo, nae akawapokea na kuwahudumia.(akiitwa Nagash).

Leo hii uelewe, hakuna Muislaam ambae ni adui wa anaejiita Mkristo. Adui wa Wakristo ni yule aliye msulubu Yesu, ni nani huyo?

Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?

Muislaam, hana tatizo na Mkristo wala Mkristo (wa kweli) hana tatizo na Muislaam.

Tatizo lako ni nini?
tatizo ni pale nyinyi mnakuwa na hofu na kusikia ukweli.
sasa kama hapo umegusia viti 12 vya kuingilia mbinguni. what is that:shocked:!!!!!!!!!kwanini usiseme vitasa, pengine.
infact, sijawahi sikia kitu kama hicho. njia ni moja tu ya yesu kristo pekee sio viti.
 
mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.

Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21

WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125

WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25

WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11

WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215

WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

Hitimisho langu;

Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.

AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
okey mkuu ningependa utoe ulinganifu wa idadi ya shule za kiislamu na zile za kikristo zilizokuwepo wakati baba wa kitaa akichukua madaraka, na hata kuzitaifisha. ili nijuwe lengo kama uwiano wa ajira kama unahusiana na elimu yao ama ni mapendekezo ya manasara
 
tatizo ni pale nyinyi mnakuwa na hofu na kusikia ukweli.
sasa kama hapo umegusia viti 12 vya kuingilia mbinguni. what is that:shocked:!!!!!!!!!kwanini usiseme vitasa, pengine.
infact, sijawahi sikia kitu kama hicho. njia ni moja tu ya yesu kristo pekee sio viti.

Luka 22:30)
"mpate kula na kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku mkiwa hukumu makabila 12 ya izraeli."
 
Ukhti FaizaFoxy kujaribu kumuelekeza huyu 2013 ni kupoteza wakati tu!

Ufahamu wake si mahiri hata kidogo!
Uislamu haujui wala ukristo pia haujui!

Basi anasema chochote akipendacho!

They say" how could you make a blind person leading the way while there is others who can see?.

I try to deal with someone who can see.!
No just look!!
 
Last edited by a moderator:
Luka 22:30)
"mpate kula na kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku mkiwa hukumu makabila 12 ya izraeli."
okey nimekupata, though hapo mwanzo uliandika aliewaeka viti vya kuingilia mbinguni. tafsiri hii na ile hazikuweza kufanana.sasa labda tuacche matatizo ya lugha, unamaana yesu ni adui wa wakristo. ama?
 
Nna maana Muislaam si adui ya Mkristo, yule aliye msulubu Yesu ni nani? kwanini asiwe adui yake, yule alifundisha uongo kuhusu Yesu na akakiri, kwanini asiwe adui yake, kwanini leo watu wanaofata mafundisho ya Yesu to the dot wawe maadui wa Ukristo? Yesu mwenyewe wakati wake hakukuwa na mtu aliyeitwa Mkristo.

Unaweza kuonesha mahala ambapo Yesu alisema kuweni Wakristo?

Sasa wewe jiulize adui wa Yesu ni nani?

Hiyo niliokuwekea nyekundu ni reversal.
 
teh teh teh teh ! just the way I thought!! sasa kujaribu kumuelimisha mtu anaesema MAANA YA MUSLIM NI MWISLAMU si bora kuongea na mbuzi! labda baada ya miaka kadhaa anaweza kuelewa!!

Jibu uliotoa hapa ni sawa na kuulizwa NINI MAANA YA AMERICA wewe ukajibu kuwa AMERICA NI MAREKANI!!

Teh teh teh teh ! nakuachia ukumbi kijana, mi sio wa level yako!!

cc Tayeb

Dr kahtaan huyu mtoto sio level yako achana nae!
 
Last edited by a moderator:
mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.

Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21

WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125

WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25

WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11

WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215

WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

Hitimisho langu;

Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.

AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda

Al akhiy Dr kahtaan,

Wallahi umeeleza vizuri sana mkuu!

Yaani takwimu zote ulizotoa hazina mashaka hata kiduchu!

Huo ndio ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Al akhiy Dr kahtaan,

Wallahi umeeleza vizuri sana mkuu!

Yaani takwimu zote ulizotoa hazina mashaka hata kiduchu!

Huo ndio ukweli!

Ndugu yangu Tayeb tunajaribu kuwaonyesha hawa watu namna ya MFUMO KRISTO unavyo fanya kazi ya DHULMA kwa waislamu. Lkn cha ajabu BADO WANABISHA!

Aiseee! Akhi Tayeb kutokuwa na elimu ni balaa kubwa sana.
Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Nna maana Muislaam si adui ya Mkristo, yule aliye msulubu Yesu ni nani? kwanini asiwe adui yake, yule alifundisha uongo kuhusu Yesu na akakiri, kwanini asiwe adui yake, kwanini leo watu wanaofata mafundisho ya Yesu to the dot wawe maadui wa Ukristo? Yesu mwenyewe wakati wake hakukuwa na mtu aliyeitwa Mkristo.

Unaweza kuonesha mahala ambapo Yesu alisema kuweni Wakristo?

Sasa wewe jiulize adui wa Yesu ni nani?

Hiyo niliokuwekea nyekundu ni reversal.
yesu hakuwahi kusema watu wwe wakristo bali alifundisha kuishi kwa haki na imani. ukristo ni utambulisho tu wa wanaofuata mafundisho ya yesu kristo, bali yesu kristo hakuunda dini, bali watu waliunda dini. wakristo hawashindanii dini bali maisha ya utakatifu ambayo pasipo hayo hakuna atakayemwona mungu." (Mathayo 5:20"Maana nawambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni." (Mathayo 5:20)
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si ya kristo(wakolosai 2:7).

Ndugu yangu Tayeb tunajaribu kuwaonyesha hawa watu namna ya MFUMO KRISTO unavyo fanya kazi ya DHULMA kwa waislamu. Lkn cha ajabu BADO WANABISHA!

Aiseee! Akhi Tayeb kutokuwa na elimu ni balaa kubwa sana.
Tuko pamoja.

Wana mtihani mkubwa sana hawa watu Dr kahtaan!

Inshallah tuko pamoja katika kuwaonesha hawa watu ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Ukhti FaizaFoxy kujaribu kumuelekeza huyu 2013 ni kupoteza wakati tu!

Ufahamu wake si mahiri hata kidogo!
Uislamu haujui wala ukristo pia haujui!

Basi anasema chochote akipendacho!

They say" how could you make a blind person leading the way while there is others who can see?.

I try to deal with someone who can see.!
No just look!!
1. Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?

2. Luka 22:30)"mpate kula na kunywa mezani pangu katika Ufalme wangu; na kuketi katika viti vya enzi, huku mkiwa hukumu makabila 12 ya izraeli."
To be straight up, mkuu, je hizi sentensi mbili hapo juu, zinaleta maana iliyo sawa?.fahamu kuwa , imani sio kukremishana.
 
To be straight up, mkuu, je hizi sentensi mbili hapo juu, zinaleta maana iliyo sawa?.fahamu kuwa , imani sio kukremishana. [/SIZE][/FONT][/QUOTE]

Mr 2013.
Unapo amua kushiriki ktk serious threads kama hii unahitaji uwe na atleast basic knowledge ya somo lenyewe.

Hapa somo ni "ISLAM'S ROLE IN TANZANIA FREEDOM"

Sasa basi kama unataka kuchangia lolote hapa. Uwe tayari japo kufafanua na kuelezea hata maana ya maneno au majina yaliopo hapo juu!
Kwa mfano nini maana ya :-
1.ISLAM.
2.ROLE.
3.TANZANIA
4.FREEDOM.

Sasa ndugu 2013 tunalumbana mimi na wewe nikiwa na imani unafahamu japo maana ya somo lenyewe!
Nakuuliza MAANA YA ISLAM unajibu.
ISLAM IS MWISLAMU!!!!!!!!!!!!

Sasa hapa tu! Nimeshindwa hata kuendelea kujadili tena! Manake vipi ntakueleza japo linalohusu ISLAM wakati kumbe HATA MAANA YAKE HUIFAHAMU??

Na hii sio kashfa mkuu! Wala mi sijisifu kuwa nafahamu kuliko wewe! Ila kwenye somo lililopo hapo juu, kwa kweli hufahamu kabisa the very basic of it.

Mimi SIO MKRISTO lkn nimesoma Ukristo zaidi ya miaka mitano!! Na nashkuru kuwa naweza kusema kutokana na uzoefu wangu humu JF! NAUFAHAMU UKRISTO KULIKO WAKRISTO WENGI SAANA HUMU!

I humbling request you to study a little bit about ISLAM then I am sure next time you will have a very strong base to build up your arguments. and your points.

Thank you for trying anyway.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom