Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

to be honest hata mimi nimecheka, ha ha ha ha.
uzi wangu mwaumwagia tindikali nyie, yaonesha ninyi watu wa visiwani mshaanza hayo mambo yenu ya kupita na vivespa na kurushia watu tindikali. mwaona lugha yenu bora, mwajiona waungwana sana ninyi.
inanshangaza mbona sku hizi mwaenda skuli kujifunza hicho kingereza, si mngekwenda skuli kujifunza zaidi hicho kimakunduchi chenu. hamwoni khaya nyie.kwanza nshawaambia hii mada haiwakhusu, yawakhusu watu wabara tu. ninyi mbakie hivohivo kusubiri waarabu waje waatwae.
 
Mag3

Umetuambia mkutano wa kwanza wa AA ulifanyika nyumbani kwa Cecil Matola, Dar es Salaam.

Kwa faida ya wanaukumbi unaweza kutuambia nyumba yake alikuwa mtaa/sehemu/maeneo gani hapo Kariakoo.

Tashukuru kama utanijibu hili tupate kujifunza.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kurukia post na kujibu bila kufahamu hoja.

Wewe umesema hao marais siyo Wakirsto nimekuambia tufahamishe dini zao umerukia Al-Shabaab.
huu ndio nauita udhaif wenu, wanlazimisha niachane na mada ili nikujibu hoja isiyo na mashiko. fahamu unapotaja ukristo usihesabu masunagogi wala mahekalu, huwa tunahesabu maisha. ukristo ni maisha.
ni bora kuniambia TB joshua, kakobe, lusekelo, ni wakristo kuliko kunitajia jina la mtu lenye asili ya ukristo na kumwita mkristo. watu wanaishi kwa mila za kwao nyinyi mnawaita wakristo.
unataka kuhusisha vurugu za Congo,Rwanda ni za ukristo. your wrong!!!!!!! ila alshababu, boko haram its pretty obvious wale ni waislamu na wanatekeleza miongoni mwa nguzo za kiislamu za kuua.
 

Sasa ni kipi hapo cha Cecil Matola ulichokiandika kipya? naona beti zako zote ni upambe lakini zinazomuhusu Matola ni mistari isiyozidi minne.

Isitoshe, ulivyoandika wewe huko juu na kile kipande ulichokinukuu ni vitu tofauti, ngoja nikuwekee utunyambulie zaidi, tukuamini wewe au uliyemnukuu?

Hii yako wewe:
Mwaka 1866 dhehebu la Kikristo, UMCA, lilinunua sehemu ya ardhi nje kidogo ya mji wa Zanzibar na kujenga hosteli kubwa katika juhudi zao za kuwapa hifadhi wahanga wa Utumwa.

Hii uliyoinukuu:

Tumuamini nani hapo? wewe au Minaki?
 

Kwa maswali yako hayo ya kukwepa silaha zangu nakuomba kwa staha na uungwana kati ya haya mawili moja ulitekeleze,

1: fungua uzi au
2: tumia tito 3:9 ufanye kuwa ndo jibu sahihi

Kama pana jengine naomba twendelee hadi tupate kilichofichwa.
 

Qur'an 2:6 - 7
 
Kuna tofauti gani kati ya maandishi yangu na ya Minaki.. FaizaFoxy, wewe si ligi yangu, mwalimu wako Mohamed Said ndiye huyo huyo ninayempa dozi.
 
Last edited by a moderator:
Jibu wewe ni Shia ,Ismailia, Sunni au Bohara.... au ndio hujijui upo pande zipi? Ritz msaidie mwenzio au na wewe Hujijui... Sheikh Hemed Jalala yeye ni Shia... Nyie ni dhehebu lipi? au ndio umeshikwa then wataka kwenda pepo?

Kwa kiwango ulicho nacho nasikitika sana kwamba huna ruhusa ya kujadili bahari hiyo,

Hivi ati ndani ya biblia weye uliambulia kufahamu kitu gani?

Teh teh teh....!
Usinikimbie, nadhani ili twende sawa yafaa sasa tuanzie hapo,
 
Last edited by a moderator:

Mag3,
Ukiwa unataka kumpambanisha Cecil Matola na babu zangu haitakuwa haki.

Cecil Matola hakujaaliwa umri mrefu alikufa mwaka 1933 kwa hiyo hakufanya
mengi ukilinganisha na babu zangu.

Lakini mbona umemtaja Matola peke yake.
Vipi kuhusu Mdachi Shariff na Nichodemus Ubwe?

Lipo bandiko hapa JF katika kirago hiki hiki kuhusu Kleist Sykes kama nilivyoandika
katika mradi wa Oxford na Harvard.

Angalia mchango wa Kleist ambao ulikuja kuchukuliwa na wanae pale yeye alipokufa
mwaka 1949.

Kleist wanae wawili ni waasisi wa TANU.

Unataka nikupe habari za Martin Kayamba?

Kwenye kitabu, ''Modern Tanzanians,'' Iliffe katika kuwajulisha wasomaji wake Martin
Kayamba ni nani kamueleza kwa njia ya mfano tena katika ufunguzi kama kibaraka wa
Waingereza.

Sasa soma hapo chini usikie wenzake walikuwa wanamuonaje.

Katika kitabu changu hivi ndivyo nilivyomuandika Martin Kayamba:

''In a cruel and cynical obituary on the death of Martin Kayamba,[1] Fiah lamented
that Africans did not benefit from Kayamba's education nor from his post as a clerk to
Assistant Chief Secretary.'' [2]

Yapo mengi ningependa uyajue kuhusu Martin Kayamba.
Endela kunisoma hapa nilivyoweleza Martin Kayamba katika kitabu changu:

''There was a very big difference between the Tanganyika Territory Civil Servants' Association
(TTACA), founded in 1922 by Martin Kayamba, and the Dockworkers' Union, both in leadership
and in direction.

TTACA was a harmless genuine welfare association, free from any conflict with the colonial
administration.

It was ‘a club for clerks and teachers, with newspapers and a football team, encouraged by
the government.'' [1]

Bado sijamalizana na wewe Bwana Mag3.

Ukitaka kustarehe na Martin Kayamba soma kitabu chake, ''The Autobiography of Martin Kayamba,
''The Story of Martin Kayamba Mdumi, MBE, of the Bondei Tribe,'' katika Margery Perham, (ed)
Ten Africans, pp.175-272 uone jinsi babu yako anavyolamba viatu vya Waingereza.

Ukishasoma kitabu hiki rudi hapa jamvini nakusubiri.

Martin Kayamba mjukuu wa Chief Kimweri.
Kimweri alikuwa Muislam.

Ludwig Krapf alipofika kwa Chief Kimweri 1848 kamkuta Kimweri kastaarabika kavaa kanzu na kilemba yuko
katika mahakama yake anahukumu anajua kusoma na kuandika Kiarabu.

Hakuwa peke yake akijua kuandika.

Wanae na Waislam wengine Vuga na katika utawala wake wote walikuwa wameelimika.
Hasad ilimsonga roho Krapf.

Alikuja kwenye ''dark continent'' kakuta mengine kabisa.
Uislam umeenea na watu wanajua kusoma na kuandika msingi wa kujifunza kusoma ni madras.

Wakoloni walipoichukua Tanganyika kitu cha kwanza ilikuwa kupiga marufuku hati za Kiarabu.
Kingine kilichofuata ni kuwaritadisha akina Martin Kayamba.

Kayamba akawa Mzungu hata kumshinda Mwingereza mwenyewe.

Mwisho napenda kukufahamisha kuwa Kleist Abdallah Sykes alizaliwa Muislam na kazikwa Kisutu Makaburi
ya Waislam.

Nitakuongezea kuhusu Chief Kidaha.
Aliyeritadi kuingia Ukristo si yeye peke yake.

Mdogo wake Hussein vilevile aliritadi.
Na hawa wote mimi nimeowaona.

Hussein alikuwa rafiki wa mmoja wa baba zangu.
Chief Kidaha aliritadi mwaka 1945.

Ukitaka kisa hiki sema nitakiweka hapa jamvini.

Nakunja jamvi kwa bashraf hii hapo chini.

Kama mwenye chuki na Martin Kayamba si mimi bali ni John Iliffe aliyemwita Kibaraka.

Mwenye chuki ni Erika Fiah aliyemwita kibaraka wa Waingereza tena kwenye taazia na kusema kuwa
kazi kubwa aliyoimudu Martin Kayamba ni kufuga kuku Muheza baada ya kustaafu kazi.

[1] Iliffe, ‘Tanzania Under British Rule' in B.A. Ogot and J. Kieran (Eds) Zamani:
A Survey of East African History
, East African Publishing House, 1968 p. 22 quoted in
African Studies Working Paper No. 8, April, 1979, by G.W. Reeves.



[1] See Iliffe, ‘The Spokesman: Martin Kayamba' in Iliffe (Ed), Modern Tanzanians,
op. cit. pp. 66-94.

[2] Kwetu, 29 June, 1940.
 
thank you mkuu, i wish kahtaan na Faiza foxy wameziona hizi bayana. swadakta , cattle rustler.
xina cha kuongeza hapa.
 
Kuna tofauti gani kati ya maandishi yangu na ya Minaki.. FaizaFoxy, wewe si ligi yangu, mwalimu wako Mohamed Said ndiye huyo huyo ninayempa dozi.

Wewe kwangu ni kinyaganrakata tu, unajidai kuna tofauti gani wakati zi wazi kabisa!

Unatafuta pakutokea. Hupapati kwangu.

Wewe umeandika "katika juhudi zao za kuwapa hifadhi wahanga wa Utumwa."
Minaki wameandika"the main purpose of getting Christian converts by 1920 they had failed completely."

Bado huoni tofauti? amma kweli wewe ni mwenye macho lakini hayaoni.

Na huyo Matola ndio umemaliza Historia yake? amma kweli.
 
Unaona sasa unavyokurupuka kunijibu, mie nilikuwa nampa mfano mwenzako aliyekuwa anaeleza matatizo ya waarabu ndiyo Uislam.

Nikampa mfano wa hao marais nikamwambia unyama wanaofanya hauwezi kunasibisha na dini yao.

Wewe kwa sababu ya kubishana ukakurupuka na habari za Al-Shabaab.
 
mkuu namuunga mkono huyo aliyekueleza matatizo ya waarabu, simply because waarabu wanatawala za udini(i.e. nchi za kiislamu), tofauti na sisi wa huku kwetu tuko secular.
 
mkuu namuunga mkono huyo aliyekueleza matatizo ya waarabu, simply because waarabu wanatawala za udini(i.e. nchi za kiislamu), tofauti na sisi wa huku kwetu tuko secular.
Tawala za udini kama zipi? Halafu (nchi za kiislam) zipi?
 
imani ya kweli utaijua tu kwa matendo yao.
 
Ha ha haa FaizaFoxy, unanchekesha. Baada ya kuwahifadhi wahanga wa utumwa social services zilihitajika kama elimu dunia, afya na elimu dini, upo?
FaizaFoxy said:
Chaka Zulu = Sheikh Zulu. Ulikuwa unalijuwa hilo?
Ha ha haa, yale yale ya Mohamed Said, hadithi za mitaani. Yuko pacha wake anaitwa Al Mansour wa the Islamic Propagation Center International (IPCI) aliyewahi kutoa madai kama haya haya lakini akapewa dozi kutoka kwa Mzulu mwenyewe;

Na mimi naongezea...perhaps Mohamed Said has access to some original sources of history not yet considered by historians? Ha ha haa...!
 
Tawala za udini kama zipi? Halafu (nchi za kiislam) zipi?
ritz kwanza hiyo avatar yako inavyontisha!!!!!!!!!!ningeomba turudi kwenye uzi, kwani hata nikikupa evidence najua mwishowe utatukana tu, kama ilivyoada kwenye imani yenu. wengi wenu humu mnaongoza kwa lugha za ukali na matuxi ya rejareja. jua kwamba nyinyi ukweli hampendi na hamna pa kujificha pia. hata mada hizi zenye chuki mnaleta huku ili kuendelea kujifunza namna ya kuwashawishi watu huko kwenye nyumba zenu za kuswalia, watakapo wahoji validity ya hoja zenu. hoja zenu nyingi zinapokea bash xana na mwishowe mnaanza kutukana na kuchukia. uwezi tenganisha vita na uislamu, nenda popote duniani utalijua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…