Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Maulana wabara
Katika Qur'an hakuna mazingaombwe, mizuka wala mafumbo (madai ya nguvu ya roho), bali ni kitabu chenye ujumbe wa kweli ulio wazi, maridhawa, na rahisi kueleweka.
Ma Al Akhiy Ritz na kahtaan, mimi napita tu...kaaazi kweli kweli!Haya ni ktk mafundisho ya Mtume Muhammad s.a.w. na kwa wewe ukitaka kuelewa MAANA HALISI YA SCIENCES YA HADITH ZA MTUME S.A.W
UNATAKIWA USOME SAANA! ( Si chini ya miaka 7!)
Ndio maana unaskia hadith ! Basi lzm awepo msomi hapo KUZITAFSIRI MAANA ZAKE HALISI! NA ZILILENGA NINI!!
Nadhani siku nyingine utajaribu kuelewa maneno yanayotumiwa kwenye ahadith
Kabla ya KU COPY NA PASTE!
cc: Wickama