Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Maulana wabara

Katika Qur'an hakuna mazingaombwe, mizuka wala mafumbo (madai ya nguvu ya roho), bali ni kitabu chenye ujumbe wa kweli ulio wazi, maridhawa, na rahisi kueleweka.

Haya ni ktk mafundisho ya Mtume Muhammad s.a.w. na kwa wewe ukitaka kuelewa MAANA HALISI YA SCIENCES YA HADITH ZA MTUME S.A.W

UNATAKIWA USOME SAANA! ( Si chini ya miaka 7!)
Ndio maana unaskia hadith ! Basi lzm awepo msomi hapo KUZITAFSIRI MAANA ZAKE HALISI! NA ZILILENGA NINI!!

Nadhani siku nyingine utajaribu kuelewa maneno yanayotumiwa kwenye ahadith
Kabla ya KU COPY NA PASTE!
Ma Al Akhiy Ritz na kahtaan, mimi napita tu...kaaazi kweli kweli!
cc: Wickama
 
Maskini mpita njia!

Kaona amegundua cha maana hapa!

Shariff Ritz anaongelea QURAAN!

mimi namjibu huyo mwenzako khabari za HADITH!! And science of ahadith specific! Ambae anapenda ku copy and paste vitu asivyo vijua!

Kama hujafahamu mpaka hapa! We pita tu! Usije kuadhirika hapa!
 
Last edited by a moderator:
Ma Al Akhiy Ritz na kahtaan, mimi napita tu...kaaazi kweli kweli!
cc: Wickama

Kweli sio mchezo. Kaaazi kweli kweli.

Hapa ndipo unaona ni jinsi gani chuki dhidi ya Nyerere ilivyo-deep kwa baadhi ya watu waliolishwa hizi fitina za Moh Said. Hata ukijaribu ku-reason nao kwa kutumia dini yao wenyewe, wapo tayari kukwepa kwepa na kutoa tafsiri zingine ilimradi tu usije ukawaondoa kwenye chuki yao dhidi ya Nyerere.

Wickama
Pole sana ndugu yangu. Waislam wengi wasiokubaliana na fitina/histohisia za Moh huwa wanasoma bila ku-comment na wanajiepusha na mambo kama haya ya kukuita mkatoliki, mgalatia, chadema, kauzu, n.k. Wanaomuunga mkono Moh, ni wale wale na lugha zao zile zile kama kwenye thread za nyuma tulizoshiriki.
 
Naona unatoa pole kama jamaa zako wamefiwa!
We unachotakiwa ni kujenga hoja na kuonyesha huo udhaifu wa hoja zetu!
Sio kudandia treni ambayo imesha chukua speed ya ajabu!
Halafu unadandia kwa mbele! Kweli utapata nusra hapo!
Kauzu sio tusi! Bali ni CHEO anachopewa mtu anaeandika bila kufikiri!
Na nadhani na wewe mwenyewe kwa hiari yako unataka kujiingiza kwenye kundi hilo!
Teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Wow! I feel Violated now...

In my previous post,I didn't mean to hurt/offend you my lil Sister...it was only a little polite advice.

Put a little love in your heart...and don't be too sensitive,Ok!?

Now,can we get back to the Topic plse!?

Ahsanta.

whatever, grandmama, if u try acting a fool, i will do twice as much, now back to the topic grandma.
 
Mr Wickama
Niliyasema zamani haya!
Post zako zoote ZINANUKA HARUFU YA LAANATULLAH KHOMEINI na wake maswahiba zako wenye kusujudia jiwe!
Sina wakati wa kujibu hoja ya mtu anaingizwa kwenye dini ya kuabudu MTU kwa kupewa baskeli na zile jelebi za ithnaasheri pale kwenye lile hekalu lenu!
Na ukiendelea na speed hii ya kupotosha watu! Mwakani huenda ukapanda cheo cha kilemba cheupe na mnyororo mreefu wa kujichapia!
I am out of this nonsense!
 
Last edited by a moderator:
whatever, grandmama, if u try acting a fool, i will do twice as much, now back to the topic grandma.

You sound like that girl called "little red Riding Hood"
She was calling! Grand ma! Grand ma!
All day!
Teh teh teh teh! Kauzu .com
 
Huna ukauzu wowote, and for that matter i ignore your worthless post.
 
Shemeji za miaka?

soma hii;

Hasan Ibin Al Makhaariq reported that "Once a woman visited Aisha and when the woman got up to leave, Aisha made a sign with her hand indicating to the Prophet that the woman was short. The Prophet immediately chastised her, saying, "You have backbitten!" (Ibin Jareer tafseer Al Quraan al AdHeem, vol. 4, p. 328)

Link:

Gheebah (Gossip, Backbiting)

wasalaam shem

Wickama.

Narudia tena kukuambia Bi Aisha ametajawa kwenye Qur'an kama mwanamke mkweli na mwadilifu.

Usipende kuokota hizo paste and paste na kuzileta JF, kwa kukufahamisha tu kuna hadith za uongo zaidi ya laki tatu na hii yako inaangukia humo kwenye uongo tu.

Hadith sahih zinafahamika mafuhumu yake na mapokezi.
 
Last edited by a moderator:
Ma Al Akhiy Ritz na kahtaan, mimi napita tu...kaaazi kweli kweli!
cc: Wickama
Al-Munafukan Mag3.

Naona unajichanganya sijui kama unajua kama kuna hadith za uongo zaidi ya 300.000 zimeandikwa kwa makusudi kumchafua Mtume wetu/wake zake/maswahaba.

Mimi nieleza mambo ya Qur'an na Dr. kahtaan kakueleza mambo ya hadith.

Nakusubiri urudi.
 
Last edited by a moderator:
Wickama.

Narudia tena kukuambia Bi Aisha ametajawa kwenye Qur'an kama mwanamke mkweli na mwadilifu.

Usipende kuokota hizo paste and paste na kuzileta JF, kwa kukufahamisha tu kuna hadith za uongo zaidi ya laki tatu na hii yako inaangukia humo kwenye uongo tu.

Hadith sahih zinafahamika mafuhumu yake na mapokezi.

Shariff Ritz huyo jamaa nimeshamshtukia! Unakumbuka maswali yake ya mwanzo!? Na kutaka kubadilisha uzi!?
Sasa anakuja na mashambulizi ya UMMU LMUUMINII!
Hawa ndio wale ikifika ile siku yao wanajichapa na minyoror kwa hiari yao wenyewe!
Nimeskia harufu ya Khomeini muda! Lkn nilitaka kuhakikisha!
 
Shariff Ritz
Assalaamu alaykum warahmatullaah ,

Yaani mie hapa ni kicheko tu juu ya hizo baya zako na Duktuur kahtaan dhidi ya hao wagala,

Jana pana homework niliwaachia hao wakolosai, lakini naona wanalipuka na wasoyajua na kujifanyiza ata hawaoni nini ombi letu kwao dhidi ya L qur aanu l kareem,

Teh teh teh .....! Kwi kwi kwi..!

Yaani mwawazidia piga misumari ya moto katika majiraha yao yasohisabika,

Twaendelea waongeza ofa ya muda
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz huyo jamaa nimeshamshtukia! Unakumbuka maswali yake ya mwanzo!? Na kutaka kubadilisha uzi!?
Sasa anakuja na mashambulizi ya UMMU LMUUMINII!
Hawa ndio wale ikifika ile siku yao wanajichapa na minyoror kwa hiari yao wenyewe!
Nimeskia harufu ya Khomeini muda! Lkn nilitaka kuhakikisha!
Dr. kahtaan

Nimetoka mazoezini baharini nakutana na majibu ya huyu kauzu dhidi ya Bi Aisha.

Nilivyomsoma tu huyo Hasan Ibin Al Makhaariq nilicheka sana, Al-Munafikun Mag3 na wenzake wakashangilia teh teh teh.

Ngoja tusubiri hadith za kina Abu Jahar.
 
Last edited by a moderator:
Ilo sijui ila Mtume wenu walimkolimba. Simaneno yangu. Bali manenoya Sheikh Yaser al-habib. Msikilize mwenyewe.

Mtume wetu ni binaadam, tatizo "Mungu" anapokufa au kuuliwa! au bado u punguani?

Tuletee habari za Babuyo, wakati babu zetu wako kwenye harakati za kudai Uhuru babuyo alikuwa wapi? usinambie Malawi.
 
haa haaa haaaaa haa! Teh teh teh..

FaizaFoxy unapasua mbavu zangu.
 
Last edited by a moderator:
Wickama.

Narudia tena kukuambia Bi Aisha ametajawa kwenye Qur'an kama mwanamke mkweli na mwadilifu.

Usipende kuokota hizo paste and paste na kuzileta JF, kwa kukufahamisha tu kuna hadith za uongo zaidi ya laki tatu na hii yako inaangukia humo kwenye uongo tu.

Hadith sahih zinafahamika mafuhumu yake na mapokezi.

Shariff Ritz

Yaani naendelea kucheka sana kwa nayana zisofichana,

Ilimu ya hadeeth wataijulia wapi hao waokotaji na wababaishaji? Si kila tunda ulionalo ukadhni ati lafaa kuliwa, pana mangine ukila tu kaburini huna pingamizi ingia kwa ujingao,

Kwi kwi kwi ......!

Tieni akili jamani mbona mwajivua nguo ama ndo mmeamua baada ya kuona bimini vimekuzoeleki?

Enyi wagalatia nani kakurogeni?!

Teh teh teh..?
 
Last edited by a moderator:
Mtume wetu ni binaadam, tatizo "Mungu" anapokufa au kuuliwa! au bado u punguani?

Tuletee habari za Babuyo, wakati babu zetu wako kwenye harakati za kudai Uhuru babuyo alikuwa wapi? usinambie Malawi.

الحاجة FaizaFoxy
Usitaraji jibika hoja zako hata kwa nukta tika kwa hao wapotovu,

Hilo jambo nishalibaini muda mwingi hapa jamvini,

Kwao waona kusoma Qur aan ama hadithi wadhani ni sawa na kuokota kipande cha gazeti ukakisoma na kukitolea maelezo kwa wenye akili fil haal mwendelezo wake haupo, wakikuhurumia sana watakupuuza tu na kukuomba uwapishe katika baraza lao,

Yaani hao wagala ukiwapa ulizo kifuatacho ni hadithi za mbege tu toka kuleee....

Teh teh teh ....!
 
Mr Wickama
Niliyasema zamani haya!
Post zako zoote ZINANUKA HARUFU YA LAANATULLAH KHOMEINI na wake maswahiba zako wenye kusujudia jiwe!
Sina wakati wa kujibu hoja ya mtu anaingizwa kwenye dini ya kuabudu MTU kwa kupewa baskeli na zile jelebi za ithnaasheri pale kwenye lile hekalu lenu!
Na ukiendelea na speed hii ya kupotosha watu! Mwakani huenda ukapanda cheo cha kilemba cheupe na mnyororo mreefu wa kujichapia!
I am out of this nonsense!

lanatullah khomein teh teh teh? umeshamsomaeee?!
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz

Yaani naendelea kucheka sana kwa nayana zisofichana,

Ilimu ya hadeeth wataijulia wapi hao waokotaji na wababaishaji? Si kila tunda ulionalo ukadhni ati lafaa kuliwa, pana mangine ukila tu kaburini huna pingamizi ingia kwa ujingao,

Kwi kwi kwi ......!

Tieni akili jamani mbona mwajivua nguo ama ndo mmeamua baada ya kuona bimini vimekuzoeleki?

Enyi wagalatia nani kakurogeni?!

Teh teh teh..?
Maulana wabara.

Hawa jamaa wanachekesha sana hawajuhi hata kama uliishi zama za Mtume wetu kama ulikuwa mwongo, mfitini, mchonganishi, msengenyaji, hauwezi kueleza hadith yeyote na watu wakaikubali unakuwa umekosa sifa za uchamungu.

Bi Aisha amekusanya hadith nyingi kutoka kwa mume wake Mtume Mohammad, zote zinakubalika kutokana na sifa yake angekuwa msengenyaji wala hakuna angemuamini kwa chochote.

Ndugu yangu tupo hapa kutoa darsa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom