Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Wabara,
Ahsante sana.
 
Adduktuur kahtaan,
Salaamullaah alayka al akhiy,
Ahsanta kwa kumuweka sawa huyo bwana, lakini nachelea sema kwamba hajui utaratibu wa kupata ilmu kama aujua, sasa yaniwia vigumu hata mie kumsaidie kiumbe kama hoyo,

Jamani enyi wakwerwa katika dini sahihi ya Islamu hii ni bahari ndefu na ati mwataka lulu,

Nakusaidieni kwa mwenye kutaka LULU lazima aende chini kabisa mwa bahari ndo huenda akaipata,

Na ilmu hini ya dini yetu ina taratibu zake,

Na pana mapito yake,

Labda kidoho tu ni nene maneno ya mwanazuoni mmoya amkuliwa Muslim,

Bwana hunu kanena katika maneno yake ya utangulizi/muqaddima kwamba : - chegemezo ni katika dini, lau ingalisinga kuwa chegemezo basi yeyote mwenye lake angalisema lile atakalo sema,

Hapo ndo siyaaq ya mambo huanzia kufahamu na ndo utajakuta akituijia mtu navlake jambo tutakuuliza umepata kwa nani na hoyo nani kapata kwa nani?
Sasa tutaenda hivo mpaka tumpate mwenye nalo/mwanzilishi na hapo kwetu Waislaamu twamkusudia Bwana Mtumi Muhammad (S.A.W),


Nadhani sasa hoyo bwana aambatane kwa wangu ushauri na mapito hayo ili tuwe na utaratibu mzuri wa mambo tuyadiliyo na si maropoko tu.

Ahsanta.
 
Gombesugu,
Ahsante sana.

Nadhani umeona kuwa paper ya ugaidi imeondolewa hapa.
Lakini mzalendo.net wameidaka na iko hapo.

Ingia mzalendo.net
Search: Mohamed Said

Paper itakuja In Sha Allah.




Sheikh Mohamed Said,

Shukran kwa kunijuza yayo.

Maana,ndo nimeingia najaribu kuitafuta hiyo thread naiona haipo/imefungwa!?

Wajua kuna jamaa wa "chama"/kikundi fulani cha kisiasa,sasa wakhofu,yakuwa ukangia wewe na Ilm yoyote ile khasa pale "Jukwaa la Siasa",itakua umevuta ile misukule yaoyoote.

Ndo hapo inapongia hasada kwako,hutakiwi kuwemo asilan humu Jf.

Maana wale wapigaji aka "Viongozi" wa kile kikundi cha siasa wajiuliza na kuchanganyikiwa mno...yawaje Sheikh Mohamed Said leo ndo awe maarufu na mwenye kupendwa kuliko sisi/"wanasiasa" pamoja na zogo/"jitihada" zetu hizi zoote na unafiki wetu!?

Pia wanajiuliza,ikiwa misukule yetu yoote itakimbilia kwa Sheikh Mohamed Said na kupata Ilm ya bure kisha wakaerevuka,je matokeo yake sisi tutakula wapi!?...maana siasa ni ujuzi wa kusema urongo,hakuna la zaidi,asilan!

Ndo ukaona,mara zoote khasa ukiwapo pale "Jukwaa la Siasa",hutumwa wale mamluki wao wakiongozwa na yule kinara wa Islamophobia aka Nyakageni,ambae tunasikia ati nae ana mamlaka na pia yukaribu mno na Viongozi wa hicho kikundi!?

Nitangia humo kwenye mzalendo.net na kuitazama kwa utuvu.

Mola
yupamoja nawe ndugu yetu,hasada na dhuluma zoote na Insha Allah ziwarejee wenyewe...Wajaaluta!!

Ahsanta.
 

Moulaan gombesugu,

Naziona zako bayana kwa wale waletao mambo ya kusikia ati mwafulani kanena,

Hapa bahati mbaya sana si pahala pa kuja na maneno ya kusikia la hasha,

Hizo B52 nasubiri mrejezo wake nini itafamika,

Shukran llaka.
 
Dah! Umeamua kutusi kabisa? Ok najua yote haya ni sababu ya ujinga mimi sikulaumu.

Alaa ulivyokuwa unatoa Like kwa huyo mjinga mwenzako faby ulikuwa upo kwenye akili yako kamili au ndio ujinga wako ulivyo? Ni bora usilaumu hivyo hivyo.... ila na wewe usipende kushabikia vitu usivyoviweza....
 
Mimi nisielewe kivipi wewe.... nchi hii imepata Uhuru na watu mbali mbali na wengine hawakuwa na Dini... huo ushindani usio na ukweli wa Mohammed saidi ndio unachafua hali ya hewa na ndio nakikataa humu... kwani kuleta idadi ya watu ambao wengi hawapo ambao pia walichangia kwa namna moja au nyingine ya Uhuru wa Tanganyika... kibaya mwataka kuonesha waislam ndio walikuwa wengi katika huo ukombozi hilo halikubaliki katu... nitapinga sana historia haiwezi kubadilishwa na watoto wa juzi juzi ambao hawajui uchungu wa nchi.... Uislam ulikuwa zaidi Pwani... wapigania uhuru walikuwepo Tanganyika nzima... kila eneo alilokuwepo Mkoloni wapigania uhuru walikuwepo.... mkileta zenu na sisi tutaleta zetu ili Historia ibaki vile vile tu Uhuru umeletwa na Watanganyika... na sio Uislam wla Ukristo... Mambo ya Nyerere kuwa mkatoliki ni kivyake mwanzoni hakuwa hivyo aliingia kwenye huo ukatoliki akaitwa Julius. kama wewe jina lako pengine linaweza kuwa Chausiku... au Mwanakhamis.... Hivyo Ukatoliki wake Julius si kwamba ndio ulileta Ukombozi ulioleta ukombozi ni Utanganyika wake....
 

Swali langu umelijibu kwa Jibu ambalo si Sahihi kwahiyo Umefail na umepata zero.... Mulugo atakupa Division 5...

Swali uliloulizwa Vatican kama ni nchi ya Kidini na sio Skendo zinzotokea huko.... Tuwekee na skendo za Mtume wenu alivyokuwa anabaka vitoto vidogo kisha anavioa... ndio vinaendana na skendo za Vatican... na ungejua kuwa mimi si mfuasi wa Vatican ungeumia sana....kwa maudhi unayowapa wahusika.... am not a Sunday Keeper
 
hata wewe hujamuelewa ila ndio sababu yupo upande wako.... wengi huwa hawawezi kujieleza vizuri au kutoa swali ambalo mtu akisoma ataelewa fresh kwa uoga wa kuchangia mada na siku wakichangia hujikuta wameandika kitu cha ajabu pale anapokisoma tena.... Sasa hujo jamaa nilichomuelewa kuwa anasema sisi tunajifanya kuwa tumeisoma koran hivyo nimuandikie aya ambazo ameziandika kwa namba... hapo sasa mimi nimestushwa na mawazo yake kichwani je lini niliandika kuwa nimesoma koran yenu? na niandike ili iweje sijawai isoma koran kwa lugha ya kiarabu mashuleni tumesoma na waislam wengine walikuwa wanakuja na madaftari ya Madrasa husoma sometime hutafsiri ndio tumeambulia maneno machache...

Kwa mawaidha nimesikia mengi na hadithi za Mtume wenu nyingi nimezisikia hadi za mitume wengine baadhi.... ndio maana nafahamu kidogo uislam ulivyo
 

We "WAKULIWA LEO" naona umerudi leo kama ulivoahidi jana! Haya karibu,ila uwe na hishma na adab cc kahtaan
 
Last edited by a moderator:

Nakuuliza tena, unayi historia y aho wasikuwa na dini ukatuwekea hapa?

Jee, Nyerere alikuwa ana dini au hana?

Na kwanini wenye dini (wakatoliki) wampe "uwenye heri" na wafanye kila njia ya kumpa "utakatifu" wakati yeye kaendesha nchi bila kuwa na dini?
 

FaizaFoxy,
Kichwa kizito kweli huelewi somo. Ndio matatizo ya kusoma kwa bakora. Mpaka Uone bakora ndio akili inafanya kazi. Tanzania kama nchi haina dini ila kila raia anauhuru wa kuabudu dini anayoitaka. Hata Nyerere alikuwa ana uhuru huo ndio maana ni mkatolimi mzuri. Na shwala la kanisa la katoliki kutambua katika dini yao nakumpa title wanazo jua hilo ni juu yao. Mimi sijui mambo ya katoliki. Ila kitu kimoja nachojua kuhusu wakatoliki ni wana shule na mahosipitali ya maana duniani kote. Kuna mtu humu jf kaongelea wasomi wa zanzibar waliosoma shule ya kiungani ambayo ilikuwa ya wakatoli kitu ambacho nilikuwa sikijui. Mimi si mkatoliki ila naamini kama bajeti yote ya wizara ya elimu na wizara ya elimu ya juu wangepewa wakatoliki tokea kipindi cha uhuru. Elimu ya bongo ingekuwa juu kuliko ilivyo sasa hivi. Sasa swali kile chuo chenu cha kiislam cha morogoro ambacho kikuwa chuo cha tanesco kimeishia wapi? Je wanaomaliza hicho chuo wanafanikiwa kiasi gani?
Heri ukabila kuliko udini
 

Shehe ubwabwa kahtaan,
Sina elimu ya dini ma ndio maana naulizwa maswali. Lakini wewe mtaalam lakini hujibu maswali yetu badala yake unatuambia tukasome mavitabu yenu bila hata kutuambia nisome kwaajiligani. Wewe jibu swali na utuambie ni verse gani ipo alafu tutaenda kuangalia kwenye mavitabu yenu. Sasa. Na swalijingine. Ulikuwa unajitamba kwamba kuruani imekamilika. Sasa nakuliza kuhusu mutah/ pleasure marriage (Quran 4:24 Surah Al-Nisa)ambayo ni sawa na ndoa ya sikumoja kwa malipo( sawa na kuchukua malaya usiku mmoja) sibado alali?
 

Kama unakiri hujasoma Qur aan vipi wataka kutumia vipande vya aya zake na ati ufasiri ama ati iwe reference kwa watu kama ushaahidi wako katika kile unachokitetea?

Zile namba za hadithi ulizotuandikia kama ushahidi wako mimi nikakuwekea aya ili kukusaidia mpango mzuri wa kutufundisha na si kukurupuka na maneno ya watu ati wamesema wamesema!

Na kama hujasoma, wapi umepata haki ya kuchangia ama kujadili?

Punguza maropoko yako wajiadhirisha,

Sisi tusemapo kitu ujue pande zote tumekamilika katika kile tukisemacho,

Nenda kasome kisha ndo urudi hapa, na kuchangia usichokijua ni sawa na kumeza dawa usizozijua,

Sasa wewe huna tafiti nani kakupa haki ya kuzungumza kupitia maandishi yako ya kukubali kukataa?!

Si lazima ujibu kila kiandikwacho hapa, na hapa ndo wadhihirisha utumikaji wako.

Upo kama mfano wa punda abeba mizigo asoijua,

Nakusubiri na maokotolezo yako tena, hukawii wewe,

Teh teh teh .....!
 

Hiyo mutai umetoa wapi? Na kama utangulizi wako umekiri elimu ya dini huna,

Fahamu swali lako laonyesha kwamba umetoa ndani ya Qur aan, sasa weka wewe hapa ushahidi wa hiyo mutai ndani ya Qur aan ili Maulaana kahtaan naye atumie fursa hiyo kukudarasisha kile ukiropokacho bila ya kujua,

Kama kawaida ya maneno ya vijiwe vya mbege na yule mnyama acheuaye,

Lete hoja za akili si kujaza kurasa tu hapa,

Na hivi vijihoja vyenu nashangaa kwa nini mods wanaendelea kuviacha hapa wakati jukwaa lake ni kuleee....

Ila nasi fursa hiyo hiyo twaitumia kukuekeni sawa.
 

mutah/ pleasure marriage (Quran 4:24 Surah Al-Nisa)ambayo ni sawa na ndoa ya sikumoja kwa malipo( sawa na kuchukua malaya usiku mmoja)

Agazali ukabila kuliko udini
 

Sasa nimefahamu lengo lako!!
Sasa kumbe kuzunguka kooote huko! Kumbe unatafuta mume??
Teh teh teh teh!
Mutaa my foot!

Unfortunately hapa sisi woote tumeshaoa!
Mjaribu Nyakageni huenda hajaolewa/hajaoa!!
Na kama nilivyokwambia mwanzo , kiswahili pia ni tatizo kubwa kwako!

We unaweka maelezo ya ajabu halafu unaniuliza swali!

Mimi nikakwambia ukitaka kuelewa jaribu kusoma hata kidogo kabla ya kuja humu!!
Sasa unaniambia ETI USOME MAVITABU YETU KWA AJILI YA NINI!!

teh teh teh teh teh!

Au unapokuja humu JF unakuwa umeshavuta ile maneno!!?
Manake nyie msio na elimu hamchezi mbali na bangi!!

La mwisho hiki kitu unachorudia rudia ukikiita kuruani mi sikijui!! Hebu jaribu kutafuta jina kamili.

Kbd ya kuanza kubwabwaja nenda KASOME KWANZA!

NA KAMA WE KIPOFU!! BASI JAPO KASIKILIZE!

Mutaa! mutaa! mutaa!

Stori nyiiiingi kumbe unatafuta buzi!! Nenda vingunguti wamejaa pale!

Teh teh teh teh teh!.
 
Last edited by a moderator:
mutah/ pleasure marriage (Quran 4:24 Surah Al-Nisa)ambayo ni sawa na ndoa ya sikumoja kwa malipo( sawa na kuchukua malaya usiku mmoja)

Agazali ukabila kuliko udini

Weye KAFIRI

Nilijua huna lolote lenye maana na wapi unakusudia,
Qur aan huwezi isoma ukiwa upande huo ukasalimika la bali lazima utauona ukweli na si kitabu cha kununua tu ati ukajifungia chunbani na ukatoka kwa watu huku ukiwaeleza umeisima Qur aan na inasema hivi na vile,

Kwi kwi kwi....,

Nakusaidia tena ewe kafiri asilia ili ukija tena uje na akili elewa/tambuko,
Kwani usiiache huru akili yako katika kuyaendea mambo?!

Haya shika kanuni hizi : -
1: Qur aan yazungumzia mambo yaliopita,

2: Qur aan yazungumza mambo ya sasa

3: Qur aan yazungumzia mambo yajayo,

Hiyo qur aan naasikh na mansuukh vitu ambavyo wewe kuvifahamu hapa lazima upotee baharini,

Kwa muk tadha kama huo japo hata thuluthi ya namna ya usomaji wake hujawahi sikia wapi utaweza leta challenge ?

Hiyo verse uloitoa ipo pande gani katika utaratibu hapo juu?

Ndo nilikutahadharisha mwanzo kabisa usiokote okote ovyo kama mwendaazimu ama usitumie dawa usizozijua ukafa halafu wenzio wakaanza laumu kuwa hukutizamwa,

Ukitaka mijadala na kuichallenge Qur aan ilmu kama hiyo nakuapia huna wewe,

Ila wewe kwa sasa pamoja na maropoko yako hebu tumia hii hapa kwanza Qur aan 6:121

Kisha 6:124-125
Sasa maliza na hii hapa 6:148-149 ili ukae sawa na hapo huenda akili ikaku sawa lakini mmh labda ......

Mwisho kabisa msituletee maneno ya ujanjaujanja mara ooh Qur hatuezi isoma mara mwakurupuka na aya,

Sasa kama hamkuisoma hizo ayaati mwazitoa wapi ama ndani ya biblia?

Nakusubiri tena ewe mla nguruwe.
 

Sasa we mtoto!
Mbona unapenda kulalamika kama mke aliyetishiwa talaka??

Unalalamiiiika ovyo! Hueleweki unacholalamikia ni nini!
Hebu funguka kidogo! sisi tunafahamu kwamba WEWE SIO MSOMI ILA NI MBWABWAJAJI!

NINI TATIZO LAKO. Hebu sema usaidiwe ili utupe nafasi tuwahudumie wengine!
Basi haya maradhi yako hayaishi??

Au hii kaswende sugu nini??
Teh teh teh teh!
 

Dr. Kahtaan,

Assalaamu alaykum,

Yaani asswaahibal waqt kana kwamba nilikuwa nimefungwa kumfahamu huyo mla nguruwe nini ahitajia,
Yaani hapa nimepariwa kwa kicheko,

Kwi kwi kwi ....,

teh teh teh...!

Mie japo bado pana nafasi ya kuongeza wawili lakini kama ndo kwa style hiyo sidhani kama itanipitikia bahati mbaya kumpa staha na nusra,

Teh teh teh....,
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh! Aliye lala .......!

Mi Nadhani kwa sababu wewe na huyu bwana akili zenu zinafanana!
Nashauri hili swali muulize alkhomeini Wickama!
Tena yeye kajitangaza kuwa yuko tayari kwa hio biashara!

Teh teh teh teh!
Halafu nyie wawili nawashauri muhamie tehran! Pale mtakaribishwa kwa mikwaju ya mgongoni kama kawaida yenu!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…