kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
kwa hiyo mtu yeyote asieamini kwenye kile unachoamini wewe basi hawezi kuwa ndugu yako? that is how low you can think?!
kazi ipo! hongera kwa kufikiria ufikiriavyo.
Let me make this very clear! MIMI SIWEZI KUWA NA UNDUGU NA KAFIRI!! ABADDAN.
Na hii sio kashfa! Bali ni kanuni ya maisha ambayo NIMEAHIDI KUIFUATA!
Mimi nasema MUNGU MMOJA!
Wewe na wenzako mnasema miungu WATATU!!
SASA HUO UNDUGU UTATOKA WAPI??
MANAKE KWENYE DAMU HAUMO! NA KWENYE IMANI HAUMO VILEVILE!
Mi sio mnafiki kama nyerere! Anatuita NDUGU WATANZANIA! HALAFU ANADHULUMU MALI ZA WAZEE WA WATU.
Mi nakwambia kabisa kama ww unasema miungu wengi au mungu ni mzungu! Basi WEWE NA MIMI NA MBINGU NA ARDHI!.
Now keep off galatian.