Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Mkuu, kama utarejea jina au title ya uzi huu. Basi unajitisheleza kabisa kukufahamisha nini lengo lake!

Hapa tunajaribu kuufahamisha ulimwengu NAMNA WAISLAMU WALISHIRIKI KTK HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA NCHI HII.
BAAAAAAS!
HAKUNA ZIADA!

Kama tutawapa haki yao Hao wahusika YA KUWATAJA NA KUWAINGIZA KTK HISTORIA IPASAVYO, TUTAKUWA TUMEUTENDEA HAKI KUU UZI HUU NA JAMII YETU KWA UJUMLA!

Sasa anapokuja mtu hapa, eti kwa sababu ya udini wake na chuki zake binafsi juu ya Waislamu. Anaanza kashfa na kejeli! Ohh mbona brbr zimebadilishwa majina na kikwete..!
Ohh mbona vyuo vya kiislamu havijaitwa majina ya mashujaa hao .. bla ..bla
.bla..!!
Maneno yasiokuwa na mantiki hatta kidogo!
Nani kadai majina yao yaandikwe mitaani na ma brbrni??
Tunachosema ni KUWAENZI KWA KUZITAJA HIZO HARAKATI NA JUHUDI ZAO KTK KULIFANYA TAIFA LETU KUPATA UHURU!! that's it!!
Sasa tazama wale walevi maneno yao yalivyo maovu huko nyuma!
Halafu ukiwatolea kashfa zao hadharani!
Wanakuita muhuni mara hili mara lile!
Almuradi mijitu hatta haielewi nini dhumuni la uzi.
Wanaropoka tu!
 
Teh teh teh teh!
Sasa sijui anae zunguka pale pale ni nani??
Hii ni mara ya ngapi unataja brbr na alharamain!!

Is that the only thing you know!?

Teh teh teh teh!

Inferiority complex is a nasty disease!
Teh teh teh! hapo kwenye red umenifurahisha,Idd Mubarak al akhy
Cc Mag3
 
Naona unakimbilia kulalamika kuwa tumetukana matusi ebu kuwa mungwana wapi nimekutukana sijawahi kukutukana hata siku moja.

Nguruvi3, matatizo ya Waislam siyo kupewa majina ya barabara wala mitaa hii sijui umeipata wapi naona ndiyo hoja yako kuu humu jamvini, wala matatizo ya Waislam siyo Dar es Salaam kama unavyolazimisha Waislam wamepeleka malalamiko yao ya msingi kwa serikali cha kushangaza nyie mwenye chuki na Uislam na Waislam mmekuwa wasemaji wa serikali.

Nguruvi3 ndugu yangu kweli wewe wakunipa darsa la dini yangu nisije kuandika mengine ukasema nimekutukana.

Huu uzi "Islam's role in Tanzania's freedom struggle"

Kuna ubaya gani Waislam kuwataja mashujaa wao.

Tuendelee na mnakasha.
 

Teh teh teh teh!

Hey doggy!

We dont do that! No path is given to a DOG!
We shoot the dOg before he bites!

Thats what we do in my neighbourhood!
So keep out doggy!
 
Idd l mubarak ndugu yangu..

Kullu aamu waantum bikhar!

Nafurahi kukuona al akhiy Boko haram.
Nashukuru ndugu yangu nafyonza ilmu kubwa kutoka kwako,
hawa jamaa ni wabishi sana tumetoka nao mbali sana twende
nao taratibu tu somo litaeleweka tu.Ahsanta.
 
Teh teh teh teh!

Hey doggy!

We dont do that! No path is given to a DOG!
We shoot the dOg before he bites!

Thats what we do in my neighbourhood!
So keep out doggy!
Teh teh teh! EID MUBARAK!
 
Nimeona 'role of individuals' wala sijaona role of Islam as an Institution! Huu ni upotoshaji unaofaa kukipiga marufuku hiki kitabu na kumshitaki huyu kwa uharifu wa kigaidi kama gaidi mwingine yeyote yule
 

Wewe MBWA WA MANZESE naona una bweka hovyo tu kumfurahisha anaekufuga, sijaona cha maana kutoka kwako zaidi ya kubweka hovyo na kupigia jirani kelele.
 
Wewe MBWA WA MANZESE naona una bweka hovyo tu kumfurahisha anaekufuga, sijaona cha maana kutoka kwako zaidi ya kubweka hovyo na kupigia jirani kelele.

Dadangu usibishane na huyu mbwa wa mitaa michafu ya manzese!

Amejaa najsi tupu!

Eid mubarak, wakullu aamun wa-antum bikheir.

Ahsante.
 
Binaadam ana hulka ya anapojiona anaonewa muda wote basi ataamua kupambana, na katika huku kupambana kutategemea namna atakavyo pambana kulingana na anayepambana naye

Madai haya ya waislam wanaodai kuonewa kila uchao kwakawaida huzaa mpambano, mapambano ya aina ya akina Al shabab, Boko haram nk
Kwanini huzaa hivyo? imani yao ina waruhusu kufanya hivyo palae kwa mujibu wa tafsiri zao kuwa uislam upo kwenye hatari na unaonewa
 

Magaidi ndio mashujaa wa waislamu.
 
Nimeona 'role of individuals' wala sijaona role of Islam as an Institution! Huu ni upotoshaji unaofaa kukipiga marufuku hiki kitabu na kumshitaki huyu kwa uharifu wa kigaidi kama gaidi mwingine yeyote yule
"Islam's role in Tanzania's freedom struggle"

Huu ulimbo umewachanganya sana teh teh teh!
 
splendid!!!!!!!!!:yield:
 
"Islam's role in Tanzania's freedom struggle"

Huu ulimbo umewachanganya sana teh teh teh!

Teh teh teh teh! Matatizo makubwa al habib Ritz!!
 
Last edited by a moderator:


Maulana Dr Kahtaan

Barkat Al Eid,Al Akhiy.

Niwie radhi ndo kwanza namaliza shughuli za Al Eid na family hapa.

Nimepitia hizi posts humu...Wallahi,imenilazim kucheka mno! Kwi Kwi! Kwi!

Huyo mtu mzima,ndo nilikua namukhis labda atakua ndo reasonable japo kiduchu,lakini matokeo yake nae baada ya kimya chake kingi karejea "mikono mitupu"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Hizo ndo dasturi zao,takriban woote. Khalaf wanajaribu kujiita ati wao ndo "wamesoma" na kujaribu kutu-convince ati "hakuna" MfumoKristo!? Mambo yoote,ikiwa pamoja na ubaguzi ulodhahir na kushamiri dhidi ya Waislam na dhiki zao zoote za kukakandamizwa na huo MfumoKristo ati ni "hisia" zetu tu!? Kwi! Kwi Kwi!

Ngoja nami "niwashindilie majiti"....nina maana majiti ya roho,wala si kwingineko! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Adiosamigo,Boko Haram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…