kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Daktari Khataan, kwani wewe unadhani mashujaa wa taifa hili waenziwe vipi? Kuna kitu gani kimekosekana hadi tujadili kwa urefu kiasi hiki! Kwanini watu wasifunguke kuhusu kile wanachoona kinapaswa kufanywa?
Dakatari, nikushukuru sana kwa kauli yako ya inferiority complex is a nasty disease. Hakika ulichokisema ni kuntu nami nakipa heko. Ninashindwa kuelewa kwanini watu wanakuwa na inferiority hasa hili la mashujaa. Kwani vikiandikwa vitabu vinavyowahusu bila udanganyifu au uchochezi kuna tatizo gani?
Ukisikia mtu anaongelea mfumokristo ujue ana ugonjwa wa inferiority complex. Mfumo huo haupo isipokuwa inferiority complex ndiyo inautengeneza. Ukishajihisi unaonewa hata kama hakuna uonevu basi kitakachokuwa kinakuonea ni indferiority complex ambayo ni nasty diseasa kwa mujibu wako.
Ukiona mtu anapanga safu ya watu wenye vyeo na kudai yeye hajapewa shea ujue ana ugonjwa wa inferiority.
Kwanini ujadili mawaziri wawili, au makatibu wakuu ambao idadi yao haifiki 300, wakati huo huo usijadili kuhusu shule ya Mkurunga yenye wanafunzi 200 na mmoja wao ni makamu wa shule!
Daktari huoni kujadili vyeo badala ya matatizo ya umasikini kwa ujumla wetu ni inferiority complex.
Huoni kulalama kuwa mzee Mwafongo hajapewa mtaa ni sehemu ya inferiority complex
Huoni kuandika mambo ya kumshusha Nyerere ili Abdul achukue nafasi yake ni sehemu ya inferiority complex
Nashukuru sana umeliona hili na hakika sina tatizo na wewe tena katika mjadala.
Kumbe unajua tatizo lipo wapi kwabahati mbaya hujui nani ana tatizo hilo. Nakusihi uliangalie vema tatizo ulilo li define vizuri sana halafu ujiulize lipo wapi.
Ahsanta mkuu Daktari Kahtaan.
Mkuu, kama utarejea jina au title ya uzi huu. Basi unajitisheleza kabisa kukufahamisha nini lengo lake!
Hapa tunajaribu kuufahamisha ulimwengu NAMNA WAISLAMU WALISHIRIKI KTK HARAKATI ZA KUPIGANIA UHURU WA NCHI HII.
BAAAAAAS!
HAKUNA ZIADA!
Kama tutawapa haki yao Hao wahusika YA KUWATAJA NA KUWAINGIZA KTK HISTORIA IPASAVYO, TUTAKUWA TUMEUTENDEA HAKI KUU UZI HUU NA JAMII YETU KWA UJUMLA!
Sasa anapokuja mtu hapa, eti kwa sababu ya udini wake na chuki zake binafsi juu ya Waislamu. Anaanza kashfa na kejeli! Ohh mbona brbr zimebadilishwa majina na kikwete..!
Ohh mbona vyuo vya kiislamu havijaitwa majina ya mashujaa hao .. bla ..bla
.bla..!!
Maneno yasiokuwa na mantiki hatta kidogo!
Nani kadai majina yao yaandikwe mitaani na ma brbrni??
Tunachosema ni KUWAENZI KWA KUZITAJA HIZO HARAKATI NA JUHUDI ZAO KTK KULIFANYA TAIFA LETU KUPATA UHURU!! that's it!!
Sasa tazama wale walevi maneno yao yalivyo maovu huko nyuma!
Halafu ukiwatolea kashfa zao hadharani!
Wanakuita muhuni mara hili mara lile!
Almuradi mijitu hatta haielewi nini dhumuni la uzi.
Wanaropoka tu!