mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.
Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-
Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.
NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-
kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!
Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho "
DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335
MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-
"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "
MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."
Sasa hapa tu
Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.
Tukiendelea na takwimu sasa;-
takwimu hizi NI MPAKA 2011,
CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0
WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2
NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1
WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1
MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21
WAKRISTO 16 WAISLAMU 5
MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125
WAKRISTO 102 WAISLAMU 23
UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25
WAKRISTO 23 WAISLAMU 2
WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11
WAKRISTO 11 WAISLAMU 0
WAKUU SHULE ZA KATA 215
WAKRISTO 200 WAISLAMU 15
SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.
Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.
NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-
1973-1977 PIUS MSEKWA.
1977-1980 I.M.KADUMA
1980-1988 N.A KUHANGA.
1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.
1992-1999 M.L. LUHANGA
1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.
2004-2007 E.MWAIKAMBO
2007-2011 R,A,MKANDALA.
Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!
HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.
Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.
Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.
NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,
Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.
Hitimisho langu;
Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.
AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda
Dr Kahtaan
Salaam,shukran.
Tunakusoma kwa utuvu mno,najua kuna "
Wabondei virongwe" humu hawakubaliani na hojazo,lakini hata upande wao wa hiyo shilingi ni dhaifu mno...hoja zake/zao ni muflis! Kwi! Kwi! Kwi!
Wao wanachojua ni maneno mengi tu...yaani
matarumbeta!
Hizo
datas/
statistics ilitakiwa walete wao na kuweza pia ku-
substantiate/defend...ili kupinga baadhi tu ya hayo malalamiko yetu,lakini pia umewafanzia
Ihsan ya kuwawekea japo kiduchu.
Embu wakatuletee
statistics zozote zile kutoka kwenye any
leading Institutions or
strategic government organ/departments,khalaf tuone nafasi zoote muhimu zinashikwa na nani!? Itakuwa ndo walewale tu,khalaf watu hawahawa ndo wanataka ati sisi tuwasikilize yakuwa "hakuna"
MfumoKristo!?
Excuse yao kubwa,watakwambia mpaka leo
50 long years after "Uhuru",Waislam bado
hatujasoma na wala hatuna uwezo/haturuhusiwi kushika nafasi hizo! Kwi! Kwi! Kwi!
Embu kwa mfano watuletee hapa takwimu za kutoka
TRA,Makao makuu ya pale
Uhamiaji,watupe Idadi yoote ya
mabalozi wetu walioko nje na ndani ya nchi yetu,khalaf watwambie wangapi ni
Waislam na wangapi ni watu wa
MfumoKristo!?
Watupe
statistics ya makamanda woote kwenye ngazi za juu za kwenye jeshi la
Polisi na JWTZ.... kwa upande wa jeshi la Polisi tuanzie sub Inspectors na
JWTZ tuanzie kwenye full Colonel!?
Wizara moja tu nawapa challenge wakachungulie;Wizara ya Maliasili na Utalii...pale kwa yule Muislam wasompenda Kagasheki!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani ukitaka kujua jinsi
mfumoKristo unavyo-function hapo Tanzania basi pia chungulia Wizara kama hizi.
Pamoja na huyo
Kagasheki kufurukkuta kwake koote,lakini wamembana na kumzunguka
Wizara nzima utafikiri "sangara wachimvi"! Kwi Kwi! Kwi!
Ndio maana ya huo
Mfumo;yaani hata ukiwa mtendaji fulani mkuu,lakini huwezi asilan ku-function au ku-implement
ideas zako zozote...ukichungulia kidogo nje tayari watu wa
MfumoKristo wamesha-leak kila kitu kwenye
media au kwa wenzao na
kukuhujumu kwa kukutafutia kashfa na majungu ya kuchonga! Kwi! Kwi! kwi!
Kwa ufupi hiyo nchi imekwisha,tena imekwisha vibaya mno...yaani ni
time-bomb!
Waislam,wameshaonewa mno na kudhihakiwa vya kutosha...wamejitahidi/wanajitahidi vya kutosha kutoa malalamiko yoote kwa kina kwenye kuhusika tena kwa
awamu zoote,lakini hakuna majibu yenye maana!?
Wanufaika na
MfumoKristo;wao hawataki asilan kujua matatizo ya
Waislam au hata kujaribu kuyasikiliza kwa ustaarabu...wao kazi yao ni kujaribu kuwaonyesha hao
Waislam yakuwa ati
"hakuna" huo
MfumoKristo na tatizo kubwa ni sisi wenyewe
Waislam!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuangalia kwa mbali,utaona kabisa hizo
excuses na "explanations" za hao
wafaidika na
MfumoKristo hazina tafauti kabisa na zilezile
comments/arguments zilizokua zikitolewa na wale
Makaburu wa South Afrika dhidi ya
Blacks South Afrikan au Amerikan Government dhidi ya
Afrikan Amerikans/blacks during
Civil Rights Movement!
Hii ndo
legacy alotuachia yule
Nyerere. Nastaajabu mno kuona Serikali maskini na ilochoka kama ya
Tanzania, ati inakataza watu wake wanyonge leo kwenda kujitafutia
rizk...badala yake wapumzike kumkumbuka yule
Nyerere!? Kwi! Kwi! Kwi!
Tumkumbuke vipi mtu alotuachia;
legacy mbovu ya chuki,
udini,dhulma,rushwa iso mipaka,
ukabila/ukanda,hali mbovu ya uchumi isokua na mfano!?
Kuna mangi ya kunena,lakini kwa sasa tuachie kwa hapa!
Ahsanta.
Cc;Ritz,AdiosAmigo,Tayeb