Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

yesu hakuwahi kusema watu wwe wakristo bali alifundisha kuishi kwa haki na imani. ukristo ni utambulisho tu wa wanaofuata mafundisho ya yesu kristo, bali yesu kristo hakuunda dini, bali watu waliunda dini. wakristo hawashindanii dini bali maisha ya utakatifu ambayo pasipo hayo hakuna atakayemwona mungu." (Mathayo 5:20"Maana nawambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni." (Mathayo 5:20)
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si ya kristo(wakolosai 2:7).
Msome huyu mwana jamii kidogo, labda utafunguwa akili:

tatizo ni kutosoma maandiko!!! ama ni kuyasoma bila kujua maana yake (maana ni fumbo la imani!!!) Yesu aliwambia wanafunzi wake.. wasio na panga wauze majoho na kazu wanunue panga!! ni yeye alisema sikuja kuleta amani bali upanga.. na uthibitisho wa matumizi ya Panga ni milima ya mizeituni... panga ilitumika lakini je kwa mwenye busara unajiuliza shujaa anaekuhami anapiga mtu panga linakata sikio!!!!!!!!!!! HAPO UNAJUA AINA YA JESHI LAKO....!!! JE hapo pia inatakiwa HAKI ELIMU!!?

Tuendeleze maneno, tuendeleze kueneza chuki, tuendelee kudharauliana, tuendelee kuwaamini ambao tunaona wanatupeleka mahala tunakotaka... HAKIKA TUTAVUNA TUNACHOKIPANDA!
 
yesu hakuwahi kusema watu wwe wakristo bali alifundisha kuishi kwa haki na imani. ukristo ni utambulisho tu wa wanaofuata mafundisho ya yesu kristo, bali yesu kristo hakuunda dini, bali watu waliunda dini. wakristo hawashindanii dini bali maisha ya utakatifu ambayo pasipo hayo hakuna atakayemwona mungu.” (Mathayo 5:20“Maana nawambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.” (Mathayo 5:20)
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si ya kristo(wakolosai 2:7).
Nielewavyo ni kuwa wakati wa uhai wake wa yesu na hata baadaye wafuasi wake walikuwa wanaitwa 'nazarene' na walikuwa wanaitwa hivyo na wayahud na baadaye waislamu walikuwa wanawaita hivyo pia. Baada ya dini kutwaliwa na wa giriki na warumi ndipo lilipokuja jina la ukristo. Hili neno lina asili ya ugiriki likimaanisha masiah[alipakwa mafuta] na wafuasi wake wakaanza kuitwa 'wakristu' ikimaanisha ni wale wanafuata wa mafundisho ya yesu kristo ambaye ni bwana na mkombozi wa waja.
 
Kama huyo mohamed amewataja wewe unataka nini?
Poor you-for you have eyes yet you are blind and you have brain but you are still ignorant
Hebu soma vizuri halafu tafakari mantiki ya niliyoyaandika ndiyo ujibu.
Ninakubali kabisa kuwa siyo lazima tukubaliane kwenye kila kitu kwenye hoja hii lakini kabla ya kuwa na kiherehere cha jazba ya kujibu fikiri kwanza.
 
Wote hapa mkiulizwa dini imewasaidia nini wala hamjui! Wazinzi ndio ninyi, mafisadi ndio ninyi, makatili ndio ninyi, majizi ndio ninyi, wanafiki wakubwa ndio ninyi, magaidi wakubwa ndio ninyi, akili mnayo wala hamtaki kuitumia! Uislam hamuujui, ukristo hamuujui wala hamjitambui. Babu zenu walipelekwa utumwani wakateswa sana mkaachiwa Bilblia! Ndugu zenu walipelekwa Uarabuni wakahasiwa wengine wakauliwa mkaachiwa Quran! Yesu hamumfuati wala Mohamed hamumfuati, mnawafuata Ponda na Kibwetele!

Pambana na umasikini wapuuzi nyie achana na kupambana na Marehemu!
 
Hakuna kitu hua nachukia kama kuanza kuongelea dini afu kunakua na kaseparation flani, afu mada zote hua ni Uislamu kutaka ku-dominate sehemu flani, hvi jamani tukikaa kama tulivyo kila mtu aka-mind mishe zake mbona tutaenda tu, sasa mtu akiitwa gaidi wa kwanza kupiga kelele, huku hata kuna comment ukiona anachochea udini kabisa, afu ndio wa kwanza kusema "waislamu si magaidi" sasa si uonyeshe mfano wewe wa kwanza! ukishaweka moyoni kua upande wa pili ni mbaya matokeo yake ndio hayo sasa tunaanza kulipuana wenyewe, Siamini kama wanafundisha kuua mtu ambaye si dini yako, na ka wanafundishafata sasa sheria za serikali maana na hizo lazima zitakua zimeongelewa kua ziheshimiwe. Midude mingine sijui imetokea wapi, baadhi ya raia zinavunga ziko deep kwenye dini kumbe propaganda tu, watu wanalipwa hela kuua ili wapate hela zaidi wengine mnafata tu na kujilipua mwisho wa siku hiyo mbingu unayoisema unaikosa, huku na hapa napo hata bata hukula, hujionei huruma
 
Point inaongelea Islam's role in Tz Freedom ila humu ndani ni watu kufunguliana page za Quran na Bible kuonyeshana nani ni nani, hakuna pande itakayokubali kwa mwenzake hapo hata siku moja aacheni kupotezeana muda na kuongezeana bif tu, Haya ma post ya kidini ni vema yangetolewa tu maana sasa hvi udini upo katika stage ambayo kitu kidogo tu maisha ya watu kushnehi... Ukisoma barua tatu ambazo ziliandikwa na Raia moja ipo kwenye secret societies, miaka ya nyuma sana kabla hata ya vita vya dunia ilisema, Watatenngeneza vita vya kwanza na pili ya dunia ambapo after hiyo marekani atachukua nguvu dunia nzima na wataform body ambayo ni ushirikiano wa mataifa (UN), afu kwenye barua akaandika watasababisha vita vya tatu ya dunia iwe ya kidini kwa kuchochea pale ambapo pataonekana weak ili watu wapigane wapungue sana ifike muda dunia ikubali kuungana kua chini ya uongozi moja, ile barua kumbe ilikua ni ya kweli. Naona kinatokea kabisa hichi kitu kama ambavyo goal yao ya first na second world war ilikamilika..
 
Pengine kuna makosa yalifanyika hapo nyuma..

Lakini kwanini tumendelea kukosea?

Kuna baadhi ya nafasi za uongozi zimekuwa zikilalamikiwa kuwa na upendeleo,wakati nafasi hizo siyo za kuchaguliwa ni "kuteuliwa"..Nani alaumiwe??

Nini kinacho ubeba mfumo kristo?
Wananchi,Chama au viongozi?

Nani anaefaidika na mfumo kristo?

Udhaifu wa viongozi usifanye watu kudharau imani za wengine

"Hakuna" mfumo kristo Tz..

Labda kuna viongozi wenye majina ya ki-kristo lakini hawauwakilishi "ukristo" katika nafasi zao..
 
Don't think there are no crocodiles just because the water is calm, Sir!

Islamophobia: The fear that Muslims will treat you the way you treat muslims! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Ritz,Kahtaan
 
Mauluna gombesugu,

As time passes, it becomes clearer that those we hang out with definitely shape us. Choose wisely, change timeously or regret sadly.
 
Last edited by a moderator:
mtu mzima nimefurahishwa sana na maelezo yako. na nadhani hili ulifanyalo hapa NDIO DHUMUNI HALISI LA JUKWAA HILI.{kubadilishana hoja}.

Hapo kwenye red ntajaribu kufafanua kama ifuatavyo;-

Sidhani kama wewe binafsi umeshawahi kuudadavua vema HUU MFUMO KRISTO KAMA ULIVYO.

NAKUOMBA UFUATANE NA MIMI KTK TAKWIMU ZIFUATAZO:-

kwanza kabisa hebu turudi nyuma kidogo!

Katika mwaka wa 1981 kumenukuliwa ktk kitabu kiitwacho " DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" by R.Bagan UKURASA WA 335 MATAMSHI YA NYERERE KAMA IFUATAVYO;-

"..I AM LAYMAN BUT I TRY TO DO WHAT I CAN AND WILL NOT GO AGAINST MY OWN CHURCH, I WANT TO GIVE CHURCH A BETTER CHANCE HERE, TELL THE BISHOPS THAT I HAVE ESTABLISH IN TANU A DEPARTMENT IN POLITICAL AND EDUCATIONS AND I HAVE PUT A LUTHERAN MINISTER INCHARGE, HE WAS NOT A GREATER POLITITION BUT A CHOSE HIM BECAUSE OF HIS STRONG CHRISTIAN FAITH "

MAANA YAKE" MIMI SI MJUZI WA DINI LKN HUWA NAFANYA KILE NIWEZACHO NA KAMWE SIWEZI KWENDA KINYUME NA KANISA LANGU, NATAKA KULIPA KANISA NAFASI BORA HAPA, WAAMBIE WACHUNGWAJI NIMEANDISHA IDARA KTK TANU IITWAO SIASA NA ELIMU NA NIMEMTEUA WAZIRI WA DHEHEBU LA KILUTHERAN KUWA MSIMAMIZI, NA HAKUWA MWANA SIASA HODARI BALI NIMEMCHAGUA KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO."

Sasa hapa tu Mtu Mzima unaona waziwazi kuwa RAIS WA NCHI anaanzisha wizara KWA AJILI YA KILIPA NAFASI BORA KANISA na kumkabidhi Mtu, si kwa uhodari wake KISIASA, LA HASHA BALI KWA UIMARA WA IMANI YAKE YA KIKRISTO.

Tukiendelea na takwimu sasa;-

takwimu hizi NI MPAKA 2011,

CHEO JUMLA YA NAFASI SERIKALINI WAKRISTO WAISLAMU UKAMISHNA- 1 WAKRISTO 1 WAISLAMU 0

WAKURUGENZI 9 WAKRISTO 7 WAISLAMU 2

NAIBU WAKURUGENZI 8 WAKRISTO 7 WAISLAMU 1

WAKAGUZI WAKUU WA KANDA. 11
WAKRISTO 10 WAISLAMU 1

MAAFISA ELIMU WA MIKOA 21

WAKRISTO 16 WAISLAMU 5

MAAFISA ELIMU WA WILAYA 125

WAKRISTO 102 WAISLAMU 23

UONGOZI WA TAASISI VYUO VIKUU 25

WAKRISTO 23 WAISLAMU 2

WAKUU WA SHULE DARESALAAM 11

WAKRISTO 11 WAISLAMU 0

WAKUU SHULE ZA KATA 215

WAKRISTO 200 WAISLAMU 15

SASA Mtu Mzima HEBU TUHAMIE KWENYE NGAZI ZA JUU SERIKALINI!.

Tuanze na NECTA (BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA} LILILOANZISHWA 21/11/1973.

NAFASI YA WENYEKITI WA BARAZA HILI TOKA LIMEANZISHWA NI KAMA IFUATAVYO;-

1973-1977 PIUS MSEKWA.

1977-1980 I.M.KADUMA

1980-1988 N.A KUHANGA.

1988-1992 PROFESA G.R.V MMARI.

1992-1999 M.L. LUHANGA

1999-2004 PROFESA G.R.V.MMARI.

2004-2007 E.MWAIKAMBO

2007-2011 R,A,MKANDALA.

Kwa kifupi toka baraza la mitihani la taifa mpaka leo HAKUNA MUISLAMU ALISHAWAHI KUWA MWENYEKITI WA BARAZA HILO!!

HIZI NI TAKWIMU NIMEMALIZIA MPAKA 2011. Na sidhani kama kuna haja ya kukuongezea DATA ZAIDI! ZA MANAIBU NA KUENDELEA MBELE! ALMOST WOOTE NI WAKRISTO.

Hapa nilitaka kukuonjesha kidogo tu UONE NAMNA MFUMO KRISTO ULIVYO WABANA WAISLAMU KWA MIAKA MINGI SANA HASSA KWENYE NYANJA YA ELIMU.

Watu wengi wasio na elimu hukimbilia kusema kuwa WAISLAMU HAWAJASOMA! KWA HIVYO HAWASTAHIKI NAFASI KAMA HIZI!!
Ukitizama hoja hii utakuwa kuwa SIO KWELI KABISA! Tunao MAPROFESA WENGI TU WA KIISLAMU TANZANIA AMBAO HAWAKUPEWA NAFASI HATA KIDOGO HASA KTK NYANJA HII MUHIMU YA ELIMU.

NA HILI NI MOJA YA SERA ZA MFUMO KRISTO,

Ukishaweza kubana watu kwenye elimu basi ni raisi sana kuwamiliki utakavyo.

Hitimisho langu;

Suala la MFUMO KRISTO si suala la kuupuzia na kulidharau kwa sababu wananchi wenye imani za kiislamu wameshaliona hili, na vitu kama hivi visipo kemewa na kufutwa ktk jamii, basi tujiandae na umwagikaji wa damu, manake hilo ndio huwa hatuma ya DHULMA.

AHSANTE.
gombesugu Ritz Tayeb Nonda

Dr Kahtaan

Salaam,shukran.

Tunakusoma kwa utuvu mno,najua kuna "Wabondei virongwe" humu hawakubaliani na hojazo,lakini hata upande wao wa hiyo shilingi ni dhaifu mno...hoja zake/zao ni muflis! Kwi! Kwi! Kwi!

Wao wanachojua ni maneno mengi tu...yaani matarumbeta!

Hizo datas/statistics ilitakiwa walete wao na kuweza pia ku-substantiate/defend...ili kupinga baadhi tu ya hayo malalamiko yetu,lakini pia umewafanzia Ihsan ya kuwawekea japo kiduchu.

Embu wakatuletee statistics zozote zile kutoka kwenye any leading Institutions or strategic government organ/departments,khalaf tuone nafasi zoote muhimu zinashikwa na nani!? Itakuwa ndo walewale tu,khalaf watu hawahawa ndo wanataka ati sisi tuwasikilize yakuwa "hakuna" MfumoKristo!?

Excuse yao kubwa,watakwambia mpaka leo 50 long years after "Uhuru",Waislam bado hatujasoma na wala hatuna uwezo/haturuhusiwi kushika nafasi hizo! Kwi! Kwi! Kwi!

Embu kwa mfano watuletee hapa takwimu za kutoka TRA,Makao makuu ya pale Uhamiaji,watupe Idadi yoote ya mabalozi wetu walioko nje na ndani ya nchi yetu,khalaf watwambie wangapi ni Waislam na wangapi ni watu wa MfumoKristo!?

Watupe statistics ya makamanda woote kwenye ngazi za juu za kwenye jeshi la Polisi na JWTZ.... kwa upande wa jeshi la Polisi tuanzie sub Inspectors na JWTZ tuanzie kwenye full Colonel!?

Wizara moja tu nawapa challenge wakachungulie;Wizara ya Maliasili na Utalii...pale kwa yule Muislam wasompenda Kagasheki!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani ukitaka kujua jinsi mfumoKristo unavyo-function hapo Tanzania basi pia chungulia Wizara kama hizi.

Pamoja na huyo Kagasheki kufurukkuta kwake koote,lakini wamembana na kumzunguka Wizara nzima utafikiri "sangara wachimvi"! Kwi Kwi! Kwi!

Ndio maana ya huo Mfumo;yaani hata ukiwa mtendaji fulani mkuu,lakini huwezi asilan ku-function au ku-implement ideas zako zozote...ukichungulia kidogo nje tayari watu wa MfumoKristo wamesha-leak kila kitu kwenye media au kwa wenzao na kukuhujumu kwa kukutafutia kashfa na majungu ya kuchonga! Kwi! Kwi! kwi!

Kwa ufupi hiyo nchi imekwisha,tena imekwisha vibaya mno...yaani ni time-bomb!

Waislam,wameshaonewa mno na kudhihakiwa vya kutosha...wamejitahidi/wanajitahidi vya kutosha kutoa malalamiko yoote kwa kina kwenye kuhusika tena kwa awamu zoote,lakini hakuna majibu yenye maana!?

Wanufaika na MfumoKristo;wao hawataki asilan kujua matatizo ya Waislam au hata kujaribu kuyasikiliza kwa ustaarabu...wao kazi yao ni kujaribu kuwaonyesha hao Waislam yakuwa ati "hakuna" huo MfumoKristo na tatizo kubwa ni sisi wenyewe Waislam!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuangalia kwa mbali,utaona kabisa hizo excuses na "explanations" za hao wafaidika na MfumoKristo hazina tafauti kabisa na zilezile comments/arguments zilizokua zikitolewa na wale Makaburu wa South Afrika dhidi ya Blacks South Afrikan au Amerikan Government dhidi ya Afrikan Amerikans/blacks during Civil Rights Movement!

Hii ndo legacy alotuachia yule Nyerere. Nastaajabu mno kuona Serikali maskini na ilochoka kama ya Tanzania, ati inakataza watu wake wanyonge leo kwenda kujitafutia rizk...badala yake wapumzike kumkumbuka yule Nyerere!? Kwi! Kwi! Kwi!

Tumkumbuke vipi mtu alotuachia; legacy mbovu ya chuki,udini,dhulma,rushwa iso mipaka,ukabila/ukanda,hali mbovu ya uchumi isokua na mfano!?

Kuna mangi ya kunena,lakini kwa sasa tuachie kwa hapa!

Ahsanta.

Cc;Ritz,AdiosAmigo,Tayeb
 
Bukyanagandi, nikushukuru kwa kujenga hoja bila matusi.
Ni bahati mbaya nyuzi zinazomhusu Mohamed Said zimekuwa dimbwi la matusi kama ya karibuni na kupoteza maana iliyokusudiwa. Nimeweka hoja zako kwa makundi naomba uvumilivu kwa nyuzi ndefu.
Mambo mazito tuyazungumze kwa uzito, mabingwa wa matusi tuwatake radhi,eneo hilo hatuna ujuzi nalo.

Nyuzi za MS hazitafsiriwi vibaya au kupotoshwa(Kifungu A) bali zenyewe zina hisia (sensational) kama ulivyoeleza katika kifungu (D). Mwanahistoria hatakiwi achanganye matatizo yake na historia, hilo ni kosa la kwanza nashukuru umeliona na ncdicho chanzo cha `
grossly misinterpreted whether by accident au deliberately`Kama ulivyobainisha.

Kifungu (B), unapodai MS anaandika historia ya madhehebu yake(imani nadhani) tayari inakuwa si historia.Historia ni mtiririko wa matukio kwa nyakati kama yalivyotokea na si kama yanavyoumbwa.

Unaweza kuandika historia ya kabila fulani, huwezi kuandika historia ya Tanganyika kwa kundi fulani.
Kufanya hivyo ni kupotosha ukweli.

Kusema K.Sykes na AA ukamwacha Cecil Matola, au Ramadhani Ali kama utakavyomuacha Kyaruzi na TAA ni upotoshaji wa historia si kuandika ukweli.

Watu wengi sana hapa jamvini wengine wakiwa wameyaona kwa macho kama akina Mag3 wanasema historia ilikuwa na mapungufu tena kwa kuonyesha wazi. Wanachokataa ni masahihisho ya historia kwa upotofu zaidi.

Nani asiyekubali kuwa Nyerere kaja Dar tena mtu mzima! bila mshirika au ndugu.
Nani kakataa kuwa wazee hawakuwepo Dar. Kinachokataliwa ni madai ya MS kuwa Nyerere alianza siasa mwaka 1952 kwa mara ya kwanza alipokuja Dar. Kuna tatizo gani tukisema MS amepotosha.

Kifungu G: Taifa lisiendekeze mambo ya udini katika mambo obvious! Nashangaa kwanini useme hivyo wakati umeshasema waislam ndio walipigania uhuru(C) na kuwa ni victim(E) na kuhoji tatizo ni nini MS akiandika historia ya madhehebu yake. Anayefanya mambo haya yachukue sura ya udini ni MS na kwa malengo mahususi

Ndugu yangu, historia ya MS haina ukweli kama unavyotaka kutuamisha.
Kungekuwa na ukweli ambao unataka vizazi vijavyo vielewe, MS asingeficha Usaliti wa familia ya Sykes kwenda kupigana na wazalendo. Ni mkosi kama ulivyosema (G).
Hivi ikiandikwa historia kuna sababu gani za kuomba radhi familia ya Sykes iliyokuwa mamluki wa kwenda kumpiga Mkwawa. Tuombe radhi wasaliti na wahaini! Tafadhalini.

Baada ya kumaliza kuandika historia ya waislam waliopigania Uhuru, MS ameandika kuhusu kuonewa kama raia wa daraja la pili, akaenda mbali na kutoa takwimu za viroja kuhusu mitihani.

Anachokifanya ni kujenga hoja kwa kutumia historia, hoja ambazo hawezi kuzitetea kwa mantiki bila chembe ya udini. Nitakupa mfano.

MS ameandika paper kuhusu `Taifa lisilo na mashujaa` ya hivi karibuni.
Ukisoma anamshambulia Nyerere na kuacha ukweli ulioko chumbani mwake.
Analalamika mashujaa hawatambuliwi hata kwa mitaa na majina.

Asichokijua MS ni baraza la madiwani lililokaa kufuta jina la bibi Titi Mohamed au kumpa Y.Makamba mtaa lililongozwa na wazee wa Dar waislam. Hawaulizi wenzake anatafuta mahali pa kutokea na lawama.

MS anasahau au hajui aliyetoa jina la Mwai Kibaki na kufuta Bagamoyo Road miaka miwili iliyopita si Nyerere aliyekaburini miaka 14 leo, ni JK aliye Ikulu.

MS anajitia ujuha wa kutojua kuwa Ocean Road imeitwa Barak Obama na JK na baraza la madiwani wa Jiji tena wa Ilala na diwani wa Karikoo akiwemo.

Katika mifano hiyo hatujamsikia MS akilalamika sasa inakuwaje akalalimikie Nairobi tena kwa kulaumu Marehemu. Haya ndiyo mnaita Ukweli! Wapi Unafiki unaweza unawekwa kwenye mizani na Ukweli.

Lakini pia MS hana sababu za kulalamika kuhusu majina ya mashujaa wake.
Kwa mtu mwenye akili kama hamthamini baba yake au mama yake anategemea jirani awathamini huyoo ni mjinga.

Kwanini MS adhani kuwa kuna umuhimu wa kutoa jina la barabara ya Abdul.Sykes wakati kuna maeneo kama Shule yana majina yasiyomaanisha lolote au chochote kijamii au kidini bali utumwa wa akili tu!
Natoa mifano.

MS alipaswa kubadili :
Al Haramaini kuwa Abdul Sykes college of education.
Masjid Quba kuwa Mshume Kiate secondary School
Thaqafa iwe Mwapachu secondary School
Jabal Hilal iwe Mwafongo secondary School
Morogoro University iwe K.Kleist Univesity
Ubungo Islami iwe Jamiaya fil Islam Tanganyika
Al Farook iitwe EAMWS secondary kama kumbu kumbu
n.k.

Baada ya hapo MS arudi Ilala na kuwashawishi madiwani ambao wengi ni wa imani yake wabadili majina ya mitaa. Mtaa wa Twiga uitwe Tatu Said Avenue, Mtaa wa Muheza uitwe Binti Farijala Boulevard, Lumumba iitwe Yusuf Cahember street n.k.

Endapo watu wa Buguruni wametambua umuhimi wa kumwita mzee wao Madenge nini kinamshinda MS kuhamasisha watu wa Karikoo wafute majina ya Makamba na kuweka ya wazee wake.

MS anaweza, hataki kwasababu lengo lake si kutoa majina. Lengo ni kuamsha hisia za uonevu na kupata platform ya kuungwa mkono hata kaienda wasikojua Sykes ni nani alitoka wapi na alifanya usaliti gani kwa taifa hili.

Wanajamvi, Abdul Syke na Baba yake wote kwa maandishi yao yaliyonukuliwa na MS wamesema lengo la uhuru lilikuwa kumkomboa Mwafrika(Shahidi ni MS kwa maandishi yake).

Hakuna mahali ambapo MS amennukuu mpigania uhuru yoyote wa imani yoyote akisema kuwa lengo la uhuru lilikuwa la kidini! hakuna! Hili la kuandika historia ya dini ni la MS kwa sababu zake za kuchochea hisia, halikuwa agenda ya wapigania Uhuru.

Kwa msioujua, MS ameandika historia ya Tanganyika baada ya kufuzu mafunzo ya Profesa wa Hisabati kutoka Pakistan ambaye sina shaka anaielewa Tanganyika vema kuliko MS. Leo tunashawishiwa kwa bidii kabisa tumsikilize mwanafunzi wa prof wa Pakistan atueleze ukweli kuhusu Cecil Matola, Caurembo na Mwafongo!

Na mwisho, naomba yoyote awaye ananifahmishe kwa uhakika kuwa wote waliokuwa na majina ya kiislam walikuwa Waislam.

Kama swali hili halitakuwa na jibu basi kuna tatizo, watu wakae kimya maana wanacheza ngoma wasioijua!

In the past I agreed with some of your posts/comments,but this post is ignorance!

Once Muslims wake up,they won't be dangerous to no one....I can assure you Sir!

Basically,what you are suggesting is for Muslims to have names of our Nation heroes in Muslim inhabited areas and/or Muslim controlled properties only!?...that's not only pathetic rather discriminatory and bordering Islamophobia you Mbondei!

I swear on my life that I have never seen anything torn down as quickly as the morale and growth of Tanzanian at the hands of another so called Tanzanian!

It's like you are afraid that Muslims growth and awakening is such a threat as opposed to a lifeline...other persuasions don't function that way!

Under MfumoKristo injustice,we have no excuse to be under the influence of its teachings or followers...I mean the likes of you!....you are weapon of Muslim annihilation.

When your ability to maintain your privilege and control over others' reality is based on the lies, about what you are and who they are,you cannot tell the truth.

It's one thing to lie. It's another to know the truth but spawn even more lies to buy time because so many of those you oppress rightly refuse to loose memory of your "forked tongue" as we find our way and discard yours.

I call it "impacted lies";the telling of more lies and more lies based on defending the uncorrected originals!

You are "barking up the wrong tree" Sir!... I think nngu007,only meant good,trying to encourage a meaningful and constructive discussion.

This is an important revelation/description Sheikh Mohammed Said provides.

Sheikh Mohammed Said is doing a big favour to our Nation...exposing facts to those who are still in doubt or still gullible.

Ahsanta.
 
Wote hapa mkiulizwa dini imewasaidia nini wala hamjui! Wazinzi ndio ninyi, mafisadi ndio ninyi, makatili ndio ninyi, majizi ndio ninyi, wanafiki wakubwa ndio ninyi, magaidi wakubwa ndio ninyi, akili mnayo wala hamtaki kuitumia! Uislam hamuujui, ukristo hamuujui wala hamjitambui. Babu zenu walipelekwa utumwani wakateswa sana mkaachiwa Bilblia! Ndugu zenu walipelekwa Uarabuni wakahasiwa wengine wakauliwa mkaachiwa Quran! Yesu hamumfuati wala Mohamed hamumfuati, mnawafuata Ponda na Kibwetele!

Pambana na umasikini wapuuzi nyie achana na kupambana na Marehemu!

Tatizo lako kubwa hujui ni nini maana ya dini, nnauhakika usingebwabwaja ungekuwa unajijuwa maana ya neno dini.
 
Dr Kahtaan

Salaam,shukran.

Tunakusoma kwa utuvu mno,najua kuna "Wabondei virongwe" humu hawakubaliani na hojazo,lakini hata upande wao wa hiyo shilingi ni dhaifu mno...hoja zake/zao ni muflis! Kwi! Kwi! Kwi!

Wao wanachojua ni maneno mengi tu...yaani matarumbeta!

Hizo datas/statistics ilitakiwa walete wao na kuweza pia ku-substantiate/defend...ili kupinga baadhi tu ya hayo malalamiko yetu,lakini pia umewafanzia Ihsan ya kuwawekea japo kiduchu.

Embu wakatuletee statistics zozote zile kutoka kwenye any leading Institutions or strategic government organ/departments,khalaf tuone nafasi zoote muhimu zinashikwa na nani!? Itakuwa ndo walewale tu,khalaf watu hawahawa ndo wanataka ati sisi tuwasikilize yakuwa "hakuna" MfumoKristo!?

Excuse yao kubwa,watakwambia mpaka leo 50 long years after "Uhuru",Waislam bado hatujasoma na wala hatuna uwezo/haturuhusiwi kushika nafasi hizo! Kwi! Kwi! Kwi!

Embu kwa mfano watuletee hapa takwimu za kutoka TRA,Makao makuu ya pale Uhamiaji,watupe Idadi yoote ya mabalozi wetu walioko nje na ndani ya nchi yetu,khalaf watwambie wangapi ni Waislam na wangapi ni watu wa MfumoKristo!?

Watupe statistics ya makamanda woote kwenye ngazi za juu za kwenye jeshi la Polisi na JWTZ.... kwa upande wa jeshi la Polisi tuanzie sub Inspectors na JWTZ tuanzie kwenye full Colonel!?

Wizara moja tu nawapa challenge wakachungulie;Wizara ya Maliasili na Utalii...pale kwa yule Muislam wasompenda Kagasheki!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani ukitaka kujua jinsi mfumoKristo unavyo-function hapo Tanzania basi pia chungulia Wizara kama hizi.

Pamoja na huyo Kagasheki kufurukkuta kwake koote,lakini wamembana na kumzunguka Wizara nzima utafikiri "sangara wachimvi"! Kwi Kwi! Kwi!

Ndio maana ya huo Mfumo;yaani hata ukiwa mtendaji fulani mkuu,lakini huwezi asilan ku-function au ku-implement ideas zako zozote...ukichungulia kidogo nje tayari watu wa MfumoKristo wamesha-leak kila kitu kwenye media au kwa wenzao na kukuhujumu kwa kukutafutia kashfa na majungu ya kuchonga! Kwi! Kwi! kwi!

Kwa ufupi hiyo nchi imekwisha,tena imekwisha vibaya mno...yaani ni time-bomb!

Waislam,wameshaonewa mno na kudhihakiwa vya kutosha...wamejitahidi/wanajitahidi vya kutosha kutoa malalamiko yoote kwa kina kwenye kuhusika tena kwa awamu zoote,lakini hakuna majibu yenye maana!?

Wanufaika na MfumoKristo;wao hawataki asilan kujua matatizo ya Waislam au hata kujaribu kuyasikiliza kwa ustaarabu...wao kazi yao ni kujaribu kuwaonyesha hao Waislam yakuwa ati "hakuna" huo MfumoKristo na tatizo kubwa ni sisi wenyewe Waislam!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuangalia kwa mbali,utaona kabisa hizo excuses na "explanations" za hao wafaidika na MfumoKristo hazina tafauti kabisa na zilezile comments/arguments zilizokua zikitolewa na wale Makaburu wa South Afrika dhidi ya Blacks South Afrikan au Amerikan Government dhidi ya Afrikan Amerikans/blacks during Civil Rights Movement!

Hii ndo legacy alotuachia yule Nyerere. Nastaajabu mno kuona Serikali maskini na ilochoka kama ya Tanzania, ati inakataza watu wake wanyonge leo kwenda kujitafutia rizk...badala yake wapumzike kumkumbuka yule Nyerere!? Kwi! Kwi! Kwi!

Tumkumbuke vipi mtu alotuachia; legacy mbovu ya chuki,udini,dhulma,rushwa iso mipaka,ukabila/ukanda,hali mbovu ya uchumi isokua na mfano!?

Kuna mangi ya kunena,lakini kwa sasa tuachie kwa hapa!

Ahsanta.

Cc;Ritz,AdiosAmigo,Tayeb
Maulana gombesugu,

Huu ulimbo siyo mchezo!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh! Mkuu nimejaribu ku picture hicho kicheko chako ikabidi na mimi nicheke tu!
Si unajua tena ndo mambo ya JF hayo!
Teh teh teh teh! Halafu nimegundu kitu kwako mkuu! Wangekuwa wakristo wote kama wewe ahhhhh!
Tungekuwa tunakula biriani pamoja!
Karibu sana mkuu.

Wallahi nimecheka sana baada ya kusoma hayo maongezi yenu na huyo ndugu! Tehe tehe tehe!
 
Dr Kahtaan

Salaam,shukran.

Tunakusoma kwa utuvu mno,najua kuna "Wabondei virongwe" humu hawakubaliani na hojazo,lakini hata upande wao wa hiyo shilingi ni dhaifu mno...hoja zake/zao ni muflis! Kwi! Kwi! Kwi!

Wao wanachojua ni maneno mengi tu...yaani matarumbeta!

Hizo datas/statistics ilitakiwa walete wao na kuweza pia ku-substantiate/defend...ili kupinga baadhi tu ya hayo malalamiko yetu,lakini pia umewafanzia Ihsan ya kuwawekea japo kiduchu.

Embu wakatuletee statistics zozote zile kutoka kwenye any leading Institutions or strategic government organ/departments,khalaf tuone nafasi zoote muhimu zinashikwa na nani!? Itakuwa ndo walewale tu,khalaf watu hawahawa ndo wanataka ati sisi tuwasikilize yakuwa "hakuna" MfumoKristo!?

Excuse yao kubwa,watakwambia mpaka leo 50 long years after "Uhuru",Waislam bado hatujasoma na wala hatuna uwezo/haturuhusiwi kushika nafasi hizo! Kwi! Kwi! Kwi!

Embu kwa mfano watuletee hapa takwimu za kutoka TRA,Makao makuu ya pale Uhamiaji,watupe Idadi yoote ya mabalozi wetu walioko nje na ndani ya nchi yetu,khalaf watwambie wangapi ni Waislam na wangapi ni watu wa MfumoKristo!?

Watupe statistics ya makamanda woote kwenye ngazi za juu za kwenye jeshi la Polisi na JWTZ.... kwa upande wa jeshi la Polisi tuanzie sub Inspectors na JWTZ tuanzie kwenye full Colonel!?

Wizara moja tu nawapa challenge wakachungulie;Wizara ya Maliasili na Utalii...pale kwa yule Muislam wasompenda Kagasheki!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani ukitaka kujua jinsi mfumoKristo unavyo-function hapo Tanzania basi pia chungulia Wizara kama hizi.

Pamoja na huyo Kagasheki kufurukkuta kwake koote,lakini wamembana na kumzunguka Wizara nzima utafikiri "sangara wachimvi"! Kwi Kwi! Kwi!

Ndio maana ya huo Mfumo;yaani hata ukiwa mtendaji fulani mkuu,lakini huwezi asilan ku-function au ku-implement ideas zako zozote...ukichungulia kidogo nje tayari watu wa MfumoKristo wamesha-leak kila kitu kwenye media au kwa wenzao na kukuhujumu kwa kukutafutia kashfa na majungu ya kuchonga! Kwi! Kwi! kwi!

Kwa ufupi hiyo nchi imekwisha,tena imekwisha vibaya mno...yaani ni time-bomb!

Waislam,wameshaonewa mno na kudhihakiwa vya kutosha...wamejitahidi/wanajitahidi vya kutosha kutoa malalamiko yoote kwa kina kwenye kuhusika tena kwa awamu zoote,lakini hakuna majibu yenye maana!?

Wanufaika na MfumoKristo;wao hawataki asilan kujua matatizo ya Waislam au hata kujaribu kuyasikiliza kwa ustaarabu...wao kazi yao ni kujaribu kuwaonyesha hao Waislam yakuwa ati "hakuna" huo MfumoKristo na tatizo kubwa ni sisi wenyewe Waislam!? Kwi! Kwi! Kwi!

Yaani kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuangalia kwa mbali,utaona kabisa hizo excuses na "explanations" za hao wafaidika na MfumoKristo hazina tafauti kabisa na zilezile comments/arguments zilizokua zikitolewa na wale Makaburu wa South Afrika dhidi ya Blacks South Afrikan au Amerikan Government dhidi ya Afrikan Amerikans/blacks during Civil Rights Movement!

Hii ndo legacy alotuachia yule Nyerere. Nastaajabu mno kuona Serikali maskini na ilochoka kama ya Tanzania, ati inakataza watu wake wanyonge leo kwenda kujitafutia rizk...badala yake wapumzike kumkumbuka yule Nyerere!? Kwi! Kwi! Kwi!

Tumkumbuke vipi mtu alotuachia; legacy mbovu ya chuki,udini,dhulma,rushwa iso mipaka,ukabila/ukanda,hali mbovu ya uchumi isokua na mfano!?

Kuna mangi ya kunena,lakini kwa sasa tuachie kwa hapa!

Ahsanta.

Cc;Ritz,AdiosAmigo,Tayeb

Al akhiy gombesugu,

Hiyo nondo hapo ulotoa ni balaa!

Hiyo inaitwa chembe kidevu tehe tehe tehe!

Hiyo ukipewa lazima ukae kwa maumivu!

Twende nao pole pole wasije wakakimbia, kwani bado tunawahitaji kuendelea kuwapa darsa!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli siku zote utabaki kuwa hivyo. Historia ya nchi hii hata kama itakuwa distorted kiasi gani kuna siku ukweli utadhihiri. Maoni yangu ni kuwa bw. mohamed anachotanabahisha ni ukweli wa historia ya mapambano ya kudai uhuru wa tanganyika umepindishwa na anatoa ushahidi wa kuthibitisha asemayo.
Kwa wale walizaliwa miaka ya 50 wakirudisha kumbukumbu zao nyuma watakumbuka kwani lile vuguvugu la mapambano ya uhuru wa tz kwa wa wanadar [wa enzi hizo] ilikuwa siyo mchezo kwani ninakumbuka kuna mama mmoja muuza pombe hapa mjini alitoa ka akiba chake chote kusaidia safari ya nyerere un.
Hivyo basi hao ambao bw mohamed amewataja ni kweli kabisa walishiriki sana katika vita ya kudai uhuru wa nchi hii

Vipi ww ulitoa ngapi?Kwani mlm alipambana kupitia imani yake au kama mtanzania?waislsmu acheni kulalamika kupitia wapumbavu wenye kutafuta cheap popularity kuwaaminisha ninyi kundi MAALUMU.mnastahili uangalizi wa mtoto yatima, au vibarua ktk nchi yetu ya Tanzania
 
In the past I agreed with some of your posts/comments,but this post is ignorance!
Once Muslims wake up,they won't be dangerous to no one....I can assure you Sir!

Basically,what you are suggesting is for Muslims to have names of our Nation heroes in Muslim inhabited areas and/or Muslim controlled properties only!?...that's not only pathetic rather discriminatory and bordering Islamophobia you Mbondei!

I swear on my life that I have never seen anything torn down as quickly as the morale and growth of Tanzanian at the hands of another so called Tanzanian!

It's like you are afraid that Muslims growth and awakening is such a threat as opposed to a lifeline...other persuasions don't function that way!

Under MfumoKristo injustice,we have no excuse to be under the influence of its teachings or followers...I mean the likes of you!....you are weapon of Muslim annihilation.

When your ability to maintain your privilege and control over others' reality is based on the lies, about what you are and who they are,you cannot tell the truth.

It's one thing to lie. It's another to know the truth but spawn even more lies to buy time because so many of those you oppress rightly refuse to loose memory of your "forked tongue" as we find our way and discard yours.

I call it "impacted lies";the telling of more lies and more lies based on defending the uncorrected originals!

You are "barking up the wrong tree" Sir!... I think nngu007,only meant good,trying to encourage a meaningful and constructive discussion.

This is an important revelation/description Sheikh Mohammed Said provides.

Sheikh Mohammed Said is doing a big favour to our Nation...exposing facts to those who are still in doubt or still gullible. Ahsanta.
@gombesugu, ahlan wahsalan muungwana.
Pole kwa hamaki na kauli za staftashi, tafadhali pata funda la maji kitako utulize jaka moyo.

Ninaposoma majibu ya kejeli na matusi hujiridhisha hoja zangu zimeeleweka kwa nguvu zake.
Zinajibiwa kwa kejeli kwasababu ndilo jibu lililopo la karibu.

Nimesema ajitokeze mtu anithibitishie kuwa waliopigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam wote walikuwa waislam! Hakuna aliyetokea kwasababu mnafahamu wazi kuwa kuitwa Hussein hakumfanyi mtu awe mwislam.

Hoja yangu ipo wazi kabisa. Hakuna sababu ya msingi na ya maana kwa waislam kudai mashujaa wa Uhuru watambuliwe wakati ambapo Waislam hao hao wameshindwa kuwatambua.

Nikaweka hoja za kwanini chuo cha Alharamaini kisiitwe Abdul Sykes, Cha Dodoma kisiitwe K.Kleist n.k. ili kuanza kuwaenzi kwanza kabla ya kwenda kwenye medani ya kitaifa. Charity begins at home.

Ukiita shule kwa jina la Al Farook ambalo ni jina la Kiarabu tu na pengine maana yake ni ndogo sana ukaacha kuita Mshume Kiyate highschool unajidhulumu kabla hujadhulumiwa.

Please try to think beyond your nose!If you cannot dignify your own heroes ironically you hold someone accountable for the same, that's insane to be honest with you.

Nimewauliza, Nyerere amekufa miaka 14 leo hii.
Barbara ya Bagamoyo imepewa jina la Kibaki na kuua. Aliyefanya hivyo ni madiwani wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Kwasababu tu huwa hamna hoja ya maana mumeshindwa kuwa hold accountable wahusika mnatafuta jina la Nyerere kabuirini. Jk, Said Meshaki na madiwani wapo! kwanini mumtafute Nyerere kaburini. Waulizeni hao

Ndivyo ilivyo kwa Oceam Road, hatukusikia Mohamed Said au wengine wenye vichwa kama chake wakisema lolote. Tunamsikia akisemea Nairobi. He did not say anything to JK kwasababu. Leo tunasikia mfumo Kristo ukilaumiwa na Nyerere akiwa kaburini 14 yrs.

Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.

Baada ya miaka 5 it's vicious circle kwasababu kuna mambo yanahitaji weledi. Huwezi kuwa Engineer au Daktari kwa kuteuliwa. Tutasikia wakilalamika JF mfumo kristo. Wamesahau kuwa hawakuwa na muda wa kupambana na mfumo, walitumia muda huo kujadili majina ya marehemu na kama yapewe mitaa! insane!

Kelele za kutambuliwa mashujaa zimesikika na medali zimetolewa. Sijui hilo limesaidiaje jamii ya watu wa Mkuranga wenye shule na mwalimu mkuu msaidizi ni Kiranja. ( Ogah lete habari ile ya Mkuranga)

Watu wanafikiria namna ya kufanya vyuo vyao vitambuliwe duniani, wenzetu mupo bize kutafuta majina na kumshambulia Nyerere. Hakuna anayejiuliza kwanini Morogoro University haipo katika vyuo bora 200 Africa.

Hitimisho ni kuwa
1. Kwanza, historia ya mwanadamu inaandikwa na mwanadamu kwa wakati na matukio.
Nyerere historia yake imeshaandikwa duniani. Hakuna anayeweza kuifuta au kuilingnisha na ya mtu mwingine. Ni ya Nyerere! period.Jitihada za kumpaka matope hazifanyi wengine wang'are.
Abdul Sykes atabaki kuwa raia na ukweli kuwa hakuwahi kuwa Rais wa Tanganyika utabaki pale pale hata kama unauma kama nyuki. Ni maumivu ya kuvumiliana

2. Anzeni kuenzi mashujaa kabla hamjaenda katika jukwaa la kitaifa.
Kama unadhani Jabal hilal ni bora kuliko Idd Faiz Mwafongo that should be your problem.
Hili la majina ni tatizo la utumwa wa kiakili.Waambieni madiwani wabadili majina, Tandamti iitwe Farijala, Twigwa uitwe Tatu Said n.k. Halafu mkae kitako mjiulize baada ya majina kubadilika, maisha ya jamii yamebadilika?

3. Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!

Kaeni chini mjiulize, kwanini kuna massive failure katika shule za Dar na kuna success Kirinjiko Secondari under the same environment! Kwanini chuo cha Morogoro hadi sasa hakijaweza kuchomoza katika anga za kimataifa hapa East Africa au Africa. Kuna tatizo gani na lisahishiswe vipi.

Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha.

Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!

cc Al akhy Tayeb, ukhti Faiza Fox, maulana Ritz, Al Habib kahaatan
Mag3 JokaKuu Wickama AshaDii Mtu Mzima
 
Mkuu nimebofya kitufe cha 'LIKE'

Hii ni nyundo ..hawarudi..
gombesugu Ritz Tayeb FaizaFoxy
 
Nguruvi3,

Tulizana hauna jipya nakushauri kitu kimoja unapoteza muda wako na nguvu zako bure kupambana na Uislam wewe pambana na CCM siyo kupambana na Uislam wamepita wenzako toka karne ya saba sembuse wewe Nguruvi3 leo karne ya 21 teh teh teh! tena unapambana na Uislam huku umejificha nyuma ya laptop.

Uislam ndiyo dini yenye nguvu yenye ubavu wa kusimama dhidi ya mawimbi ya upagani na ukiburi wa kutomwamini Mungu, moja ya tabia za Uislam ni kuamsha kipaji chako cha kufikiri na kuelewa.

Wewe siyo wa kwanza kutokwa na povu wapo Chadema wenzako kina Mag3 na wengine wengi huwa nacheka sana eti mnategemea Dr. Slaa atakuwa rais wa Tanzania.

Uislam uko kivitendo zaidi, ukikupa muongozo katika nyanya ya maisha ikiwa pamoja na tabia, taadhima, na kuheshimiana.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kila siku kwa kunizawadia tunu hii ya Uislam.

Nguruvi3 hauna hoja za kujibiwa wewe una chuki na Uislam na Waislam ili lipo wazi labda kwa wageni wasiokujua, mimi ni Muislam, kwa sababu ndiyo dini inayofundisha jicho kwa jicho na jino kwa jino, inakufundisha kuheshimu kila mtu, na kujali haki za wote lakini pi inafundisha iwapo mtu akitokea akakukanyaga kwa kukuonea pambana naye mpaka dakika ya mwisho.

Wewe ni mtu usiyesimamia chochote basi utaanguka kwa chochote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom