kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Dr Kahtaan
Salaam,shukran.
Tunakusoma kwa utuvu mno,najua kuna "Wabondei virongwe" humu hawakubaliani na hojazo,lakini hata upande wao wa hiyo shilingi ni dhaifu mno...hoja zake/zao ni muflis! Kwi! Kwi! Kwi!
Wao wanachojua ni maneno mengi tu...yaani matarumbeta!
Hizo datas/statistics ilitakiwa walete wao na kuweza pia ku-substantiate/defend...ili kupinga baadhi tu ya hayo malalamiko yetu,lakini pia umewafanzia Ihsan ya kuwawekea japo kiduchu.
Embu wakatuletee statistics zozote zile kutoka kwenye any leading Institutions or strategic government organ/departments,khalaf tuone nafasi zoote muhimu zinashikwa na nani!? Itakuwa ndo walewale tu,khalaf watu hawahawa ndo wanataka ati sisi tuwasikilize yakuwa "hakuna" MfumoKristo!?
Excuse yao kubwa,watakwambia mpaka leo 50 long years after "Uhuru",Waislam bado hatujasoma na wala hatuna uwezo/haturuhusiwi kushika nafasi hizo! Kwi! Kwi! Kwi!
Embu kwa mfano watuletee hapa takwimu za kutoka TRA,Makao makuu ya pale Uhamiaji,watupe Idadi yoote ya mabalozi wetu walioko nje na ndani ya nchi yetu,khalaf watwambie wangapi ni Waislam na wangapi ni watu wa MfumoKristo!?
Watupe statistics ya makamanda woote kwenye ngazi za juu za kwenye jeshi la Polisi na JWTZ.... kwa upande wa jeshi la Polisi tuanzie sub Inspectors na JWTZ tuanzie kwenye full Colonel!?
Wizara moja tu nawapa challenge wakachungulie;Wizara ya Maliasili na Utalii...pale kwa yule Muislam wasompenda Kagasheki!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani ukitaka kujua jinsi mfumoKristo unavyo-function hapo Tanzania basi pia chungulia Wizara kama hizi.
Pamoja na huyo Kagasheki kufurukkuta kwake koote,lakini wamembana na kumzunguka Wizara nzima utafikiri "sangara wachimvi"! Kwi Kwi! Kwi!
Ndio maana ya huo Mfumo;yaani hata ukiwa mtendaji fulani mkuu,lakini huwezi asilan ku-function au ku-implement ideas zako zozote...ukichungulia kidogo nje tayari watu wa MfumoKristo wamesha-leak kila kitu kwenye media au kwa wenzao na kukuhujumu kwa kukutafutia kashfa na majungu ya kuchonga! Kwi! Kwi! kwi!
Kwa ufupi hiyo nchi imekwisha,tena imekwisha vibaya mno...yaani ni time-bomb!
Waislam,wameshaonewa mno na kudhihakiwa vya kutosha...wamejitahidi/wanajitahidi vya kutosha kutoa malalamiko yoote kwa kina kwenye kuhusika tena kwa awamu zoote,lakini hakuna majibu yenye maana!?
Wanufaika na MfumoKristo;wao hawataki asilan kujua matatizo ya Waislam au hata kujaribu kuyasikiliza kwa ustaarabu...wao kazi yao ni kujaribu kuwaonyesha hao Waislam yakuwa ati "hakuna" huo MfumoKristo na tatizo kubwa ni sisi wenyewe Waislam!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuangalia kwa mbali,utaona kabisa hizo excuses na "explanations" za hao wafaidika na MfumoKristo hazina tafauti kabisa na zilezile comments/arguments zilizokua zikitolewa na wale Makaburu wa South Afrika dhidi ya Blacks South Afrikan au Amerikan Government dhidi ya Afrikan Amerikans/blacks during Civil Rights Movement!
Hii ndo legacy alotuachia yule Nyerere. Nastaajabu mno kuona Serikali maskini na ilochoka kama ya Tanzania, ati inakataza watu wake wanyonge leo kwenda kujitafutia rizk...badala yake wapumzike kumkumbuka yule Nyerere!? Kwi! Kwi! Kwi!
Tumkumbuke vipi mtu alotuachia; legacy mbovu ya chuki,udini,dhulma,rushwa iso mipaka,ukabila/ukanda,hali mbovu ya uchumi isokua na mfano!?
Kuna mangi ya kunena,lakini kwa sasa tuachie kwa hapa!
Ahsanta.
Cc;Ritz,AdiosAmigo,Tayeb
Ahsante al habib gombesugu umenipa zawadi nzuri ya idd hii!
Shukran kwa bayana hii.
Last edited by a moderator: