Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Ndugu usiwe na shaka data sio tatizo nitazileta tu na wala sio tatizo kwangu kuhakiki kwa sababu nimeshafanya hivyo kwa kuangalia vyanzo rasmi kama Taasisi ya Takwimu ya Taifa, na kuangalia orodha ya vyuo vikuu vilivyosajiliwa na TCU na kumbukumbu nyinginezo katika maduka ya vitabu vya serikali na kote huko sijaona takwimu zinazoshabihiana na zako.

Lakini kwa kuzingatia kwamba hapa wewe ndio ulioleta hizo takwimu za vyuo vikuu vya umma 25, kwa faida ya wasomaji wengine ingekuwa vema ukachukua muda kidogo tu ukabadilisha hiyo namba kwa kuorodhesha majina ya vyuo kwa kuwa tayari unayo idadi ina maana unavifahamu.

Pili Umesema umechagua Baraza la mitihani kama mfano kwa sababu ya unyeti wake na kigezo kingine kilichopelekea uchague baraza la mitihani ni kwamba Baraza hilo halijawahi kuongozwa na Muislam.

Tukiangalia utendaji wa baraza la mitihani lipo chini ya wizara ya elimu. Na hili halijawahi kubadilika tangu tupate uhuru hadi leo.

Mkurugenzi wa idara hii ki-utumishi anawajibika kwa katibu mkuu wa wizara. Hata mipango yote ya baraza haiwezi kutekelezwa bila baraka za katibu wa wizara pamoja na waziri wa elimu.

Kwa maana nyingine ni kwamba mkurugenzi wa baraza la mitihani ni sehemu tu ya wakurugenzi wengine wa wizara ya elimu na wala hana kauli ya mwisho katika mambo ya mitihani. Ndio maana wizara ilipoamua kuchakachua mitihani ya kidato cha nne hakuwa na ubavu wowote wa kupinga kulingana na muundo mbovu wa wizara na utataratibu mbovu wa nchi yetu na viongozi wengi wa sasa kutoheshimu sheria inayounda Baraza la mitihani

Waziri wa elimu ndio kiongozi mkuu wa sera ya elimu ambayo inatekelezwa na baraza la mitihani.

Kwa vile mkurugenzi ni mtekelezaji tu (executive) wa maelekezo na sera za wizara kuhusu elimu na mitihani inashangaza unaposema kwa ujasiri kwamba chombo hicho hakijawahi kuongozwa na muislam.

Sasa tukirejea historia ya wizara husika miongoni mwa viongozi maarufu waislam waliopata kuongoza wizara ya elimu ni pamoja Kighoma Malima na Athumani Kapuya. Hawa walikuwa viongozi wa wizara ya elimu wakiwa tayari ni maprofesa na Profesa maana yake anao upeo wa juu kabisa katika maswala yahusuyo taaluma. Kwa hiyo wao kipindi chote hicho walichoongoza wizara hiyo hawakuona tatizo ambalo nyie mmeliona sasa.

Pia hivi karibuni kabla ya mabadiliko waziri na katibu mkuu wa wizara ya elimu wote walikuwa ni waislam. Na matokeo ya shule za kiislam yamekuwa mabovu tangu enzi hizo za kina Malima na yamekuwa mabaya zaidi mwaka jana ambapo Viongozi wakuu wa wizara ya elimu wote ni waislam (katibu mkuu na waziri).

Ni vema kufahamu kwamba hata kama mtendaji wa baraza akiwa muislam bado hatawafanyia mitihani watoto wa kiislam na haitatungwa mitihani maalum ya waislam ili wafaulu. Hata wakifaulishwa kwa udanganyifu watapata vyeti lakini hawatapata elimu inayohitajika kuwasaidia kutatua changamoto zinazowazunguka, sana sana watakaa kusubiri ofa nyingine tena kwa sababu wameshajengewa fikra tegemezi badala ya kutumia vichwa vyao.

Hawa viongozi lukuki waislamu waliopo madarakani sasa wamewasaidia nini waislamu makabwela?.
Tuchukue Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara kama mfano ambako asilimia kubwa viongozi wake ni waislam, mahospitalini ukienda mwananyamala temeke muhimbili n.k wajawazito waislam na wasio waislam wote wamelala chini. Ukienda mikoa ya kusini hospitali za serikali ziko hoi, wengi wanategemea huduma za hospitali za makanisa.

Shule nyingi za umma watoto wanakaa chini wakiwemo waislam, shule zilizo chini ya taasisi za kiislam na zile za umma katika mikoa hiyo ndizo zilizo na matokeo mabaya zaidi.

Mikoa hiyo ndio inaongoza kwa watoto kupata mimba katika umri mdogo, kuolewa na kuacha shule. Watoto wanatoroka shule au wanafika shule kwa kuchelewa na hakuna mzazi anayeshtuka kufuatilia mtoto wake amejifunza nini, ila wanatarajia malaika atawashushia majibu siku ya mitihani wafaulu.

Wakifeli wanajua kuna sehemu ya kupeleka lawama, mfumo kristo wa baraza la mitihani na Mkurugenzi wake.

Hizo siasa za misikitini zinatumika kama madaraja na vichaka tu, wakishawatumia wanawatupilia mbali kama kondomu.

Mfano halisi ni huu: Mgombea wa urais muislam na makamu wake muislam walitembea nchi nzima wakiwalaghai muwachague ili wawape mahakama ya kadhi huku wakijua katiba ya nchi hairuhusu kitu kama hicho. Walipopata madaraka hayo wamewapeni hiyo mahakama?.

Mwisho narudia kusisitiza acheni kuwadanganya wenzenu na kuwaangamiza.

Wanaoshabikia na kueneza sumu kwa watoto wa maskini watoto wao wapo shule nzuri tu wala hutawakuta shule kama Jabal-Hilal.

Kwa kukumbusha tu ni kwamba, Tangu Julius anga'atuke ni miaka 28 sasa imepita. Katika kipindi hicho marais waislam wameongoza mika 18 hadi sasa na katika kipindi cha miaka 28 kumekuwa na makamu wa rais waislam kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20.

Kwa kuzingatia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais ni wazi kwamba wengi kati ya uliyowataja (iwapo tutakubaliana na takwimu zako) wengi wao wameteuliwa na marais waislam.

Huo mfumo kristo unajengwa na waislam?.

Tafakari chukua hatua.

Mtu Mzima

Ewe Kahaba wa Chadema aka Mtu mzima!

Umeshaharisha saana na kwa kifupi uharo wako ulojaa Islamophobia,stereotypes na prejudices unanuka mno!

Wenzio wastaarabu wakishamaliza kuharisha kama hivi,huinuka na kwenda kuchamba...sasa wewe watakani,au unawashwa!?

Ina maana wewe hujaona mifano/mfano wowote wa kusema zaidi ya hizo condoms,misikiti na Waislam!?...embu jisome tena upya huo uharo wako!?

Juzi ulianza vyema japo kipuuzi,ukajibiwa kwa staha,leo unaiingia kwa makhanatha!? Wewe huko kwenu Chadema/kanisani unaweza kuzungumza na yule Padri Mkunga Dr. Slaa huku ukimtolea mifano ya kikhanith namna hiyo!?

Ina maana,Josephine Mushumbusi atakapomtupa yule Mzee Slaa baada ya kukosa maelfu ya kura za Waislam hiyo 2015...utasema yakuwa Dr Slaa nae pia alikua akitumiwa kama condom na shughuli yake imekwishwa ndo katupwa!?

Pitia post/s za awali humu;utaona mimi binafsi kupitia kwa Dr Kahtaan na pia yeye Dr Kahtaan mwenyewe,soote tumekuwekea na kukuomba uongeze datas/statistics...sasa wewe unarejea hapa mikono mitupu tena kwa arrogant ya hali ya juu huku ukileta porojo nyingi na ati "kufundisha" maisha Waislam!?

Kumbuka hapa unazungumza na Scholars wa fields mbalimbali...acha mambo yako ya kwenye vikao vya mbege!

Hizo statistics,sisi tunazo zoote...najua wewe huna wala huna nia,uwezo wala dhamira ya kuzipata.

Hizo sehemu zoote ulizotaja na kujigamba nazo,sisi tuna watu tena muhimu pita kiasi na wengine ni ndugu/jamaa zetu wa karibu mno! Kwa hiyo acha utoto wa kujigamba na ati kujaribu kututisha! Kwi! Kwi! kwi!

Hata yule Nyerere wenu pia pamoja na udhalimu na hasada zake nyingi,lakini kuna watu na families alikua akiwajua na kuwastahi japo kiduchu!

Cha msingi;wewe ndo unatakiwa ulete hizo statistics zoote tulizohitaji tena kutoka hizo sehemu tulizokutajia...nina maana kwenye ile post yangu na ya Dr Kahtaan,khalaf njoo hapa uje kuzi-substantiate/defend mbele yetu...just a simple arithmetic equation!? Ok!?

Mimi nilikua nakufuatilia tangia ulipoingia humu;yaani wewe tangia mwanzo ulishaanza kudai yakuwa issues zoote ni hisia tu za Waislam!?...ina maana umeingia kwenye huu mjadala huku tayari una -conclusions zako kichwani!?

Sasa utawezaje kuwa objective na impartial!?...we don't mind any sort of criticism but it must be constructive criticism!! Ok!?

Zaidi ya hapo...inakulazim ukae kimya na kuwa msomaji muadilifu!

Ahsanta sana.
Cc;Kahtaan,Ritz,Tayeb,Boko Haram,The Big Show,Chamviga
 
Your thoughts aka uninformed opinion are totally wrong and rotten,kind of popular misconception!

Are you seriously suggesting Muslims can not think to bring any better thing or development to their communities!?

MfumoKristo
it's not the only threat,it is the likes of you...

Judgement of people who you don't know their experience and in whose shoes you have not walked...it shows lack of integrity.

The strength of MfumoKristo lies on its ability to sale illusion to its victims...so please STOP preaching your bollovks!!

Your post truly sickening. Reason is the only way of liberating one's mind,not your shit Islamophobia....yes and what saddens me even more is to see Devils and Zombies like you ,who are also part and parcel of the same MfumoKristo,spitting your arrogant remarks aka vernom each and every day!

Next time ,before making and foolish statement like this,do your home work very well...you don't have to be narrow-minded! Ok!?

Ahsanta.

Cc;Maulana Dr. kahtaan,Shariff Ritz,Ayatollah Chamviga,Al Habib Al Tayeb,Al Akhiy Boko Haram,Al Murid The Big Show,Al Kidhab Nguruvi3,Al Munafik Mag3,Al Akhiy Polite
 
Maulana gombesugu,

Kauli mbiu ni ile ile kutoka kwa Ayatollah CHAMVIGA, kuna wapuuzi wengine wanasema wanatumiwa PM teh teh teh Chadema janga la taifa.

Mimi niachieni niendelee na darsa kuwafahamisha umma unyama Nyerere aliowafanyia Masheikh/Wazee wetu atakayeona Nyerere anaonewa namkaribisha jamvini.

Huyu mpuuzi anayejiita mtu mzima ovyo, anayewatuka Waislam anawafananisha na Condom na kukuejeli Misikiti yetu sijamjibu ni maana yangu lakini safari hii tapambana naye kwa jinsi atakavyokuja.

Majibu yako yananikosha sana mie nipo hapa nakula nyama ya ngamia na asali.
 
Last edited by a moderator:

Ewe Mbondei "mlango wa nane" aka Nguruwe3!

Mbona unaongea kama vile umepandwa na mapepo!?...inalazim ukamuone Muchungaji Kakobe akakuombee! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwanini unahangaika kujaza server/s humu na kulazimisha kuzungumza na watu ambao tayari tushakudharau kitambo!?

Wewe unafikiri sisi soote hatuna maisha,kazi yetu ni kuingia humu Jf kusoma tu uharo wako na kujibizana na hoja zenu mfu zilojaa chuki za kidini na tashtit!?...get a life!

Kama nyinyi mnaaminishwa yakuwa Waislam woote "hawajasoma"/"wavivu" wa kusoma na utumbo mwingineo mwingi;kwa hiyo kwa kukusaidia tu,huyo Mshume Kiyate, upikwe wali sufuria mbili...peleka kwa wajukuu zake wakale,basi tutatulia na kukupunguzieni hili zogo humu Jf!! Kwi! Kwi! kwi!

Si unajua Waislam akili zao ni kupenda "ubwabwa" tu na kucheza bao!?

Sarcasm and cynical humour speak to your lack of empathy!

Ahsanta.Ps; "Ukipanda upepo tegemea kuvuna kimbunga" - Ayatollah Chamviga.
Kauli kama hizi zinanifanya nang'aa zaidi miongoni mwenu.

Mimi nina hoja wenzangu mna matusi.
Halafu unategemea mtu mwenye lugha hii aende kuwalingania wanadamu kuhusu Uislam.
Uislam ni amani na salama, akili na fikra si jina. Jihad si mapanga hata kuutangaza kwa njia njema kama kauli za ulinganifu ni jihad.

Hoja iko wapi? Mimi nauliza vipi tuwaenzi wazee kwa namna gani? Mbona wenzangu mnakimbia hoja muhimu ambayo Mohamed Said na Chamvinga wameitoa nami nawaunga mkono tu!

Your thoughts aka uninformed opinion are totally wrong and rotten,kind of popular misconception!Are you seriously suggesting Muslims can not think to bring any better thing or development to their communities!?
Kauli zenu hazilingani na wasomi wa dini ndio maana nashauri kila siku angalieni maana ninyi ni sehemu muihimu sana. Image yenu in impact katika society. Kwanini hauoni au hamuelewi?
Boko haram alisema kwanini watu wanaitwa majina mabaya kama alshabab, alqaeeda n.k. Ninapenda kumwambia kuwa hao si waislam bali wamechukua ajenda zao na kuzifunga kwa kitambaa cha dini. Ni kwa mtindo wa kauli za hovyo na wingi wa mitusi hawa wanaosema wanatetea dini kwa ndimi chafu wanaichafua kama wanavyofanya alqaeeda.
Kauli zenu waungwana sijibu hoja.
kahtaan kaongelea inferiority complex as a nasty disease. Soma kauli za hapo juu utaona nini maana ya inferiority complex.

Ndugu zangu, kifanyike nini wazee waliopigania uhuru waenziewe?

Last edited by a moderator:
See! Now you are moving again! The whole issue here is not to pin point individuals!
Tunamfahamu mchawi wetu! Tatizo ni watu km wewe ambao wana yale matatizo yaitwayo "selective hearing"
Au "selective understanding"

You choose what to hear! Or what to understand! Kama wewe ni msema haki!
Kwa nini usiupokee mzigo wote kama ulivyo? Unachukua nusunusu??

Unasema "they should be a cut point" and for once I agree with you BUT if only you could accept that the source of all this chaos was your very humble friend MWALIMU NYERERE!
Hapo ndipo tutakapo kwenda mbele!!
I don't mind if you keep whining for another 30 years.
I don't mind if you decide to camp on Nyerere's cemetery expecting something different
I'm not bothered if you pass the story to your kids who will remain whining like their fathers
I don't mind if you choose the dark side of development.

You've to determine your final destination and no one should change ehh mmh the way eeeh you think.
 
Huyu hana point ya maana au ameshindwa kisiasa ndiyo maana anaingiza dini kwa sana.Harakati za huru hazikufanywa na nyerere pekee yake na hilo lipo wazi kabisa na waislam wengi sana walishiriki katika harakati hizo ila walifanya jambo zuri sana kutokuingiza udini wao kama msingi wa kugombea uhuru .si kama huyu mtoa mada ambaye amejaa udini mtupu kwenye kichwa chake .nashukru sana waislam wote walioshiriki kudai uhuru kama wakina mzee Tambaza ,Thabiti kombo,bibi Titi na wengine wengi .hawakuwa na udini .na uhuru tuliopata si waislam tu niwa Watanzania wote.na mwenyezi aziweke roho zao peponi
Nimewaambia wote na mentor wao Mohamed Said wanionyeshe mahali ambapo wapigania uhuru walisema wanafanya hivyo kwa ajili ya dini. Hakuna aliyethubutu

Nimewauliza vipi maneno ya Abdul Sykes na Baba yake kuwa wanapigania kuwakomboa waafrika wameyachuliaje? Hakuna anayejibu kwasababu hawana jibu.

Nimewauliza ajitokeze mtu anithibitishie kuwa wale walisoshiriki kupigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam walikuwa waislam. Jamvi lote kimya hakuna anyethubutu kukanusha! hakuna maana kama yupo ajitokeze nimwagwe mtama hadharani.

Ndio maana nasiamama jamvini kifua mbele kwasababu nina uelewa sikukariri mambo.
Kitu kizuri ninachowapiga nacho ni kuwa nina uwezo wa kuwanyang'anya fimbo nikawachapa nayo.
Nipo kila mahali and well imformed

Wacha kuwajaza watu uongo!

Toa kwanza mwiba wa tak.o wewe Muchungwaji Paulo!
 
Naona fitina za yule mjivuni wa kimanyema bado zinaendelea.
 
Yaani huyu ni kiumbe wa ajabu sana!

Nilidhani hii tabia yake ya kuruka huku na kule nimeiona peke yangu!

Tehe tehe tehe!
Tumeshaona role ya islam katika harakati. Tumetajiwa wahusika.
Swali nini kifanyike kuwaenzi hao wapigania uhuru ambao wamekana si wa dini lakini wanasingiziwa walitenda hayo kwasababu ya imani. Tuwaenzi vipi.

Silaha muhimu katika majadiliano ni hoja. Matusi ni silaha rahisi na nyepesi kwa asiye na hoja.
Nitachukua fimbo uliyoshika mkononi nitakuchapa nayo!

Wewe ndio punda, huendi ila kwa majiti tehe tehe tehe!
 
Tumeshaona role ya islam katika harakati. Tumetajiwa wahusika.
Swali nini kifanyike kuwaenzi hao wapigania uhuru ambao wamekana si wa dini lakini wanasingiziwa walitenda hayo kwasababu ya imani. Tuwaenzi vipi.

Silaha muhimu katika majadiliano ni hoja. Matusi ni silaha rahisi na nyepesi kwa asiye na hoja.
Nitachukua fimbo uliyoshika mkononi nitakuchapa nayo!

Wewe inaonekana ufahamu nazungumza nini?

Rejea mabandiko yangu yote kuhusu wewe!

Pengine muda huu ukapata faida.

Maana kuna msemo unasema "ukitaka kumficha mswahili jambo, muwekee kwenye maandishi"

Sasa wewe nawe umekua miongoni mwao tehe tehe tehe!

Mtihani wako huo wewe muabudu masanamu
 
Where is your point dude.
This thread is not about me, it's all about the legacy of our forefathers.

Tufanye nini kuwaenzi baada ya kuona role yao na baada ya kupata wasifu,wajihi na majina yao?

Watu wameshindwa kueleza nini kifanyike, in other words walivutwa na hisia hawakuwa na ground to stand on.
Wamekimbia jamvi na waliobaki wanashusha mitusi kwenda mbele. Sisi wenye hoja tumebaki wima.

Fimbo yako nakunyang'anya halafu nakutandika nayo. Strength of well informed person
 
Ewe Kahaba wa Chadema aka Mtu mzima!

Umeshaharisha saana na kwa kifupi uharo wako ulojaa Islamophobia,stereotypes na prejudices unanuka mno!

Wenzio wastaarabu wakishamaliza kuharisha kama hivi,huinuka na kwenda kuchamba...sasa wewe watakani,au unawashwa!?

Ina maana wewe hujaona mifano/mfano wowote wa kusema zaidi ya hizo condoms,misikiti na Waislam!?...embu jisome tena upya huo uharo wako!?

Juzi ulianza vyema japo kipuuzi,ukajibiwa kwa staha,leo unaiingia kwa makhanatha!? Wewe huko kwenu Chadema/kanisani unaweza kuzungumza na yule Padri Mkunga Dr. Slaa huku ukimtolea mifano ya kikhanith namna hiyo!?

Ina maana,Josephine Mushumbusi atakapomtupa yule Mzee Slaa baada ya kukosa maelfu ya kura za Waislam hiyo 2015...utasema yakuwa Dr Slaa nae pia alikua akitumiwa kama condom na shughuli yake imekwishwa ndo katupwa!?

Pitia post/s za awali humu;utaona mimi binafsi kupitia kwa Dr Kahtaan na pia yeye Dr Kahtaan mwenyewe,soote tumekuwekea na kukuomba uongeze datas/statistics...sasa wewe unarejea hapa mikono mitupu tena kwa arrogant ya hali ya juu huku ukileta porojo nyingi na ati "kufundisha" maisha Waislam!?

Kumbuka hapa unazungumza na Scholars wa fields mbalimbali...acha mambo yako ya kwenye vikao vya mbege!

Hizo statistics,sisi tunazo zoote...najua wewe huna wala huna nia,uwezo wala dhamira ya kuzipata.

Hizo sehemu zoote ulizotaja na kujigamba nazo,sisi tuna watu tena muhimu pita kiasi na wengine ni ndugu/jamaa zetu wa karibu mno! Kwa hiyo acha utoto wa kujigamba na ati kujaribu kututisha! Kwi! Kwi! kwi!

Hata yule Nyerere wenu pia pamoja na udhalimu na hasada zake nyingi,lakini kuna watu na families alikua akiwajua na kuwastahi japo kiduchu!

Cha msingi;wewe ndo unatakiwa ulete hizo statistics zoote tulizohitaji tena kutoka hizo sehemu tulizokutajia...nina maana kwenye ile post yangu na ya Dr Kahtaan,khalaf njoo hapa uje kuzi-substantiate/defend mbele yetu...just a simple arithmetic equation!? Ok!?

Mimi nilikua nakufuatilia tangia ulipoingia humu;yaani wewe tangia mwanzo ulishaanza kudai yakuwa issues zoote ni hisia tu za Waislam!?...ina maana umeingia kwenye huu mjadala huku tayari una -conclusions zako kichwani!?

Sasa utawezaje kuwa objective na impartial!?...we don't mind any sort of criticism but it must be constructive criticism!! Ok!?

Zaidi ya hapo...inakulazim ukae kimya na kuwa msomaji muadilifu!

Ahsanta sana.
Cc;Kahtaan,Ritz,Tayeb,Boko Haram,The Big Show,Chamviga

Matusi yao kwa waislamu na uislamu ndio kifo cha chama chao cha KADIMA(CHADEMA) wape bayana mkuu Gombesugu.
 
Your thoughts aka uninformed opinion are totally wrong and rotten,kind of popular misconception!

Are you seriously suggesting Muslims can not think to bring any better thing or development to their communities!?

MfumoKristo
it's not the only threat,it is the likes of you...

Judgement of people who you don't know their experience and in whose shoes you have not walked...it shows lack of integrity.

The strength of MfumoKristo lies on its ability to sale illusion to its victims...so please STOP preaching your bollovks!!

Your post truly sickening. Reason is the only way of liberating one's mind,not your shit Islamophobia....yes and what saddens me even more is to see Devils and Zombies like you ,who are also part and parcel of the same MfumoKristo,spitting your arrogant remarks aka vernom each and every day!

Next time ,before making and foolish statement like this,do your home work very well...you don't have to be narrow-minded! Ok!?

Ahsanta.

Cc;Maulana Dr. kahtaan,Shariff Ritz,Ayatollah Chamviga,Al Habib Al Tayeb,Al Akhiy Boko Haram,Al Murid The Big Show,Al Kidhab Nguruvi3,Al Munafik Mag3,Al Akhiy Polite

Teh teh teh,
Alhabib nakusoma kwa utulivu wa hali ya juu hapa na darasa zako. Wewe Shindilia kwa jinsi alivyokuja mwisho ujumbe umefika. Ila hapo kwenye AYATOLLAH!? Lol naogopa sana mpenzi.
 
Ewe Kahaba wa Chadema aka Mtu mzima!

Umeshaharisha saana na kwa kifupi uharo wako ulojaa Islamophobia,stereotypes na prejudices unanuka mno!

Wenzio wastaarabu wakishamaliza kuharisha kama hivi,huinuka na kwenda kuchamba...sasa wewe watakani,au unawashwa!?

Ina maana wewe hujaona mifano/mfano wowote wa kusema zaidi ya hizo condoms,misikiti na Waislam!?...embu jisome tena upya huo uharo wako!?

Juzi ulianza vyema japo kipuuzi,ukajibiwa kwa staha,leo unaiingia kwa makhanatha!? Wewe huko kwenu Chadema/kanisani unaweza kuzungumza na yule Padri Mkunga Dr. Slaa huku ukimtolea mifano ya kikhanith namna hiyo!?

Ina maana,Josephine Mushumbusi atakapomtupa yule Mzee Slaa baada ya kukosa maelfu ya kura za Waislam hiyo 2015...utasema yakuwa Dr Slaa nae pia alikua akitumiwa kama condom na shughuli yake imekwishwa ndo katupwa!?

Pitia post/s za awali humu;utaona mimi binafsi kupitia kwa Dr Kahtaan na pia yeye Dr Kahtaan mwenyewe,soote tumekuwekea na kukuomba uongeze datas/statistics...sasa wewe unarejea hapa mikono mitupu tena kwa arrogant ya hali ya juu huku ukileta porojo nyingi na ati "kufundisha" maisha Waislam!?

Kumbuka hapa unazungumza na Scholars wa fields mbalimbali...acha mambo yako ya kwenye vikao vya mbege!

Hizo statistics,sisi tunazo zoote...najua wewe huna wala huna nia,uwezo wala dhamira ya kuzipata.

Hizo sehemu zoote ulizotaja na kujigamba nazo,sisi tuna watu tena muhimu pita kiasi na wengine ni ndugu/jamaa zetu wa karibu mno! Kwa hiyo acha utoto wa kujigamba na ati kujaribu kututisha! Kwi! Kwi! kwi!

Hata yule Nyerere wenu pia pamoja na udhalimu na hasada zake nyingi,lakini kuna watu na families alikua akiwajua na kuwastahi japo kiduchu!

Cha msingi;wewe ndo unatakiwa ulete hizo statistics zoote tulizohitaji tena kutoka hizo sehemu tulizokutajia...nina maana kwenye ile post yangu na ya Dr Kahtaan,khalaf njoo hapa uje kuzi-substantiate/defend mbele yetu...just a simple arithmetic equation!? Ok!?

Mimi nilikua nakufuatilia tangia ulipoingia humu;yaani wewe tangia mwanzo ulishaanza kudai yakuwa issues zoote ni hisia tu za Waislam!?...ina maana umeingia kwenye huu mjadala huku tayari una -conclusions zako kichwani!?

Sasa utawezaje kuwa objective na impartial!?...we don't mind any sort of criticism but it must be constructive criticism!! Ok!?

Zaidi ya hapo...inakulazim ukae kimya na kuwa msomaji muadilifu!

Ahsanta sana.
Cc;Kahtaan,Ritz,Tayeb,Boko Haram,The Big Show,Chamviga

Marhaba ya al akhyi.
Nakusoma huku kwa utuliiivu kabisa.
Nakuona unavyo mpaka majiti ya roho kijana huyu! Teh teh teh teh!
Wallah watu hawa ni shida kubwa kuwaelewesha!
Wape darsa kidogo maalim wangu!.
 
Yaani huyu ni kiumbe wa ajabu sana!

Nilidhani hii tabia yake ya kuruka huku na kule nimeiona peke yangu!

Tehe tehe tehe!

Teh teh teh teh!
Kama katawazia upu.pu! Au yale maji makali!
Anaruka kama kitenesi!
Teh teh teh teh
 
Majibu ya hoja ya Islam's role na watajwa wafanyiwe au waenziwe vipi yapo wapi?
Mbona hakuna mnachosema! au twende kwa familia ya Mshume Kiyate tukaulize! teh teh teh Daktari big gaffe! OMG

Pongezaneni kwa matusi in the end tunahitaji majibu kifanyike nini kuwaenzi. That's the bottomline
 
Naona fitina za yule mjivuni wa kimanyema bado zinaendelea.
Nanren wala si yeye ni wapiga zumari wasiojua nyimbo ina maana gani. Tumewapa nafasi waeleze hao wazee wafanyiwe nini, wote wamekimbia jamvini waliobaki wanapongezana kwa matusi! Wenye hoja wamechukua fimbo walioshika na sasa tunawatandika nazo.

Ukishakuwa well informed una power ! ukiwa half baked au unasubiri upuliziwe knowledge unatatizo kubwa sana.

Wafanyiwe nini hao wazee ili kuwaenzi? Jibu la mmoja wao tena msomi kweli kweli anasema twende tukaulize familia ya Mshume Kiyate! what! bila aibu hiyo ndio hoja mezani. Sina tatizo na msomi huyu ninawasi wasi wale wengine wanaomtegemea wapo kiwango gani! real worried kama msomi anaweza kuburuzwa hovyo ni tatizo,

Jamani mumekimbia jamvi? swali tuwafanyie nini hao wazee waliopigania uhuru!

Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh!
Kama katawazia upu.pu! Au yale maji makali!
Anaruka kama kitenesi!
Teh teh teh teh

tehe tehe tehe!

Huyo mchungwaji ana mtihani mkubwa wallahi!

Nimemwambia atoe mwiba wa tak.o kwanza, halafu aje hapa ukumbini ndio tunaweza jadiliana nae, lakini amekua mgumu kufahamu!
 
Back
Top Bottom