Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Teh teh teh teh!
Kama katawazia upu.pu! Au yale maji makali!
Anaruka kama kitenesi!
Teh teh teh teh
Kahtaan,
Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na wakoloni na Uislam ulitumika kama falsafa ya mapambano.
Ndiyo maana katika harakati za uhuru 'symbols' za Kiislam zilionekana wazi kuanzia mavazi, utamaduni na mila hadi wafuasi wa TANU.
Haikuwa ajabu TANU inapokwama basi kilichofuatia ni kufanya ''tawasul'' na visomo vya kila aina.
Huyo ni Mshume Kiyate akimvisha kitambi Nyerere baada ya maasi ya Januari 20 1964 maasi yaliyofanywa na Tanganyika Rifles.
Mshume Kiyate ana mengi katika uhusiano wake na Nyerere kuanzia 1954 hadi uhuru ulipopatikana 1961 na baada ya hapo.