Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Teh teh teh teh!
Kama katawazia upu.pu! Au yale maji makali!
Anaruka kama kitenesi!
Teh teh teh teh

Kahtaan,

Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na wakoloni na Uislam ulitumika kama falsafa ya mapambano.

Ndiyo maana katika harakati za uhuru 'symbols' za Kiislam zilionekana wazi kuanzia mavazi, utamaduni na mila hadi wafuasi wa TANU.

Haikuwa ajabu TANU inapokwama basi kilichofuatia ni kufanya ''tawasul'' na visomo vya kila aina.

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

MSHUME+KIYATE.jpg

Huyo ni Mshume Kiyate akimvisha kitambi Nyerere baada ya maasi ya Januari 20 1964 maasi yaliyofanywa na Tanganyika Rifles.
Mshume Kiyate ana mengi katika uhusiano wake na Nyerere kuanzia 1954 hadi uhuru ulipopatikana 1961 na baada ya hapo.
 
Nimewaambia wote na mentor wao Mohamed Said wanionyeshe mahali ambapo wapigania uhuru walisema wanafanya hivyo kwa ajili ya dini. Hakuna aliyethubutu

Nimewauliza vipi maneno ya Abdul Sykes na Baba yake kuwa wanapigania kuwakomboa waafrika wameyachuliaje? Hakuna anayejibu kwasababu hawana jibu.

Nimewauliza ajitokeze mtu anithibitishie kuwa wale walisoshiriki kupigania uhuru wakiwa na majina ya kiislam walikuwa waislam. Jamvi lote kimya hakuna anyethubutu kukanusha! hakuna maana kama yupo ajitokeze nimwagwe mtama hadharani.

Ndio maana nasiamama jamvini kifua mbele kwasababu nina uelewa sikukariri mambo.
Kitu kizuri ninachowapiga nacho ni kuwa nina uwezo wa kuwanyang'anya fimbo nikawachapa nayo.
Nipo kila mahali and well imformed

Nguruvi3.

Hapo kwenye red kumbe gombesugu hana makosa kuyaita maoni yako uharo/makhanatha!

Kuhusu bandiko lako hapo juu kwamba waliopigania uhuru wenye majina ya kiislamu uthibitishiwe kuwa ni waislamu
mimi naona swali lako halijajitosheleza na ukiona watu hawajajibu swali lako sio kwamba ndio ushindi kwako.

Kwa mfano Mnyika alimuita Kikwete dhaifu lakini JK hakumjibu kwasababu alimpuuza/aliona ni mpuuzi kwahiyo ukiona watu hawaja kujibu ujue swali lako ni la kipuuzi na halina mashiko au jibu utalipata muda ukitaradadi.

ahsanta
 
Kahtaan,
Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na wakoloni na Uislam ulitumika kama falsafa ya mapambano.

Ndiyo maana katika harakati za uhuru 'symbols' za Kiislam zilionekana wazi kuanzia mavazi, utamaduni na mila hadi wafuasi wa TANU.

Haikuwa ajabu TANU inapokwama basi kilichofuatia ni kufanya ''tawasul'' na visomo vya kila aina.

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

MSHUME+KIYATE.jpg

Huyo ni Mshume Kiyate akimvisha kitambi Nyerere baada ya maasi ya Januari 20 1964 maasi yaliyofanywa na Tanganyika Rifles.
Mshume Kiyate ana mengi katika uhusiano wake na Nyerere kuanzia 1954 hadi uhuru ulipoatikana 1961 na baada ya hapo.
Well said Mohamed Said, sasa swali ni kuwa tumeshaona role ya Islam, tumewaona washiriki katika role hiyo. Nini kifanyike ili kuwaenzi kwasababu malalamiko ni kuwa hawaenziwi ipasavyo.

Labda utakuwa na jibu maana vijana wako hawana! Hebu tusaidiane kukwamua hili 'gari'

Je, na wewe unashauri tukaitafute familia ya Mshume tuwaulize hili jambo au una mtazamo tofauti.

Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Hapo kwenye red kumbe gombesugu hana makosa kuyaita maoni yako uharo/makhanatha!

Kuhusu bandiko lako hapo juu kwamba waliopigania uhuru wenye majina ya kiislamu uthibitishiwe kuwa ni waislamu
mimi naona swali lako halijajitosheleza na ukiona watu hawajajibu swali lako sio kwamba ndio ushindi kwako.

Kwa mfano Mnyika alimuita Kikwete dhaifu lakini JK hakumjibu kwasababu alimpuuza/aliona ni mpuuzi kwahiyo ukiona watu hawaja kujibu ujue swali lako ni la kipuuzi na halina mashiko au jibu utalipata muda ukitaradadi.

ahsanta
Nasema hivi waliopigania uhuru ni watu wa aina zote. Kuwa na jina la kiislam hakumaanishi ni mwislam.
Kuna vitu viwili, Uislam na waislam tafadhali usivichanganye.
Ninachoomba kwa watu ni kunithibitishia kuwa wote wenye majina ya kiislam walikuwa waislam kwa maana ya Uislam.

Pili, tumeshaona role ya Islam na Mohamed Said kaweka hadi picha za Mshume.
Swali ni kuwa tuwaenzi vipi watu hawa? Hiyo ndiyo hoja ya mada kuwa wamesahaulika.
Wewe una maoni gani.
Daktari Kahtaan anasema tuwatafute familia ya Mshume tuwaulize wangependa nini, je nawe unakubaliana na hilo.?

Kwanini tuweke mada tusiojua suluhu yake ni nini. Tunabandika tukiwa na objective au tunaweka tu kwasababu maneno yameandikwa na mentor. Mentor si tusi ni mkufunzi kwahiyo nikisema mentor wa vijana ni mkufunzi.
Kama hukubali MS ni mentor basi ungana na wale wanaohitaji majibu kama mimi.

Last edited by a moderator:

Kahtaan,

Waislam ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na wakoloni na Uislam ulitumika kama falsafa ya mapambano.

Ndiyo maana katika harakati za uhuru 'symbols' za Kiislam zilionekana wazi kuanzia mavazi, utamaduni na mila hadi wafuasi wa TANU.

Haikuwa ajabu TANU inapokwama basi kilichofuatia ni kufanya ''tawasul'' na visomo vya kila aina.

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

MSHUME+KIYATE.jpg

Huyo ni Mshume Kiyate akimvisha kitambi Nyerere baada ya maasi ya Januari 20 1964 maasi yaliyofanywa na Tanganyika Rifles.
Mshume Kiyate ana mengi katika uhusiano wake na Nyerere kuanzia 1954 hadi uhuru ulipopatikana 1961 na baada ya hapo.

Ahsante sheikh Mohamed Said .
Nadhani elimu uitoayo hapa japo hawa majaaluta wataipinga na kujidai kufumba macho lkn deep inside they can see the truth!
Hizi kejeli za hawa akina Nguruvi3 ni za kawaida kabisa kwa wale wasiopenda ukweli kuonyeshwa hadharani namna hii.

Baadhi yao wanategemea ruzuku fulani ktk maisha yao kwa kuuficha na kuukalia ukweli.

Na hizo ruzuku wazipatazo ndio hizo wakilisha wtt wao na vizazi vyao!

Lahaula walaquwata illah billah.

Tunakushkuru maalim kwa darasa nadhif.

Ahsante.
 
Wrong again, nimemshukuru Mohamed Said kwa 'elimu' nikamuuliza tufanye nini kuwaenzi hao wazee? Tena nikamuumuuliza vipi hoja yako ya kwenda kuuliza familia ya Mshume, je ina mashiko yoyote.
Utamaliza majina, umeacha Nguruwe sasa ni Jaaluta! what is next dude

Tunamsubiri.

Last edited by a moderator:
Nasema hivi waliopigania uhuru ni watu wa aina zote. Kuwa na jina la kiislam hakumaanishi ni mwislam.
Kuna vitu viwili, Uislam na waislam tafadhali usivichanganye.
Ninachoomba kwa watu ni kunithibitishia kuwa wote wenye majina ya kiislam walikuwa waislam kwa maana ya Uislam.

Pili, tumeshaona role ya Islam na Mohamed Said kaweka hadi picha za Mshume.
Swali ni kuwa tuwaenzi vipi watu hawa? Hiyo ndiyo hoja ya mada kuwa wamesahaulika.
Wewe una maoni gani.
Daktari Kahtaan anasema tuwatafute familia ya Mshume tuwaulize wangependa nini, je nawe unakubaliana na hilo.?

Kwanini tuweke mada tusiojua suluhu yake ni nini. Tunabandika tukiwa na objective au tunaweka tu kwasababu maneno yameandikwa na mentor. Mentor si tusi ni mkufunzi kwahiyo nikisema mentor wa vijana ni mkufunzi.
Kama hukubali MS ni mentor basi ungana na wale wanaohitaji majibu kama mimi.

Nguruvi3 unanishangaza sana hizi tactics zako unazotumia ktk mdahalo huu!!

Hapo nyuma tu ulikuwa ni BIG PROTESTER AND DENIAL OF EVERYTHING WE SAID!!

Sasa wewe ghafla umeshageuka kuwa solution finder!

Teh teh teh teh!
Wee jamaa mtu akifanya makosa akakuachia majukumu fulani ktk kampuni muhimu!
Kwa kutokuwa na msimamo ktk mambo yako !
akirudi Anaweza kukuta umefilisi kampuni kabisa.
Teh teeh teh teh!

Sasa kabla sijafanya suggestion uitakayo wewe! Nataka wewe ukubali wazi hapa kuwa" WAISLAMU WAMESHIRIKI KIASI KIKUBWA SANA KTK HARAKATI ZA KUPATIKANA UHURU KTK NCHI HII..

Halafu tuendelee.

Cc Ritz gombesugu Tayeb CHAMVIGA Boko haram
 
Ahsante Dr kahtaan kwa kuweka hiyo bayana hapo kwenye BOLD

Huyo mtu ni wa kuogopwa kama ukoma!

Huyo ni MNAFIKI

Nyie guest/s na member/s mnaosoma mabandiko ya huyo kiumbe [MENTION=128010]nguruvi3 bila shaka ni mashahidi wazuri!
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3 unanishangaza sana hizi tactics zako unazotumia ktk mdahalo huu!!

Hapo nyuma tu ulikuwa ni BIG PROTESTER AND DENIAL OF EVERYTHING WE SAID!!

Sasa wewe ghafla umeshageuka kuwa solution finder!

Teh teh teh teh!
Wee jamaa mtu akifanya makosa akakuachia majukumu fulani ktk kampuni muhimu!
Kwa kutokuwa na msimamo ktk mambo yako !
akirudi Anaweza kukuta umefilisi kampuni kabisa.
Teh teeh teh teh!

Sasa kabla sijafanya suggestion uitakayo wewe! Nataka wewe ukubali wazi hapa kuwa" WAISLAMU WAMESHIRIKI KIASI KIKUBWA SANA KTK HARAKATI ZA KUPATIKANA UHURU KTK NCHI HII..

Halafu tuendelee.Cc Ritz gombesugu Tayeb CHAMVIGA Boko haram
No hujanielewa nadhani. Nimesema tukubaliane kuwa hao ndio wazee, sasa tufanye nini. Nilichokifanya ni ku move kwenda kwenye solution ambayo wenzangu hamtaki mnataka kubaki mnalalama dalili za inferiority complex uliyoeleza.

Nadhani katika mdahalo huu kuna mahali sieleweki kwasababu mimi naongozwa na fikra na maono.
Wenzangu mnaongozwa na mapenzi na unyenyekevu hata kama mnafahamu ukweli lakini mnataka kuwa loyal tu.
Nani amesema huwezi kuwa na imani kama hukubaliani na wenzako, kwamba ukimpinga MS basi wewe ni kafir!
wake up guys, mnaendeshwa kama treni bovu mkiunga tela hamjui mnakwenda wapi. Ona sasa mumekwama kwa hoja zenu wenyewe. Tumezichukua na tunawachapa nazo usoni, jamvi la moto kuweka makalio heri ya mwiba.

Nisome vizuri nipo pale pale kuwa kama mnadhani hao ndio waliofanya hivyo iwe kwa njia ya imani ambayo si kweli au nyingine, sasa mnataka waenziwe kwa kufanyiwa nini?

Hamtaki kabisa kwenda mbele kwasababu mnafahamu madai yenu yanaelea hayana miguu.
Mimi ni CEO mzuri sana wa kampuni isiyofilisika kwasababu ninasimamia ninachokiamini ni sahihi na si kile watu wanachoaminishwa ni sahihi kwa mahaba na mapenzi tu tena wakishauriwa kuwa kutumia akili ni kufur wantakiwa waimbe nyimbo za manju hata kama hawajui maana yake. I'm not in that category

Ni CEO mzuri kwasababu natafuta suluhu ya kampuni, sikai ofisini nikilalamika miaka nenda rudi.
Siamini kulalamika kuna mashiko hasa kulalamika huko kukiwa na element nyingi sana za uzushi na unafiki.
Huwezi kusema mshume aenziwe halafu usijue aenzeiwe vipi. ----!

Ndio maana nasema ukiwa well informed unasilaha muhimu.
Huhitaji vichwa 100 unatakiwa kuwa well informed
Mohamed mentor amekwama kama walivyokwama vijana. Huoni lipo tatizo hapo

Ahsante Dr kahtaan kwa kuweka hiyo bayana hapo kwenye BOLD

Huyo mtu ni wa kuogopwa kama ukoma!

Huyo ni MNAFIKI

Nyie guest/s na member/s mnaosoma mabandiko ya huyo kiumbe Guruvi3 bila shaka ni mashahidi wazuri!
Naam ni mashahidi wazuri kwasababu nyuzi hii sijatoa tusi natema hoja.
Wameshuhudia jinsi hoja ilivyochukuliwa watu wakatandikwa nayo usoni.
Kushindwa kutoa majibu ni ushahidi mzuri sana.

Sihitaji kumfuata MS ili niwe mtu mzuri, sihitaji kumzushia Nyerere uongo ili niwe mtu mwema na sihitaji kumfurahisha mtu wakati namwambia ukweli.

Msimamo wangu ni kumwambia mtu ukweli hata kama unauma, sipo kumpendeza mtu kwa kauli za kitoto na zisizo na mashiko.

Wasomaji na guests wameshuhudia haya
1. Nimeomba uthibitisho wa kuwa wote wenye majina ya kiislam walikuwa waislam! Kimya hakuna jibu jamvi limedoda

2. Nikauliza nini kifanyike kuwaenzi hao wanaosemwa kuwa ni wapigania uhuru wa imani fulani. Tutwee, jamvi limetota

3. Nikauliza wapi wazee hao wanaosingiziwa waliwahi kusema wanapigania uhuru kwa ajili ya imani fulani na si uafrika, jamvi limekaa kimya hakuna jibu hata la kubahatisha.

4. Nikasema K.Sykes na A.Sykes wamenukuliwa na MS wakisema wanapigania uhuru kumkomboa Mwafrika, ajitokeze mtu akanushe maneno hayo, jamvi limeingiwa na mhemuko, watu wanatweta na kuachia vinywa hovyo nzi wakiburudika.

Ukiwa informed una silaha nzuri ndani ya kifua, ukitegemea Mr au Mrs X afikirie kwa niaba yako utakuwa mtu wa malalamiko matatizo na fedheha kila uchao.

Nijulkie hali kwa shemeji na vijana hapo nyumbani!

No hujanielewa nadhani. Nimesema tukubaliane kuwa hao ndio wazee, sasa tufanye nini. Nilichokifanya ni ku move kwenda kwenye solution ambayo wenzangu hamtaki mnataka kubaki mnalalama dalili za inferiority complex uliyoeleza.

Nadhani katika mdahalo huu kuna mahali sieleweki kwasababu mimi naongozwa na fikra na maono.
Wenzangu mnaongozwa na mapenzi na unyenyekevu hata kama mnafahamu ukweli lakini mnataka kuwa loyal tu.
Nani amesema huwezi kuwa na imani kama hukubaliani na wenzako, kwamba ukimpinga MS basi wewe ni kafir!
wake up guys, mnaendeshwa kama treni bovu mkiunga tela hamjui mnakwenda wapi. Ona sasa mumekwama kwa hoja zenu wenyewe. Tumezichukua na tunawachapa nazo usoni, jamvi la moto kuweka makalio heri ya mwiba.

Nisome vizuri nipo pale pale kuwa kama mnadhani hao ndio waliofanya hivyo iwe kwa njia ya imani ambayo si kweli au nyingine, sasa mnataka waenziwe kwa kufanyiwa nini?

Hamtaki kabisa kwenda mbele kwasababu mnafahamu madai yenu yanaelea hayana miguu.
Mimi ni CEO mzuri sana wa kampuni isiyofilisika kwasababu ninasimamia ninachokiamini ni sahihi na si kile watu wanachoaminishwa ni sahihi kwa mahaba na mapenzi tu tena wakishauriwa kuwa kutumia akili ni kufur wantakiwa waimbe nyimbo za manju hata kama hawajui maana yake. I'm not in that category

Ni CEO mzuri kwasababu natafuta suluhu ya kampuni, sikai ofisini nikilalamika miaka nenda rudi.
Siamini kulalamika kuna mashiko hasa kulalamika huko kukiwa na element nyingi sana za uzushi na unafiki.
Huwezi kusema mshume aenziwe halafu usijue aenzeiwe vipi. ----!

Ndio maana nasema ukiwa well informed unasilaha muhimu.
Huhitaji vichwa 100 unatakiwa kuwa well informed
Mohamed mentor amekwama kama walivyokwama vijana. Huoni lipo tatizo hapo

Hivi wewe kiumbe tukuite nani hata yale utakayoulizwa ukayajibu pasi na kupaparika kama moto wa kifuu!

Wana JF mnaosoma huu mnakasha, bila shaka mnaendelea kuona huyu muchungwaji Paulo kwanini nimekataa kujadiliana nae mpaka afanye lile nilomwambia!

Nalo sio jengine, ni kwanza atoe mwiba wa tak.o, kwa kufanya hivyo atakua ni mwenye kufaulu na atapata faida kubwa!
 
Nanren wala si yeye ni wapiga zumari wasiojua nyimbo ina maana gani. Tumewapa nafasi waeleze hao wazee wafanyiwe nini, wote wamekimbia jamvini waliobaki wanapongezana kwa matusi! Wenye hoja wamechukua fimbo walioshika na sasa tunawatandika nazo.

Ukishakuwa well informed una power ! ukiwa half baked au unasubiri upuliziwe knowledge unatatizo kubwa sana.

Wafanyiwe nini hao wazee ili kuwaenzi? Jibu la mmoja wao tena msomi kweli kweli anasema twende tukaulize familia ya Mshume Kiyate! what! bila aibu hiyo ndio hoja mezani. Sina tatizo na msomi huyu ninawasi wasi wale wengine wanaomtegemea wapo kiwango gani! real worried kama msomi anaweza kuburuzwa hovyo ni tatizo,

Jamani mumekimbia jamvi? swali tuwafanyie nini hao wazee waliopigania uhuru!

Huwa unapenda kujidanganya sana hivi kweli kuna mtu anaweza kukumbia jamvi kwa sababu yako teh teh teh teh!

Umeishakuja na kashfa matusi dhihaka na kejeli kuhusu kina Mshume Kiyate na wengine unatumbia shida yetu Waislam ni majina ya barabara tuwambie madiwani wawape mitaa, mara umeja Saigon saizi tena unauliza swali la kipuuzi eti tumuenzi vipi Mshume Kiyate, watu wamekupuuza wengine wameliita swali la Uharo/Makhanatha.

Nguruvi3, wewe wala usiahangaike na kuwaaenzi hawa Wazee wetu waliopigania uhuru wetu, wewe muenzi Nyerere inatosha, sisi tunawaenzi hawa wazee wetu kuandika vitaba kama alivyofanya Mohamed Said. Na vitabu vyake vingi kimoja ni "Historia iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika" Allah amzidishie Mohamed Said, nani alikuwa anamjua Mshume Kiyate na wengine wengi.

Hivi ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu, mambo ya mwaka 1924-1968 leo 2013 tunayajadili leo na wewe ukiwemo hauoni ndiyo tunawaenzi hawa wazee watu wanawasoma kuwajua.

Hatuna haja na mitaa njia bora kwetv ya kuwaenzi ni kuandika vitabu vya maisha yao wakati wa kupigania uhuru.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe kiumbe tukuite nani hata yale utakayoulizwa ukayajibu pasi na kupaparika kama moto wa kifuu!

Wana JF mnaosoma huu mnakasha, bila shaka mnaendelea kuona huyu muchungwaji Paulo kwanini nimekataa kujadiliana nae mpaka afanye lile nilomwambia!

Nalo sio jengine, ni kwanza atoe mwiba wa tak.o, kwa kufanya hivyo atakua ni mwenye kufaulu na atapata faida kubwa!
Jibu hoja iliyoko mbele, Tuwafanyie nini hawa wazee ili kuwaenzi kama mnavyodai? Medali wanapewa sasa mnataka nini zaidi ambacho hakijafanyika.

Je, hawa wazee walipigania uhuru wa dini au wa Tanganyika.

Ukiwa well imformed una silaha kifuani, ukiwa bendera fuata upepo una tatizo kubwa!
 
Huwa unapenda kujidanganya sana hivi kweli kuna mtu anaweza kukumbia jamvi kwa sababu yako teh teh teh teh!

Umeishakuja na kashfa matusi dhihaka na kejeli kuhusu kina Mshume Kiyate na wengine unatumbia shida yetu Waislam ni majina ya barabara tuwambie madiwani wawape mitaa, mara umeja Saigon saizi tena unauliza swali la kipuuzi eti tumuenzi vipi Mshume Kiyate, watu wamekupuuza wengine wameliita swali la Uharo/Makhanatha.

Nguruvi3, wewe wala usiahangaike na kuwaaenzi hawa Wazee wetu waliopigania uhuru wetu, wewe muenzi Nyerere inatosha, sisi tunawaenzi hawa wazee wetu kuandika vitaba kama alivyofanya Mohamed Said. Na vitabu vyake vingi kimoja ni "Historia iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika"

Hivi ndiyo kuwaenzi hawa wazee wetu, mambo ya mwaka 1924-1968 tunayajadili leo na wewe ukiwemo hauoni ndiyo tunawaenzi hawa wazee watu wanawasoma kuwajua.

Hatuna haja na mitaa njia bora ya kuwaenzi ni kuandika vitabu vya maisha yao wataki wa uhuru.
Dakatri kahtaan kuna neno la shariff Ritz hapa. Je unakubaliana na hoja zake hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
Well said Mohamed Said, sasa swali ni kuwa tumeshaona role ya Islam, tumewaona washiriki katika role hiyo. Nini kifanyike ili kuwaenzi kwasababu malalamiko ni kuwa hawaenziwi ipasavyo.

Labda utakuwa na jibu maana vijana wako hawana! Hebu tusaidiane kukwamua hili 'gari'

Je, na wewe unashauri tukaitafute familia ya Mshume tuwaulize hili jambo au una mtazamo tofauti.

ngurui3,

Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Nyerere, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3,979 kwa Watanzania waliochangia katika katika maendeleo ya taifa pamoja na harakati za uhuru walipewa medali na kuwaenzi.

Kati ya wale ambao walipewa medali alikuwa Sheikh Abdalla Chaurembo peke yake, wale wote waliokuwa na Nyerere kwenye harakati hakuna hata mmoja aliyepewa medali au kuenziwa.

Baada ya siku moja Nyerere kama mtu aliyegutuka alimualika Dossa Aziz Ikulu na kumpa medali teh teh teh.

Baada ya hapo Waislam wakajiuliza itakuaje wazee wetu wote wametoshwa.

Watu wakaanza kuandika vitabu ili kuwaenzi na kuwafahamisha Watanzania ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Dakatri kahtaan kuna neno la shariff Ritz hapa. Je unakubaliana na hoja zake hapo juu?

Teh teh teh teh!
Bwana Nguruvi3 umegeuka kuwa vichekesho hapa!
Ulikuwa DENIAL. na PROTESTER!
Halafu ukageuka kuwa SOLUTION MAKER! na PROBLEMS SOLVER!

Sasa mara umekuwa facilitator!

Teh teh teh!

Very soon utatoa shahada! Insha Allah!
 
Last edited by a moderator:
Your thoughts aka uninformed opinion are totally wrong and rotten,kind of popular misconception!

Are you seriously suggesting Muslims can not think to bring any better thing or development to their communities!?

MfumoKristo
it's not the only threat,it is the likes of you...

Judgement of people who you don't know their experience and in whose shoes you have not walked...it shows lack of integrity.

The strength of MfumoKristo lies on its ability to sale illusion to its victims...so please STOP preaching your bollovks!!

Your post truly sickening. Reason is the only way of liberating one's mind,not your shit Islamophobia....yes and what saddens me even more is to see Devils and Zombies like you ,who are also part and parcel of the same MfumoKristo,spitting your arrogant remarks aka vernom each and every day!

Next time ,before making and foolish statement like this,do your home work very well...you don't have to be narrow-minded! Ok!?

Ahsanta.

Cc;Maulana Dr. kahtaan,Shariff Ritz,Ayatollah Chamviga,Al Habib Al Tayeb,Al Akhiy Boko Haram,Al Murid The Big Show,Al Kidhab Nguruvi3,Al Munafik Mag3,Al Akhiy Polite

Asante.

Umejibu kulingana na upeo wako wa kufikiri.

Nilichokiona katika posti yako ni kuthibitisha tu ile kauli ya Mtu fulani ''Ukisikia Paa!!''....
 
Jibu hoja iliyoko mbele, Tuwafanyie nini hawa wazee ili kuwaenzi kama mnavyodai? Medali wanapewa sasa mnataka nini zaidi ambacho hakijafanyika.

Je, hawa wazee walipigania uhuru wa dini au wa Tanganyika.

Ukiwa well imformed una silaha kifuani, ukiwa bendera fuata upepo una tatizo kubwa!

Wewe ulituletea khabari ya kuwapa majina ya mitaa na madaraja na shule n.k!
Sasa unamuuliza al habib Tayeb akupe solutions??
Wewe kiumbe wa ajabu kabisa!!
Leo imeshakuwa KILA MWENYE JINA LA KIISLAMU SIO LZM MUISLAMU!
Aliyesema NI LZM AWE MUISLAMU NI NANI??
Mbona unajichanganya mwenyewe??

Na hakika kama mmoja wa wazee wako wangeshiriki ktk mapambano yale, usinge thubutu kuleta kejeli hizi!
Lkn kwa sababu wewe na hao wenzako maadui wa haki mna enjoy fruits za uhuru bure! Unaamua kuwakejeli wale waliokuletea uhuru huo!

One day you will pay back! ( I dont know how but you will pay somehow)
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh!
Bwana Nguruvi3 umegeuka kuwa vichekesho hapa!
Ulikuwa DENIAL. na PROTESTER!
Halafu ukageuka kuwa SOLUTION MAKER! na PROBLEMS SOLVER!

Sasa mara umekuwa facilitator!

Teh teh teh!

Very soon utatoa shahada! Insha Allah!
Nimekuuliza unakubaliana na hoja za Ritz? hilo tu
 
Back
Top Bottom