Masikini Maulana Dr.
kahtaan, naomba nikukumbushe tu kidogo.
- Raisi Mwanzilishi wa kuchaguliwa na Kiongozi Mkuu wa AA mwaka 1929 aliitwa Cecil Matola.
- Raisi Mwanzilishi wa kuchaguliwa na kiongozi Mkuu wa TAA mwaka 1950 aliitwa Dr. Vedasto Kyaruzi.
- Raisi Mwanzilishi wa kuchaguliwa na Kiongozi Mkuu wa TANU mwaka 1954 aliitwa Julius Nyerere.
- Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika baada ya kupata uhuru aliitwa Julius Nyerere.
- Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika aliitwa Julius Nyerere.
- Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanzania, aliitwa Julius Nyerere.
Maulana Dr.
kahtaan, historia yoyote itakayopingana na ukweli kama nilivyouorodhesha hapo juu ndiyo FEKI kwa sababu kwa uelewa wangu hakuna kiongozi yeyote alikataliwa asigombee nafasi hizo sita nilizozitaja kwa sababu yoyote ile...wote walichaguliwa kwa kupigiwa kura kulingana na uwezo na sifa zao, period.
Tahadhari;
Abiding in the midst of ignorance,
thinking themselves wise and learned,
fools go aimlessly hither and thither,
like blind led by the blind.
Let they go, they are ye blynde leaders of ye blynde.
Wha one blinde leadeth another, they fall both i ye diche.
Haya ndio matatizo ya kupenda kula viporo! Na kuandika bila kufikiri!
Sasa haitoshi wewe kula hicho kiporo cha makopa! Unatuletea viporo vya historia!
Narudia kukukumbusha kama kuku kipofu!
This thread is all about " ISLAM'S ROLE IN TANZANIA FREEDOM STRUGGLE!
Sasa ustuanzishie mnakasha mwingine juu ya huu!
Bila kuingia ndani sana!
kauli zako hapo juu! If you use you logic!( if you have one! !)
Just the names of those individuals you have quoted tells the whole story!!
Wewe na hao majaaluta walio nyuma yako wanatakiwa wapitie haya aliyo tuletea al muallim
Mohamed Said halafu leteni hoja makini! Sio kubwabwaja tu km vitimoto vimetiwa bakora!
Haya mi naorodhesha tena hapa
Ushindwe mwenyewe sasa;-
1.
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
3.
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
4.
Islam and Politics in Tanzania (1989)
Al Haq International (Karachi)
5.
The Plight of Tanzanian Muslim (1993)
Change (Dar es Salaam).
6.
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995)
Change (Dar es Salaam).
7.
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
8.
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 2000 (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] 17[SUP]th[/SUP] 2003).
9.
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 1968)
(Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February 4[SUP]th[/SUP] March 2004).
10.
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 1995) (
Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).
11.
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
12.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Childrens book).
13. Contributing author for an African anthology:
The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi.
14.
Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
15.
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi.
16. Muslim Bible Scholars of Tanzania The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 2005)
Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban.
17. Visiting Scholar
University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
18. ''Tanzania: A Nation without Heroes'' paper presented at a seminar Organised by
IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September, 2013 Nairobi.[/QUOTE]
Na we MGALATIA
Mag3 !
ANDIKO LINAKUONYA KUWA:-
Proverbs 29:20
Do you see a man who speaks in haste? There is more hope for a fool than for him.!
And this is for your mate! Just share with him, will ya!?
Proverbs 29:20-27
There is more hope for a fool than for someone who speaks without thinking.
And I say amen to both of that!!
Teh teh teh teh!