Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Wapi katajwa Mohamed Said? Badala yake nimeeleza 'tumeelekeza..' nikimaanisha sisi. please acheni spinning.

Ulipotaja 'kupata kipato kupitia machapisho yao' ni kina nani hao kama hukumkusudia huyu mzee ambaye ndie aliyeandika historia ya wazee wetu? Kuna sehemu hapo juu umesema sisi tunajadili FRUSTRATION za Mohamedi said kama sio dharau na dhihaka ulikusudia nini?
 
Kuna kitu kinaitwa Paranoia( heavily influenced by anxiety or fear, fear of unknown n.k ) samahani kukuingiza anga kama hizo.

Wewe ni miongoni mwa watu wenye paranoia. Yaani kuandika machapisho basi ishakuwa Mohamed Said kwasababu yeye ndiye anaandika machapisho pekee duniani. Nimeeleza wazi kabisa 'Sisi tumeelekeza' nimeonyesha wamiliki wa sentensi ni sisi. Jamani labda tuongee Kiyemi au kiyunani maana hili linashangaza.

Kuhusu Frustration za Mohamed Said ni kweli Mohamed anazo hasa akiangalia kuwa historia haijaandikwa kama anavyojua yeye. Hata mimi ningekuwa na frustration! Fikiria Mshume amemlisha Nyerere na familia yake na kumpa pesa za kununua kitoweo ili asiende kuomba mboga, leo familia yake haijulikani hivi hiyo haitoshi kuleta frustration kweli!
 
Al.murad CHAMVIGA huyu kijana Nguruvi3 amekuwa akirusha rusha kashfa kama wale kina dada wa uswahilini! Kavaa kanga moja halafu natoa kichwa dirishani, anasema ovyo akiulizwa anasema "kwani umeskia nimetaja jina mie" mnikome babu ee!!

Kijana anaonekana amekulia kama sio kigogo! Basi tandika mikoroshoni pale!

Manake kule kuna wanafiki kama siafu!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:

Kahtaan na Halmashauri...Akina Nguruvi, Shariff Ritz, Gombesugu, Barubaru, Faiza Foxy na wengineo
nimeweka uzi mwingine Jukwaa la Siasa ''Wako Wapi Mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika?''

Hili swali linahitaji jibu.
 
Uliowataja hawatakuja huko kwasabab wamekaa kidini dini.they can't see outside the box.
 
Nguruvi,
Sipendi kusema hili kwa sababu zilizo wazi nahofia watu kusema najipendekeza.

Huyo bi mkubwa unaemtaja ni mama yetu.

Namuheshimu kama mama yangu huenda ikawa kasahau maana ni miaka mingi
imepita...

Aklijuana kwa karibu sana na mama zetu akina Bi Bahia, Mwalimu Sakina, Tatu
biti Mzee, Bi Halima, Bi Mahunda, Hawa biti Maftah na wengine wengi...

Wengi katika hawa wametangulia mbele ya haki.
Mimi naandika na nataka nisomwe.

Nikiandika matusi au maneno ya ovyo wasomaji watanipuuza na kunidharau.

Hata wewe hutopenda kufanya mnakasha na mie kwa kuhofu kuvunjiwa heshima
yako.

Lakini kubwa kabisa mimi nimekwenda kumbini na pia nimefunzwa adabu na mama
yangu.

Zaidi ni Muislam nimefundishwa kuwa kama sina jema la kusema nikae kimya.

Ondoa hofu utasoma maneno ya kijenga historia ya nchi yetu hutosoma karaha labda
kama utakarihika kusikia nasema habari hizi kanieleza shangazi yangu Bi. Sikudhani biti
Salum wa Temeke.

Ngoja tuagane kwa hii.

Siku shangazi yangu kaolewa pale Kirk Street nyumba ya mumewe ilikuwa inatazamana
na nyumba ya Bi Mluguru biti Musa mama yake Abdu Sykes.

Katika kusherehekea harusi Abdu Sykes akatoa bastola yake akawa anapiga risasi juu.

Bi. Mluguru alikasirika sana maana alikuwa anaona kuwa lile ni jambo la hatari na kwa hakika
ile bastola siku nyingi ikimkera sana.

Aliivizia alipoipata siku moja akaitupa chooni.
Mkasa huu kanihadithia baba yangu.

Kuhusu kuwa nimesema Nyerere kaomba nk. nk. unanisingizia na wala sitakupa changamoto
kuwa ulete ushahidi wala sitajitetea.

Maandishi yangu yanajitosheleza.

Ubishi haujengi tuko hapa kubadilishana fikra na si lazima tukubaliane.
Nadhani wa kutulizana kwa hili ni wewe.

Salaam Sheikh Mohamed Said,

Wallahi nimefurahi kusoma hiko kisa cha Bi. Mluguru

Kwa hakika ni kisa kilojaa hikma na mafunzo ndani yake!

Allah akupe umri mrefu na akuepushe na wale wote wasio kutakia mema!

Muda wangu haunitoshi kwa sasa, lakini na ahidi kurejea na kuandika kila nitakapo jaaliwa!

Inshallah Mwenyezi Mungu atulipe sote kwa yaliyo mema!
 
Last edited by a moderator:
Uliowataja hawatakuja huko kwasabab wamekaa kidini dini.they can't see outside the box.

Sokwe,
Haya mambo halazimishwi mtu.
Ni mambo ya khiyari na khiyari hushinda utumwa.

Hulipendi jambo basi wala hakuna ugomvi.

Hatokuja askari kukugongea mlango usiku kukuuliza
kwa nini hukuja barzani.
 
Salaam Sheikh Mohamed Said,

Wallahi nimefurahi kusoma hiko kisa cha Bi. Mluguru

Kwa hakika ni kisa kilojaa hikma na mafunzo ndani yake!

Allah akupe umri mrefu na akuepushe na wale wote wasio kutakia mema!

Muda wangu haunitoshi kwa sasa, lakini na ahidi kurejea na kuandika kila nitakapo jaaliwa!

Inshallah Mwenyezi Mungu atulipe sote kwa yaliyo mema!

Tayeb,
Ahsante na Amin.

Bi. Mluguru alikuwa shoga wa bibi yangu mzaa baba Bi. Zena biti Farijala.
Mama wa Kimanyema.

First generation Manyema aliyezaliwa Tanganyika kutokea Belgian Congo.
Nimepokea mengi kutoka kwake.

Huwezi kuamini favourite singer wake alikuwa Harry Belafonte kwa sababu
aliona movie yake ''Island in the Sun.''

Hii ilikuwa katika 1950s.

Mimi katika maneno ya Bi Mluguru ninayoyahifadhi na kuyaenzi ni maneno
aliyosema ilipomfikia taarifa kuwa kuna upasi baina ya wanae Abdu, Ali na
Nyerere...hawasemezani kwa kheri tena baada ya kwishapatikana uhuru.

Hili tuliwekee siku yake.
 
Sioni tofauti ya hii thread na ya hiyo nyingine alioifungua isipokuwa tu, hii inalenga waislamu na ile nyingine ni ya wote, it's too sad. Wanasema ukitaka kuwa moto kuwa moto, lakini huwezi kuwa moto na baridi pia. Sina ugomvi na mtu ila napenda kuwa na mawazo yasioegemea upande wowote ndio msingi wa kujenga ustawi wa jamii yoyote.
 
Hiyo ndiyo tofauti.
 
If that's the case then you don't have conscious mind, and I'm done here.
 
Hapana kahtaan mkubwa, tukizungumzia wapigania uhuru basi tusiweke matabaka otherwise tunajenga chuki na ubaguzi kitu ambacho naona sio kizuri, nchi yetu Ina matatizo mengi sana, tunachekwa mkubwa kwa sisi tunaoishi nje, ninavyowaona mnakashifiana kwasabab tu ya Imani zenu inakatisha tamaa ndio naona ninyamaze kwani mijadala yenye milengo ya kidini huwa sishiriki, we are all one nation, brother and sister wakoloni wamefanikiwa sana kutugawa. na hatuwezi kuona nje ya hapo, ndio maana nawapenda wajapan hawataki kusikia habari za dini, mungu wao ni vichwa vyao.
 
Wickama,
Mwenye kukasirika ana sherehesha zaidi?

Mwenyekukasirika anafanya kinyume chake na zaidi hapa jamvini wanasema
''anatoa povu.''

Mie si umeona nimekuongezea habari za babu yangu Shariff Mwamedi muuza
kuku pale Kariakoo 1950s na habari za mjomba wangu Bwana Hamisi Salum muuza
machungwa na embe?

Hivi hujatanabai kwa nini nimekuletea taarifa za watu hawa na kukuunganishia na
historia ya Baba wa Taifa?

Sawa Mzee MS,
Hebu tupumue kidogo. Utamu wa mnakasha ni kuulizana hata ambiguities. Huoni kama kuna a missing link? Walimnunulia baiskeli, mboga, kumpisha malazi, kumfundisha mavazi rasmi (kaptula-NO). What about cigarettes? Iam curious kujua ni wazee gani walikuwa staunch friends wa Julius lakini pia walikuwa smokers!!!! Haiwezekani kwamba kijiwe chote cha hawa wazee hakukuwa na smokers!!!! We know Julius was a confirmed smoker.

Tafadhali sheikh.
 
Hivi wewe Wickama nimekufuatilia post zako zote Unajifanya muungwana kumbe wapi wewe ni Sawa na panya unang'ata na kupuliza!
 
Sawa Mzee MS,
Hebu tupumue kidogo. Utamu wa mnakasha ni kuulizana hata ambiguities. Huoni kama kuna a missing link? Walimnunulia baiskeli, mboga, kumpisha malazi, kumfundisha mavazi rasmi (kaptula-NO). What about cigarettes? Iam curious kujua ni wazee gani walikuwa staunch friends wa Julius lakini pia walikuwa smokers!!!! Haiwezekani kwamba kijiwe chote cha hawa wazee hakukuwa na smokers!!!! We know Julius was a confirmed smoker.

Tafadhali sheikh.

Wickama,
Haya yote ya baiskeli nk. nk. unataka nikujibu mimi?

Kwa nini nikujibu mimi?
Mie ni chanzo cha taarifa hizo au lipo jingine?
 
Ulipotaja 'kupata kipato kupitia machapisho yao' ni kina nani hao kama hukumkusudia huyu mzee ambaye ndie aliyeandika historia ya wazee wetu? Kuna sehemu hapo juu umesema sisi tunajadili FRUSTRATION za Mohamedi said kama sio dharau na dhihaka ulikusudia nini?

Sheikh Chamviga; Hili ni suala la Mtizamo. Katika threads zilizotangulia tulishawahi kumuuliza mzee MS kuwa jee huoni kuwa kusimulia mbele ya hadhara nani alikuwa anampa Julius kitu kama chakula, malazi, nk ili kujenga hoja kuwa hakurudisha fadhila kwa familia stahiki wakati hukumpokea wewe ni katika tabia ambazo hata imani yako ya dini hairuhusu? majibu yake hayakuleta suluhu. Alisema ilikuwa lazima yaandikwe hayo ili historia iwe kamili.

Sasa elewa mzee MS ana haki ya mtizamo wake. Kwa kigezo hicho pia mtu mwingine ana haki ya kuiona tabia ya Mzee MS (sustained focus of ridicule and blame on a dead person for own misfortunes) kama tunda la FRUSTRATION. Hapo ndipo Nguruvi kaelekea.
 
Hapana kahtaan mkubwa, tukizungumzia wapigania uhuru basi tusiweke matabaka otherwise tunajenga chuki na ubaguzi kitu ambacho naona sio kizuri, nchi yetu Ina matatizo mengi sana, tunachekwa mkubwa kwa sisi tunaoishi nje, ninavyowaona mnakashifiana kwasabab tu ya Imani zenu inakatisha tamaa ndio naona ninyamaze kwani mijadala yenye milengo ya kidini huwa sishiriki, we are all one nation, brother and sister wakoloni wamefanikiwa sana kutugawa. na hatuwezi kuona nje ya hapo, ndio maana nawapenda wajapan hawataki kusikia habari za dini, mungu wao ni vichwa vyao.
sokwe mjadala huu hauna lengo la udini kwa maana ya kubagua! La hasha.
Lengo la uzi huu ni kujaribu kuwapa haki sawa Wale MASHUJAA WOTE WALIFANIKISHA KUTULETEA UHURU KTK NCHI YETU!

Suala ni moja hapa!

Unapoongelea pirika za kupigania uhuru basi HUNA BUDI KUYATAJA MAKANISA NA MISKITI KTK HISTORIA HII.
Na hili linatokana na harakati hizo kufanywa na watu waliokuwa na imani hizo na pirika hizo kupitia ktk miskiti na makanisa!
Tatizo ni kwamba historia halisi IMEBATILISHWA!
Na kilicho batilisha historia hio ni mfumo mmoja unaotutafuna hapa TZ ULITWAO "MFUMO KRISTO"!
Hakuna ubaya wwt kutaja wapiganiaji wa uhuru wetu kuwa walikuwa ni waislamu au wakristo au wapagani!
Ubaya unakuja pale ambapo utataja imani hizi ili kuonyesha kuwa IMANI YAKO BORA KULIKO NYINGI KTK KUPIGANIA UHURU HUO!!
NA NDICHO ALICHO KIFANYA NYERERE!
Na kama umefuatilia mnakasha huu. Maalim Mohamed Said anajaribu kuuelezea ummah ya kuwa SI WAGALATIA PEKE YAO NDI9 WALIOSHIRIKI KTK PIRIKA HIZO!
LA HASHA! Na WAISLAMU PIA WALIKUWEMO LKN MFUMO KRISTO CHINI YA NYERERE UNAJARIBU KUMUONYESHA NYERERE PEKE YAKE KUWA NDIO SHUJAA!

Na utaona kuwa kuna wenye elimu ndogo wapo humu kuugeuza huu uzi kuwa ni wa kidini na SIO UZI UNAOTAKA KUONYESHA HISTORIA HALISI!

I will give you an example:-
We all know that "GURKAS" MOST OF THEM ARE BUDIST.
Why when there was a demonstration in london regards the "GURKAS" who fought alongside british army since second world war TO BE RECORGNISED,

NOBODY SAYS THAT WAS A RELIGIOUS DEMONSTRATION?

How come today when someone decided to show that MUSLIMS DECERVE TO BE RECORGNISED IN TANZANIAN FREEDOM HISTORIES THAT PEOPLE LIKE YOURSELF THINGS "ITS RELIGIOUS BASED THREAD?? WHY??

The only way I can conclude here is PEOPLE ARE JELOUS!

JELOUS OF KNOWING THAT MUSLIMS DID ENDEED PLAY A BIG PART IN TO THE STRUGLE TOWARDS OUR INDEPENDENCE.

Hakuna mtu kasema waislamu ni mahodari kuliko wagalatia!

Au ni wao tu ndio walioshiriki peke yao!
Historia iandikwe kwa haki!

Thats all brother!
And when that happen, we can all chill and relax and may be you guys can drink that dodoma wine and we can have our sharbati and faluda as always!

Teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kinaitwa Paranoia( heavily influenced by anxiety or fear, fear of unknown n.k ) samahani kukuingiza anga kama hizo.

Wewe ni miongoni mwa watu wenye paranoia. Yaani kuandika machapisho basi ishakuwa Mohamed Said kwasababu yeye ndiye anaandika machapisho pekee duniani. Nimeeleza wazi kabisa 'Sisi tumeelekeza' nimeonyesha wamiliki wa sentensi ni sisi. Jamani labda tuongee Kiyemi au kiyunani maana hili linashangaza.

Kuhusu Frustration za Mohamed Said ni kweli Mohamed anazo hasa akiangalia kuwa historia haijaandikwa kama anavyojua yeye. Hata mimi ningekuwa na frustration! Fikiria Mshume amemlisha Nyerere na familia yake na kumpa pesa za kununua kitoweo ili asiende kuomba mboga, leo familia yake haijulikani hivi hiyo haitoshi kuleta frustration kweli!

Teh teh teh teh!

We kiumbe wa ajabu sana!

Hizi kebehi zako unazipamba kwa mbweebwe kama unyago wa kidigo! ukidhani watu hawakusomi lengo lako!.

Nadhani paranoia ni wewe ambae unapata taabu sana kila ukiona waislamu wamechangia KWA SANA kukufanya mtu kama wewe kuweza kuwa huru na kuwakashifu na kuushabikia mfumo kristo!
Na yalaiti ungekuwa na uwezo ungepiga marfuku kabisa historia hii ISIONEKANE HADHARANI!
But alhamdulillah, we have people like Mohamed Said who works tirelessly to show the world what is behind the curtains of MFUMO KRISTO!
AND WE LOVE HIM FOR THAT!

You knock yourself out now!
But the truth is out now.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom