Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Hasiejua maana, hambiwi maana!
Ndio nini hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasiejua maana, hambiwi maana!
Nguruvi,
Hali ya nchi yetu ni mbaya.
Nafasi ya Kanisa katika kuendesha nchi sasa ni wazi na si siri tena.
Prof. Hamza Njozi alieleza tatizo hili katika kitabu chake ''Mwembecha Killings...''
Ukweli ndani ya kitabu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.
John Sivalon na yeye kaandika kitabu kuhusu nafasi ya Kanisa katika siasa za
Tanzania.
Mohamed Said akaja na historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na mwisho wa
kitabu kaandika kuhusu njama dhidi ya Uislam.
Hii maana yake ni nini?Yeye alikuwa anawaambia Waislam kuwa vipi uhuru unakuja na Nyerere anapachika
Wakristo wenzake kwenye nafasi za uongozi?
By Nguruvi3![]()
![]()
Mohamed Said, wazee wangu wamegawanyika katika pande mbili.Pande ya kwanza ni ya kina mwalimu John Keto na Mhando unaowataja.
Upande wa pili ni wale wazee waliosimama wakavaa mikwiji wakaondoka na mishale na Marungu kwenda kupambana na mkoloni moja kwa moja kwa kile kilichoutwa kwa umaarufu 'Kodi ya mbiru'.
Katika kundi hili kiongozi alikuwa mzee wa karibu sana kwa damu
Mmoja wa wazee wangu(marhum) alikuwa kiongozi wa TFA akishirikiana na akina Kawawa kuongoza migomo ya wafanyakazi wa mashamba ya mikonge hadi kufungwa.
Mzee huyu baba yake akiwa kiongozi wa mbiru na yeye kuendeleza kazi ya wazee wake.
Nitashangaa kama Mohamed huwajui akina John Keto, Mhando unaowataja kama si sehemu ya wazee wetu na wengi wakitokea kwetu.
Kwa kweli hii historia ni ya kusisimua sijwahi kukutana na historia iliyosimama wima kama hii.Hii ndio historia ya wazee wako uliyotuletea. Ndiyo umemaliza?
Amma kwa hakika historia yako ni nzuri sana na inafaa iandikwe kwa wino wa dhahabu na itawanywe maktaba zote za kihistoria za ndani na nje ya nchi. Ina msisimko wa kipekee ukiisoma.
Unastahiki pongezi na mialiko ya vyuo vikuu vya nje na ndani ya nchi kwa hii historia, ooh nisisahau, pia unastahiki kualikwa kwene makongamano tofauti kwa haya uliyoyaandika:
Thread za mambo ya dini ni chujio la kutambua werevu na wapumbavu kwa kusoma comments zao yaani kuna jamii fulani ni empty headed kabisa akili hakunaaaaaaaaa
Unajua mbinu ya kumfanya mtoto awe na mazoea ya kutumia choo cha Poti?Thread za mambo ya dini ni chujio la kutambua werevu na wapumbavu kwa kusoma comments zao yaani kuna jamii fulani ni empty headed kabisa akili hakunaaaaaaaaa
Hii maana yake ni nini?
Hasiejua maana, hambiwi maana!
Ndio nini hicho?
Ndio maana naasema utafiti unilishafanya. Hao wanaomalaani ukiwauliza kwanini hawana majibu.Teh teh teh! Eti baadhi ya Waislam halafu hao Waislam upeo wao ni mdogo.
Nadhani hapa unawaongelea Bakwata.
Nguruvi3 ukitaka kupima Waislam wanamchukuliaje Nyerere, fanya utafiti wako pita Misikitini tu halafu msifie uone kitakachokutokea.
Lakini pita katika Misikiti michache ya Bakwata Nyerere huko ni shujaa.
Nakupa mfano mdogo kama una akili pima.
Sheikh Mkuu wa BAKWATA alitangaza kuwa anawataka Waislam wote wajitokeze kujiandikisha kwenye sensa, baadae Sheikh Ponda, ambaye hana hata Msikiti akasema hakuna kujitokeza nini kilitokea.
Mohamed unajidanganya. Zoezi limefanikiwa kwasababu takwimu za population zipo.Nguruvi,
Hali ya nchi yetu ni mbaya.
Nafasi ya Kanisa katika kuendesha nchi sasa ni wazi na si siri tena.
Prof. Hamza Njozi alieleza tatizo hili katika kitabu chake ''Mwembecha Killings...''
Ukweli ndani ya kitabu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.
John Sivalon na yeye kaandika kitabu kuhusu nafasi ya Kanisa katika siasa za
Tanzania.
Mohamed Said akaja na historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na mwisho wa
kitabu kaandika kuhusu njama dhidi ya Uislam.
Waislam wa kizazi kipya sasa wanajiuliza mengi.
Kubinywa kwa Waislam leo kuko wazi hata kama tunaogopa kulizungumza hili na
serikali inajifanya yote ni shwari.
Ukweli ni kuwa hali si shwari.
Baadhi ya marafiki wa Tanzania kwa pembeni wametoa ushauri kwa serikali
kutolifumbia macho tatizo hili.
Sisi si kikundi kidogo tuna umma mkubwa wa Waislam na ukitaka kupima nguvu
yetu angalia tulipowaambia Waislam wakatae kujiandikisha hadi kipengele cha
dini kimewekwa.
Zoezi halikufanikiwa.
Angalia ukipenda mfano mdogo tu.
Sikiliza mijadala humu JF.
Tunalo tatizo na halitoondoka kwa kutaka tu liondoke.
Tatizo litaondoka kwa kuukubali ukweli na kuzungumza bayana kuondoa dhulma.
Ku-quote maelezo yako mwenyewe ili kuunga mkono madai yako mwenyewe is absurdEiyer,
TANU ilikuwa imekwenda vizuri nguvu zake zikiongezeka mwaka baada ya mwaka.
Ikafika hali sasa Waingereza lazima wakubaliane na mapendekezo ya TAA Political
Siubcommittee ya 1950 ya kutaka kura moja mtu mmoja katika kuwapata wajumbe
wa kuingia katika Legco.
Hii ilikuwa 1958 na Waingereza wakakubali kuitisha uchaguzi wa kwanza mwaka 1958
uchaguzi ambao uliwekewa masharti magumu ya kibaguzi masharti ambayo kwa Waislam
ilikuwa sawa na kuwatoa nje ya ulingo wa siasa.
Waislam wallikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika TANU na wakahisi hizi ni mbinu
za kuwaondo katika ulingo wa uongozi wa nchi kwa hiyo msukumo ukawa kukataa kuingia
katika uchaguzi ule uliopewa jina Uchaguzi wa Kura Tatu.
Hii ilitishia kukigawa chama mapende mawili.
Hebu angalia jinsi nilivyoeleza tatizo hili katika kitabu changu:
In 1958 the colonial government organised elections to the Legislative Council in which
seats were to be contested on racial lines.
There would be seats for Europeans, Asians and Africans-the so called tripartite vote.
The colonial government of Governor Twining had put very discriminatory conditions to
the Africa electorate which required each constituency to vote for a European, an Asian
and an African.
Other conditions for eligibility for voting required a prospecting voter to have an annual
income of 400 pounds sterling, standard twelve education and be employed in a specific post.
These were stiff and seemingly unacceptable conditions for TANU to accept and consequently
contest the election...
The conference deliberations threatened to split the TANU into two contending hostile camps-
that of moderates in favour of participating in the elections; and that of radicals calling for a
total boycott of the election...
The Party survived what could have been an internal crisis which would have led radicals like
Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council at the headquarters, and Zuberi
Mtemvu then TANU Organising Secretary to stage a coup and take over the party, were it not
for the ingenuity of Julius Nyerere, the President of TANU.
But in order to understand the feelings of TANU members, its leadership and the forces in
control of politics in colonial Tanganyika, and why the tripartite vote brought misunderstanding
in the leadership, we need not go further than trace the position taken by the TANU leadership
which led it to make its historic decision that beat the British in their own game.
Sijakuelewa kwakuwa hapo ni wewe huyohuyo uliezungumza kwenye mambo yote mawili[kitabu na hapa JF]Eiyer,
Ikawa sasa miamba miwili ya TANU Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere wako katika kambi mbili
tofauti na ikapelekea kwa Sheikh Takadir kumshutumu Nyerere kuwa anawaleta jamaa zake kuja
kushika madaraka.
Kipindi kile ilikuwa wazi kuwa uhuru uko mlangoni.
Nadhani umeelewa nilichokuwa nikieleza.
Bado maelezo yako haya yanahitaji verification huru na sio maelezo yako mwenyewe kuyafanya kama verification ya madai yako mwenyeweKisa hiki kinaogopwa sana na waliokuwa madarakani.
Kwa muda walifanikiwa kumfuta Sheikh Takadir katika historia ya uhuru wa Tanganyika hadi mimi
nilipomrejesha katika kitabu changu,
Bado hakuna uthibitisho wa madai yako hapa!Huyu hapa chini ndiyo Sheikh Suleiman Takadir aka Makarios. Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir said:https://lh6.googleusercontent.com/-m11ysm4Q-Eg/Um-YwC9qK5I/AAAAAAAAKlQ/tgFUQJ-lYJQ/w774-h542-no/SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg[/IMG]
Utashangaa na kuhamaki sana, kwakuwa minaakasha si yako fani ila tu huenda ulikuwa wajaribu kutaka vuma baharini kwa pupa, sasa tambua papa wengine kumbe wapo,
Kina cha bahari hakipimwi kwa mguu nduu yangu,
Tulia utibike, chungu lakini ndo dose yenyewe, sasa tukusaidieje?
Katika mawili moja lifanye kuwa lako, ukimbie dose ufe ama uvumilie dose upone.
Al-habeeb Tayeb,
Kwanza assalaamu alaykum,
Umenifurahisha hiyo dose kwa huyo mgala, lakini hukumkamilishia najua watambua hilo, kwa hishma na ukarimu wako naomba nikukosee adabu kaka langu kwa kummalizia hivi:-
Ukimwambia maana aweza kukuzulia yenye laana,
Teh teh teh,
Eiyer,
TANU ilikuwa imekwenda vizuri nguvu zake zikiongezeka mwaka baada ya mwaka.
Ikafika hali sasa Waingereza lazima wakubaliane na mapendekezo ya TAA Political
Siubcommittee ya 1950 ya kutaka kura moja mtu mmoja katika kuwapata wajumbe
wa kuingia katika Legco.
Hii ilikuwa 1958 na Waingereza wakakubali kuitisha uchaguzi wa kwanza mwaka 1958
uchaguzi ambao uliwekewa masharti magumu ya kibaguzi masharti ambayo kwa Waislam
ilikuwa sawa na kuwatoa nje ya ulingo wa siasa.
Waislam wallikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika TANU na wakahisi hizi ni mbinu
za kuwaondo katika ulingo wa uongozi wa nchi kwa hiyo msukumo ukawa kukataa kuingia
katika uchaguzi ule uliopewa jina Uchaguzi wa Kura Tatu.
Hii ilitishia kukigawa chama mapende mawili.
Hebu angalia jinsi nilivyoeleza tatizo hili katika kitabu changu:
In 1958 the colonial government organised elections to the Legislative Council in which
seats were to be contested on racial lines.
There would be seats for Europeans, Asians and Africans-the so called tripartite vote.
The colonial government of Governor Twining had put very discriminatory conditions to
the Africa electorate which required each constituency to vote for a European, an Asian
and an African.
Other conditions for eligibility for voting required a prospecting voter to have an annual
income of 400 pounds sterling, standard twelve education and be employed in a specific post.
These were stiff and seemingly unacceptable conditions for TANU to accept and consequently
contest the election...
The conference deliberations threatened to split the TANU into two contending hostile camps-
that of moderates in favour of participating in the elections; and that of radicals calling for a
total boycott of the election...
The Party survived what could have been an internal crisis which would have led radicals like
Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council at the headquarters, and Zuberi
Mtemvu then TANU Organising Secretary to stage a coup and take over the party, were it not
for the ingenuity of Julius Nyerere, the President of TANU.
But in order to understand the feelings of TANU members, its leadership and the forces in
control of politics in colonial Tanganyika, and why the tripartite vote brought misunderstanding
in the leadership, we need not go further than trace the position taken by the TANU leadership
which led it to make its historic decision that beat the British in their own game.
Eiyer,
Ikawa sasa miamba miwili ya TANU Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere wako katika kambi mbili
tofauti na ikapelekea kwa Sheikh Takadir kumshutumu Nyerere kuwa anawaleta jamaa zake kuja
kushika madaraka.
Kipindi kile ilikuwa wazi kuwa uhuru uko mlangoni.
Nadhani umeelewa nilichokuwa nikieleza.
Kisa hiki kinaogopwa sana na waliokuwa madarakani.
Kwa muda walifanikiwa kumfuta Sheikh Takadir katika historia ya uhuru wa Tanganyika hadi mimi
nilipomrejesha katika kitabu changu,
Huyu hapa chini ndiyo Sheikh Suleiman Takadir aka Makarios.
Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julius Nyerere.
Hao waliowazunguka ni TANU Bantu Group kundi la walinzi na wahamasishaji wa TANU.
Picha ilipigwa 1954.
![]()
Dose ipi?
Mimi kutokuelewa nilichoambiwa inakuwaje dozi?
Kwanini mnaogopa kufafanua ili nielewe nijenge hoja?
Au hamjiamini?