Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Nguruvi,
Hali ya nchi yetu ni mbaya.

Nafasi ya Kanisa katika kuendesha nchi sasa ni wazi na si siri tena.
Prof. Hamza Njozi alieleza tatizo hili katika kitabu chake ''Mwembecha Killings...''

Ukweli ndani ya kitabu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.

John Sivalon na yeye kaandika kitabu kuhusu nafasi ya Kanisa katika siasa za
Tanzania.

Mohamed Said akaja na historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na mwisho wa
kitabu kaandika kuhusu njama dhidi ya Uislam.

Hivi mtu akliandika jambo fulani kitabuni hubadilika na kuwa halisi?
 
Hasiejua maana, hambiwi maana!

Naona maalim Tayeb unampiga daawa baba upako!
Teh teh teh teh! Huyo ni mchovu kwelikweli!
Yaani kama ni mti basi mgomba au mpapai.
😀😀😀 taratibu kaka ataelekea kibla mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio historia ya wazee wako uliyotuletea. Ndiyo umemaliza?

Amma kwa hakika historia yako ni nzuri sana na inafaa iandikwe kwa wino wa dhahabu na itawanywe maktaba zote za kihistoria za ndani na nje ya nchi. Ina msisimko wa kipekee ukiisoma.

Unastahiki pongezi na mialiko ya vyuo vikuu vya nje na ndani ya nchi kwa hii historia, ooh nisisahau, pia unastahiki kualikwa kwenye makongamano tofauti kwa haya uliyoyaandika:
quote_icon.png
By Nguruvi3
Mohamed Said, wazee wangu wamegawanyika katika pande mbili.Pande ya kwanza ni ya kina mwalimu John Keto na Mhando unaowataja.

Upande wa pili ni wale wazee waliosimama wakavaa mikwiji wakaondoka na mishale na Marungu kwenda kupambana na mkoloni moja kwa moja kwa kile kilichoutwa kwa umaarufu 'Kodi ya mbiru'.
Katika kundi hili kiongozi alikuwa mzee wa karibu sana kwa damu

Mmoja wa wazee wangu(marhum) alikuwa kiongozi wa TFA akishirikiana na akina Kawawa kuongoza migomo ya wafanyakazi wa mashamba ya mikonge hadi kufungwa.

Mzee huyu baba yake akiwa kiongozi wa mbiru na yeye kuendeleza kazi ya wazee wake.
Nitashangaa kama Mohamed huwajui akina John Keto, Mhando unaowataja kama si sehemu ya wazee wetu na wengi wakitokea kwetu.

Hii ndio historia ya wazee wako uliyotuletea. Ndiyo umemaliza?

Amma kwa hakika historia yako ni nzuri sana na inafaa iandikwe kwa wino wa dhahabu na itawanywe maktaba zote za kihistoria za ndani na nje ya nchi. Ina msisimko wa kipekee ukiisoma.

Unastahiki pongezi na mialiko ya vyuo vikuu vya nje na ndani ya nchi kwa hii historia, ooh nisisahau, pia unastahiki kualikwa kwene makongamano tofauti kwa haya uliyoyaandika:
Kwa kweli hii historia ni ya kusisimua sijwahi kukutana na historia iliyosimama wima kama hii.

Kuna umuhimu sasa serikali waangalie namna ya kuingiza kwenye shule zetu na vyuo wanafunzi waisome.

Hii historia inaweza kumfanya Nguruvi3 apate mialilko mingi sana kwenye vyuo vikuu duniani.
 
Last edited by a moderator:
Thread za mambo ya dini ni chujio la kutambua werevu na wapumbavu kwa kusoma comments zao yaani kuna jamii fulani ni empty headed kabisa akili hakunaaaaaaaaa
 
Shuushhh nguchiro!

Wallahi wanasema waungwa "mwana wa mzazi mmoja! hata ukimtia kwenye chupa basi lzm atoe kidole"

We kabla ya kuwaita wenye elimu zao wapumbavu kwanza kamuulize mama Wapoti! hivi Mamaee! Baba Wapoti ni nani?
Manake wenzangu woote wanawafahamu baba zao! Kasoro mimi tu Wapoti!

Halafu ukishamfahamu baba yako mzazi!
Njoo utujuze hapa! Tukupe Hongera.
 
Last edited by a moderator:
Thread za mambo ya dini ni chujio la kutambua werevu na wapumbavu kwa kusoma comments zao yaani kuna jamii fulani ni empty headed kabisa akili hakunaaaaaaaaa
Unajua mbinu ya kumfanya mtoto awe na mazoea ya kutumia choo cha Poti?
 
Hii maana yake ni nini?

Eiyer,
TANU ilikuwa imekwenda vizuri nguvu zake zikiongezeka mwaka baada ya mwaka.

Ikafika hali sasa Waingereza lazima wakubaliane na mapendekezo ya TAA Political
Siubcommittee ya 1950 ya kutaka kura moja mtu mmoja katika kuwapata wajumbe
wa kuingia katika Legco.

Hii ilikuwa 1958 na Waingereza wakakubali kuitisha uchaguzi wa kwanza mwaka 1958
uchaguzi ambao uliwekewa masharti magumu ya kibaguzi masharti ambayo kwa Waislam
ilikuwa sawa na kuwatoa nje ya ulingo wa siasa.

Waislam wallikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika TANU na wakahisi hizi ni mbinu
za kuwaondo katika ulingo wa uongozi wa nchi kwa hiyo msukumo ukawa kukataa kuingia
katika uchaguzi ule uliopewa jina Uchaguzi wa Kura Tatu.

Hii ilitishia kukigawa chama mapende mawili.
Hebu angalia jinsi nilivyoeleza tatizo hili katika kitabu changu:

In 1958 the colonial government organised elections to the Legislative Council in which
seats were to be contested on racial lines.

There would be seats for Europeans, Asians and Africans-the so called tripartite vote.
The colonial government of Governor Twining had put very discriminatory conditions to
the Africa electorate which required each constituency to vote for a European, an Asian
and an African.

Other conditions for eligibility for voting required a prospecting voter to have an annual
income of 400 pounds sterling, standard twelve education and be employed in a specific post.

These were stiff and seemingly unacceptable conditions for TANU to accept and consequently
contest the election...

The conference deliberations threatened to split the TANU into two contending hostile camps-
that of moderates in favour of participating in the elections; and that of radicals calling for a
total boycott of the election...

The Party survived what could have been an internal crisis which would have led radicals like
Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council at the headquarters, and Zuberi
Mtemvu then TANU Organising Secretary to stage a coup and take over the party, were it not
for the ingenuity of Julius Nyerere, the President of TANU.

But in order to understand the feelings of TANU members, its leadership and the forces in
control of politics in colonial Tanganyika, and why the tripartite vote brought misunderstanding
in the leadership, we need not go further than trace the position taken by the TANU leadership
which led it to make its historic decision that beat the British in their own game.

Eiyer,
Ikawa sasa miamba miwili ya TANU Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere wako katika kambi mbili
tofauti na ikapelekea kwa Sheikh Takadir kumshutumu Nyerere kuwa anawaleta jamaa zake kuja
kushika madaraka.

Kipindi kile ilikuwa wazi kuwa uhuru uko mlangoni.
Nadhani umeelewa nilichokuwa nikieleza.

Kisa hiki kinaogopwa sana na waliokuwa madarakani.

Kwa muda walifanikiwa kumfuta Sheikh Takadir katika historia ya uhuru wa Tanganyika hadi mimi
nilipomrejesha katika kitabu changu,

Huyu hapa chini ndiyo Sheikh Suleiman Takadir aka Makarios.
Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julius Nyerere.
Hao waliowazunguka ni TANU Bantu Group kundi la walinzi na wahamasishaji wa TANU.
Picha ilipigwa 1954.

SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg
 
Hasiejua maana, hambiwi maana!

Al-habeeb Tayeb,
Kwanza assalaamu alaykum,
Umenifurahisha hiyo dose kwa huyo mgala, lakini hukumkamilishia najua watambua hilo, kwa hishma na ukarimu wako naomba nikukosee adabu kaka langu kwa kummalizia hivi:-

Ukimwambia maana aweza kukuzulia yenye laana,

Teh teh teh,
 
Ndio nini hicho?

Utashangaa na kuhamaki sana, kwakuwa minaakasha si yako fani ila tu huenda ulikuwa wajaribu kutaka vuma baharini kwa pupa, sasa tambua papa wengine kumbe wapo,

Kina cha bahari hakipimwi kwa mguu nduu yangu,
Tulia utibike, chungu lakini ndo dose yenyewe, sasa tukusaidieje?

Katika mawili moja lifanye kuwa lako, ukimbie dose ufe ama uvumilie dose upone.
 
Teh teh teh! Eti baadhi ya Waislam halafu hao Waislam upeo wao ni mdogo.

Nadhani hapa unawaongelea Bakwata.

Nguruvi3 ukitaka kupima Waislam wanamchukuliaje Nyerere, fanya utafiti wako pita Misikitini tu halafu msifie uone kitakachokutokea.

Lakini pita katika Misikiti michache ya Bakwata Nyerere huko ni shujaa.

Nakupa mfano mdogo kama una akili pima.

Sheikh Mkuu wa BAKWATA alitangaza kuwa anawataka Waislam wote wajitokeze kujiandikisha kwenye sensa, baadae Sheikh Ponda, ambaye hana hata Msikiti akasema hakuna kujitokeza nini kilitokea.
Ndio maana naasema utafiti unilishafanya. Hao wanaomalaani ukiwauliza kwanini hawana majibu.

Mwapachu alisoma Makerere, mtoto wake akaenda shule, wajukuu wa mwapachu wameenda shule ukiangalia hali za maisha yao zinazidi kuimarika kila siku.
Nenda kwa mwenzangu mimi anayepiga kelele tu, baba yake, yeye na watoto hakuna afadhali.
Ukimuuliza anasema Nyerere. Nyerere gani huyo anayechagua waislam?

Ukienda Machame wanakaa vikao kuangalia watoto waende vipi shule. Ukienda Mkuranga unakuta mwl mkuu msaidizi ni mwanafunzi. Ukienda machame utasikia harambee za kujenga shule karibu na kiwanja cha msikiti, ukienda mkuranga utasikia wanamlaani na kumzomea Nyerere msikitini.

Lazima uiangalie nchi from different angle. Kitu kinachonitofautisha na wengi hapa jamvini ni kuifahamu nchi yetu vema. Nimeishi kila eneo kuanzia Kibuyi Musoma hadi Kadewele, Manyovu hadi Mkuranga. Nimeishi na jamii nyingi za imani zote nafahamu udhaifu wa jamii hizo ndio maana nakuambia ukweli kuwa Mwislam mwenye education yake huwezi kumkalisha chini ukamfundisha historia ya MS ya kumzomea Nyerere.

Huu ni wakati wa kukaa chini na kutafuta mikakati ya kujikomboa katika masuala mbali mbali.
Kwanini Masjid Quba itoe zero za kutosha na Kirinjiko itoe A za maana, Nyerere anaingiaje hapo.
Acheni kufundishwa ujinga na mkaukumbatia.

Nguruvi,
Hali ya nchi yetu ni mbaya.

Nafasi ya Kanisa katika kuendesha nchi sasa ni wazi na si siri tena.
Prof. Hamza Njozi alieleza tatizo hili katika kitabu chake ''Mwembecha Killings...''

Ukweli ndani ya kitabu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.

John Sivalon na yeye kaandika kitabu kuhusu nafasi ya Kanisa katika siasa za
Tanzania.

Mohamed Said akaja na historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na mwisho wa
kitabu kaandika kuhusu njama dhidi ya Uislam.

Waislam wa kizazi kipya sasa wanajiuliza mengi.

Kubinywa kwa Waislam leo kuko wazi hata kama tunaogopa kulizungumza hili na
serikali inajifanya yote ni shwari.

Ukweli ni kuwa hali si shwari.

Baadhi ya marafiki wa Tanzania kwa pembeni wametoa ushauri kwa serikali
kutolifumbia macho tatizo hili.

Sisi si kikundi kidogo tuna umma mkubwa wa Waislam na ukitaka kupima nguvu
yetu angalia tulipowaambia Waislam wakatae kujiandikisha hadi kipengele cha
dini kimewekwa.

Zoezi halikufanikiwa.

Angalia ukipenda mfano mdogo tu.
Sikiliza mijadala humu JF.

Tunalo tatizo na halitoondoka kwa kutaka tu liondoke.
Tatizo litaondoka kwa kuukubali ukweli na kuzungumza bayana kuondoa dhulma.
Mohamed unajidanganya. Zoezi limefanikiwa kwasababu takwimu za population zipo.
Kuna taasisi za kiislam na waislam walishiriki zoezi kikamilifu na wala hawakuwa na tatizo.

Of course kuna kikundi cha wapuuzi walikimbia na kuacha wake zao wahesabiwa! if that is not stupid I don't know what it is. Kwamba mume kakimbia asipatae dhambi kamwacha mke na watoto wakahesabiwa!
MS do you see the kind of leaders you have in your 'small society of extremist '

Kila siku nimekuwa nawaeleza kuhusu historia ya Mohamed Said. Nimesema huko nyuma kuwa Mohamed Said haandiki historia ili kuonyesha kisichojulikana bali anaandika ili kupandikiza chuki.
Nimemvuta hadi ameingia katika kile alichiokuwa anakikwepa tangu uzi uanze.

Mohamed Said anajenga mazingira ya kuonyesha kuwa waislam ndio walipopigania uhuru.
Anaficha ukweli ambao historia inaushuhudia.

Kuanzia mwaka 1929 akina Sykes walikuwa viongozi wa siasa na timu iliyokuwepo ilikuwa waislam wengi wao.
Akaja mtu na elimu yake akafanya kile ambacho watu hawakuweza kwa miaka 20. Hii maana yake ni kuwa nguvu ya elimu ni muhimu sana. Angalia familia za watu waliothamini elimu.

Mohamed hao majirani unaosema ni wale unaokwenda kuwaeleza kuwa hali ni mbaya.
Hakuna ugomvi wa dini miongoni mwetu isipokuwa kuna kikundi cha extremist na wapuuzi kinajenga chuki katika jamii.

Maandishi na matamko yako ni yale ya akina Ponda na Ilunga, tukwambie ukweli.
MS huwezi kupata engineer wa kuteuliwa wala Daktari wa kuteuliwa ni lazima waende shule
Wewe unadhani tatizo lipo kwa mawaziri na makatibu wakuu watatu na si mamilioni kama kule mkuranga.

Nikikuuliza utapataje mwalimu au nesi kutoka Mkuranga katika shule isiyo na mwalimu, huna jibu kwasababu huna solution kama asivyo na solution Ponda au Ilunga.
Sasa Ponda Ilunga na Mohamed wakikaa pamoja ni kweli ipo hatari kwasababu they are good ijn fabricating news, uzuzi na raise unfounded and sometime stupid allegations.

Mshume Kiyate hakupeleka mtoto shule, leo anaongelewa jinsi alivyotoa mia mbili na ndivyo itakavyokuwa kama watu hawataamka. They will end up telling the story about Nyerere kila siku na kumzomea tu . Facts hata kama inauma ndio ukweli huo.

Msidanganywe na wauza vitabu kaeni chini pambaneni na maizngira kwa akili na busara.
Nyerere has nothing to do with your life, kama huwezi kupanga maisha yako unakaa katika mkeka ukimjadili utarithisha watoto wako upuuzi huo huo.

Tumekuuliza mara nyingi unashauri nini kama unadhani una solution, hunajibu.

Mohamed Said acha kuandika historia za chuki andika historia kama ilivyo. Waeleze watu tatizo lao na solution siyo kuwadanganya kuwa ukishindwa kupeleka mtoto shule basi unaweza kuwa waziri kwa dini.

Nadhani mtakubaliana nami ni niliposema kuwa MS haandiki historia bali kujenga mazingira ya kuchomeka chuki sasa mnaona ukweli wake.

Eiyer,
TANU ilikuwa imekwenda vizuri nguvu zake zikiongezeka mwaka baada ya mwaka.

Ikafika hali sasa Waingereza lazima wakubaliane na mapendekezo ya TAA Political
Siubcommittee ya 1950 ya kutaka kura moja mtu mmoja katika kuwapata wajumbe
wa kuingia katika Legco.

Hii ilikuwa 1958 na Waingereza wakakubali kuitisha uchaguzi wa kwanza mwaka 1958
uchaguzi ambao uliwekewa masharti magumu ya kibaguzi masharti ambayo kwa Waislam
ilikuwa sawa na kuwatoa nje ya ulingo wa siasa.

Waislam wallikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika TANU na wakahisi hizi ni mbinu
za kuwaondo katika ulingo wa uongozi wa nchi kwa hiyo msukumo ukawa kukataa kuingia
katika uchaguzi ule uliopewa jina Uchaguzi wa Kura Tatu.

Hii ilitishia kukigawa chama mapende mawili.
Hebu angalia jinsi nilivyoeleza tatizo hili katika kitabu changu:

In 1958 the colonial government organised elections to the Legislative Council in which
seats were to be contested on racial lines.

There would be seats for Europeans, Asians and Africans-the so called tripartite vote.
The colonial government of Governor Twining had put very discriminatory conditions to
the Africa electorate which required each constituency to vote for a European, an Asian
and an African.

Other conditions for eligibility for voting required a prospecting voter to have an annual
income of 400 pounds sterling, standard twelve education and be employed in a specific post.

These were stiff and seemingly unacceptable conditions for TANU to accept and consequently
contest the election...

The conference deliberations threatened to split the TANU into two contending hostile camps-
that of moderates in favour of participating in the elections; and that of radicals calling for a
total boycott of the election...

The Party survived what could have been an internal crisis which would have led radicals like
Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council at the headquarters, and Zuberi
Mtemvu then TANU Organising Secretary to stage a coup and take over the party, were it not
for the ingenuity of Julius Nyerere, the President of TANU.

But in order to understand the feelings of TANU members, its leadership and the forces in
control of politics in colonial Tanganyika, and why the tripartite vote brought misunderstanding
in the leadership, we need not go further than trace the position taken by the TANU leadership
which led it to make its historic decision that beat the British in their own game.
Ku-quote maelezo yako mwenyewe ili kuunga mkono madai yako mwenyewe is absurd
Maelezo yako mwenyewe sio chanzo cha uhakika ndio maana kuna watu hapa wanakupinga

Hivyo kujaribu kuhalalisha kile unachosema hapa kwa kujinukuu ni kama vile kusema wewe sio mwizi kwa kudai hata msikitini uliwahi kusema hivyo

Halafu kitendo cha kudai kuwa Waislam walikuwa na ushawishi mkubwa nimesha kukatalia kutokana na Uislam wenyewe kukana kuwaambia Waislam washirikiane na watu wa dini nyingine hasa Wakristo hivyo hilo nalo sio ukweli,ni bora tu ungejenga hoja kuwa wale walikuwa ni waislam lakini hawakufanya hivyo kwa sababu za kidini

Eiyer,
Ikawa sasa miamba miwili ya TANU Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere wako katika kambi mbili
tofauti na ikapelekea kwa Sheikh Takadir kumshutumu Nyerere kuwa anawaleta jamaa zake kuja
kushika madaraka.

Kipindi kile ilikuwa wazi kuwa uhuru uko mlangoni.
Nadhani umeelewa nilichokuwa nikieleza.
Sijakuelewa kwakuwa hapo ni wewe huyohuyo uliezungumza kwenye mambo yote mawili[kitabu na hapa JF]
Kitendo hiki kinazifanya hoja zako kuwa mfu
Kisa hiki kinaogopwa sana na waliokuwa madarakani.

Kwa muda walifanikiwa kumfuta Sheikh Takadir katika historia ya uhuru wa Tanganyika hadi mimi
nilipomrejesha katika kitabu changu,
Bado maelezo yako haya yanahitaji verification huru na sio maelezo yako mwenyewe kuyafanya kama verification ya madai yako mwenyewe
Huyu hapa chini ndiyo Sheikh Suleiman Takadir aka Makarios. Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir said:
https://lh6.googleusercontent.com/-m11ysm4Q-Eg/Um-YwC9qK5I/AAAAAAAAKlQ/tgFUQJ-lYJQ/w774-h542-no/SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg[/IMG]
Bado hakuna uthibitisho wa madai yako hapa!
 
Utashangaa na kuhamaki sana, kwakuwa minaakasha si yako fani ila tu huenda ulikuwa wajaribu kutaka vuma baharini kwa pupa, sasa tambua papa wengine kumbe wapo,

Kina cha bahari hakipimwi kwa mguu nduu yangu,
Tulia utibike, chungu lakini ndo dose yenyewe, sasa tukusaidieje?

Katika mawili moja lifanye kuwa lako, ukimbie dose ufe ama uvumilie dose upone.

Dose ipi?
Mimi kutokuelewa nilichoambiwa inakuwaje dozi?

Kwanini mnaogopa kufafanua ili nielewe nijenge hoja?
Au hamjiamini?
 
Al-habeeb Tayeb,
Kwanza assalaamu alaykum,
Umenifurahisha hiyo dose kwa huyo mgala, lakini hukumkamilishia najua watambua hilo, kwa hishma na ukarimu wako naomba nikukosee adabu kaka langu kwa kummalizia hivi:-

Ukimwambia maana aweza kukuzulia yenye laana,

Teh teh teh,

Hana halijualo huyo kiumbe Eiyer teh teh teh!

Nakuachia uendelee kumtia majiti huyo kijana kwi kwi kwi!! tena yale ya rohoni!!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer,
TANU ilikuwa imekwenda vizuri nguvu zake zikiongezeka mwaka baada ya mwaka.

Ikafika hali sasa Waingereza lazima wakubaliane na mapendekezo ya TAA Political
Siubcommittee ya 1950 ya kutaka kura moja mtu mmoja katika kuwapata wajumbe
wa kuingia katika Legco.

Hii ilikuwa 1958 na Waingereza wakakubali kuitisha uchaguzi wa kwanza mwaka 1958
uchaguzi ambao uliwekewa masharti magumu ya kibaguzi masharti ambayo kwa Waislam
ilikuwa sawa na kuwatoa nje ya ulingo wa siasa.

Waislam wallikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika TANU na wakahisi hizi ni mbinu
za kuwaondo katika ulingo wa uongozi wa nchi kwa hiyo msukumo ukawa kukataa kuingia
katika uchaguzi ule uliopewa jina Uchaguzi wa Kura Tatu.

Hii ilitishia kukigawa chama mapende mawili.
Hebu angalia jinsi nilivyoeleza tatizo hili katika kitabu changu:

In 1958 the colonial government organised elections to the Legislative Council in which
seats were to be contested on racial lines.

There would be seats for Europeans, Asians and Africans-the so called tripartite vote.
The colonial government of Governor Twining had put very discriminatory conditions to
the Africa electorate which required each constituency to vote for a European, an Asian
and an African.

Other conditions for eligibility for voting required a prospecting voter to have an annual
income of 400 pounds sterling, standard twelve education and be employed in a specific post.

These were stiff and seemingly unacceptable conditions for TANU to accept and consequently
contest the election...

The conference deliberations threatened to split the TANU into two contending hostile camps-
that of moderates in favour of participating in the elections; and that of radicals calling for a
total boycott of the election...

The Party survived what could have been an internal crisis which would have led radicals like
Sheikh Suleiman Takadir, Chairman of TANU Elders Council at the headquarters, and Zuberi
Mtemvu then TANU Organising Secretary to stage a coup and take over the party, were it not
for the ingenuity of Julius Nyerere, the President of TANU.

But in order to understand the feelings of TANU members, its leadership and the forces in
control of politics in colonial Tanganyika, and why the tripartite vote brought misunderstanding
in the leadership, we need not go further than trace the position taken by the TANU leadership
which led it to make its historic decision that beat the British in their own game.

Eiyer,
Ikawa sasa miamba miwili ya TANU Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere wako katika kambi mbili
tofauti na ikapelekea kwa Sheikh Takadir kumshutumu Nyerere kuwa anawaleta jamaa zake kuja
kushika madaraka.

Kipindi kile ilikuwa wazi kuwa uhuru uko mlangoni.
Nadhani umeelewa nilichokuwa nikieleza.

Kisa hiki kinaogopwa sana na waliokuwa madarakani.

Kwa muda walifanikiwa kumfuta Sheikh Takadir katika historia ya uhuru wa Tanganyika hadi mimi
nilipomrejesha katika kitabu changu,

Huyu hapa chini ndiyo Sheikh Suleiman Takadir aka Makarios.
Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julius Nyerere.
Hao waliowazunguka ni TANU Bantu Group kundi la walinzi na wahamasishaji wa TANU.
Picha ilipigwa 1954.

SHEIKH+SULEIMAN+TAKADIR%252C+JOHN+RUPIA+AND+NYERERE+1955.jpg

Sheikh Mohamed Said,

Ahsante sana kwa hizi bayana zako!

Nafarijika sana naposoma ilm hii ambayo umejaaliwa kuipata, nawe bila ya choyo umeamua kutuwekea hapa JAMVINI sote tuelimike japo kiduchu kama sio sana!

Wapo wanaobisha na kukosa raha kabisa unapozianika hizi bayana zako, insha allah itafika wakti watafahamu tu!

Cha msingi twende nao tartibu ili wasikimbie tukawakosa kuwatibu maradhi yao ya kutofahamu KWELI hata ikiwekwa hadharani kiasi hiki!
 
Last edited by a moderator:
Naona maalim Tayeb unampiga daawa baba upako!
Teh teh teh teh! Huyo ni mchovu kwelikweli!
Yaani kama ni mti basi mgomba au mpapai.
😀😀😀 taratibu kaka ataelekea kibla mwenyewe!

Dr. kahtaan

Huyo ni mpapai, hata kijiko tu kinamtosha kummaliza teh teh teh!!
 
Last edited by a moderator:
Dose ipi?
Mimi kutokuelewa nilichoambiwa inakuwaje dozi?

Kwanini mnaogopa kufafanua ili nielewe nijenge hoja?
Au hamjiamini?

Ndo maana mara nyingi nakuambia viwango vyako vya uwelewa vipo chini sana,
Kwa mantiki hiyo ya kukubali kuchelewa kuelewa tunashukuru, sasa tunakutaka uwe na utaratibu mzuri wa kuuliza pahala ambapo unakuwa hujaelewa na si weye pekee, wajuze na swahibu zake ,najua wananisoma na wanajisoma maulizo yao,
Ushauri wa bure, kuwa mtulivu sana katika darsa huenda ukabahatika kuondokwa na ubishi wa kukariri,
Endelea kumsoma gwiji la Histori, Mzee muungwana asojadhba Maulaana Adduktuur Muhamad Saeed.
 
Back
Top Bottom