We nguchiro! Unapoongea maneno kama haya! Unatuwekea na ushahidi kidogo!
Midomo inayotoa mapovu ni miingi mno humu jf!
Stori zako zoote hapo juu. Nyingi tunaziskia kila siku kwenye magazeti ya kigalatia! Na nimesema mara chungu mbovu! WAARABU SIO WAWAKILISHI WA UISLAMU!!!!!
Mbona nyie wagalatia vichwa maji namna hii!???
KATIKA WAISLAMU BILIONI 2 NA ZAIDI,
WAARABU NI ASILIMIA 15% TU!!
SASA MBONA HUSEMI HIO ASLIMIA 85% ILIYOBAKI??
Kama wewe umekwenda shule Ungefahamu kuwa asilimia kubwa ya waislamu ni INDONESIA AMBAO WAKO ZAIDI YA MILIONI 200!!
sasa je unajua namna gani maisha ya waindonesia yalivyo?? Namna gani wanavyo thamini au kudharau weusi??
Mishahara yao na weusi ni sawa??
Wanakula chakula gani??
Hupendekea nini??
NA HAKIKA 100% HUJUI CHOCHOTE KUHUSU HAWA WATU!
NA SIO WEWE TU! KARIBU WAGALATIA WOTE HAWAJUI HATA NAMNA YA KUUTUKANA UISLAMU!
LEO HII KUJISAFISHA KWA KUFUATA ANDIKO LENU WENYEWE HAMJUI!
KWELI UTAJUA SUNNI NA SHIA NI KITU GANI??
Mimi kujaribu kukuelekeza wewe
CattleRustler NINI MAANA YA SUNNI AU SHIA! NI SAWA NA KUMFUMDISHA MTOTO WA CHEKECHEA ALJEBRA!.
Sisi ukristo tunaufahamu kuliko nyie mnavyo ufahamu uislamu! Na hilo ndio tatizo kubwa mno!
Mnatujazia server hapa kwa utumbo mnao urudia kila siku!
Hebu ingia kwa huyo padri wenu anaitwa GOOGLE Mtafute kipya!
Kama umekosa kakojoe ulale!