FaizaFoxy,
Naona unashabikia mapungufu ya mkristo mmoja moja badala ya kuangalia fundamental za dini. mimi ulinitisha kwa typo kwenye jina la Muhammad nikaomba rathi na sio kwa kukuogopa bali kwa kutambua nyie nduguzetu hamkawii kutoka na jambia kumkata mtu innocent asiejua hata kinachoendelea. pia nilikuwa nataka kurudi kwenye kitu nachokipinga sana ambacho ni uongo weni kuwa dini yenu ya usilamu ni yaamani wakati duniani kote kunawaka moto sasa hivi kwasababu waisilamu wanauna wenyewe kwa wenyewe na kuuua watu wa dini nyingine.
Unasherehekea mapungufu ya wakristo kwa kuwa na makanisa ya hajabu wakati badala ya kuona hilo kama ni dalili ya uhuru katika ukristo. ingekuwa ni muislam kaanzisha msikiti wake unaoruusu vitu vya vituko ambavyo waislam wanaamini mngeshaenda kukata watu mapanga. nakusema vitu vya vituko vipo kivingi tu. kwa mfano kwenye hadith ambazo Aisha mke wa Muhammad ananukuliwa akisema Muhammad alimlazimisha mke wa mtu anyonyeshe jibaba zima ambaye ni mtumwa wake ili mmewake asiwe na wivu wakiwa nyumbani na mtumwa wake bila kuvaa maushungi. maana nyingine hata wewe kama unavaaa maushungi kama profile picture yako inavyoonyesha unaruhusiwa kuwapa titi mibaba inayokuzunguka ili usivae maushungi yako kichwani. na inasemeka Aisha mke wa Muhammad alikuwa akinyonyesha wanaume mtaani kama njia ya kupata wanaume. na nikupe reference maana shehe /dr. ubwabwa kahtaan anaziulizaga hizi reference
kasome
Sahih Muslim
Book 008, Number 3424 - 3428
Imam Maliks Muwatta
Book 30, Number 30.1.8' , Number 30.2.12, Number 30.2.13, Number 30.2.14
wewe ka google tu "Aisha Adult breast feeding" utaona story kibao
sasa ngoja turudi kwenye fundamental za dini yenu ya uislamu nilikuuliza kuwa Shia wana amini Ali ndiye alikuwa anatakiwa kumridhi muhamadi alipokufa. Tena Ali ndie alie alieandikwa kwenye kuruani zaidi. Ila watu walichakachua kuruani kufuta umuimu Ali. Je Nikweli?
naona wote mnaogopa kujibu swali kwa sababu wote munaogopana kwasababu wenyewe waislamu munamajibu tofauti. na mukitofautiana mnapigana mapanga. ila mukinijibu kihalali mtakuta ni kweli nyie waisamu mulianza kuuana wenyewe kwa wenyewe tokea Muhammad alipokufa. hata shia wanasema Muhammad aliuwawa na wakezake wawili(Aisha na Hafsa) pamoja na Abubakari(baba yake Aisha) na Omary(baba yake Hafsa) ambao walimridhi Muhammad na ushaidi angalia link ya sheikh Yaser Al-Habib (
http://www.youtube.com/watch?v=W_BTRdxEJaE)
na kuna mtu mwingine tena ni sunni aliongelea hii issue Dr. Shabir Ally doctor wa kweli sio kama Dr. Ubwabwa Kahtaan .
Aliongelea mpaka issue ya kuchakachua kuruani (
http://www.youtube.com/watch?v=A17mWGd2qZ8)
kwa ujumla nyie niwagomvi. na mumenza kuuana siku nyingi sana na musitudanganye dini yenu ni ya amani. Mtu kama Abubakar munamuona kama ni mtu mkubwa wenye dini yenu alimuua Muhammad mwenyewe alafu akaja akamuua Mke wa Ali(mtoto wa Muhammad ) tena akiwa na mimba alafu sijui mnaalalisha vipi jamaa kuwa bado nimuimu kwenye dini yenu.
Acheni kushabikia mapungufu ya Dini nyingine wakati hampendi kuongelea mapungufu ya dini yenu wenyewe. uislamu unaitaji reformation na uwazi kama ukristo ulivyopitia reformation na ina uwazi sasa. alafu mnalalamika hampewi credit kwajinsi mlivyo changia kupata uhuru. Inawezekana kwa sababu tu mulikuwa wengi huku coast hata mikutano ya TAA mlikua mkipiga mguu tu kufika. Mbona sijawasikia kama mlipigana vita na mjerumani wakati yale ndio yalikuwa mapambano kweli kweli. Sio wakati wa muingereza ambapo ilikuwa ni siasa zaidi. Afazali ukabila kuliko Udini
cc Kahtaan,ritz