Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Sheikh Mohamed Said.
Assalamu alaikum warahmatullah!
Huyu mtu maskini hajui asemalo! Hilo jina usingempa basi angekesha kutafuta ni nani huyo ALHAJ MALIK ALSHABAZ a.k.a MALCOM X!
Nakushkuru kumsaidia! Lkn wsws wangu ni kuwa sikio la kufa hili!
Ahsant.

Kahtaan,
Uzee dawa.

Mimi nilipokusoma nilijua umemwekea ulimbo anase.

Lakini nikasema mimi hapa jamvini ndiyo mzee wao na hawa vijana wangu
wapo katika mnakasha.

Nikajisemea katika nafsi yangu kuwa huyu mwenzake huenda akatatizwa na
jina hili nikaona bora nimwopoe ikiwa kwa hakika hana taarifa za Malik Al
Shabaz.

Nikasema hata kama nitamuudhi Kahtaan sasa nifanyeje maana nisipoingia kati
hawa vijana watakuwa katika ''stalemate'' ya bure.

Lakini zaidi nimesikitika kuwa hajui kama Malclom X alisoma dictionary.
Hili jambo ni moja ya maajabu yake na ni kitu mashuhuri katika historia yake.

Ndiyo katika hima yangu ya kumsaidia awe mwerevu nikampa hizo rejea hizo
asome ili atoke huko alikukokuwa.

Malcolm was a brilliant orator.

Tafuta hotuba yake ya Oxford Union 1965 mwenyekiti wakati ule akiwa Tariq
Ali.

Ipo katika Youtube.

Na kwa kweli mtu huwezi kuwa unajua kila kitu.

Na hapa JF ni ulingo wa Watu Wenye Fikra Pevu - Great Thinkers sasa
lazima tusaidiane katika kusomeshana.

Niwie radhi sheikh wangu ikiwa nimemrusha ndege wako.
 
Asante kwa ushauri wako. Sijamsoma sana Malcom X. Ila nimeangalia movie yake nazani. Ila naomba mniambie majibu yenu katika maswali niliyoweka kwenye post yenye video links. Nikubadilishiana mawazo tu.

CattleRuster,

Tafadhali pitia upya post yangu nimeongeza vitu.

Ahsante kwa ujumbe wako.
 
Kahtaan,
Uzee dawa.

Mimi nilipokusoma nilijua umemwekea ulimbo anase.

Lakini nikasema mimi hapa jamvini ndiyo mzee wao na hawa vijana wangu
wapo katika mnakasha.

Nikajisema katika nafsi yangu kuwa huyu mwenzake huenda akatatizwa na
jina hili nikaona bora nimwopoe ikiwa kwa hakika hana taarifa za Malik Al Shabaz.

Nikasema hata kama nitamuudhi Kahtaan sasa nifanyeje maana nisipoingia kati
hawa vijana watakuwa katika stalemate ya bure.

Lakini zaidi nimesikitika kuwa hajui kama Malclom X alisoma dictionary.
Hili jambo ni moja ya maajabu yake na ni kuti mashuhuri.

Ndiyo katika hima yangu ya kumsaidia awe mwerevu nikampa hizo rejea
asome ili atoke huko alikukokuwa.

Na kwa kweli mtu huwezi kuwa unajua kila kitu.

Na hapa JF ni ulingo wa Watu Wenye Fikra Pevu - Great Thinkers sasa
lazima tusaidiane katika kusomeshana.

Niwie radhi sheikh wangu ikiwa nimemrusha ndege wako.

Mzee wetu maalim Mohamed Said sisi tuko hapa kupata elimu kutoka kwako.
Na hakuna ulisemalo likawa halina faida.

Na twamshukuru Mungu kupata wazee kama nyie ambao mnapoteza wakati wenu mwingi kuelimisha jamii ambayo imekaliwa kichwani na mawazo mgando miaka chungu mzima!

Tunakuomba usichoke kutuwaidhi hapa.
Na pia kuwavumulia hawa wanaodhani wanajua kumbe maskini wa elimu kabisaa!
Allah akuongeze afya mwalimu wetu.
na wala ndege hajaruka mbali, sasa hivi atarudi kwenye mtama wa bure.

Shukran.
 
Last edited by a moderator:
sijui ni lini waislamu mtaacha kulalamika...tatizo lenu ni uvivu wenu wa kufikiri ndio maana mmenyimwa upeo wa kuona mbali....poleni sana ndugu zanguni.

G. Jacob,
Hatulalamiki.

Tunatahadharisha.
Nimeweka post mpya ''Terrorism and Islam in Tanzania.''

Tafadhali ipitie huenda ukaelewa janga linalokabili nchi yetu.
 
Mzee wetu maalim Mohamed Said sisi tuko hapa kupata elimu kutoka kwako.
Na hakuna ulisemalo likawa halina faida.

Na twamshukuru Mungu kupata wazee kama nyie ambao mnapoteza wakati wenu mwingi kuelimisha jamii ambayo imekaliwa kichwani na mawazo mgando miaka chungu mzima!

Tunakuomba usichoke kutuwaidhi hapa.
Na pia kuwavumulia hawa wanaodhani wanajua kumbe maskini wa elimu kabisaa!
Allah akuongeze afya mwalimu wetu.
na wala ndege hajaruka mbali, sasa hivi atarudi kwenye mtama wa bure.

Shukran.

Kahtaan,

Ahsante sana kwa yote.

Amin Amin Amin kwa sote.

Hiyo post ulojibu nimeiongeza ipitie tena uisome upya.
 
CattleRuster,
Soma biography ya Malcolm X iliyoandikwa na Alex Hailey.

Kisha soma nyingine aliyoandika Manning Marable kuhusu
Malcolm X inaitwa ''A Life of Reinvetion.''

Hiki kitabu kimechapwa 2011.

Vilevile ukipenda angalia movie yake, ''Malcolm X'' iliyotengenezwa
na Spike Lee ikiwa bado hujaiona.

Kuna mafunzo mengi katika maisha ya Malcolm X.
Hayo ulioelezwa ambayo wewe huamini utayakuta yote humo na zaidi.
Sheikh Mohamed Said, Assalam Aleikum, nafyonza Ilm.
 
Last edited by a moderator:
Kahtaan,
You are now revealing your ignorance.
Nobody learn english by memorizing dictionary page by page. It just shows how much Madras has affected your learning perception. You should rethink the types and the order of education you give to your kids or grandkids
Angalia sasa unavyojidhalilisha na hii kauli yako.
 
Wewe mbona una kigeugeu namna hii!
Hapo nyuma tu umesema "NOBODY EVER LEARN ENGLISH BY MEMORISED DICTIONARY"
Na unasema kwa uhakika wa 100%!
Mara unegeuka kwa kusema hujasoma historia!
Au kilicho kuchanganya ni ALHAJ MALIK ALSHABAZ!!

Sasa hio kauli yako ya mwanzo umeitoa wapi!?
Haya taka radhi kwa kusema usio yajua!
Au utaadhirika zaidi!
Dr. kahtaan

Nguchiro alikuwa kaishanasa kwenye Ulimbo.

Amshukuru Mohamed Said kumnasua.
 
Maulana Dr Kahtaan,

Asaalam Alaykum,

Lazim pia tujikumbukushe yakuwa hawa misukule wa Chadema akili zao,Ilm zao,understanding/exposure zao,vyoote hivyo vipo very limited...yaani vichwa vyao ni uharo na utumbo mtupu.

Khalaf,wewe unakwenda kuwaulizia khabar za kina Alhaj Al Shabazz!? Kwi! Kwi! Kwi!...si unaona mwenyewe jinsi gani hata huyo "Yesu" wao kumbe pia hawamjui uzuri!? Kwi! Kwi!

Unajua mimi siku za mwanzo nilipoiingia humu Jf,pia nilikua naive kiduchu,nikawa natumia akili na maarifa mangi mno ati ku-argue nao au kuweka/kutumia mambo/Ilm kubwa mno...baada ya just a week, nikajagundua yakuwa kumbe jamaa woote ni wapuuzi,na mbwembwe tu ndo nyingi!

Bora ya yule Mag3,kiduchu ana "maarifa ya uzeeni" na ana afadhali kiduchu,japo hupenda kujitia hamnazo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi,sisi concern yetu wala si hawa wapuuzi waduchu waduchu,hasha!

Sisi huku tukiendelea kumsikiza Maalim Sheikh Mohamed Said,lakini pia nasi tunatoa darsa indirectly kwa Wanajamvi na Wasomaji wengineo lukuki ambao tunajua fika yakuwa wanaufuatilia huu mnakasha kwa kina!

Kwa kifupi,huu mnakasha wenyewe ndio reflection ya upumbavu na kutojua kwao mambo,yaani walikua wanajisifia mno mitaani na kutia mbwembwe nyingi ati wao ndo "Wasomi"!?...embu shuhudia jinsi hapa "tunavyowaacha uchi" kwenye kila angle!?

Mie nipo hapa kiduchu nachungulia yalojiri.

Nakutakieni W'end njema nyoote Insha Allah.

Ahsanta.

Cc;Chamviga,Ritz,Boko Haram,Wabara,THE BIG SHOW,Faizafoxy
 
Ninaijua dar toka kabla makunguru ya zanzibar hayajaamia( literally and figuratively )

Ewe Kinega!...utaijuaje Mzizima,we punda urongo!?

Mbona mnapenda saana kujinasib na hiyo D'salaam,kwanini hamkutaki/hamkupendi makwenu, mmekutwa naa baa lipi!?

Lahaula!...ndo nimekumbuka, yakuwa nyie hiyo D'salaam kumbe ndo Dubai na Paris yenu!? Kwi! Kwi!

Kuzaliwa,kukulia au kufia D'salaam...bado hakukufanzi kuwa wewe ni Mwanamji,asilan!...mtabaki wageni maisha yenu yoote!

Kuna mtu alokua anajifanza ati yeye ndo mtu wa hiyo D'salaam/Al'watan kama yule Nyerere aka "Baba wa Taifa"!?...lakini si mlishuhudia,siku alipokata roho,sisi kwa uungwana wetu,tukamtia sandukuni na kumrejesha kwao Mwitongo.

Ile ndo symbolism,kukupeni fundisho na nyie misukule ya Chadema nyoote,yakuwa khabar ndo hiyo!!

Ahsanta.
 
Kahtaan,
Uzee dawa.

Mimi nilipokusoma nilijua umemwekea ulimbo anase.

Lakini nikasema mimi hapa jamvini ndiyo mzee wao na hawa vijana wangu
wapo katika mnakasha.

Nikajisemea katika nafsi yangu kuwa huyu mwenzake huenda akatatizwa na
jina hili nikaona bora nimwopoe ikiwa kwa hakika hana taarifa za Malik Al
Shabaz.

Nikasema hata kama nitamuudhi Kahtaan sasa nifanyeje maana nisipoingia kati
hawa vijana watakuwa katika ''stalemate'' ya bure.

Lakini zaidi nimesikitika kuwa hajui kama Malclom X alisoma dictionary.
Hili jambo ni moja ya maajabu yake na ni kitu mashuhuri katika historia yake.

Ndiyo katika hima yangu ya kumsaidia awe mwerevu nikampa hizo rejea hizo
asome ili atoke huko alikukokuwa.

Malcolm was a brilliant orator.

Tafuta hotuba yake ya Oxford Union 1965 mwenyekiti wakati ule akiwa Tariq
Ali.

Ipo katika Youtube.

Na kwa kweli mtu huwezi kuwa unajua kila kitu.

Na hapa JF ni ulingo wa Watu Wenye Fikra Pevu - Great Thinkers sasa
lazima tusaidiane katika kusomeshana.

Niwie radhi sheikh wangu ikiwa nimemrusha ndege wako.

Sheikh Mohamed Said,

Salaam.

Kumbe yule Tariq Ali,ndo alokua kwenye ile debate ya Oxford siku hizo!?...Wallahi,nilikua sijui asilan!

Yaani ndo umenifumbua macho mno...nafikiri kuna wakti pia alikua akiandikia Guardian,na pia walikua wapo close mno na Bwana Ahmed Rajab,Prof Abdilatif Abdallah,Prof Ngungi wa Thiongo na yule Dr. Tajdeen wa kutoka Nigeria.

Nafikiri pia itakua bado wamkumbuka yule Dr. Tajdeen,unajua alifariki yapata kitambo sasa maskini...hawa ndo walokua sana pale Afrika House kwenye ile Pan Afrikanism yao.

Nimewahi kwenda pale Oxford mara kadhaa kumsikiliza yule Mehdi Hassan wa ile Huffington Post...huyu kijana nae pia ni mahiri mno pasi kiasi kwenye debates,he's excellent debator with beautiful skills...nafikiri nae atafuata nyayo za Tariq Ali.

Nimefurahika tumezungumza kiduchu.

Ahsanta.
 
I don need to check your video to know the falsehood of your nonsence thought. I understand very well my quruani and hadith of our prophet SAW. Uislamu umejengwa katika hoja za quruani, suna tena kupitia fahamu sahihi za wanazuoni wa kiislamu. Unapoleta pumba zako at sijui Ally r.a alifanywa hivi au vile hebu tuletee kauli yake akithibitisha uonevu huo aliofanyiwa. Shekh kauli yake itakuwa ni upuuzi mtupu kama haijajengeka katika misingi hiyo hapo juu.

Unapoquote/translation ya aya quruani kujustify jambo lako bado hiyo haitokuwa sawa bali itakuwa sawa pale maelezo yako yatakapofanana na watafsiri maarufu wa quruani mfano wa akina Ibn Abbas r.a, ibn Jarir Twabar, Ibn kathir, n.k katika wanazuoni wetu. Tafautisha translation(tarjama)/ explanation(tafsir). Kwa mwenendohuo utapasuka msamba wala hautoweza kuleta hoja zako muflisi za kuuchafua uislamu au kufikia hatua ya kufanyiwa reformation kama ukristo ulivyo/unavyofanyiwa mara kwa mara.

Ayatollah Chamviga,

Asalaam Alaykum.

Al Akhiy,yaani wewe ndo khaswa kioo/reflection ya Uislam...yaani nikisoma tu haya maandishi yako,najua una hishma za hali ya juu na staha hata za kimazungumzo na uungwana wa kivitendo....Allaha'mdulillahi!

Mimi,si unajua "nimebobea" kwenye yale masuala ya "Baba wa Taifa",kwa hiyo nisangalipenda kwa leo kuongeza lolote hapo!? Kwi! Kwi!

Hawa wapuuzi wenye njaa za maisha,wasitufanze kupoteza dira ya huu mnakasha wetu,maana ndo dhamira yao!

Ni aibu tupu...yaani tangia mnakasha huu umeanza,ni sisi tu tunaoambiwa ati "hatujasoma"/"wavivu" wa kusoma...lakini ndo sisi kwa sisi tunaoleta na kumwaga datas,references na ushahidi woote,yaani wao wafanzacho ni kutukania Wazee Wetu na Dini yetu tu!?

Ukiwaambia kalete ushahidi/statistics...basi inakua huyo mtu humuoni tena kurejea!? Kwi! Kwi!

Khalaf,wanasema ati wao ndo "wasomi" na huwa "hawapendi" ugomvi!? Kwi! Kwi!

Nimeamini,kweli hawa jamaa zetu ni janga la Taifa letu maskini!!

Ahsanta.
 
Maulana Dr Kahtaan,

Asaalam Alaykum,

Lazim pia tujikumbukushe yakuwa hawa misukule wa Chadema akili zao,Ilm zao,understanding/exposure zao,vyoote hivyo vipo very limited...yaani vichwa vyao ni uharo na utumbo mtupu.

Khalaf,wewe unakwenda kuwaulizia khabar za kina Alhaj Al Shabazz!? Kwi! Kwi! Kwi!...si unaona mwenyewe jinsi gani hata huyo "Yesu" wao kumbe pia hawamjui uzuri!? Kwi! Kwi!

Unajua mimi siku za mwanzo nilipoiingia humu Jf,pia nilikua naive kiduchu,nikawa natumia akili na maarifa mangi mno ati ku-argue nao au kuweka/kutumia mambo/Ilm kubwa mno...baada ya just a week, nikajagundua yakuwa kumbe jamaa woote ni wapuuzi,na mbwembwe tu ndo nyingi!

Bora ya yule Mag3,kiduchu ana "maarifa ya uzeeni" na ana afadhali kiduchu,japo hupenda kujitia hamnazo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi,sisi concern yetu wala si hawa wapuuzi waduchu waduchu,hasha!

Sisi huku tukiendelea kumsikiza Maalim Sheikh Mohamed Said,lakini pia nasi tunatoa darsa indirectly kwa Wanajamvi na Wasomaji wengineo lukuki ambao tunajua fika yakuwa wanaufuatilia huu mnakasha kwa kina!

Kwa kifupi,huu mnakasha wenyewe ndio reflection ya upumbavu na kutojua kwao mambo,yaani walikua wanajisifia mno mitaani na kutia mbwembwe nyingi ati wao ndo "Wasomi"!?...embu shuhudia jinsi hapa "tunavyowaacha uchi" kwenye kila angle!?

Mie nipo hapa kiduchu nachungulia yalojiri.

Nakutakieni W'end njema nyoote Insha Allah.

Ahsanta.

Cc;Chamviga,Ritz,Boko Haram,Wabara,THE BIG SHOW,Faizafoxy

Teh teh teh. Maulana gombesugu mimi hata nashindwa cha kuwaeleza hawa mamburura mithiri ya huyu mwenye jina liendanalo na kilevi flani. Wanahoji mambo ambapo hata tukifungua darsa zake wataishia kung'aa macho tu halafu wanalazimisha ati tuwajibu? Kuna maneno ya busara aliyoyasema imamu Shafii Allah amrehemu akisema ni bora kujadiliana na wenye ilmu/wajuzi 1000 kuliko kujadiliana na mjinga mmoja atakusumbua. Ngoja twende nao kulingana na caliba yao.
 
Last edited by a moderator:
Ayatollah Chamviga,

Asalaam Alaykum.

Al Akhiy,yaani wewe ndo khaswa kioo/reflection ya Uislam...yaani nikisoma tu haya maandishi yako,najua una hishma za hali ya juu na staha hata za kimazungumzo na uungwana wa kivitendo....Allaha'mdulillahi!

Mimi,si unajua "nimebobea" kwenye yale masuala ya "Baba wa Taifa",kwa hiyo nisangalipenda kwa leo kuongeza lolote hapo!? Kwi! Kwi!

Hawa wapuuzi wenye njaa za maisha,wasitufanze kupoteza dira ya huu mnakasha wetu,maana ndo dhamira yao!

Ni aibu tupu...yaani tangia mnakasha huu umeanza,ni sisi tu tunaoambiwa ati "hatujasoma"/"wavivu" wa kusoma...lakini ndo sisi kwa sisi tunaoleta na kumwaga datas,references na ushahidi woote,yaani wao wafanzacho ni kutukania Wazee Wetu na Dini yetu tu!?

Ukiwaambia kalete ushahidi/statistics...basi inakua huyo mtu humuoni tena kurejea!? Kwi! Kwi!

Khalaf,wanasema ati wao ndo "wasomi" na huwa "hawapendi" ugomvi!? Kwi! Kwi!

Nimeamini,kweli hawa jamaa zetu ni janga la Taifa letu maskini!!

Ahsanta.

Na mimi nimetandika jamvi hapa nikivyonza ilmu kutoka kwenu mara namuona nguchiro kama anavyowaita akhy Ritz anataka kuchafua mjadala kwa vihoja vyake visivyo na uhusiano na mnakasha wetu. Mpaka nafikiri moyoni(MUNGU ANISAMEHE KWA DHANA) ya kuwa yawezekana ni wale wasiotaka ukweli wa historia iliyochimbiwa kaburi miaka mingi isizungumzwe kwa uzi huu kufungwa!? Tuwapuuze inapowezekana na penye haja ya kuwaelimisha tufanye ivo.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohamed Said,

Salaam.

Kumbe yule Tariq Ali,ndo alokua kwenye ile debate ya Oxford siku hizo!?...Wallahi,nilikua sijui asilan!

Yaani ndo umenifumbua macho mno...nafikiri kuna wakti pia alikua akiandikia Guardian,na pia walikua wapo close mno na Bwana Ahmed Rajab,Prof Abdilatif Abdallah,Prof Ngungi wa Thiongo na yule Dr. Tajdeen wa kutoka Nigeria.

Nafikiri pia itakua bado wamkumbuka yule Dr. Tajdeen,unajua alifariki yapata kitambo sasa maskini...hawa ndo walokua sana pale Afrika House kwenye ile Pan Afrikanism yao.

Nimewahi kwenda pale Oxford mara kadhaa kumsikiliza yule Mehdi Hassan wa ile Huffington Post...huyu kijana nae pia ni mahiri mno pasi kiasi kwenye debates,he's excellent debator with beautiful skills...nafikiri nae atafuata nyayo za Tariq Ali.

Nimefurahika tumezungumza kiduchu.

Ahsanta.

Gombesugu,
Tajdeen nilikutananae hapa Dar miaka ya 1990s nilimpokea uwanja wa ndege mie
na rafiki yangu mmoja ambae yeye ndiye alikuwa mgeni wake.

Alikuja katika mkutano Zanzibar.

Tariq Ali mie nimejulia Uingereza ni mtu hodari sana.
 
Mlaleo,
Sijui hii kuwa nimesema Sykes Mbuwane ametokea Afrika Kusini unetoa wapi?

Sijapata kusema hivyo.

Kuhusu majina ngoja nikuwekee hapa majina ya hawa Wazulu uone:

  1. Kleist Abdallah Sykes
  2. Schneider Abdillah Plantan
  3. Ramadhani Mashado Plantan
  4. Thomas Sauti Plantan
  5. Hassan Machakaumo
  6. Chakulan

Wajerumani walikuwa na kawaida ya kuwasajili watoto wa askari waliokuwa
katika German Constabulary na wakiwapa majina ya Kijerumani kama Kleist
na Schneider.

Lakini wazazi wa watoto hao hawakuwa wanakubaliana na sheria hii na
wakawa na wao wanatoa majina ya Kiislam kuwapa watoto wao.

Ndiyo maana unaona Kleist jina alopewa na baba yake ni Abdallah,
Schneider akapewa jina la Abdillah nk. nk.
Basi hawa si Wenzetu kina Sykes hawatakiwi kuwadumisha... kwani mamluki tu ni Sawa na Mmarekani aendelee kusifiwa kwa kuwakomboa wa Afghanistan mikononi mwa Taleban.... au Historia ya Zanzibar na John Okello ukiwaambia hivyo wazanzibar kuwa chimbuko la uhuru wao ni Mkristo... Cha muhimu wabaki kama wao na si udini wao... maana kitu Islam ndio kinavuruga hali ya hewa..... maana baba yao ni Nyerere ambaye ni Mkristo... kila Shindani lina mshindi wake.... matokeo yalishatoka na hali ikatulia tatizo mnataka kutibua tu...
 
Yote hayo Nchi Ikatwaliwa na Mkristo safi sana hii na Waislam wakaendelea kuwa Down huku wakilalamika tokea miaka hiyo hadi Sasa na wataendelea huku hawafanyi juhudi kamilifu....
 
Kwa kiwango ulicho nacho nasikitika sana kwamba huna ruhusa ya kujadili bahari hiyo,

Hivi ati ndani ya biblia weye uliambulia kufahamu kitu gani?

Teh teh teh....!
Usinikimbie, nadhani ili twende sawa yafaa sasa tuanzie hapo,
Wewe ni Muislam wa Dhehebu gani? swali limekuwa Gumu? na kama hujijui ni bora uache hiyo dini ya wenyewe Waarabu..... au wewe ni Bohara unasali once per week kwa kufidia siku saba za week?

Kwa Taarifa kamili Waislam wa Tanzania 98% hawajijui ni kama wao ni Shia,Sunni,Ismailia au Bohora... wamebakia kushabikia kila
 
Back
Top Bottom