Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Teh teh teh teh!
Ohhh Ritz Ningekupa ushahidi lkn oooo utakataaa!
Oooo nyie washari...mimi mtoto mzuri.. wala situkani..nikisha kunywa damu ya bwana aaaaa mii kimya!!.. bla..bla...blaa!
Teh teh teh teh!
Leta ushahidi juu ya jukwaa hapa watu wakusome. Hayo mambo ya jikoni. Peleka jikoni!
Mwenzako andate ananitumia pm za matusi kama kwanya damu ya bwana ilio expire! Teh teh teh teh!
Halafu unasema sisi tuna matusi??na hatupendi kuambiwa ukweli??

We una ukweli gani unao ujua??

Nikuulize hapa! Je UNAJUA KUNA YESU ZAIDI YA MMOJA KWENYE HIO BIBLIA YAKO??
Na kuna watu wengine zaidi YA YESU WALIOITWA MIUNGU NA BIBLIA!!

Au ukweli huu pia ulikuwa huujui?

Usitumie zile tactics za jeshi la italy!

Wanamchungilia adui sio kwa lengo la kumshambulia!
Bali lengo lao ni kuweza kujificha zaidi!

Teh teh teh teh!.

[/Quote]
. mimi ulinitisha kwamba nakisea jina la Muhammad nikaomba rathi na sio kwa kukuogopa bali kwa kutambua nyie nduguzetu hamkawii kutoka na jambia kumkata mtu asiejua hata kinachoendelea. pia nilikuwa nataka kurudi kwenye kitu nachokipinga sana ambacho ni uongo weni kuwa dini yenu ya usilamu ni yaamani wakati duniani kote kunawaka moto sasa hivi kwasababu waisilamu wanauana wenyewe kwa wenyewe na kuuua watu wa dini nyingine.

....kwenye hadith ambazo Aisha mke wa Muhammad ananukuliwa akisema Muhammad alimlazimisha mke wa amnyonyeshe jibaba zima ambaye ni mtumwa wake ili mmewake asiwe na wivu wakiwa nyumbani na mtumwa wake bila kuzaa maushung. maana nyingine hata wewe kama unavaaa maushungi unaruhusiwa kuwa titi mibaba inayokuzunguka ili usizae maushungi yako kichwani. na inasemeka Aisha mke wa Muhammad alikuwa akinyonyesha wanaume mtaani kama njia ya kupata wanaume. na nikupe reference maana shehe/dr. ubwabwa kahtaan anaziulizaga

kasome
Sahih Muslim
Book 008, Number 3424 - 3428
Imam Malik's Muwatta
Book 30, Number 30.1.8' Book 30, Number 30.2.12, Book 30, Number 30.2.13, Book 30, Number 30.2.14
wewe ka google tu "Aisha Adult breast feeding" utaona story kibao

sasa ngoja turudi kwenye fundamental za dini yenu ya uislamu nilikuuliza kuwa Shia wana amini Ali ndiye alikuwa anatakiwa kumridhi muhamadi alipokufa. Tena Ali ndie alie alieandikwa kwenye kuruani zaidi. Ila watu walichakachua kuruani kufuta umuimu Ali. Je Nikweli?

naona wote mnaogopa kujibu swali kwa sababu wote munaogopana kwasababu wenyewe waislamu muna majibu tofauti. na mukitofautiana mnapigana mapanga. ilila mukijibu kihalali mtakuta ni kweli nyie waisamu mulianza kuuana wenyewe kwa wenyewe tokea Muhammad alipokufa. hata shia wanasema Muhammad aliuwawa na wakezake wawili(Aisha na ) pamoja na Abubakari na Omary ambao walimridhi Muhammad na ushaidi angalia link ya sheikh Yaser Al-Habib (Who killed the prophet Mohammad? - YouTube)

na kuna mtu mwingine tena ni sunni aliongelea hii issue Dr. Shabir Ally doctor wa kweli sio kama Dr. Ubwabwa Kahtaan .
Aliongelea mpaka issue ya kuchakachua kuruani (Why the Sunni-Shia Split? - Dr. Shabir Ally - YouTube)

kwa ujumla nyie niwagomvi. na umenza kuuana siku nyingi sana na musitudanganye dini yenu ni ya amani. Mtu kama Abubakar munamuona kama nimtu mkubwa wenye dini yenu amemuua Muhammad mwenyewe alafu akaja akamuua Mke wa Ali tena akiwa na mimba sijui mna alalisha vipi.

. uislamu unaitaji uwazi na reformation.
damu ya bwana ni kwaajili ya ondoleo la dhambi. hiyo ndiyo iondoayo dhambi ya ulimwengu.[\Quote]

jibu tuhuma hizi za cattle rustler.nime-highlight na kuzinukuu
 
Umeonesha kuwa ushashindwa siku utaniheshimu ukinifumania na Mama yako ulieacha kunyonya kwake...

We uliskia mi nashindana na mtoto wa kiume anaevaa shanga!
Teh teh teh teh!
We wala mi usinihofu!
Wa kuwaogopa ni hao wachumgwaji!
Wenye kuvizia watoto mororo na watanashati kama wewe!
Tena hasa wenye kupendelea mkorogo km ufanyavo ww!

😀😀😀😀
 
Wewe ni Muislam wa Dhehebu gani? swali limekuwa Gumu? na kama hujijui ni bora uache hiyo dini ya wenyewe Waarabu..... au wewe ni Bohara unasali once per week kwa kufidia siku saba za week?

Kwa Taarifa kamili Waislam wa Tanzania 98% hawajijui ni kama wao ni Shia,Sunni,Ismailia au Bohora... wamebakia kushabikia kila

Wewe mbona huelewi umeambiwa anzisha Uzi kuhusu uShia na Usuni upate kuelimishwa lakni umekuwa mgumu kuelewa sijui
 
We nilivyo kusoma lazima utakuwa ni mfanyakazi wa ndani wa hao wahindi!
Teh teh teh teh!

Manake mtoto wa kiume kuongelea puani si kawaida!

Kama nakuona vile. Umevaa na zile bangili na kipini cha pua kama mama raju!

Teh teh teh teh!😀😀😀
 
Naona najibizana na Kichaa... wacha nikuignore tu
 
Wewe mbona huelewi umeambiwa anzisha Uzi kuhusu uShia na Usuni upate kuelimishwa lakni umekuwa mgumu kuelewa sijui

na wewe kwa akili yako hilo swali dogo umeona ni la kuanzisha Thread? mimi nilichosema Waislam wa Tanganyika asilimia kubwa sana hamjijui ni Waislam wa Dhehebu lipi.... mnafuata upepo tu hata jehanam ndio hivyo hivyo njia yenu kuu... kwani mlishapumbazwa kitambo.... na mudy... ungekuwa na akili japo kidogo tu ungewasaidia wenzako humu ambao Mada kuu iliyozungumzwa humu wameiweka pembeni na kuja na za kwao.... umeona lakini umekaa kimya... umebakia kuwawekea maneno yako kwao...... Hufai kuwa mchambuzi kwani una chongo....
 
Maulana Dr Kahtaan,

Asaalam Alaykum,

Lazim pia tujikumbukushe yakuwa hawa misukule wa Chadema akili zao,Ilm zao,understanding/exposure zao,vyoote hivyo vipo very limited...yaani vichwa vyao ni uharo na utumbo mtupu.

Khalaf,wewe unakwenda kuwaulizia khabar za kina Alhaj Al Shabazz!? Kwi! Kwi! Kwi!...si unaona mwenyewe jinsi gani hata huyo "Yesu" wao kumbe pia hawamjui uzuri!? Kwi! Kwi!

Unajua mimi siku za mwanzo nilipoiingia humu Jf,pia nilikua naive kiduchu,nikawa natumia akili na maarifa mangi mno ati ku-argue nao au kuweka/kutumia mambo/Ilm kubwa mno...baada ya just a week, nikajagundua yakuwa kumbe jamaa woote ni wapuuzi,na mbwembwe tu ndo nyingi!

Bora ya yule Mag3,kiduchu ana "maarifa ya uzeeni" na ana afadhali kiduchu,japo hupenda kujitia hamnazo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi,sisi concern yetu wala si hawa wapuuzi waduchu waduchu,hasha!

Sisi huku tukiendelea kumsikiza Maalim Sheikh Mohamed Said,lakini pia nasi tunatoa darsa indirectly kwa Wanajamvi na Wasomaji wengineo lukuki ambao tunajua fika yakuwa wanaufuatilia huu mnakasha kwa kina!

Kwa kifupi,huu mnakasha wenyewe ndio reflection ya upumbavu na kutojua kwao mambo,yaani walikua wanajisifia mno mitaani na kutia mbwembwe nyingi ati wao ndo "Wasomi"!?...embu shuhudia jinsi hapa "tunavyowaacha uchi" kwenye kila angle!?

Mie nipo hapa kiduchu nachungulia yalojiri.

Nakutakieni W'end njema nyoote Insha Allah.

Ahsanta.

Cc;Chamviga,Ritz,Boko Haram,Wabara,THE BIG SHOW,Faizafoxy

Al habib akhyi gombesugu I am glad to see you my brother!
Leo asubuhi wallah ilikuwa ni raha tupu!
Alshariff Ritz alinipa rukhsa ya kuwatia adabu kidooogo hawa nguchiro!

Na bahati mbaya nilikuwa na mas uliya kiduchu nikapotea hewani kwa muda!
Lkn wametia adabu kidogo.
Teh teh teh teh!
Manake mpaka mzee wetu Mohamed Said came to the rescue to help them!

Yule mwenye elimu ya kata kuona jina la ALHAJI Malik ALSHABAZ! Akadhanni ni wale wauza kahawa pale mitaa ya kariakoo!

Na mimi pia nakutakia w/end yenye kheri na baraka zake Muumba!
Shukran.
 
Last edited by a moderator:

. mimi ulinitisha kwamba nakisea jina la Muhammad nikaomba rathi na sio kwa kukuogopa bali kwa kutambua nyie nduguzetu hamkawii kutoka na jambia kumkata mtu asiejua hata kinachoendelea. pia nilikuwa nataka kurudi kwenye kitu nachokipinga sana ambacho ni uongo weni kuwa dini yenu ya usilamu ni yaamani wakati duniani kote kunawaka moto sasa hivi kwasababu waisilamu wanauana wenyewe kwa wenyewe na kuuua watu wa dini nyingine.

....kwenye hadith ambazo Aisha mke wa Muhammad ananukuliwa akisema Muhammad alimlazimisha mke wa amnyonyeshe jibaba zima ambaye ni mtumwa wake ili mmewake asiwe na wivu wakiwa nyumbani na mtumwa wake bila kuzaa maushung. maana nyingine hata wewe kama unavaaa maushungi unaruhusiwa kuwa titi mibaba inayokuzunguka ili usizae maushungi yako kichwani. na inasemeka Aisha mke wa Muhammad alikuwa akinyonyesha wanaume mtaani kama njia ya kupata wanaume. na nikupe reference maana shehe/dr. ubwabwa kahtaan anaziulizaga

kasome
Sahih Muslim
Book 008, Number 3424 - 3428
Imam Malik’s Muwatta
Book 30, Number 30.1.8' Book 30, Number 30.2.12, Book 30, Number 30.2.13, Book 30, Number 30.2.14
wewe ka google tu "Aisha Adult breast feeding" utaona story kibao

sasa ngoja turudi kwenye fundamental za dini yenu ya uislamu nilikuuliza kuwa Shia wana amini Ali ndiye alikuwa anatakiwa kumridhi muhamadi alipokufa. Tena Ali ndie alie alieandikwa kwenye kuruani zaidi. Ila watu walichakachua kuruani kufuta umuimu Ali. Je Nikweli?

naona wote mnaogopa kujibu swali kwa sababu wote munaogopana kwasababu wenyewe waislamu muna majibu tofauti. na mukitofautiana mnapigana mapanga. ilila mukijibu kihalali mtakuta ni kweli nyie waisamu mulianza kuuana wenyewe kwa wenyewe tokea Muhammad alipokufa. hata shia wanasema Muhammad aliuwawa na wakezake wawili(Aisha na ) pamoja na Abubakari na Omary ambao walimridhi Muhammad na ushaidi angalia link ya sheikh Yaser Al-Habib (Who killed the prophet Mohammad? - YouTube)

na kuna mtu mwingine tena ni sunni aliongelea hii issue Dr. Shabir Ally doctor wa kweli sio kama Dr. Ubwabwa Kahtaan .
Aliongelea mpaka issue ya kuchakachua kuruani (Why the Sunni-Shia Split? - Dr. Shabir Ally - YouTube)

kwa ujumla nyie niwagomvi. na umenza kuuana siku nyingi sana na musitudanganye dini yenu ni ya amani. Mtu kama Abubakar munamuona kama nimtu mkubwa wenye dini yenu amemuua Muhammad mwenyewe alafu akaja akamuua Mke wa Ali tena akiwa na mimba sijui mna alalisha vipi.

. uislamu unaitaji uwazi na reformation.
damu ya bwana ni kwaajili ya ondoleo la dhambi. hiyo ndiyo iondoayo dhambi ya ulimwengu.[\Quote]

jibu tuhuma hizi za cattle rustler.nime-highlight na kuzinukuu
[/QUOTE]

Teh teh teh teh!
Kijana hizi unaweza kuziita ni TUHUMA?

Yaani mimi nikutafutie video kwenye youtube, halafu nikwambie wewe hebu nitafutie majibu kwenye hio video!
Nikishakupa hayo majibu. Si utaongeza video ingine!!
Sasa itakuwa mi kazi yangu ni kujibu mapovu ya watu!?
Ni sawa na mimi kukuletea ile video ya jamaa anadai kuwa yeye ndio yesu alitegemewa kurudi.!! Ukishajibu hio. Ninayo ingine kuna mmoja anadai yy ndie antichrist!
Sasa hapa tunaelimishana au tunajaribu kujibu video za watu!
I make it very clear!
Uislamu woote UMO NDANI YA QURAAN!
Sasa kama kuna mtu kakuta KUNA DOSARI KWENYE HIO QURAAN BASI ALETE HAPA! sio youtube videos!
Mimi siku zote nakuleteeni ANDIKO LINAVYOSEMA! SIO VIDEO FRM some stranger frm utube!
 
[/COLOR].
....kwenye hadith ambazo Aisha mke wa Muhammad ananukuliwa akisema Muhammad alimlazimisha mke wa amnyonyeshe jibaba zima ambaye ni mtumwa wake ili mmewake asiwe na wivu wakiwa nyumbani na mtumwa wake bila kuzaa maushung. maana nyingine hata wewe kama unavaaa maushungi unaruhusiwa kuwa titi mibaba inayokuzunguka ili usizae maushungi yako kichwani. na inasemeka Aisha mke wa Muhammad alikuwa akinyonyesha wanaume mtaani kama njia ya kupata wanaume. na nikupe reference maana shehe/dr. ubwabwa kahtaan anaziulizaga

kasome
Sahih Muslim
Book 008, Number 3424 - 3428
Imam Malik's Muwatta
Book 30, Number 30.1.8' Book 30, Number 30.2.12, Book 30, Number 30.2.13, Book 30, Number 30.2.14
wewe ka google tu "Aisha Adult breast feeding" utaona story kibao

sasa ngoja turudi kwenye fundamental za dini yenu ya uislamu nilikuuliza kuwa Shia wana amini Ali ndiye alikuwa anatakiwa kumridhi muhamadi alipokufa. Tena Ali ndie alie alieandikwa kwenye kuruani zaidi. Ila watu walichakachua kuruani kufuta umuimu Ali. Je Nikweli?

naona wote mnaogopa kujibu swali kwa sababu wote munaogopana kwasababu wenyewe waislamu muna majibu tofauti. na mukitofautiana mnapigana mapanga. ilila mukijibu kihalali mtakuta ni kweli nyie waisamu mulianza kuuana wenyewe kwa wenyewe tokea Muhammad alipokufa. hata shia wanasema Muhammad aliuwawa na wakezake wawili(Aisha na ) pamoja na Abubakari na Omary ambao walimridhi Muhammad na ushaidi angalia link ya sheikh Yaser Al-Habib (Who killed the prophet Mohammad? - YouTube)

na kuna mtu mwingine tena ni sunni aliongelea hii issue Dr. Shabir Ally doctor wa kweli sio kama Dr. Ubwabwa Kahtaan .
Aliongelea mpaka issue ya kuchakachua kuruani (Why the Sunni-Shia Split? - Dr. Shabir Ally - YouTube)

I make it very clear!
Uislamu woote UMO NDANI YA QURAAN!
Sasa kama kuna mtu kakuta KUNA DOSARI KWENYE HIO QURAAN BASI ALETE HAPA! sio youtube videos!
Mimi siku zote nakuleteeni ANDIKO LINAVYOSEMA! SIO VIDEO FRM some stranger frm utube!
mkuu i love the way you answered, unanipa picha kuwa quran uiaminiyo haina shaka. je unajua ya kuwa inazo hoja zinazobabaisha?????
pia mwenye mada ameweka reference(penye red), nipe validity ya hoja hii hapo, kwanza. bila kupanic nijue unaielewaje?
 
Wewe ni Muislam wa Dhehebu gani? swali limekuwa Gumu? na kama hujijui ni bora uache hiyo dini ya wenyewe Waarabu..... au wewe ni Bohara unasali once per week kwa kufidia siku saba za week?

Kwa Taarifa kamili Waislam wa Tanzania 98% hawajijui ni kama wao ni Shia,Sunni,Ismailia au Bohora... wamebakia kushabikia kila

Ewee mwabudu sanamu Hiyo takwimu 98% uliifanyia wapi? Wakati unakunya au upo kiroba? Siku zote huwa nakushauri achana na mambo usiyojajua we endelea na ile isuzu journey yako iliyopata ajali ili mkeo aweze kwenda saluni
 
Doctor kahtaan vipi akhui mbona unaniangusha, yaani unashindwa kuzijua tabia za huyu dada Mlaleo??? Usipate tabu angalia avatar yake mwone ALIVO BONG'OA! Inakuaje rijal kamil akaweka picha ya namba hiyo? "Kweli biashara matangazo"
 
Last edited by a moderator:
Ninaijua dar toka kabla makunguru ya zanzibar hayajaamia( literally and figuratively )

Unaijuwa Dar lakini unaishi viunga vya Dar. Na babuyo alikuwa wapi wakati watu wanapigania Uhuru wa Tanganyika, usiniambie Malawi.
 
Yote hayo Nchi Ikatwaliwa na Mkristo safi sana hii na Waislam wakaendelea kuwa Down huku wakilalamika tokea miaka hiyo hadi Sasa na wataendelea huku hawafanyi juhudi kamilifu....

We kiruka njia je! Unafahamu kuwa KTK HISTORIA YA HUU ULIMWENGU HAKUNA NCHI HATA MMOJA ILIYO TAWALIWA NA KIONGOZI MKRISTO NA AKAIONGOZA KWA KUFUATA BIBLIA??

WOOTE WALIOJIITA VIONGOZI WA UKRISTO WALIHUKUMU WANAVYOTAKA WAO!

LKN AS WE SPEAK KUNA NCHI KTK HUU ULIMWENGU AMBAZO ZINAENDESHWA KWA HUKUMU YA QURAAN 100%.

Kwa hiyo Hizo ndoto zako za nchi kutawaliwa na UKRISTO hazijawahi kutokea na wala HAZITOWEZA KUTOKEA!
Saana utaona wale wanaojiita Wakristo na wakati huo huo wanaoa wanamme wenzao!
 
mkuu i love the way you answered, unanipa picha kuwa quran uiaminiyo haina shaka. je unajua ya kuwa inazo hoja zinazobabaisha?????
pia mwenye mada ameweka reference(penye red), nipe validity ya hoja hii hapo, kwanza. bila kupanic nijue unaielewaje?

Nadhani narudia kukuelekeza lkn unajifanya huelewi!
Sasa kama huelewi itabidi unisamehe kwa sababu sina wakati wa kupoteza hapa!
I will say ONE LAST TIME!

UISLAMU ULIOKAMILIKA UKO NDANI YA QURAAN! FULL STOP.

Ukitaka kunionyesha DOSARI YYT JUU YA UISLAMU BASI LETA QUOTE AU QUOTES FROM QURAAN AMBAZO UNADHANI ZINA MAKOSA AU HITILAFU!

Usiniletee hapa shehe KANENA AU SHEHENA HENA!!
Manake Kuna viongozi wasio na idadi wa MAKANISA HAPA NILIPO WANAHALALISHA NDOA ZA JINSIA MOJA! lkn hujaona hata siku moja nayashabihisha matukio hayo na biblia!
Kwa sababu biblia imesema wazi kuhusu suala la ndoa ya jinsia moja kuwa ni marufuku!
Now if you want to discuss anything with me in regards to ISLAM, Then use QURAAN and NOTHING ELSE!!
 
Wickama unatoa hadithi ya nabii s.a.w inayosema kumsengenya nduguyo ni kama kula nyama yake!!

Nakakuuliza Nyerere ndugu yetu!?

Halafu hapa hakuna anaesengenywa hata kidogo!

Hapa kinachoongelewa ni historia.

Na kama kila kipande cha historia kinachohusu watu tofauti kinaitwa KUSENGENYA! basi hadithi zote zinazo elezea unafiki wa kina abujahal na wenzake ni KUSENGENYA!

Na zile zinazosema kuwa kuna baadhi ya maswahaba waliwakomboa watumwa kwa kuwanunua kwa pesa kadhaa, pia NI KUSENGENYA!

Na kusema mfanya biashara fulani kila ikifika ramadhani basi huwasaidia maskini wa mtaa fulani hela ya kula!
Kwa tafsiri yako PIA NI KUSENGENYA!

Tafadhali jaribu kusoma na kufahamu nini maana ya KUSENGENYA KWANZA!
Kabla ya kuja hapa kusema kuwa kule kusaidiwa kwa yule Adui wa haki chakula na sigara na tumbaku ni KUMSENGENYA!

Mafundisho yanatwambia;- ziko sadaka za aina mbili, ya siri na ya dhahiri!
NA ZOTE NI NZURI!
Ispokuwa ya siri ina daraja kidogo zaidi lkn haina maana ya dhahiri haifai!

Sasa kama yule Nyerere alisaidiwa na watu wakasema kwenye kuiweka sawa historia! Hio kwa msomi yyt wa dini atakwambia SIO KUSENGENYA!

NA kwa sababu umetumia hadithi kuwonya watu!
Na mimi nakukumbusha kuwa;-

Mtume wa Mungu s.a.w.anasema" mwenye kuji shabihisha na watu wa tabaka fulani. Basi na yeye ni mmoja wapo!
(Bukhari na muslim).

Sasa hao unaokaa nao na kutumia hekima zako kuwapambia na kujaribu kuficha uovu wao. Basi na wewe ni ktk wao!

Ahsanta.

Umesahau LALAMIKO NI KUWA NYERERE HAKULIPA FADHILA YA VITOWEO HIVI KWA LUTOA VYEO NA NAFASI KWA WAHUSIKA BILA KUONYESHA AHADI YA MTOAJI NA MPOKEAJI. SOMA HADITHI YA MAMA AISHA UONE KAMA NI HISTORIA (UFUPI WA MGENI.....) Mengineyo umejaza hisia zako na jazba. Mzee kasengenya, pata ujasiri wa kusema ndiyo.

AHSANTA
 
Last edited by a moderator:
Wewe mbona huelewi umeambiwa anzisha Uzi kuhusu uShia na Usuni upate kuelimishwa lakni umekuwa mgumu kuelewa sijui

Al akhiy mfumo nakupata kwa karibu sana,

Hao wagala wadhani hawajui ujinga ujinga waufanyao hapa?

Teh teh teh..!
pagumu hapo na wala hawathubutu, kilichobaki kwao ni kudhab dhaba tu,

Kwi kwi kwi....!
 
Wickama,
Naziona jitihada zako.

Utapata shida sana kwa hiyo njia ulochukua.
Haiwezi kuwa nyepesi hivyo.

Mzee MS;
Nashukuru kwa ushauri wako. Ila, i just don't believe it. Ushauri wangu ni kuwa refrain from sentences ambazo zinazaa bad responses. Remarks such as "poor you" are unhealthy when they come from the likes of you. Let others do it.
 
na wewe kwa akili yako hilo swali dogo umeona ni la kuanzisha Thread? mimi nilichosema Waislam wa Tanganyika asilimia kubwa sana hamjijui ni Waislam wa Dhehebu lipi.... mnafuata upepo tu hata jehanam ndio hivyo hivyo njia yenu kuu... kwani mlishapumbazwa kitambo.... na mudy... ungekuwa na akili japo kidogo tu ungewasaidia wenzako humu ambao Mada kuu iliyozungumzwa humu wameiweka pembeni na kuja na za kwao.... umeona lakini umekaa kimya... umebakia kuwawekea maneno yako kwao...... Hufai kuwa mchambuzi kwani una chongo....

Unasikitisha sana nakubali kwa vigezo vyako mimi Sina akili Lakin wewe mwenye akili unashindwa kujua kuwa biblia imechakachuliwa.! Hebu fuatilia posts za kahtaan uone jinsi aya za bible zinavyojichanganya.
 
Umesahau LALAMIKO NI KUWA NYERERE HAKULIPA FADHILA YA VITOWEO HIVI KWA LUTOA VYEO NA NAFASI KWA WAHUSIKA BILA KUONYESHA AHADI YA MTOAJI NA MPOKEAJI. SOMA HADITHI YA MAMA AISHA UONE KAMA NI HISTORIA (UFUPI WA MGENI.....) Mengineyo umejaza hisia zako na jazba. Mzee kasengenya, pata ujasiri wa kusema ndiyo.

AHSANTA
Wickama
Mimi na wewe kufahamiana inataka muda!
Kwa sasa ngoja tuishie hapa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom