Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Weye mgala
Sasa madhali wayataka hayo, na mwajitia Qur aan l kareem mmeisoma, nakutaka sasa tuanze na hapa katika aayaa t hizi,

Qur aan 2:10
2:26
2:99

Angalizo; utueleze bayana hizo hapo juu,

Na ukituletea ujahali wako wa kuruka ruka kama kuku alochinjwa kigala, kwa niaba ya mashaayikh zangu,
Nitawaomba tuachane na tabu zako,

Sie katika dini yetu ilonyooka imetufunza namna ya kujadili na kubwa zaidi katika hilo subra mipaka yake ni wapi,

Nimekugeiyeni homework hakuna kulala, asubuhi nitakujieni,

Na si kutuambia sehe kasema sehe kasema, hayo ya sehe kasema yawache hukohiko kwenye makanisa yenu,

Hapa sie ni M/Mungu kasema, Mtume kasema,

Hapo najua mmepawaganyika sana kupita ada zenu,

Nakusubirini.

Ulichandika hata sheikh wako akisoma hatoelewa.... naona watu wengine wakishikwa wanawehuka...

Wewe ni Sunni, Shia, Ismailia au Bohora?

Sikujua kumbe mtume wenu alinyweshwa Sumu? pengine alichukua mke wa mtu... na laana ya kuchukua mke wa mtu hamkosi mlaji
 
Teh teh teh naona katoa picha ya matangazo yake ya 0713. We Mlaleo vipi we kichenchede rudisha hiyo picha kuna MASHABABI walikua wanaskia rahaaaaaaa wakiona ile avatar yako

teh teh teh teh kwi kwi kwi kwiii!

maalim faby mbavu zangu zinauma haki ya nani vile!!
 
Last edited by a moderator:
we nyau unataka kuwafundisha mods kazim sio! we kakojoe ulale huna llt la maana!

avatar utoe mwenyewe halafu uwasingizie mods! tena hii tabia ya kusema uongo unaweza kulambwa ban ya nguvu!

Waungwana huongea kwa USHAHIDI na kina dada wa jikoni WAO NI DOMO TUPU!

Sasa labda nikuulize mlalaleo leo unapika nini??

teh teh teh teh !
Si uwaulize Mod wenyewe tu... Mkuu nikuache sisi huwa tunasamehe na kusahau mabaya.... tuendelee kuheshimiana... mada ya hii thread na majibizano ya humu ni tofauti sana... hii nchi si ya kidini ukombozi umeletwa na Watanganyika....
 
KILAZA!! Hutochangia kwa sababu huna la kuchangia,
kila unacho kiandika hapa ni utumbo mtupu!!

eti Vatican na uingereza ni nchi za kikristo!! teh teh teh teh!

basi kwa taarifa yako HAO NDIO VIONGOZI WA ULIBERARI DUNIANI! NA USHAHIDI NIMEKUWEKEA, SIO HAYO maneno yako ya kwenye vibaraza vya chadema!!

Na hizo jazba zakoni dalili ya uliberali!

Chunga makalio hayo! teh teh teh teh

kama unakataa sio nchi za kidini weka ushahidi wa kupinga hilo jambo na sio kubwabwaja... Usiku mwema
 
Ulichandika hata sheikh wako akisoma hatoelewa.... naona watu wengine wakishikwa wanawehuka...

Wewe ni Sunni, Shia, Ismailia au Bohora?

Sikujua kumbe mtume wenu alinyweshwa Sumu? pengine alichukua mke wa mtu... na laana ya kuchukua mke wa mtu hamkosi mlaji

vipi utaelewa lugha za kisomi?? al haji wabara anatumia lugha ghali sana kukufikishia wewe mgalatia ujumbe! hizi lugha zinakwenda na halua na vyakula laini laini! we umekula mihogo na kitimoto toka umezali! wapi utafahamu lugha za waungwana!!
teh teh teh teh teh!

Halafu eti nyie wagalatia mnajidanganya kuwa ILI KUKOLEZA HIZO IBADA ZENU, BASI LZM MUONGEE KISWAHILI KWA LAFIDHI YA KIINGEREZA!! salamu mnaanza nan"HAMUJAMBO BWAANA!" kama yule mtume wenu kwenye agape tv!

teh teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
kama unakataa sio nchi za kidini weka ushahidi wa kupinga hilo jambo na sio kubwabwaja... Usiku mwema

nakuwekea link hapa! soma mwenyewe!!

Vatican Sex Scandal

Pope Sexual Abuse Scandal News, Photos and Videos - ABC News

_65557958_65557953.jpg

Same-sex marriage becomes law in England and Wales
Men exchange wedding rings Gay couples are expected to be able to marry next year Continue reading the main story
Related Stories
Peers approve gay marriage bill
Peers urge gay marriage safeguards
House of Lords backs gay marriages

Same-sex couples will be able to get married in England and Wales after new measures became law.

The government's controversial legislation on the issue received Royal Assent on Wednesday.

The Conservative, Labour and Liberal Democrat leaderships all backed the proposals, which were finally approved by MPs and peers earlier this week.

It is expected that the first gay and lesbian wedding ceremonies will take place by summer next year.

Under the terms of the the Marriage (Same Sex Couples) Bill, religious organisations will have to "opt in" to offering weddings, with the Church of England and Church in Wales being banned in law from doing so.

Commons Speaker John Bercow announced the bill had received Royal Assent - the formal approval of the sovereign required for all legislation. The news was greeted with cheers in the Commons chamber.

'Bulldozed'

MPs decided not to oppose a number of minor changes agreed by the House of Lords and approved the legislation on Tuesday.

There will also be a review of whether groups such as the humanists will be allowed to carry out marriages, while ministers said they were prepared to look at eliminating any difference in the treatment of gay couples when it came to pension schemes.

During the Commons debate, Equalities Minister Maria Miller said the passing of the bill was "clear affirmation" that "respect for each and every person is paramount, regardless of age, religion, gender, ethnicity or sexuality", she added.

But Conservative MP Sir Gerald Howarth, one of the bill's opponents, said it was "astonishing that a bill for which there is absolutely no mandate, against which a majority of Conservatives voted, has been bulldozed through both Houses".

He added: "I think the government should think very carefully in future if they want the support of these benches. Offending large swathes of the Conservative Party is not a good way of going about it."

But Paul Parker, recording clerk for Quakers in Britain, said: "It's wonderful to see same-sex marriage achieve legal recognition. Quakers see the light of God in everyone so we respect the inherent worth of each individual and each loving relationship."
 
We unayajua matusi wewe?? Hapa mi ninachofanya ni kukumbusha tu pale unapojisahau!
Matusi makubwa ni yake ya kumvisha nepi mungu mzungu! Na kumchongea sanamu lake, halafu kuliweka nyumbani kwako UKALIABUDU! na hio haikutosha!
Mkaamua kuchonga kale ka mini jesus mnakokaita MSALABA MKAUVAA SHINGONI! eti mnakumbuka kifo cha mungu!!

Yaani we baba andate auwawe na bastola tena apigwe risasi kila sehemu ya mwili! Halafu we andate kwa sababu UNAMPENDA SANA, UKAAMUA KUCHONGA KABASTOLA KADOGO UKAKAVAA SHINGONI KUKUMBUKA KIFO CHAKE!!

Hakuna matusi zaidi ya hayo! Na ayafanyayo ni wewe na wagalatia wenzako!

Unajua hivi visa vyenu ukimuadithia mtu asiye wajua nyie! Anaweza kudhani mimi 100% MUONGO!
Amma kweli bora ukose vyoote duniani lkn akili uwe nazo!
Wewe mkashifu tu huyo Jesus, siku akirudi jiandae cha kumueleza.
Tatizo hujui kuwa kuna wakristo wanaosema Jesus ni Mungu na pia kuna wakristo ambao hawasemi Jesus ni Mungu.
Wewe mkashifu huyo Jesus, hebu angalia masheikh wako wanasemaje kuhusu Jesus

If Mohammed
 
Mimi sijamkashifu Yesu mwana wa maria HATA SIKU MOJA!
as matter fact Yesu/issa ni mmoj ktk manabii wangu! Na sijawa muislamu kamili mpaka NIMKUBALI YESU/ISSA MTOTO WA MARIAM AMBAE NI NABII NA MTUME WA MUNGU!

Hapa na Siku zote ninaemu mkashifu ni yule MZUNGU ALIVAA NEPI MSALABANI!
NA YULE MZUNGU MNAE MUABUDU KWENYE ZILE PICHA.

Mtizame hapa uone balaa yake;-

Teh teh teh teh!

Watch "JESUS RETURNS (Official sequel to Jesus Will Survive)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=u6B1D0oyBK8&feature=youtube_gdata_player

Halafu kwa sababu umesema mwenyewe! Na huenda mi nikawa nakudhani vibaya bure!

Nakuuliza swali muhimi sana hapa.

JE WEWE andate UNASEMA YESU/ISSA NI MUNGU? AU NI NABII NA MTUME WA MUNGU??

Manake huenda mimi na wewe tunaimani MOJA juu ya YESU MWANA WA MARIA.

Hebu nijibu hapo!
Thank you.
 
Kama kuna sehemu kwenye Bible especially Injili/Gospel inayosema Jesus ni GOD ALMIGHTY yes naamini Jesus ni Mungu. So far bado sijaona sehemu kwenye Gospel ambapo Jesus alisema yeye ni Mungu.
 
andate nakusubiri utoe jibu!
Manake huenda hilo jina lako lilikuwa juma au muhiddin zamani!
Basi tu mfumo kristo ukalichakachua!!
Hebu fanya fasta! Manake nataka kuanza kufungua mikoba yangu hapa!
Sasa pale uliposema "wengine wanaamini kuwa YESU SIO MUNGU:
Umesababisha ni Stop kwanza!!

Na km nilivyosema ""huenda ikawa nagombana na my brother from another mother! "
Ukizidi kuchelewa utanifanya nianze kufuangua haya makablasha yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna sehemu kwenye Bible especially Injili/Gospel inayosema Jesus ni GOD ALMIGHTY yes naamini Jesus ni Mungu. So far bado sijaona sehemu kwenye Gospel ambapo Jesus alisema yeye ni Mungu.

Then andate first thing I want to say is I AM SORRY FOR NOT UNDERSTANDING YOU WELL!
MI nilikuwa nadhani wewe ni miongoni mwa wale wanaoabudu MTU badala ya MUNGU MMOJA!
By saying that JESUS IS NOT GOD NOR A SON OF GOD, mimi tayari ni NDUGU YAKO LABDA MAMA ZETU TU TOFAUTI!
teh teh teh teh teh!

From now on IF YOU REMAIN WITH THAT BELIEVE I WILL TREAT YOU LIKE A BROTHER!

I want miss King'asti to see this, THAT I HAVE CALLED YOU "NDUGU YANGU" Na sababu kuu ni kuwa UNAAMINI NINACHO AMINI! and I welcome you to Detroit! if you ever pop up in this side of the planet!

Peace bro!!
 
Last edited by a moderator:
Dio nyie mnaopenda kutumia majina ya babu zenu na baba zenu kuliazimisha kufanikiwa kimaisha mkizani ni haki yenu. Wakati hata uwezo wenu ni ndogo na hamjitumi kisa baba au babu alikuwa mtu fulani. Najinsi unavyoandika kiswaili inaonekanw wewe ni kunguru wa zanzibar

Nna uhakika swali umelielewa, hivi babuyo alikuwa wapi wakati babu zetu wanapigania Uhuru wa Tanaganyika? Tafadhali usituambie Malawi.

Unaona soni ipi kutueleza ya babuyo au unaichukia nasaba yako?
 
Si uwaulize Mod wenyewe tu... Mkuu nikuache sisi huwa tunasamehe na kusahau mabaya.... tuendelee kuheshimiana... mada ya hii thread na majibizano ya humu ni tofauti sana... hii nchi si ya kidini ukombozi umeletwa na Watanganyika....

Kipi kinachokushinda kuelewa kuwa watu wanadini zao hapa na walikuwa nazo kabla. Unataka basi kusiwe na historia ya hao wenye dini kwenye nchi? Hata Nyerere kaandikwa sana kuwa ni mkatoliki mzuri sana.

Jee, unaweza kutueleza ni kwanini Rais aliyeiongoza nchi isiyo na dini kwa zaidi ya miaka 24 leo atake kupewa utukufu (sainthood) na wakatoliki?
 
Nna uhakika swali umelielewa, hivi babuyo alikuwa wapi wakati babu zetu wanapigania Uhuru wa Tanaganyika? Tafadhali usituambie Malawi.

Unaona soni ipi kutueleza ya babuyo au unaichukia nasaba yako?

Umenikumbusha mbali kwa kuniuliza kama naona soni. Nikikutajia jina la familia yangu utapata jibu maana inajulikana. Ila tabia ya kujisifu kwakutumia jina la baba au babu yako naona nidalili ya uzaifu. Ila ushauri wangu ni mdogo. Acha tabia ya kushambulia dini za watu wengine kwa sababu dini zote zinavitu vya ajabu. Ndio maana nimejifunza kuthamini dini za kiafrika hata kama zina mambo ya kutambika. Ushauri wa bure kama unadini yako basi hilo nilako private. Ila kama unataka kuja uku jf basi uwe tayari kukosolewa na nime kupa mfano wa Adult breast feeding na nikaweka na reference alafu unajifanya ujaona. Bora ukabila kuliko udini
 
Sikieni nyie madada faby na kahtaan mwaelekea hamjapata kidume kama mimi niwe nawatuliza mizuka yenu... kama avatar ndio inaonesha mtu alivyo basi pole huyo ni mimi nikiwa nashangaa bustani yangu mti unaonesha muislam akiswali... na kama wewe umepata picha kuwa ni biashara basi nitakuwa napita kwenye misikiti yenu nione aliye bong'oa vizuri kama atanifaa.... umeandika hivyo huku hujui nitajibu vipi... mimi ni mkali wenu waislam.... wacha na kina FaizaFoxy na Mwenzie CHAMVIGA waje watoe Like na hii.... Muhahahahaha Ukipita karibu na Misikiti kuna harufu huwa inatoka ya vishuzi.... na ukitizama watu ndio hivyo wamebong'oa

Dah! Umeamua kutusi kabisa? Ok najua yote haya ni sababu ya ujinga mimi sikulaumu.
 
Last edited by a moderator:
sitaki muanze mambo yenu ya nani achinje nani asichinje hapa....walofanya walifanya tunawashukuru kama watahitaji kutambuliwa na kulipwa kama MAUMAU basi waende "mahakamani"

Hekima ni kusema kwakua unalo la kusema lkn sii kwakuwa unayofursa tu. Umeisoma vizuri maada?
 
Mohamed Said
Nimejaribu kukumbusha kuwa hawa vijana wanapokwenda si pazuri jaribu kuwarudisha katika mstari.
Ingawa nimeambiwa nakimbilia kulia kwako mimi sitasita kusema kwasababu huenda wanakusikia vema.
Imefika mahali ni kashfa za dini, na cha kusitikitisha kashfa hizo zimeaanza kuwarudi wenyewe.

Namsoma Khataan akiwatukana mashia kwa vilemba na majina kama Khomeni.
Huko nyuma ni vijana hawa hawa wamesema hakuna anayeruhusiwa umuondoa mtu katika Uislam wake.
Wakasema hata Bakwata ni waislam na hakuna anayeweza kuwaondoa huko.
Sasa inakuwaje hawa kina Khataan wanaanza kuwaondoa Shia katika Uislam?je si double standard

Pili, khataan kasema huu ni mnaksha wa kisiasa si wa kidini.
Lakini ni Khataan huyo huyo ametumia dini kuwatukana watu wa imani zingine.
Sasa Mzee Said hapa kweli kuna linaloeleweka?

Labda utufahamishe inakuwaje huu mnakasha unakuwa wa kisiasa kwa nyakati fulani na wa dini za kutukana imani nyingine na hata madhehebu mengine kwa wakati mwingine.

Tatu, kama Khataan anaona mama Aisha kutukanwa inamuuma sana vipi ana hisi maumivu ya donda la kuwatukana wakristo? Je Khataan haoni maumivu ya donda hilo ndiyo maumivu ya matusi yake kwa Wakristo?

Na ni wapi kwa mujibu wa imani imeruhusiwa kutukana watu wa imani nyingine?
Wapi imeelezwa kuwa tusi kwa mama Aisha ni baya zaidi kuliko tusi kwa mtu mwingine au nabii mwingine?

Mzee Said je hapa huoni vijana wamepindukia na sasa imefikia mahali wanazungumza hata kisicho cha dini na je huo si uhalifu!

Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali kwa kuniuliza kama naona soni. Nikikutajia jina la familia yangu utapata jibu maana inajulikana. Ila tabia ya kujisifu kwakutumia jina la baba au babu yako naona nidalili ya uzaifu. Ila ushauri wangu ni mdogo. Acha tabia ya kushambulia dini za watu wengine kwa sababu dini zote zinavitu vya ajabu. Ndio maana nimejifunza kuthamini dini za kiafrika hata kama zina mambo ya kutambika. Ushauri wa bure kama unadini yako basi hilo nilako private. Ila kama unataka kuja uku jf basi uwe tayari kukosolewa na nime kupa mfano wa Adult breast feeding na nikaweka na reference alafu unajifanya ujaona. Bora ukabila kuliko udini

we Khomeini huna ulijualo wewe,
unatoa vitisho lkn kumalizia huwezi!
taja huo ukoo wako basi tukusome hapa! longalonga waachie walevi!! na kujisifu kuwa unathamini huko kutambika kwako ni dalili za ufinyu wa elimu! WATU WENYE IMANI KAMA HIZO NDIO WALE WANACHUNA NGOZI WATU ILI WATAJIRIKE HARAKA!!

Huwezi kuja kwenye thread ya waungwana ukasifia utumbo ukitegemea watu wakae kimya!!

adult breast feed my foot!! unaandika mapovu halafu unayaita REFERENCE?????

Mnfnsssssssssssssssss!
 
Mohamed Said
Nimejaribu kukumbusha kuwa hawa vijana wanapokwenda si pazuri jaribu kuwarudisha katika mstari.
Ingawa nimeambiwa nakimbilia kulia kwako mimi sitasita kusema kwasababu huenda wanakusikia vema.
Imefika mahali ni kashfa za dini, na cha kusitikitisha kashfa hizo zimeaanza kuwarudi wenyewe.

Namsoma Khataan akiwatukana mashia kwa vilemba na majina kama Khomeni.
Huko nyuma ni vijana hawa hawa wamesema hakuna anayeruhusiwa umuondoa mtu katika Uislam wake.
Wakasema hata Bakwata ni waislam na hakuna anayeweza kuwaondoa huko.
Sasa inakuwaje hawa kina Khataan wanaanza kuwaondoa Shia katika Uislam?je si double standard

Pili, khataan kasema huu ni mnaksha wa kisiasa si wa kidini.
Lakini ni Khataan huyo huyo ametumia dini kuwatukana watu wa imani zingine.
Sasa Mzee Said hapa kweli kuna linaloeleweka?

Labda utufahamishe inakuwaje huu mnakasha unakuwa wa kisiasa kwa nyakati fulani na wa dini za kutukana imani nyingine na hata madhehebu mengine kwa wakati mwingine.

Tatu, kama Khataan anaona mama Aisha kutukanwa inamuuma sana vipi ana hisi maumivu ya donda la kuwatukana wakristo? Je Khataan haoni maumivu ya donda hilo ndiyo maumivu ya matusi yake kwa Wakristo?

Na ni wapi kwa mujibu wa imani imeruhusiwa kutukana watu wa imani nyingine?
Wapi imeelezwa kuwa tusi kwa mama Aisha ni baya zaidi kuliko tusi kwa mtu mwingine au nabii mwingine?

Mzee Said je hapa huoni vijana wamepindukia na sasa imefikia mahali wanazungumza hata kisicho cha dini na je huo si uhalifu!

Ungekuwa una lengo zuri la kutuliza gasia unge balance kwenye suala hili kwakuwa matusi yanatolewa pia kutukana uislamu na sioni makemeo yako. Kukimbilia kwa mzee Mohamed Said ni kuonyesha wewe biased na unajenga hoja yako kinafiki. Matusi ulianza wewe kuwatukana waislamu kama tulivyokuonya huko nyuma, sasa maji yakizidi unga unalialia. Sipendi huu mnakasha kuwa wa kidini ndio maana nikawanajitahidi hata kuhoji masuala ya kihistoria lakini kwa makusudi vijana wako wanaleta habari za dini sasa wewe ungetegemea nini? Halafu tunapojadili mambo ya waislamu tafadhali usichanganye na kuwavesha uislamu wayahudi/wakristo kisa wanavaa kanzu na majoho kama wale mapadri kanisani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom