Wewe kusema kuwa eti kuwaona alshababu wakiua huku wakimsifu mungu kukakufanya wewe uamini kuwa UISLAMU NDIO UNAO AMRISHA HIVYO!
Ni sawa na kuona wale majambazi hapo nchi wakiu watu na kudhulumu wengine halafu ukasema SERIKALI YA TANZANIA NDIVYO INAVYORUHUSU WATU WAKE WAFANYE HIVYO!
Huo mi ujinga kupita kiasi!
Wewe kama umekwenda shule UNGETIZAMA NDANI YA KITABU CHA HAO WAISLAMU UKAONA JE! KUNA SEHEMU HUYO MUNGU WA WAISLAMU KAWAPA RUKHSA YA KUUA OVYO!?
Na kumbuka sisi waislamu sio kama nyinyi! Amri ya KUPIGANA NA KUJITETEA TUNAYO! Na atakaye kuja kutupiga na kutudhulumu haki zetu TUMEPEWA RUKHSA YA KUJITETEA! NA KIPIGANA,
Ule upuuzi wa "akupigae la kushoto mpe la kulia kaeni nao nyie ambao ni waongo wakubwa! Leo hii DUNIA watengeneza silaha za maangamizo wanaongozwa na KIONGOZI WA KIGALATIA!
Yalaiti kama hao makafiri wasingekuwa wanatengeneza hizo silaha leo ulimwengu ungepua idadi ya watu wanaokufa!
Na Kuhusiana na suala ya Yesu kutokuwa na baba ndio kunako kufanya wewe UMUITE MUNGU!
Nimekupa mfano wa MTU ASIYE NA BABA WALA MAMA! AITWAE "ADAM"!
Mbona huyo humuiti MUNGU??
Na kuhusu UWEZO WA KUFUFUA WAFU!
Unashangaa Yesu kufufua/kuhuisha wafu?
Ikiwa kwa sababu ya kufufua wafu hawaitwi miungu, basi Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu.
-Biblia inasema:
1. Elisha alifufua mtoto aliyefariki.
(2 Wafalme 4:35).
2. Maiti alifufuka kwa kuguswa na mifupa ya Elisha. (2 Wafalme 13:3:21).
3. Ezekiel alifufua jeshi kubwa. (Ezekiel 37:10)
MBONA ELISHA NA EZEKIELI HUWAITI MIUNGU!??
Na kama suala la YESU KUITWA MWANA WA MUNGU!
Andiko linasema;-
Luka anatusimulia katika Injili yake alivyohubiri Yesu:
Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru na waovu.
Luka 6.35
Hapo twaona Yesu anawaambia wafwasi wake kuwa katika malipo ya watendao mema na kuwapenda maadui zao ni kuwa watakuwa "WANA WA ALIYE JUU" yaani Mwenyezi Mungu.
Katika Injili ya Mathayo Yesu anasema:-Heri wapatanishi;
-Maana hao wataitwa WANA WA MUNGU.
Mathayo 5.9
Hapo
2013 unaona kuwa Kwa mujibu wa ANDIKO HATA WEWE NA HITLER NA USAMA BIN LADEN WOOTE NI WANA WA.MUNGU!!
SASA wacha hao wana wa mungu!
Kuna MTU KAITWA MUNGU NDANI YA BIBLIA LKN NYIE HAMUMUITI MUNGU! KWA NINI??
Hebu soma ANDIKO HAPA CHINI:-
Naye (Haruni) atakuwa msemaji wako kwa watu, hata yeye atakuwa mfano wa kinywa kwako, nawe (Musa) utakuwa mfano wa MUNGU kwake.
Kutoka 4.16
Angalia tena isemavyo Zaburi:
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
Zaburi 82.6
Sasa hapa tunaona wazi kabisa kuwa HAMNA SABABU YYT YA MAANA YA NYIE KUAMUA KUMUITA YESU MUNGU.
MMEAMUA TU KWA UJINGA ALIOKULETEENI PAULO! LKN ANDIKO LIKO WAAZI KABISA!
Halafu mkiletewa maandiki namna hii mnakimbilia kusema"Ahh hapo bwana
kahtaan hujaelewa! "
Sasa mimi siandiki KICHINA HAPA! NA KM WEWE UNAFAHAMU KISWAHILI NA MIMI PIA NAJUA!
Sasa wacheni kumsingizia YESU KITU AMBACHO HAJASEMA!
Mtakufa MAKAFIRI! NA HII NI HATARI MNO!