PromiseLand
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 298
- 413
Kwa hiyo wanawake wanajipendekeza kwenye dino maana hawaahidiwi chochote?FaizaFoxy hivi kwa wanawake wakifika huko akhera wao watafaidika na nini? au ndo watakuwa wanatolewa kama zawadi kwa wanaume???????????????????????????????? hatari sana. mimi kwa kweli hizi zawadi nazitaka sana.... ni kupiga mashine usiku mchana.......nachagua watoto wakali. akina Jagina na warembo wengine....piga sana mashine. makafir lazima yaone wivu kwa kweli.