Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Ni kiazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko hv,Wanawake wa kiislamu wao wameahidiwa nini?
Mambo Jambo. Stori za kuunga unga.Iko hv,
Peponi Kuna wanawake wa sampuli mbili
1.wanawake walioumbwa wao wapo peponi wakisubir waumini watakaofaulu ili waolewe nao ndo hao mabikra ambao hawajawah guswa na mwanaume yeyote Wala kuonekana.
2wanawake ambao tulioishi nao duniani ,hawa wao ambaye atafanikiwa kuingia peponi ataubwa kwa umbo jengne lisilo kuwa Hili Kias kwamba hamna kubleed Wala Aina yoyote ya uchafu, na wataolewa na wanaume wa peponi au Kama mke na mume watafanikiwa kuingia peponi Basi watabaki kuwa mke na mume milele.
NB:1.sisi waislamu tunaamini dunia Ni gereza ambalo typo ili kufanya matendo mema tuu ili tukifa ndo tukaishi, na huwa nashangaa mtu Anastaajabu eti peponi watu wanafanya tendo ? Ndivyo maana ndo sehemu ilowekwa kwa ajili ya starehe na maisha ya milele,
Kama wew unaamini umeumbwa upate tabu duniani na huko pia upate tabu duuh pole Sana.
2.chochote unachosikia kuhusu pepo jua Ni vtu havijawahi kuonekana Wala kuskika kwahyo usivitafakari kwa upeo mdog wa akili yako.
Lengo la ngono ni kuzaa, sasa si unaona kabisa it doesn’t make sense?Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
View attachment 2961527
View attachment 2961522
Utawakuta peponi utawala mpaka uchoke.Duuuuh! Jaman ila kusema ukweli mimi naona wanawake wakiyahudi ni warembo sana huwa nawatizama wale wanajeshi wao wakike halooo!
Duh, na wewe unaamini kabisa huu ugoro, huu ujinga mnaopata kutoka Ngano za kale umeharibu kabisa akili zenuIko hv,
Peponi Kuna wanawake wa sampuli mbili
1.wanawake walioumbwa wao wapo peponi wakisubir waumini watakaofaulu ili waolewe nao ndo hao mabikra ambao hawajawah guswa na mwanaume yeyote Wala kuonekana.
2wanawake ambao tulioishi nao duniani ,hawa wao ambaye atafanikiwa kuingia peponi ataubwa kwa umbo jengne lisilo kuwa Hili Kias kwamba hamna kubleed Wala Aina yoyote ya uchafu, na wataolewa na wanaume wa peponi au Kama mke na mume watafanikiwa kuingia peponi Basi watabaki kuwa mke na mume milele.
NB:1.sisi waislamu tunaamini dunia Ni gereza ambalo typo ili kufanya matendo mema tuu ili tukifa ndo tukaishi, na huwa nashangaa mtu Anastaajabu eti peponi watu wanafanya tendo ? Ndivyo maana ndo sehemu ilowekwa kwa ajili ya starehe na maisha ya milele,
Kama wew unaamini umeumbwa upate tabu duniani na huko pia upate tabu duuh pole Sana.
2.chochote unachosikia kuhusu pepo jua Ni vtu havijawahi kuonekana Wala kuskika kwahyo usivitafakari kwa upeo mdog wa akili yako.
na hawa kina FaizaFoxy wao watapata nini sasa, au watapata mabaunsa 72 nao wawashughulikie everyday? tuambieni. imagine, unaambiwa utende mema ili ukapate wanawake wa kuwalala, na wewe unamwamini huyo mtu aliyeleta hiyo dini.Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
View attachment 2961527
View attachment 2961522