MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Mpaka leo hii Kenya inaendelea kubagua, kunyanyapaa na kunyanyasa maelfu ya raia wake wenye asili ya Nubia hadi kupelekea serikali kukataa kuwapa watoto uraia punde wanapozaliwa, ili wakiwa wakubwa washindwe kufurahia haki zao za msingi kama watoto wa Luo na Kikuyu. Aina hii ya ujuha huwezi kuukuta kabisa hata Somalia.
Hayo unayoyataja hayafanywi na dini, ni mambo ya sera za nchi kama ambavyo Tanzania iliwahi kufukuza Wanyarwanda wazawa sijui kule Kagera....wengine walikua wameishi zaidi ya miaka 45
Lakini hili la nyie kujilipua kwa weusi wenzenu kisa mwarabu mnayemuabudu ni ujuha sana...tena waarabu wanawachukia sana weusi.