ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Aliamua kuisimamia bajaj yake akamtimua kijana dereva aliyemwajiri ambae aliona alikua akimwibia tu.. ikabidi aendeshe mwenyewe kwa muda,mungu si athumani hili ndio limetokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliamua kuisimamia bajaj yake akamtimua kijana dereva aliyemwajiri ambae aliona alikua akimwibia tu.. ikabidi aendeshe mwenyewe kwa muda,mungu si athumani hili ndio limetokea
Ongeza 10 ndio utapata umri wake.Anaonekana ni mzee kupita umri wake
Difaa ina kipi cha kumfikia Simba?Mchezaji mzuri anaweza kutoka Simba kwenda Difaa el jadida ,, kinyume chake ni big no
Maswali ya ki wackyDifaa ina kipi cha kumfikia Simba?
Tatizo mchezaji hajacheza msimu msimu wa 2022/23. Mwezi ujao anafunga mwaka mzima bila kuchezaShida moja ipo kwa wengi,mnaendekeza dharau na ujuaji mwingi,ukiangalia 80% ya wachezaji wanaofanya vizuri walisajiliwa kawaida bila mbwembwe wamefanya vizuri,tena wengine kwa mkopo hebu tuwe tunatoa nafasi kabla ya kusema hapa hakuna mchezaji.
Hajacheza huko,Ila atacheza huku,alafu usikariri vitu vidogo,mfano Ngolo Kanye,ama Pogba hawajacheza karibu mwaka sasa je wakisajiliwa na timu nyingine utasema sio WACHEZAJI?Tatizo mchezaji hajacheza msimu msimu wa 2022/23. Mwezi ujao anafunga mwaka mzima bila kucheza
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sawa dogoSawa dogo
Siyo Junior Lokossa kweli huyu? Au ni Chikwende!! 😃Nmejikuta namkumbuka huyu jamaaView attachment 2481421
Lokasa ya mbongoSiyo Junior Lokossa kweli huyu? Au ni Chikwende!! [emoji2]
This is SIMBA[emoji7]View attachment 2481410
timu atokayo ni Difaâ El Jadida
Morocco.
Umri: Feb 28, 1996 (26)
Uraia: Burkina Faso
Nafasi: kiungo mkabaji
DuhTatizo mchezaji hajacheza msimu msimu wa 2022/23. Mwezi ujao anafunga mwaka mzima bila kucheza
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kwani amekatika miguu baada ya hapo??Klabu alizopita kiungo mpya wa klabu ya Simba, Ismael Sawadogo (26) [emoji1059]
2021-23 = [emoji1173] Difaa El Jadida
2020-21 = [emoji1093] Enppi SC
2019-20 = [emoji1211] As Douanes
2019-20 = [emoji1142] Al-arabi SC
2018-19 = [emoji1059] US Ouagadougou
2017-18 = [emoji1059] Salitas
2017-18 = [emoji1146] Al Mabarra club
2017-16 = [emoji1059] RC Kadiogo
Currently performance !
Difaa El Jadida msimu huu 2022/23 mpaka sasa wamecheza michezo (12) [emoji1173]
[emoji153] 00 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 00 - Dakika alizocheza
Difaa El Jadida msimu uliopita 2021/22 walicheza michezo (30) kwenye ligi [emoji1173]
[emoji153] 16 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 1,067' - Dakika alizocheza
Klabu ya Enppi msimu wa 2020/21 walicheza jumla ya michezo (36) ligi kuu [emoji1093]
[emoji153] 04 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 312' - Dakika alizocheza
[emoji424] Ni tall, ana urefu wa futi (6) na Inch (2)
N:b mikimbio hapo ndio kwao
Uliza wanaojua kuufuatilia mpira hasa wa kimataifa, huyo ni kiungo mkabaji, sasa sijajua inakuwaje unamlinganisha na Manzoki na Kibu ambao ni washambuliaji 😆😆 😆Biashara za online unaagiza manzoki unaletewa sawa dogo
....namuona ni kibu mtupu
Wajuzi wa mpiraUliza wanaojua kuufuatilia mpira hasa wa kimataifa, huyo ni kiungo mkabaji, sasa sijajua inakuwaje unamlinganisha na Manzoki na Kibu ambao ni washambuliaji [emoji38][emoji38] [emoji38]
Wana uwanja unaochukua watu elfu 30, wanalipa mishahara mikubwa kuliko SimbaDifaa ina kipi cha kumfikia Simba?
Ulipita mule muleNmejikuta namkumbuka huyu jamaaView attachment 2481421