Ismael Sawadogo ni mnyama!

Ismael Sawadogo ni mnyama!

Shida moja ipo kwa wengi,mnaendekeza dharau na ujuaji mwingi,ukiangalia 80% ya wachezaji wanaofanya vizuri walisajiliwa kawaida bila mbwembwe wamefanya vizuri,tena wengine kwa mkopo hebu tuwe tunatoa nafasi kabla ya kusema hapa hakuna mchezaji.
Tatizo mchezaji hajacheza msimu msimu wa 2022/23. Mwezi ujao anafunga mwaka mzima bila kucheza

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mchezaji hajacheza msimu msimu wa 2022/23. Mwezi ujao anafunga mwaka mzima bila kucheza

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Hajacheza huko,Ila atacheza huku,alafu usikariri vitu vidogo,mfano Ngolo Kanye,ama Pogba hawajacheza karibu mwaka sasa je wakisajiliwa na timu nyingine utasema sio WACHEZAJI?
 
Klabu alizopita kiungo mpya wa klabu ya Simba, Ismael Sawadogo (26) [emoji1059]

2021-23 = [emoji1173] Difaa El Jadida
2020-21 = [emoji1093] Enppi SC
2019-20 = [emoji1211] As Douanes
2019-20 = [emoji1142] Al-arabi SC
2018-19 = [emoji1059] US Ouagadougou
2017-18 = [emoji1059] Salitas
2017-18 = [emoji1146] Al Mabarra club
2017-16 = [emoji1059] RC Kadiogo

Currently performance !

Difaa El Jadida msimu huu 2022/23 mpaka sasa wamecheza michezo (12) [emoji1173]

[emoji153] 00 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 00 - Dakika alizocheza

Difaa El Jadida msimu uliopita 2021/22 walicheza michezo (30) kwenye ligi [emoji1173]

[emoji153] 16 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 1,067' - Dakika alizocheza

Klabu ya Enppi msimu wa 2020/21 walicheza jumla ya michezo (36) ligi kuu [emoji1093]

[emoji153] 04 - Ismael michezo aliyocheza.
[emoji802] 312' - Dakika alizocheza

[emoji424] Ni tall, ana urefu wa futi (6) na Inch (2)
N:b mikimbio hapo ndio kwao
 
Kwani amekatika miguu baada ya hapo??
 
Biashara za online unaagiza manzoki unaletewa sawa dogo
....namuona ni kibu mtupu
Uliza wanaojua kuufuatilia mpira hasa wa kimataifa, huyo ni kiungo mkabaji, sasa sijajua inakuwaje unamlinganisha na Manzoki na Kibu ambao ni washambuliaji 😆😆 😆
 
Uliza wanaojua kuufuatilia mpira hasa wa kimataifa, huyo ni kiungo mkabaji, sasa sijajua inakuwaje unamlinganisha na Manzoki na Kibu ambao ni washambuliaji [emoji38][emoji38] [emoji38]
Wajuzi wa mpira
FpQIhIWX0AAvt4Z.jpg
 
Tujikumbushe.....!!!
 
Back
Top Bottom