Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.
Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika kupata mtoto kwa kipindi cha miaka minne ya mahusiano yao.
Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika kupata mtoto kwa kipindi cha miaka minne ya mahusiano yao.