Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

ndoa na mahusiano ya huko ulaya, marekani na nchi za wenzetu aiseee ni ngumu sana kwa wanaume
 
Aliye kuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte powdrell amaemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.

Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika kupata mtoto kwa kipindi cha miaka minne ya mahusiano yao


Mwanamke wa kizungu (wengi wao)akimpenda Muafrika sababu kuu huwa ni mali basi.
 
Nilivyo oa tu, maishaisha yangu yalibadilika yalikuwa magumu sana. Nilivyo acha mke nimerudi kama zamani
Vipi hamkugawana nusu kwa nusu.
Sasa unaushauri gani kuhusu kuoa?
Maana wengine wanakuwa na maisha ya ovyo wakiwa hawajaoa ila wakioa wanabadilika na kuwa njema hata mitazamo ni ++++
 
Mwanamke wa kizungu (wengi wao)akimpenda Muafrika sababu kuu huwa ni mali basi.
Upo sahihi kwa kiasi kikubwa, yaani binti wa kizungu hawezi kukupenda hivi hivi. Hapa usiingize wale wabibi wa kizungu walio kata tamaa
 
Back
Top Bottom