Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

Untitled (1).png
 
Leo itakuwa umesahau kumeza dawa zako za uchizi
Mimi na uchizi wapi na wapi hata, ni channel hio ndio imeongea vile bila US wanasema hawawezi kuendelea na vita isio kuwa na lengo sababu mpaa mda hu malengo yao yameisha failed kwwnye Nuclear ya Iran. Mpaa Mdaa hu hakuna walicho fanikisha zaidi ya kupiga piga macommader na hao Nuclear scientist. Wajomba zake Israel pia wanasema hivi soma gazeti lao

 
Back
Top Bottom