Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Tumewahi kuzipiga launcher. Haya Hezbullah anawaibisha sasa.


View: https://youtu.be/8RZ2iquG8Vk?si=A_nyuk_9ttfL8m1T

Pia kapiga Navy ya Israel


View: https://youtu.be/fnEOBamOMe8?si=kBHSp6JILmrzytkW

Pia wamepiga target muhimu sana Tela Aviv. Israel wanaficha na uwongo wao wa kusema Hezbullah karusha missiles 6000.


View: https://youtu.be/4F_J3N8nxdw?si=p_GNX3bTKTrp5LuT

Hizo video mnazozitengeneza huko masjid ziishie huko huko hapa tunatumia ubongo kufikiri na sio vingenevyo
 
Marekani itakua kaamua kukaa pembeni walau siku mbili Ili netanyahu akubali kusitisha mapigano,hivyo ndiyo uwezo wa israel ulivyo bila marekani na ulaya
Israel hataki vita na Hezbullah 😄
 
Ukiisoma hii vita hapa JF unaweza ukadhani Israel anasalimu amri kesho.

Kwa sisi wazoezi wa hizi nyuzi huwa tunahesabu siku tu, unakutana na uzi wa Justice for fulani, jumuiya ya kimaitaifa iingile kati.
Kuna breaking news Israel anamwambia Hezbullah kama karidhika na doze aliyo wapa jana, basi Israel hataki vita na Hezbullah

 
Marekani itakua kaamua kukaa pembeni walau siku mbili Ili netanyahu akubali kusitisha mapigano,hivyo ndiyo uwezo wa israel ulivyo bila marekani na ulaya
Americant haiwezi kukaa pembeni mbele ya israhell

Nikwamba hizbullah imeitwanga israhell mbele ya mama ake mkubwa yaani

Breaking news hapa naiona israhell imekiri wanajeshi wake kujeruhiwa na mmoja kufyekwa kufuatia kombora kutwanga boti lake

Wao wamesema wawili ila uhalisia hao wamekufa kwauchache 10+ nakadhaa injury
 
Kweli Hezbullah karusha maroketi na drones nyingi leo asubuhi, ila naye kapata kipigo hevi...figher jets 100 za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon leo hii.
 
Back
Top Bottom