Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

Video zmejaa porojo sioni kipigo chochote kwa mazayuni. Ila kipigo tulicho pigwa wanajihad wa hizbollah ndio kinaonekana vizuri bila kuokota okota clips.
Israel wepes jaman tuendelee na mashambulizi ya maana bas. Aaah
 
Vifaranga wa America wanasema hawataki vita kipigo cha leo kimewaonyesha sio America au Nato wanaweza kuwasaidia. Hata wa spy anga la Lebanon masaa 24 hamna faida. We jifurahishe tu kama Israel ana dai kapiga missiles 6000 atuonyeshe 😄 Hezbullah wanasema wametumia Katyusha na drones na zote zimepiga target isipokuwa ziko zingine Katyusha waliziangusha katika hizo 340. Drones zote zimefika kwenye targets.
 
Israel hataki vita na Hezbullah 😄
hapo unahis anaogopa ila kipigo kikianza mnadau dunia imewatenga , mnataka vita ila ikija mnata dunia nzima tuwapiganie kwa upuuz mlioanzisha nyiny wenyew
 
Wanataka kuleta porojo zao eti vita vya siku tatu sijui sita eti walizipiga nchi zote za kiarabu 😀

Gaza leo inaenda mwaka wamejificha mpaka wa Misri kazi kurusha makombora hovyo,

Wamechezea kichapo Netanyahu kaitisha mkutano na mawaziri wake.
 
Awe amechezea, awe hajachezea So what?

Mimi niko nakula matoke Bukoba hao Hezbula sio hauth wakichezeana vichapo na wayahudi mimi inanihusu nini?
 
hapo unahis anaogopa ila kipigo kikianza mnadau dunia imewatenga , mnataka vita ila ikija mnata dunia nzima tuwapiganie kwa upuuz mlioanzisha nyiny wenyew
Hebu nionyeshe lini Israel alipigana na Hezbullah akashinda, au waliandamana watu kwa ajili ya Hezbullah. Hao ila wamezowea kupigana vita wakupiga sunction ndio wanaweza kupigana kama wanavyo mfanyia Hamasi. Hezbullah wapi mtampiga sunction 😄
 
Wanataka kuleta porojo zao eti vita vya siku tatu sijui sita eti walizipiga nchi zote za kiarabu 😀

Gaza leo inaenda mwaka wamejificha mpaka wa Misri kazi kurusha makombora hovyo,

Wamechezea kichapo Netanyahu kaitisha mkutano na mawaziri wake.
Israhell wamejengeka kwenye sound sana kuanzia taifa lao mpaka taarifa zao waongo waongoo

Walitumia masaa 24 kuokoa mateka entebbe nakurudi israhell ndani ya miaka hio ya giza walitumia muda mchache kuliko

Ila leo kuna teknolojia namadude kibao wanamwaka wanashindwa kufanya kama walivyo fanya entebbe mwaka sasa

Israhell waongo kama shangazi yao Us na mama yao Uk
 
Hata nyie msingeabudu jiwe haiwezekani mtu anasafiri km kibao kwenda kubusu jiwe
Mkiambiwa makafiri hamujielewi mnabisha🤣🤣🤣

Kwamba ukimbusu mkeo pia itakua unamuabudu?

Usikute na ukafiri wako unaopelekeshwa nao ila hujui ibada ninini

Pole kikafiri kidogo kidogo kwakufuata mkumbo

Inaonekana hata huyo mkeo sijui mmeo ukimbusu hua unaona ndio unamuamudu 🤣🤣
 
Wewe ndio hujielewi hi ukiweka alama ya nyota juu ya nyumba ya ibada ndio unaiabudu hiyo alama? Wewe endelea kuinamisha makalio uelekeo lililo jiwe?

Chapili wewe unakabia kuwa kichaa yaani unafanisha kubusu jiwe na binadamu tena ambaye ni mke wako sasa ikibusu jiwe linapata hisia kama mkeo.

Mkeo ana mme mjinga sana kama anaona kumbusu yeye ni sawa na kubusu jiwe
 
Q

Inabidi mtueleze hilo jiwe mnalolibusu linahisia sawa na wake zenu?
 
Back
Top Bottom