Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

Israel Anaaibishwa Kwa Video Kipigo Cha Jana

Uzi wa msikitini huu.. hauna ukweli katu.. waongo kama Allah wao bingwa la uongo
 
Ukiisoma hii vita hapa JF unaweza ukadhani Israel anasalimu amri kesho.

Kwa sisi wazoefu wa hizi nyuzi huwa tunahesabu siku tu, unakutana na uzi wa Justice for fulani, jumuiya ya kimaitaifa iingile kati.
Utasikia Waisilamu tuungane Dunia nzima kuisaidia palestina😂😂. Subiri tu
 
Uzi wa msikitini huu.. hauna ukweli katu.. waongo kama Allah wao bingwa la uongo
Umeanza mambo ya dini ukiwekwa sawa unanza oh mambo ya dini. Sa we unaye tuambia Allah muongo nipe point wapi Allah kasema uwongo? Mimi naweza kukupa bibilia yenu inasema mungu wenu Yesu ndio muongo. Sababu Yesu anasema yeye si Mungu nyie mnamkanusha mnasema kasema yeye ni Mungu. Kabla hatujafika mbali. Umemsikia Nasurlah jana kasema nini mwisho kabisa kwenye speech yake?

View: https://youtu.be/wMeQDnYo_Pc?si=TeGMfJOPnlJcavrM

Hebu wambie wanao fahamu kiarabu wa kufanyie translation 😄

Anawambia Israel wasidhani wanaweza ivamia Lebanon kwa band ya music, Israel lazima afahamu leo Lebanon wanapigana kwa akili kwa damu, kwa silaha na drones, na heavy missiles sio ile Lebanon ya zamani. Na anawambia tumetumia Katyusha na drones kumi tu, hatukutumia heavy missiles na tumemvuruga vibaya sana. Lazima yeye ndio aelewe kuna siku Lebanon ataivamia Israel kwa band ya 🎶 tu 😄 Aisay kawadharau sana, kuna dharau kama hio.
 
Umesnza mambo ya dini ukiwekwa sawa unanza oh mambo ya dini. Sa we unaye tuambia Allah muongo nipe point wapi Allah kasema uwongo?
Allah kasema uongo kwa kusema Yesu ni sawa na Adam amewaumba kwa kusema iwe na ikawa.. wakati Aya zingine zinasema alimuumba Adam kwa Udongo aka mfashion yaani step zete hadi akawa binadam.. uongo wa kusema be and ikawa mwambieni Allah aache uongo. and Yesu pia Amezaliwa wala sio sawa na Adam kwa udongo.. to say be ni uongo.
Quran 3:59
na Yesu alivyozaliwa ni Jibril ndie alienda puliza papuchi ya Mariam..

Uongo mWingine wa Allah kusema Alimbadilisha Mtu akampa sura ya Yesu na huyo mtu ndie alisurubiwa ana Allah akajitapa kuwa yeye ndie muongo mkuu hamna anayemuweza.
Wa makaroo wa makaral laahu wallaahu khairul maakireen
وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَـٰكِرِينَ
Mimi naweza kukupa bibilia yenu inasema mungu wenu Yesu ndio muongo. Sababu Yesu anasema yeye si Mungu nyie mnamkanusha mnasema kasema yeye ni Mungu. Kabla hatujafika mbali. Umemsikia Nasurlah jana kasema nini mwisho kabisa kwenye speech yake?
Speech ya mtu Coward aliyejificha kwenye pango ardhini! hahahaha mwambie atupatie japo picha moja ya maangamizi zaidi sie tumeona banda la kuku ame target Majogoo na vifaranga hahahaha
1724673483401.png

View: https://twitter.com/i/status/1827623470131290532

View: https://youtu.be/wMeQDnYo_Pc?si=TeGMfJOPnlJcavrM

Hebu wambie wanao fahamu kiarabu wa kufanyie translation 😄

Anawambia Israel wasidhani wanaweza ivamia Lebanon kwa band ya music, Israel lazima afahamu leo Lebanon wanapigana kwa akili kwa damu, kwa silaha na drones, na heavy missiles sio ile Lebanon ya zamani. Na anawambia tumetumia Katyusha na drones kumi tu, hatukutumia heavy missiles na tumemvuruga vibaya sana. Lazima yeye ndio aelewe kuna siku Lebanon ataivamia Israel kwa band ya 🎶 tu 😄 Aisay kawadharau sana, kuna dharau kama hio.

Hawajazuiwa kutumia silaha zao zote.. watumia maana hamna impact kheri yao Israel imeombwa isiharibu Lebanon ila Netanyahu Akbar akiamua ameamua muwe na subra.. Mziko unasubiriwa kwa Iran
 
Hezbollah wameua Kuku wengi kwenye Banda moja tu pekee..
 
Allah kasema uongo kwa kusema Yesu ni sawa na Adam amewaumba kwa kusema iwe na ikawa.. wakati Aya zingine zinasema alimuumba Adam kwa Udongo aka mfashion yaani step zete hadi akawa binadam.. uongo wa kusema be and ikawa mwambieni Allah aache uongo. and Yesu pia Amezaliwa wala sio sawa na Adam kwa udongo.. to say be ni uongo.
Quran 3:59
na Yesu alivyozaliwa ni Jibril ndie alienda puliza papuchi ya Mariam..

Uongo mWingine wa Allah kusema Alimbadilisha Mtu akampa sura ya Yesu na huyo mtu ndie alisurubiwa ana Allah akajitapa kuwa yeye ndie muongo mkuu hamna anayemuweza.
Wa makaroo wa makaral laahu wallaahu khairul maakireen
وَمَكَرُوا۟ وَمَكَرَ ٱللَّهُ ۖ وَٱللَّهُ خَيْرُ ٱلْمَـٰكِرِينَ

Speech ya mtu Coward aliyejificha kwenye pango ardhini! hahahaha mwambie atupatie japo picha moja ya maangamizi zaidi sie tumeona banda la kuku ame target Majogoo na vifaranga hahahaha
View attachment 3079754

View: https://twitter.com/i/status/1827623470131290532

Hawajazuiwa kutumia silaha zao zote.. watumia maana hamna impact kheri yao Israel imeombwa isiharibu Lebanon ila Netanyahu Akbar akiamua ameamua muwe na subra.. Mziko unasubiriwa kwa Iran
Tatizo lako huna akili binadamu aliye umbwa kwa udongo ni Adam tu, na huo udongo wa Adam sio wa duniani, ni wa peponi orignal kama hujui, ndio ujuwe. Ule udongo ndio uliye leta uzazi wa binadamu, unapo zaliwa na binadamu wewe ni udongo tu.
Hata mimi naweza sema nimezaliwa kutokana na na wazazi wangu wawili uko wapi udongo hapo 😄 Swali Yesu kazaliwa na nani? Binadamu sio kwa hio ni ule ule uchafu wa udongo ulio tokea kwa Adam. Sa uwongo wa Allah upo wapi hapo.

Isreal alipiga kuku,mbuzi na kondoa huko Lebanon, bora hata Hezbullah kapiga banda limekaa kama base vile. Kwenye banda kama hilo la kuku haliwezi kuwa ndani ya military base😄 na si ajabu Irone domo limeropoka vibaya likatema cheche kwenye hilo banda, mkamzulia Hezbullah kakosea target, wakati vitu vimezama ndani vyote karibu 300 mme intercepted labda 40 missiles.

Wewe usimfananishe Adam na Yesu hata siku moja Yule Adam ni udongo wa mbinguni hakuchangan'yika na shahawa, wakati Yesu katokana na mama aliye tokea kwenye shahawa.

Adam ni orignal made in Heaven, na Jesus kazaliwa duniani unaona tofauti hapo.

Kama wakuitwa Mungu basi angekuwa Adam, sababu Malaika walimsujudia wote, wakati Yesu kapulizwa kwenye uzazi wa Maryam, kwa njia ya Gabriel ndio mana akaitwa mwana wa Maryam.

Jiulize kwanini asitwe mtoto wa Gabriel ndio aliye mpuliza. Akaitwa mtoto wa Maryam 😄
 
Kweli Hezbullah karusha maroketi na drones nyingi leo asubuhi, ila naye kapata kipigo hevi...figher jets 100 za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon leo hii.
Habari ya ndege 100 ni ya tarehe 24 juzi sio leo.
Uwe unafuatilia habari usije kudanganywa.
Pia hata hiyo habari ya ndege 100 haina ushahidi ni empty set words tu kama kawaida.
 
Tatizo lako huna akili
Tunazungumzia akili za Allah wewe unaleta zangu na hapa umethibitisha Allah hana Akili kwa kufanaisha Yesu na Adam
binadamu aliye umbwa kwa udongo ni Adam tu, na huo udongo wa Adam sio wa duniani, ni wa peponi orignal kama hujui, ndio ujuwe. Ule udongo ndio uliye leta uzazi wa binadamu, unapo zaliwa na binadamu wewe ni udongo tu.
Hata mimi naweza sema nimezaliwa kutokana na na wazazi wangu wawili uko wapi udongo hapo 😄 Swali Yesu kazaliwa na nani?
According to Quran Jesus amezaliwa na Mariam baada ya Kupuliziwa kwenye papuchi na Jibril au uongo ten a tunaendelea kuuona Nikuulize wewe aliyepuliza roho ni Allah au Jibril? maana Spirit ni ya Allah so Allah alishuka mwenyewe kupuliza au Jibril anaweza kuchukua roho ya Allah hadi kwa Mariam na kuipuliza kwenye papuchi? hahaha chapter 19 ina prove uislam ni uongo. nadhani mnajuta kuiweka kwenye Quran.
Binadamu sio kwa hio ni ule ule uchafu wa udongo ulio tokea kwa Adam. Sa uwongo wa Allah upo wapi hapo.
Uongo wa Allah ni huo huo wa Kusema Jesus ni sawa na Adam. Adam Kaumbwa na Yesu amezaliwa huwezi kukwepa uongo wa Allah.
Isreal alipiga kuku,mbuzi na kondoa huko Lebanon, bora hata Hezbullah kapiga banda limekaa kama base vile. Kwenye banda kama hilo la kuku haliwezi kuwa ndani ya military base😄 na si ajabu Irone domo limeropoka vibaya likatema cheche kwenye hilo banda, mkamzulia Hezbullah kakosea target, wakati vitu vimezama ndani vyote karibu 300 mme intercepted labda 40 missiles.
Hizo Takwimu unazijua wewe Arabs world wanamcheka Mr. Chicken Nassallah
Wewe usimfananishe Adam na Yesu hata siku moja Yule Adam ni udongo wa mbinguni hakuchangan'yika na shahawa, wakati Yesu katokana na mama aliye tokea kwenye shahawa.

Adam ni orignal made in Heaven, na Jesus kazaliwa duniani unaona tofauti hapo.
Another uongo tena why Uislam kila kitu ni uongo? Allah aliumba kila kitu duniani kisha akasepa zake mbingu ya Saba sasa hiyo kila kitu no Adam? no Hawa? Allah anazidi kuwa muongo au wewe kubali ndie muongo.

Quran 2:29 It is He who created for you all of that which is on the earth. Then He directed Himself1 to the heaven, [His being above all creation], and made them seven heavens, and He is Knowing of all things.
— Saheeh International
Kama wakuitwa Mungu basi angekuwa Adam, sababu Malaika walimsujudia wote,
Hiyo ndio Shirki ya Allah Munafiki yeye anawakatazeni Shirki alafu yeye anafanya pia anajiia Sisi and na Nyie mnamshirikisha Mohamad na Allah na pia mnashirikisha akili za Allah na za Mudy ni sawa
wakati Yesu kapulizwa kwenye uzazi wa Maryam, kwa njia ya Gabriel ndio mana akaitwa mwana wa Maryam.
Hawezi itwa hivyo Quran inasema waiteni kwa ubini wa baba zao so Issa anatakiwa aitwe Isa bin Jibril au Isa bin Allah.. So umesema Jibril ndie alipuliza roho ya Allah so Allah alimshirk kutoa roho yake inayoendelea na kumpa Jibril kwa mdomo wake so Jibril alimnyonya Allah mdomoni akachukua roho kisha akashuka nayo na kuipuliza ukeni mwa Mriam hahahaha this is insult to Christianity
Jiulize kwanini asitwe mtoto wa Gabriel ndio aliye mpuliza. Akaitwa mtoto wa Maryam 😄
Mtoto wa Allah Alafu soma Quran uwe unaielewa maana maongezi yako ni sawa na ya mlevi huna aya hata moja.. Soma Quran inasemaje Kuhusu Yesu.. ni Messenger,Ni Roho ya Allah direct na inayoendelea kuweko kwa Yesu and Yesu ni word of Allah.. ni sawa na Quran havijaumbwa na wala havita angamizwa. Quran 4:171
Why Yesu asiwe Mungu kwa sifa hizo.. na Tambua Word ndio kalamu ambayo ndio imeumba kila kitu Allah akitulia tu akisema kitu Kalam inaumba so Jesus ndie Muumbaji wa Vyote.
 
Back
Top Bottom