Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kuna breaking news Israel wanasema kama Hezbullah karidhika alicho fanya jana basi Israel hawataki vita.Israhell wanadhania tupo mwaka 48😀😀☝️
Anabweka badala ya kulia nyauVipi Tena, nyau kapigwa
Hizo video mnazozitengeneza huko masjid ziishie huko huko hapa tunatumia ubongo kufikiri na sio vingenevyoTumewahi kuzipiga launcher. Haya Hezbullah anawaibisha sasa.
View: https://youtu.be/8RZ2iquG8Vk?si=A_nyuk_9ttfL8m1T
Pia kapiga Navy ya Israel
View: https://youtu.be/fnEOBamOMe8?si=kBHSp6JILmrzytkW
Pia wamepiga target muhimu sana Tela Aviv. Israel wanaficha na uwongo wao wa kusema Hezbullah karusha missiles 6000.
View: https://youtu.be/4F_J3N8nxdw?si=p_GNX3bTKTrp5LuT
Tulia uelimishwe , wacha mashoga wabadilishane pampersHizo video mnazozitengeneza huko masjid ziishie huko huko hapa tunatumia ubongo kufikiri na sio vingenevyo
Israel hataki vita na Hezbullah 😄Marekani itakua kaamua kukaa pembeni walau siku mbili Ili netanyahu akubali kusitisha mapigano,hivyo ndiyo uwezo wa israel ulivyo bila marekani na ulaya
Kuna breaking news Israel anamwambia Hezbullah kama karidhika na doze aliyo wapa jana, basi Israel hataki vita na HezbullahUkiisoma hii vita hapa JF unaweza ukadhani Israel anasalimu amri kesho.
Kwa sisi wazoezi wa hizi nyuzi huwa tunahesabu siku tu, unakutana na uzi wa Justice for fulani, jumuiya ya kimaitaifa iingile kati.
Israhell waoga sana hizbulla wangekua wepesi sasa hv tungekua twaongea mengineKuna breaking news Israel wanasema kama Hezbullah karidhika alicho fanya jana basi Israel hawataki vita.
Bado tulieni vitu viwaingie na bado kuna kipigo cha Al Houth na Iran kipo njiani.Hizo video mnazozitengeneza huko masjid ziishie huko huko hapa tunatumia ubongo kufikiri na sio vingenevyo
Americant haiwezi kukaa pembeni mbele ya israhellMarekani itakua kaamua kukaa pembeni walau siku mbili Ili netanyahu akubali kusitisha mapigano,hivyo ndiyo uwezo wa israel ulivyo bila marekani na ulaya
Makafiri mngekua mnatumia ubongo kufikiri musingeabudia sanamuHizo video mnazozitengeneza huko masjid ziishie huko huko hapa tunatumia ubongo kufikiri na sio vingenevyo
Labda godlisten malissa😀😀😀God Bless Israel