Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
-
- #21
Hizo ni propoganda wambie watuonyeshe kule Tela Aviv na Haifa pia wamepigwa wanaficha nini. Hezbullah wanasema wamepiga target muhimu sana kule Tela Avi na Haifa.Kweli Hezbullah karusha maroketi na drones nyingi leo asubuhi, ila naye kapata kipigo hevi...figher jets 100 za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon leo hii.
Wanalia wanasema kama Hezbullah karidhika basi vita iishe, hawataki vita na Hezbullah 😄Hizbo wamesema hio ni first phase kwahio kuna second na third na kuendelea
Huwezi kupeleka fighter jets 100 kupiga kariakoo,huo ni uwongo wa kitotoKweli Hezbullah karusha maroketi na drones nyingi leo asubuhi, ila naye kapata kipigo hevi...figher jets 100 za Israel zimeshambulia kusini mwa Lebanon leo hii.
Vifaranga wa America wanasema hawataki vita kipigo cha leo kimewaonyesha sio America au Nato wanaweza kuwasaidia. Hata wa spy anga la Lebanon masaa 24 hamna faida. We jifurahishe tu kama Israel ana dai kapiga missiles 6000 atuonyeshe 😄 Hezbullah wanasema wametumia Katyusha na drones na zote zimepiga target isipokuwa ziko zingine Katyusha waliziangusha katika hizo 340. Drones zote zimefika kwenye targets.Video zmejaa porojo sioni kipigo chochote kwa mazayuni. Ila kipigo tulicho pigwa wanajihad wa hizbollah ndio kinaonekana vizuri bila kuokota okota clips.
Israel wepes jaman tuendelee na mashambulizi ya maana bas. Aaah
hapo unahis anaogopa ila kipigo kikianza mnadau dunia imewatenga , mnataka vita ila ikija mnata dunia nzima tuwapiganie kwa upuuz mlioanzisha nyiny wenyewIsrael hataki vita na Hezbullah 😄
Reports: Israel says doesn't want war after Hezbollah avenges Shukur
Israel has told foreign parties that it moved to thwart a major Hezbollah attack on Sunday morning and that it does not intend to “turn that into a broad war,” the Israel Hayom newspaper said. “If Hezbollah is satisfied with its response today,...www.naharnet.com
Basi Hezibollaa wako vizuri, Israel atachakazwa hadi ahame kabisa hapo middle east.Israhell wanadhania tupo mwaka 48😀😀☝️
Awe amechezea, awe hajachezea So what?Wanataka kuleta porojo zao eti vita vya siku tatu sijui sita eti walizipiga nchi zote za kiarabu 😀
Gaza leo inaenda mwaka wamejificha mpaka wa Misri kazi kurusha makombora hovyo,
Wamechezea kichapo Netanyahu kaitisha mkutano na mawaziri wake.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔧Israhell wanadhania tupo mwaka 48😀😀☝️
Hebu nionyeshe lini Israel alipigana na Hezbullah akashinda, au waliandamana watu kwa ajili ya Hezbullah. Hao ila wamezowea kupigana vita wakupiga sunction ndio wanaweza kupigana kama wanavyo mfanyia Hamasi. Hezbullah wapi mtampiga sunction 😄hapo unahis anaogopa ila kipigo kikianza mnadau dunia imewatenga , mnataka vita ila ikija mnata dunia nzima tuwapiganie kwa upuuz mlioanzisha nyiny wenyew
Tokea lini vipofu wakaona?🤔Video zmejaa porojo sioni kipigo chochote kwa mazayuni. Ila kipigo tulicho pigwa wanajihad wa hizbollah ndio kinaonekana vizuri bila kuokota okota clips.
Israel wepes jaman tuendelee na mashambulizi ya maana bas. Aaah
Jipiganie mwenyewe kwanza kabla yakuenda kuipigania hizbullah ambayo haijakuomba uipiganie wala ninihapo unahis anaogopa ila kipigo kikianza mnadau dunia imewatenga , mnataka vita ila ikija mnata dunia nzima tuwapiganie kwa upuuz mlioanzisha nyiny wenyew
Israhell wamejengeka kwenye sound sana kuanzia taifa lao mpaka taarifa zao waongo waongooWanataka kuleta porojo zao eti vita vya siku tatu sijui sita eti walizipiga nchi zote za kiarabu 😀
Gaza leo inaenda mwaka wamejificha mpaka wa Misri kazi kurusha makombora hovyo,
Wamechezea kichapo Netanyahu kaitisha mkutano na mawaziri wake.
Mbona kama umetumia hasira sana kutaipu😀Basi Hezibollaa wako vizuri, Israel atachakazwa hadi ahame kabisa hapo middle east.
Hata nyie msingeabudu jiwe haiwezekani mtu anasafiri km kibao kwenda kubusu jiweMakafiri mngekua mnatumia ubongo kufikiri musingeabudia sanamu
Mkiambiwa makafiri hamujielewi mnabisha🤣🤣🤣Hata nyie msingeabudu jiwe haiwezekani mtu anasafiri km kibao kwenda kubusu jiwe
Wewe ndio hujielewi hi ukiweka alama ya nyota juu ya nyumba ya ibada ndio unaiabudu hiyo alama? Wewe endelea kuinamisha makalio uelekeo lililo jiwe?Mkiambiwa makafiri hamujielewi mnabisha🤣🤣🤣
Kwamba ukimbusu mkeo pia itakua unamuabudu?
Usikute na ukafiri wako unaopelekeshwa nao ila hujui ibada ninini
Pole kikafiri kidogo kidogo kwakufuata mkumbo
Inaonekana hata huyo mkeo sijui mmeo ukimbusu hua unaona ndio unamuamudu 🤣🤣
Inabidi mtueleze hilo jiwe mnalolibusu linahisia sawa na wake zenu?Wewe ndio hujielewi hi ukiweka alama ya nyota juu ya nyumba ya ibada ndio unaiabudu hiyo alama? Wewe endelea kuinamisha makalio uelekeo lililo jiwe?
Chapili wewe unakabia kuwa kichaa yaani unafanisha kubusu jiwe na binadamu tena ambaye ni mke wako sasa ikibusu jiwe linapata hisia kama mkeo.
Mkeo ana mme mjinga sana kama anaona kumbusu yeye ni sawa na kubusu jiwe