Weeeh apia!Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Acha wamalizane huko. Hata sisi wakiamua wanaweza kutufuta kwenye uso wa dunia, tunaishi kwa hisani yao tu. Tukomae na no reforms no elections tujenge taifa kubwa.Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Kagame aliwahi kusema Miaka 30 iliyopita Watu walikuwa wanachinjana mchana kweupe. Anasema waliishi maisha ambayo walikuwa hawana uhakika kama kesho wataamka.Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Ndivyo utambue hakuna demokrasia duniani. Dunia inatawaliwa na wenye nguvu.Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Ukiona hivyo ujue walionyamaza,wamejua hawakumtuma kwenda kuua na kuteka watu katika nchi nyingine.Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Kagame aliwahi kusema Miaka 30 iliyopita Watu walikuwa wanachinjana mchana kweupe. Anasema waliishi maisha ambayo walikuwa hawana uhakika kama kesho wataamka.
Hakuna Dini wala Viongozi wa Dini waliokemea, hakuna Wanaharakati wala Haki za Binadamu walioingilia kati.
Sasa amefuta Makanisa na misikiti. Haina maana yoyote kwenye maisha ya binadamu.
Is Kagame Right? Absolutely Yes.
Turudi Gaza sasa. Is ICC important? UN security? What about Jesus and christians? What about Muslim Community?
Hiyo kukaa kimya ndio haina maana. Wanaoonewa wakija kushika usukani nyie mliokaa kimya mtaonekana hamna maana. Ndio maana kagame haoni umuhimu wowote wa makanisa na misikiti. Yote anapiga chini...Kagame hayuko sahihi kuua Wacongo milioni 6 na Waafrika na Watanzania tunakaa kimya.
Kwa nn anafanya hivyo? Tuanzie hapoUkiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
vipi na hamas kuendelea kung'ang'ania mateka 59 wasio na hatia na Dunia pia imenyamazaUkiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
hata Israel anajitahidi kujizuia kuua raia sema Hamas hujificha kwenye miundombinu ya kiraia na huvaa kiraia kipindi cha vita na huvaa uniform kipindi vita vikisimama kama showNdivyo utambue hakuna demokrasia duniani. Dunia inatawaliwa na wenye nguvu.
Umoja wa mataifa dunia nzima inakemea zaidi ya nchi 150 zinasema hii sio sawa marekani inasema hapana ni sawa.
Urusi anasakamwa sana japo anajitahidi kujizuia kuua raia kudondosha mabomu popote bila kujali. Angetaka angeua Waukraine kwa mamilioni.
Sababu ni nini? Urusi anapigana na Mmarekani kupitia proxy Ukraine. USA anampiga Mpalestina, Syria, Lebanon, Yemen kupitia proxy Israel. Iran na China wanatafutwa sasa hivi.
Israel anafanya hivyo anataka raia wake wanaoshikilia na magaidi wa Hamas waachiliweKwa nn anafanya hivyo? Tuanzie hapo
Shida ni kuwa Mmarekani kalogwa na MwisraeliUkiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Inasikitisha sana.Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Oct 07,2023 Wapalestina na Hamas yao walivamia Israel na Kubaka watu,kuua watu 1,200 na kuteka watu 251 wewe ulitaka Dunia,waarabu, waislam na Mungu wafanye nini? Maana wote hao hawakuwatuma waende wakafanye unyama wa kutisha huko Israel. Kuhusu hao Aljazeera wao ni wadau kwenye ugaidi huo maana siku hiyo walikuwa wakishirikiana na magaidi hao kuvamia huko Israel lakini baada ya Israel kuanza kujibu mapigo sasa hivi wanajifanya kuwa wao ndiyo wahanga wakati wao ndiyo waliliamusha Dude!!Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!