Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Yeye sio mbinafsiThat proves binadam sisi ni wabinafsi sana, hata wewe hapo unapoteza tu muda wako bure kuwafuatilia hao
Yeye sio mbinafsiThat proves binadam sisi ni wabinafsi sana, hata wewe hapo unapoteza tu muda wako bure kuwafuatilia hao
Mungu atawalindaUkiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
LATEST AT 8:08 EAT
sasa iSRAEL hivi amebomb shule na watu 33 wamekufa
Wewe usidanganywe na Taqqya ya hao islamists wenzio wa Al Jazeera. Kama kweli hawako biased, je umeisha ona wakiripoti kuhusu wagazans wanaoingia barabarani kuwapinga Kamas zako?Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
LATEST AT 8:08 EAT
sasa iSRAEL hivi amebomb shule na watu 33 wamekufa