Israel anafanya extermination ya Wapalestina huko Gaza, dunia imenyamaza

hata Israel anajitahidi kujizuia kuua raia sema Hamas hujificha kwenye miundombinu ya kiraia na huvaa kiraia kipindi cha vita na huvaa uniform kipindi vita vikisimama kama show

Hivi vita inabidi uviangalie bila mtizamo wa kidini. Israel toka ianzishwe labda hii ni mara ya pili kushusha kipigo kama hiki.

Waliouliwa rasmi ni 50,000, walio chini ya vifusi hawajulikani zaidi ya 100,000 inakadiriwa. Majeruhi, vilema hadi 250,000. Majengo yaliyotekeketezwa kama yote.

Wamekatiwa maji, umeme, chakula kimezuiliwa kufika, pamoja na madawa. Hospitali na wauguzi wote wanauliwa.
 
..Wacongo milioni 6 wamekufa kwa vita waliyopelekewa na Rwanda kwa kisingizio cha uwepo wa Fdlr.
Inashangaza sana ukiiangalia hili dunia bila mitizamo ya kidini.

Libya, Iraq, Syria zilikuwa na madikteta sawa na nchi zote jirani zao. Walikuwa vizuri kuliko majirani zao.

Toka wapewe demokrasia maisha yao ni magumu sana, yataendelea kuwa magumu zaidi ya miaka 20, 30, 40 ijao. Mamilioni wamekufa, mabomu yanalipuka kila siku. Majirani zao madikteta wana hali nafuu kuliko wao wenye demokrasia. Walipoewa demokrasia.
 
Kuna Waafrika wenzetu kule Darfur, Sudan, wanaonewa na kuuawa kwa maelfu na Waarabu wanaojiita Janjaweed, tungeanzia hapo kwanza halafu tuje DRC vs Kagame.

Mambo ya Waarabu na Wayahudi tuwaachie wenyewe
 
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!
Tatizo lenu hamfatilii walio angamizwa na Mungu kuanzia kwa Nuhu, Ibrahim, Lout, na Mussa walikuwepo kina Namrut na Firauni walisema hivyo hivyo kumdharau Mungu. Kawaida siku zote Mungu watu wake anawaweka kwenye mtihani, mmesahau Ibrahim alipo tupwa ndani ya moto, mmesahai Yousuf alipo tupwa ndani ya kisima. Wa Palestine karibu watashinda nyie tulizeni ball.

US yuko mbioni kuanguka hao na mashoga zao, yule aliye litengeneza taifa fake hilo la Israel ni Muingereza kuna mtu siku hizi hata anamugopa? Mimi namini Trump ni nema kubwa sana kuiongoza US sababu hatumi akili na ndio anavyo iangusha US taratibu.

Allah huwa anaplan vitu taratibu kama vile kwa Nuhu, Ibrahim na Mussa.
 
achana na revelations mastory ya kusadikika.....scientific thinking is the right way of thinking!
 
Agenda ya Iran na proxies wake ni kuiangamiza Israel. Ni rahisi sana kulaumu kwa kuvutia upande wako.

Mbona watu 1200 waliouliwa kikatili na Magaidi ya Hamasi hawazungumziwi?

Mbona mateka waliohai na maiti waliowashikiliwa na Hamasi Hadi Leo huku Israel ikitaka waachiwe, mbona hawasemwi?

You will reap what you sow
 
Hebu wawaachie watu wa watu tuone nje ya hapo Hamas wanapigania nini kwa kile wanachofanywa wao na nchi yao kwa ujumla? Waachie mateka ujinga huo vinakufa mpaka vitoto vichanga wao wamejifukia ardhini tu kama mipanya buku ,

Yakisia cease fire hayooo kila mmoja kwenye fuko lake la rambo anatoa kombati mpya huyooo anatafuta toyota pick up iko wapi ije itambe bara bara barani si ushenzi huo
 
Agenda ya Iran na proxies wake ni kuiangamiza Israel. Ni rahisi sana kulaumu kwa kuvutia upande wako.

Mbona watu 1200 waliouliwa kikatili na Magaidi ya Hamasi hawazungumziwi?

Mbona mateka waliohai na maiti waliowashikiliwa na Hamasi Hadi Leo huku Israel ikitaka waachiwe, mbona hawasemwi?

You will reap what you sow
Bwege wewe unadhani media za western wangenyamaza kila kukicha tungeonyeshwa hao maiti kama kweli, hio Israel ni taifa fake lilio tengenezwa na uingereza na kutumiwa na US kwa faida zao kila kukicha tungeonyeshwa kwenye BBC, fox news, channel 4 na cnn
 
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!

LATEST AT 8:08 EAT

sasa iSRAEL hivi amebomb shule na watu 33 wamekufa
WASHAURI Basi waachilie mateka mkuu,
Pia waonye wasimchokoze mwisrael Kama oktoba 7
Hapo wanaweza kujiokoa na mkono wa Israel
 
..Wacongo milioni 6 wamekufa kwa vita waliyopelekewa na Rwanda kwa kisingizio cha uwepo wa Fdlr.
Wacongo na wenyewe wanateswa kisa tu raslimali zao ambazo zinagombewa na wenye nguvu. Uonevu mkubwa sana na wenyewe wanafanyiwa. Na mbaya zaidi, no one cares. Bora hata JK enzi zake alijaribu kuwadhibiti M23.
 
Tatizo lenu hamfatilii walio angamizwa na Mungu kuanzia kwa Nuhu, Ibrahim, Lout, na Mussa walikuwepo kina Namrut na Firauni walisema hivyo hivyo kumdharau Mungu. Kawaida siku zote Mungu watu wake anawaweka kwenye mtihani, mmesahau Ibrahim alipo tupwa ndani ya moto, mmesahai Yousuf alipo tupwa ndani ya kisima. Wa Palestine karibu watashinda nyie tulizeni ball.

US yuko mbioni kuanguka hao na mashoga zao, yule aliye litengeneza taifa fake hilo la Israel ni Muingereza kuna mtu siku hizi hata anamugopa? Mimi namini Trump ni nema kubwa sana kuiongoza US sababu hatumi akili na ndio anavyo iangusha US taratibu.

Allah huwa anaplan vitu taratibu kama vile kwa Nuhu, Ibrahim na Mussa.
Kwahiyo mbele ya myahudi waislam hampiganii Allah? Mnamwacha ajipiganie mwenyewe?

Nyie si huwa ni mabingwa wa kumpigania MUNGU wenu
 
vipi na hamas kuendelea kung'ang'ania mateka 59 wasio na hatia na Dunia pia imenyamaza
Thamani ya kuua kwa makusudi mtu mmoja haina tofauti na thamani ya kuua watu 1,000 kwa makusudi.

Hamas walivyolikorogwa wanawanywesha watu wao. Toka lini mgambo akawa na nidhamu ya vita. Ni uhuni tu unaendelea Gaza. Vikundi vya kigaidi havina uchungu na mateso wanayopata wananachi wa kawaida na wasio na hatia.
 
Achieni mateka na nuweke silaha chini.. mbona SADEC walielewa manbo kule DRC ni mswano tu.. Au Allah kawakatazeni mmtetee huku mnatoa machozi.. Netanyahu Akbar.. kampiga chini Allah
 
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel.
Dunia imenyamaza, waarabu, waislamu wamenyàmaza. Mungu amenyamaza, dini zingine zimenyamaza.
It is very disheartening indeed!

LATEST AT 8:08 EAT

sasa iSRAEL hivi amebomb shule na watu 33 wamekufa
That proves binadam sisi ni wabinafsi sana, hata wewe hapo unapoteza tu muda wako bure kuwafuatilia hao
 
Back
Top Bottom