Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Maliza mbege ukojoe ulale
Simnaona , Hata Maneno yangu hayajamaliza Masaa matatu, jamaa katoa hotuba hii
View attachment 3167684
Narudia kuwaambia, kutakua na kipiigo Cha mbwa Koko.
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Simnaona , Hata Maneno yangu hayajamaliza Masaa matatu, jamaa katoa hotuba hii
View attachment 3167684
Narudia kuwaambia, kutakua na kipiigo Cha mbwa Koko.
Hana jipyaNdugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.
Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?
Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel?
Subirini, sahizi Israel inapokea SILAHA tu ,mtakubali wenyewe, lipigo Cha mwakani, US atahusika
Allah gani huyo unamuongelea? Au huyu huyu ambae hamas walipokuwa wanabaka kule Israel 0ctober 7 walikuwa wanamtaja wakikojoa"allahu Akbar"Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Allah huyu huyu aliyekula kona wakati watu wake wanapewa kichapoBrother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Kwa hiyo allah ndio alipanga ule ugaidi wa Oct 7?!!Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Kwanza umechelewa kuelewa, pili umeelewa kinyume chake.Tulichogundua ni USA ndio aliowapiga Waarabu kwa siku sita,na MOSSAD ni CIA,hakuna Taifa pale la ISRAEL kumbe ni USA wanaojiita Taifa Teule,hii vita imefumbua fumbo gumu sana lililokuwa limejificha
Tatizo unakaririshwa, to correct you six day war, US hakuwa anatoa msaada wa kijeshi yet hakushiriki hiyo vita. By the CIA nguvu zao walikuwa wameelekeza eastern europeTulichogundua ni USA ndio aliowapiga Waarabu kwa siku sita,na MOSSAD ni CIA,hakuna Taifa pale la ISRAEL kumbe ni USA wanaojiita Taifa Teule,hii vita imefumbua fumbo gumu sana lililokuwa limejificha
Huyo Allah Kila siku anawajaza upepo huko middle east mnauana kama kuku kwann ameshindwa kutumia uwezo wake kuwafanya muishi kwa amani?Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Amani Iko peponi huwezi kuishi Kwa amani na mtu anayetaka vita, Uislam una discipline yake wametaka ceasefire wamepewa, wameanza upya watapelekewa tenaHuyo Allah Kila siku anawajaza upepo huko middle east mnauana kama kuku kwann ameshindwa kutumia uwezo wake kuwafanya muishi kwa amani?
Kama hawatajali haki za watu wengine pale wataendelea hivyo hivyo solution anayo yeye maisha ya Israel yawejeKwa hiyo allah ndio alipanga ule ugaidi wa Oct 7?!!
Maana wafuasi wake walikua wanaimba allah wakbarr huku wakitekeleza mauaji ya kimbari
Kumbe Quran ndio inawafundisha hivi? Maana yake ni kwamba duniani hapa hakuna amani kwa mujibu wa uislam na ndio maana popote mlipo ni kuendekeza vurugu na kuchinjanaAmani Iko peponi