Israel ataanzisha mashambulizi makubwa mara tu Donald Trump atakapoanza Rasimi Uongozi wake hapo January

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.

Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?

Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel?

Subirini, sahizi Israel inapokea SILAHA tu ,mtakubali wenyewe, lipigo Cha mwakani, US atahusika
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
 
Simnaona , Hata Maneno yangu hayajamaliza Masaa matatu, jamaa katoa hotuba hii
Screenshot_20241202_235535.jpg

Narudia kuwaambia, kutakua na kipiigo Cha mbwa Koko.
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams

Umeona nikochokisema?.
Simnaona , Hata Maneno yangu hayajamaliza Masaa matatu, jamaa katoa hotuba hii
View attachment 3167684

Narudia kuwaambia, kutakua na kipiigo Cha mbwa Koko.
 
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.

Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?

Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel?

Subirini, sahizi Israel inapokea SILAHA tu ,mtakubali wenyewe, lipigo Cha mwakani, US atahusika
Hana jipya
 
Cha kushangaza zaidi ni taifa ambalo nyinyi warokole mnasema ni teule wa Mungu linategemea silaha za Marekani kujilinda badala ya kutegemea maombi kujilinda.
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Allah gani huyo unamuongelea? Au huyu huyu ambae hamas walipokuwa wanabaka kule Israel 0ctober 7 walikuwa wanamtaja wakikojoa"allahu Akbar"
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Allah huyu huyu aliyekula kona wakati watu wake wanapewa kichapo
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Kwa hiyo allah ndio alipanga ule ugaidi wa Oct 7?!!
Maana wafuasi wake walikua wanaimba allah wakbarr huku wakitekeleza mauaji ya kimbari
 
Tulichogundua ni USA ndio aliowapiga Waarabu kwa siku sita,na MOSSAD ni CIA,hakuna Taifa pale la ISRAEL kumbe ni USA wanaojiita Taifa Teule,hii vita imefumbua fumbo gumu sana lililokuwa limejificha
 
Kwanza umechelewa kuelewa, pili umeelewa kinyume chake.
 
Tulichogundua ni USA ndio aliowapiga Waarabu kwa siku sita,na MOSSAD ni CIA,hakuna Taifa pale la ISRAEL kumbe ni USA wanaojiita Taifa Teule,hii vita imefumbua fumbo gumu sana lililokuwa limejificha
Tatizo unakaririshwa, to correct you six day war, US hakuwa anatoa msaada wa kijeshi yet hakushiriki hiyo vita. By the CIA nguvu zao walikuwa wameelekeza eastern europe

Unajua nchi ya kwanza kuiuzia israel silaha za kivita?
Ufaransa , nchi ya kwanza kabisa ku support israel. Japokuwa haikupeleka wanajeshi wake. Lakini waliwauzia israeli silaha mbali mbali
Vita wakapigana wenyewe
 
Brother ondoa hofu wao wanapanga Allah anapanga yake, alie na haki na atakae takiwa na Allah ndie atakaebaki kusimama. Makafiri ndio humtegemea Mtu badala ya Mwenyezi Mungu, trump ni mtu TU na atakalishwa vilevile hakuna atakae Rudi kuachia ardhi si hzb au hams
Huyo Allah Kila siku anawajaza upepo huko middle east mnauana kama kuku kwann ameshindwa kutumia uwezo wake kuwafanya muishi kwa amani?
 
Amani Iko peponi huwezi kuishi Kwa amani na mtu anayetaka vita, Uislam una discipline yake wametaka ceasefire wamepewa, wameanza upya watapelekewa tena
 
Kwa hiyo allah ndio alipanga ule ugaidi wa Oct 7?!!
Maana wafuasi wake walikua wanaimba allah wakbarr huku wakitekeleza mauaji ya kimbari
Kama hawatajali haki za watu wengine pale wataendelea hivyo hivyo solution anayo yeye maisha ya Israel yaweje
 
Amani Iko peponi
Kumbe Quran ndio inawafundisha hivi? Maana yake ni kwamba duniani hapa hakuna amani kwa mujibu wa uislam na ndio maana popote mlipo ni kuendekeza vurugu na kuchinjana

Na mm nasema mzidi kuchinjwa ili muwahishwe huko peponi mnakoamini pia wale wanaowauwa mfano IDF inabidi muwashukuru maana wanawapeleka huko iliko amani.
 
Back
Top Bottom